MAKONDA achukizwa AMTUMBU mkurugenzi na wanaokula pesa za serikali, aagiza wakamatwe na kuchunguzwa

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 71

  • @user-dv7ru3kv4p
    @user-dv7ru3kv4p 21 день назад +4

    Naomba mungu umlinde huyu mtoto wako adui asimpate natunakuomba mungu wewe ukisema ndiyo hakuna wa pinga baba ninakuomba wewe uliye juu ya maserafi na makerubi naomba umlinde makonda Mungu wangu ninaomba baada ya raisi Samia kuimaliza awamu yake Mungu naomba umpe hii nchi Makonda maana huyu ni mtumishi wako ukampake mafuta ya roho wako Mungu nitakushukuru najua unalituma neno lako ulitimize na hata Sasa utalitimiza Mana neno lako halitoki bure kinywani mwako amen.

  • @johnsonkatana1069
    @johnsonkatana1069 22 дня назад +12

    Sijui itatugarimu miaka mingapi Kenya kutokea viongozi kama hawa

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 22 дня назад

      Acha tu ndugu, Japo tunao hawa viongozi wetu! Mijizi na mijambazi ina roho ya Kenge. Sikiliza hapo mijizi ipo kuanzia majumbani mpaka serikalini. Africa kazi tunayo.

  • @ixheryusuph1748
    @ixheryusuph1748 17 дней назад

    Makonda jamani makonda mungu akupe maisha marefu sanaaaa.... Kwa maana umeumbwa kutetea wanyonge kila la kher Kaka....

  • @user-ql6vg2uv6w
    @user-ql6vg2uv6w 18 дней назад

    Makonda njoo na hukuuuuuu kwanguu kuna shida inayotikana na shida

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 21 день назад +1

    Kwa mwendo huu Makonda jitegemeze kwa Mwenyezi Mungu bila hivyo utarogwa kwa kuwamwagia watu unga.

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 22 дня назад +6

    Safi Sana hiyo mijizi ya halmashauri inatusumbua Sana mitaani huku kumbe pesa wenyewe inajaza matumbo Yao, Sukuma ndani

    • @mutaziden701
      @mutaziden701 21 день назад

      Mikoa yote na alimashauri zote na wakurugunzi ni shida tu wizi mwingi makonda ww ni jembe upewe ulinzi pia ww bola uwe rais wa Tanzania tutapona wengi

  • @benardpeter3562
    @benardpeter3562 21 день назад +1

    Hongera sana Mkuu

  • @Jkm237
    @Jkm237 22 дня назад +9

    HUYU JAMAA ANAWEZA KUWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 SIYO SIKU NYINGI NAONA NYOTA YAKE NI YA URAISI SIYO MKUU WA MKOA

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 22 дня назад +4

    Makonda unaudhubutu sana kama magu nchi hili inapigwa sana kilasehemu kwenye makusanyo yahela itakuwa nishida tungekuwanaakina Makonda kilamkoa inchiinge pigahatua sana

    • @SamweliMwalindu
      @SamweliMwalindu 21 день назад

      sisi watanzania hatupendi watu wanamna hii mungu aingilie kati kuwaweka ka iblahimu wa bukinafaso makonda oyeé raisi ajaye

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 21 день назад +1

    Safiii

  • @emmanuelelam555
    @emmanuelelam555 22 дня назад +2

    Duh kaz tunayo hongera mkuu wamkoa

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 22 дня назад +3

    Hii nchi imeoza kweli!!!

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 21 день назад +1

    Paulo Makonda be covered by the blood of Jesus.watakuacha kweli ndo hofu yetu God lntevention in your life ,career job and everything that has to do with you in Jesus name.

