VURUGU WADUDU WAFUNGA BARABARA ARUSHA, WAZUIWA KUFIKA NYUMBANI KWA MWENZAO ALIYEFARIKI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024

Комментарии • 337

  • @gililwise
    @gililwise 15 дней назад +67

    Serikali msipothibiti hawa wadudu tutaangamiza taifa LA kesho

    • @hamisombali8545
      @hamisombali8545 15 дней назад +13

      kabisa brother yani ujinga huu faida yake nini sasa

    • @noahmadali7150
      @noahmadali7150 15 дней назад

      Kizazi kimeisha huko

    • @user-ly9us4db3m
      @user-ly9us4db3m 15 дней назад +1

      Kweli kabisa mm pia siwapendi kabisa hawa wadudu mwisho watakuwA majambazi hao yaani hili tatizo lizibitiwe mapema kabisa jamani

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 15 дней назад +3

      Vichaa tu upuuzi mtupu Mira mingi na bangi

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 15 дней назад +4

      Ww Linda watoto wako serikali hailei watoto tabia ya mtoto kuwa nzuri au mbaya ni malezi ya wazazi na siyo magengee mm nimeishi Arusha zaidi ya miaka 10 nanina marafiki vibaka waizi wauza madawa nakila uchafu hata hao wadudu Nina marafiki zangu lakini mbn sipo kwenye hayo magengee situmiee chochote lea watoto wako

  • @Khmy54
    @Khmy54 14 дней назад +6

    Chepe zipo tutamfukia kwa chepe tutamfukia mwana kwa chepe, ww fukia kwa mkono tukukamate hatukuachi😂😂😂wapuuz sana hawa wanaiona nchi yao au

  • @ChinaBoy-jh8bm
    @ChinaBoy-jh8bm 13 дней назад +2

    Poleni sana wadude wa arusha kwakumpoteza mojawenu natuma ujumbe kutoka Somalia

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 15 дней назад +33

    Huu ni ujinga wa hali ya juu ikomeshwe mara moja

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 15 дней назад +3

      Ningumu Kwa chuga

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 15 дней назад

      ​@@fatihiyadossa375Serikal haijawahi shindwa ktu ww panya road wako wap hapa bongo hebu wakamatwe kama watu 10 wale vchwa vbovu uone kama haitakuwa

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 15 дней назад

      Kwanini ni ngumu Kwa chuga Wana Nini hao si vichaa tu wapelekwe lutindi , wenzao panyarudi wapo wapi unaona walivyo uliwa km kuku,hao pia wawamaliza ​@@fatihiyadossa375

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 15 дней назад

      Makonda umeoelekwa kwenya kuongozwa vijana vichaa hao

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 15 дней назад

      Serekali inaendekeza ujinga, hawahawa ndio tatu mzuka nawaeleza, km makonda aliweza kuzuia panya road, please komesha hii kitu jamani😢😢😢

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 15 дней назад +64

    içhi kizazi kitakuja kuigharim serekali niko paleee

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 15 дней назад +23

    Bodaboda ni shida kwa kweli hata kama ushirikiano sio sitaili hizo wote ni bange tuu

  • @anethmtei2912
    @anethmtei2912 15 дней назад +42

    Serikali isiruhusu vitu kama hivi. Ni ujinga uliopitiliza serikali ikomeshe huu ujinga

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 15 дней назад +1

      Umesema sawa kabisa

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 15 дней назад +1

      Hawa watu wa Arusha hawana hakiri kabsha

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n 15 дней назад

      @@user-mi7cd8ch1b ndiyo alafu wanaona ni ujanja ni ushamba na upumbavu kabisa vijana wa hovyo kabisa

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 15 дней назад

      ​@@user-mi7cd8ch1bwashamba wanajifanya maganster

    • @damasmarungu2520
      @damasmarungu2520 15 дней назад +1

      Embu fateni mambo yenu bhna umeona mtu wa arusha analalmik kwani

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 15 дней назад +8

    MIMI BONGO NAMINI HAWA WATOTO WA ARUSHA UWAONE IVI TU MAKATILI WAKIONGEA KAMA WAJINGA LAKINI WACHA TU DANGEROUS PEOPLE ARUSHA BOYS 😂😂😂😂

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 15 дней назад +9

    Upumbavu mtupu hawana hata iman ya mungu khaaa

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 15 дней назад +3

    Poleni Sana nyote MWENYEZI MUNGU awape nguvu awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 15 дней назад +7

    Wadudu maana yake nini? Kwanini tusiwe na kizazi kitakatifu chenye upendo, furaha na amani? Aina hii ya maisha hata tukikubali ni sawa na kukubali kuishi na bomu ndani ya nyumba. Biblia inasema hakuna amani kwa wabaya asema Mungu wangu.