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 22 дня назад +4

    Nakukubari sana makonda ww ni jembe

  • @user-hi7hy3bk8j
    @user-hi7hy3bk8j 14 дней назад

    Makonda Nina buku Yako hapa kadri ya uwezo Wangu Utamnunulia Jojo kijana wako

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 21 день назад +1

    Nchii ni tajiri sana maana inapigwa usiku na mchana, hasa tamisemi, inatisha

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 20 дней назад

    Huyo Ndio BABA KIGAN

  • @user-pq5by8xp8m
    @user-pq5by8xp8m 21 день назад +1

    Mafisadi hawataisha kwenye hii nchi. Mpaka hapo tutakapo pata watu, wenye uchungu na Maendeleo ya Nchi yetu. Makonda yupo Arusha, je Mikoa mengine wanafanya hivyo?. Barabara zetu za mitaani ni mbovu.
    Kodi ni kwa ajili ya Maendeleo ya Taifa letu, lakini sasa inakuwa ni Maendeleo ya Familia zao na Matumbo yao. Mungu atusaidie sana

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 21 день назад +2

    Makonda nakuomba kwa dhati uchaguzi ujao ugombee ubunge jimbo la ubungo, hatuna mbunge ubungo. Wala hatujawahi kumuona mitaani, magufuli alikua kiongozi mzuri lakini kwenye wabunge fake alitukosea sana wapiga kura. Kimara barabara za mitaani ni disaster

  • @chandekaamiri3153
    @chandekaamiri3153 22 дня назад +4

    Piga makonda tunahitaji watu kam nyie

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 21 день назад +1

    Makonda hoyeeeee

  • @user-ud4hu6xe1c
    @user-ud4hu6xe1c 22 дня назад +2

    Usijekutulogea tuu watu na hiyo mipete yako😂😂😂😂

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 21 день назад

      Hamuwezi,toka anapelekewa moto tungeona matokeo

  • @josephsala5415
    @josephsala5415 20 дней назад +1

    Kumbe RAS anamtumbua DED?🤔

  • @khamishussein3502
    @khamishussein3502 22 дня назад +1

    Nakubali

  • @mustaphahashim7532
    @mustaphahashim7532 21 день назад

    Makondaa apewe nchi.

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 21 день назад

    Salute 🫡 makonda

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 22 дня назад

    Duu. Kazi kweli ila Mungu asimsimame kwenye haki jamani

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 21 день назад

    Hivi ajira za wazee kama huyu asieweza hata kujieleza wanazipatagaje jamanii

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 21 день назад

    Next president of tz

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 20 дней назад

    Makonda kuna mjinga mmoja alisema ulipata ziro alupata wapi ujasiri wakuongea utombo wakuku

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 21 день назад

    Kila kona majanga naomba Makonda apewe Tamisemi

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 21 день назад

    Wakurugenzi wakiwa wanasiasa na sio wataalam , professionals itawasumbua saana,

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 21 день назад

    Mmelea watu hawa miaka mingi. Kufukuza haisaidii. Wengine wangekua wananyongwa ingesaidia

  • @ericksaulo3029
    @ericksaulo3029 21 день назад

    Mweshimiwa wanyooshe hao ndio wanaozuia maendeleo yetu ya Arusha...

  • @JohnMunisi
    @JohnMunisi 21 день назад

    Makonda usiogope Hawa vibaraka pambana nao.

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 20 дней назад

    Tamisemi Pana shida, serikali yetu Ina serikali nyingine ya Siri ,deep state, Hawa wanakusanya Kodi nje ya Kodi serikali

  • @user-xy1jn7iq9m
    @user-xy1jn7iq9m 21 день назад

    Mama Samia tuletee sabaya uku dar kumeoza

  • @IDDYHussein-fe7dn
    @IDDYHussein-fe7dn 21 день назад

    Yaani uyo mkurugenzi si alisamehewa wakati wa Magufuli..akajilizaga ule wakati. Wakamsamehe akarudishwa kazini na uko Arusha analikoroga tena..piga .chini

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v 22 дня назад

    Makonda Tanzania hii nishidaaaaaaa wizi mtupu unamaana nchihiii wizi tuna hasa malipo yaserikali yamfumo waconrooo helanyingi zinaliwatu

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 21 день назад

    Makonda tembelea halmashauri za mkoa wote huu ni muozo ndo maana Arusha hainekani kubadilika kila mwaka barabara ni zilezile ndo zinajazwa vifusi