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 14 дней назад +1

    Yaani wanajeshi wangeruhusiwa kuondoa hilo kundi linalojiita wadudu! Ni wiki moja wanakuwa watu na siyo wadudu! Mungu warehemu watoto wetu😭😭

  • @thebios2553
    @thebios2553 15 дней назад +10

    Washamba wanapewa airtime aisee Yani ni upuuzi na Bado wakiendelea na akili izo watauzulia sana mazishi hamna hata mwenye helmet uendeshaji wa hovyo

  • @user-qk4lx4hg7g
    @user-qk4lx4hg7g 14 дней назад +3

    Mmh serikali kuwrni makini haya malezi ya hawa vijana yatakuja kuwashinda baadae

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 15 дней назад +9

    Aseee noma sanaaa

  • @user-ny7oq2oy8r
    @user-ny7oq2oy8r 15 дней назад +9

    Makonda kazi anayo😂

  • @josephatjoseph1755
    @josephatjoseph1755 14 дней назад +1

    Lait mwenzao angeamka akawaambia kinachompata huko wange acha huo ujinga

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 15 дней назад +8

    Hafu mnaanza kusema ni wasaini na huku tayari ni mazezeta

    • @verombwambo3703
      @verombwambo3703 15 дней назад +3

      Hapo ndio na Mimi nachoka jmn hakuna Cha usanii hapo ni uzombi tu

  • @mboneamalaki5674
    @mboneamalaki5674 15 дней назад +6

    Mungu ponya kizazi hichi

  • @manp9091
    @manp9091 15 дней назад +6

    Iyo ni shangwe ya kumpoteza mwenzao na sio uzuni

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 15 дней назад +14

    Hawa washamba wanatakiwa wadhibitiwe wote tuondokane na kizazi cha ovyo kama hicho. Mamlaka zipo wapi!?

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 14 дней назад +2

    Ipo sababu ya kutokuwatazama kwa macho ya furaha hili ni kaa la moto tunalipalia mwisho litasababisha moto mkubwa. Neema ya Mungu inahitajika kwa vizazi vyetu

  • @user-kw7ew1fu2w
    @user-kw7ew1fu2w 15 дней назад +1

    Laa makubwa Pole Sana RC. Kazi Unayo.

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 15 дней назад +4

    "Wadudu ni wanamziki wanachofanya ni sawa kabisa". Alisikika Mbunge mmoja akimpa taarifa Mbunge mwenzake aliyekuwa akichangia hoja Bungeni. Tafakari.

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 14 дней назад +1

    Wamarekani hivikaribuni watamtafuta kiongozi wao ili waanzishe bokoharamu tz wooooooooooooi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DOLALITV
    @DOLALITV 10 дней назад

    HAWA WADUDU, hii nchi mtakuja kunishukuru endeleeni kuwalea sana ni swala la Muda tu.

  • @robertnkaragano298
    @robertnkaragano298 7 дней назад

    Bangi Arusha imezidi aisee kuliko maeneo yote Tanzania hawa watu wadhibitiwe haraka sana, Serikali isiwachekee hawa vijana!!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 дней назад +4

    Hapo hapo kuna mijambaxi inapora ikiwa kwa pikipiki.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 дней назад +2

    Hatari

  • @user-ui4sz5gt2h
    @user-ui4sz5gt2h 2 дня назад

    Uhuni wa bila faida

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 15 дней назад +6

    Pole sana Makonda Samia na waziri wa mambo ya ndani Masauni na police na mtakoma mtakavyopata aibu kama Taifa kwa kuipeleka Afcon Arusha ni bora mngepeleka Mwanza au Dodoma

    • @AnuaryShedafa
      @AnuaryShedafa 14 дней назад

      😂 dah kwakwer

    • @ashurakodd1589
      @ashurakodd1589 14 дней назад

      Itapelekwa tu kwa taarfa Yako nyoo

    • @jamesmassawe4888
      @jamesmassawe4888 11 дней назад

      Hii ni Arusha na hii ndo asili ya arusha sasa wewe unaehoji afcon mbona huulizii makao makuu ya afrika mashariki ni wapi?