  • @hashimabdalah3161
    @hashimabdalah3161 22 дня назад

    Kama ningekua rais wakulugenz wangetokea jeshin

  • @SamweliMwalindu
    @SamweliMwalindu 21 день назад

    sasa makonda unamsaidiane mkulugezi kwaanavyoonekana anawatu juu sio anaptaje ujasili wakwenda kunyu.e nawew

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 21 день назад

    Huyo mkurugenzi hana adabu, ni mpigaji ndio maana aliitisha waandishi ili kudhiofisha maamuzi ya RC

    • @maasaiafricanguides5717
      @maasaiafricanguides5717 21 день назад +1

      Inawezekana hajui kinachoendelea kati ya vijana wake wa kazi na wahasibu wa Tanganyika Wilderness Camp, vijana wake (wafanyakazi wa halmashauri) hawawezi kuipiga hiyo pesa bila ushirikiano wa wafanyakazi wa kampuni ya Tanganyika Wilderness Camp.
      Hapo Kuna siri na mwisho wa siku itajulikana tu.........tusishangae TWC akaja kumuomba msamaha mkurugenzi.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 18 дней назад

    TUNGEPATA RAIS TANZANIA KAMA MAKONDA MIAKA MITANO TU WAZUNGU WANGEJIULIZA KICHWA KIPO KATIKA KITI TANZANIA 🇹🇿 😂😂😂

  • @markjason2035
    @markjason2035 21 день назад

    Mi pete imegoma

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 21 день назад

    Mh makonda endesha kazi kwa uwazi hivihivi ili tusipotoshwe kuhusu utendaji wako wa kazi tunauona mubashara

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r 22 дня назад +1

    Je,Makonda ana mamlaka ya kumfukuza kazi mteule wa Mhe. Raisi?
    Mbona waliokula mabilioni yaliyoibuliwa na"CAG" mbona hawagusi?Kile anachotuhumiwa kula huyo bwana,je kiliibuliwa na CAG,Internal Auditor au Makonda tu ktk kuonyesha ubabe wake hadharani?
    Ni mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Kijiji cha Itilima ,Kishapu;Shinyanga.

    • @alexanderdustan8872
      @alexanderdustan8872 22 дня назад

      Chuki za mafisadi

    • @bugapeasant1827
      @bugapeasant1827 22 дня назад

      Ana malaka ya kumsimamisha na ndicho alicho kifanya umeelewa we kibaka

    • @ABBASIKANDULU-kl8zc
      @ABBASIKANDULU-kl8zc 22 дня назад +1

      Unachohoji. Na uchofaidika na kipii apo katika ilo swali lakooo .?

    • @makamejuma6959
      @makamejuma6959 21 день назад +1

      Yy hatoweza kumfukuza icpokua atapeleka taarifa juu kutokana na utensaji mbovu wa mkurugenzi wake ss apo anaweza kupewa mamlaka na ata apo hajasema km mkurugenzi akamatwe

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 21 день назад

      We ndo mganga wa mkurugenzi nini,mapete yamefeli Sasa kambadilishie

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 22 дня назад +1

    kesi ya mbuzi unaipeleka kwa mbwehaa shidaa nikuondoa chama chapinduzi madarakani wenye mamalamiko nitanzania nzimaa mtapiga kelele mpaka mchoke hakuna msaada

    • @bugapeasant1827
      @bugapeasant1827 22 дня назад +1

      We nae siasa kila mahari haowapizan wako pia hakunachochote waowenyewe nimafisadi katika vyama vyao wakishika nchi itakuaje, madiwan wachama pinzan walikua wengi sana kipindi cha nyuma lakin walikua wanatafuna pesa nawatu wa harimashauri siasa pizan za tanzania kilamtu apigania tumbo lake wala si kuleta mabadiliko viongozi kama makonda tunawahitaji sana

    • @BilalMuhammad-jt6sq
      @BilalMuhammad-jt6sq 22 дня назад

      Dah umesema kweli ndugu​@@bugapeasant1827

    • @hamzanangameta6243
      @hamzanangameta6243 21 день назад

      Chama chako kimefanya nini toka umeanza maisha?

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 20 дней назад

      Umekariri ujinga poleeee😅😅