    • @henryabby2681
      @henryabby2681 8 дней назад

      Kama mwanga vile

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 14 дней назад

    Hivi hawa viongozi mnaounga mkono hawa wavuta bangi mnategemea tunaelekea wp?

  • @WillisonMkumbo
    @WillisonMkumbo 8 дней назад

    Waddudu ,lini wataitwa wanyama¿

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 14 дней назад +1

    Je akipatikana mwanasiasa akawapa Silaha nini ktatokea? asieziba Ufa atajenga ukuta

  • @nicksonthomas5429
    @nicksonthomas5429 13 дней назад

    Sifa za kijnga na sasa hv imekuwa kama mtindo wao hasa kwenye matukio

  • @RichardKilepo-xj1sy
    @RichardKilepo-xj1sy 13 дней назад

    Madogo ni huzuni alafu mnalete mzaha

  • @PatrickMwamba289
    @PatrickMwamba289 12 дней назад +2

    Tanzania kuna mambo mengi mabaya anaendelea...Harmonize anatumia uchawi kwenye Sanaa kuharibu kazi za Diamond Platnumz youtube ..Basata ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 12 дней назад

    Poleni sana

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m 15 дней назад +1

    Tunae chule tunaletewa burungu 😂😂😂😂 welcome chunga jiji lenye huuni mwingi naluga tata

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 14 дней назад

    Mnawaendekeza sana hawa ohooo

  • @user-se3dl4sx2u
    @user-se3dl4sx2u 12 дней назад

    Haya majinga matupu.mambwa haya majizi mibangi tu

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 9 дней назад

    Hata midea zinazowahoji ndiyo zinawapa kick wasipo wapa Airtime huu ujinga wao utaonekana wapi

  • @RichardKilepo-xj1sy
    @RichardKilepo-xj1sy 13 дней назад

    Wahuni

  • @ramawilson3709
    @ramawilson3709 10 дней назад

    Kwasasa tanzania inchi yangu imeanza kuhalibika salikali tunawategemea lekebisheni ujinga kama huhu vitu kama hivi vinaharibu taifa

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 14 дней назад

    😢😢😢😢 wapumbavu hawa watakufa vibaya wote nawahakikishia wasipobadilika wataisha wote bangi mihadarati itawamaliza wanajiita Wadudu wakatubu kanisani upumbavu wao

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 15 дней назад +1

    Mmmmmh hiyo ongea yao puuuh

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 14 дней назад

    Jamaa wanajielewa unajiitaje mdudu??Ili iweje

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 15 дней назад +11

    Vijidudu vimewapanda kichwani. Serikal Serikali Serikali .... Mh aya...

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 11 дней назад

    Wehu tu hawa, Serikali isipokuwa macho hamna kizazi cha maana hapo. Hovyo sana hawa.

  • @SungesuAngelina-id4tj
    @SungesuAngelina-id4tj 15 дней назад +6

    Vijana wote wa Arusha wahamishiwe Somalia huko ndo wanaendana Nako huku Tz sio hadhi yao kwakweli,watanzani Gani Wana Fujo hivi? Aaaah😢

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 11 дней назад

    Wadudu ndo nini, bangi tu na ulevi

  • @JosephIsack-eu4wu
    @JosephIsack-eu4wu 6 дней назад

    Bado amjasema

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 6 дней назад

    kwamba makonda nae kumemshinda uko awa muwalete uku tunduma wataonyeshwa shoo mbaka watakubali kua wao ni zuchu naso wadudu.

  • @user-jr3mo3je3k
    @user-jr3mo3je3k 14 дней назад

    Hizo siyo bangi aiseeee ,,,Kama siyo Pepo bas ni ulimbukeni tu,, harafu na mazoea yaan waao wamekuwa wakiona babu zao wapo hivo na wao ngumu sanaaaa kuchange kikubwa ni kuwaombea tu ili hii hali iishe kabisaaa usiendelee kuumiza kizazi kijacho

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 14 дней назад

    Millard Ayo si kila kitu una report huu ni ujinga

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 13 дней назад

    Kazi ipo ktk hii nchi

  • @user-se3dl4sx2u
    @user-se3dl4sx2u 12 дней назад

    Yanataka sifa tu..shenzi mbwa

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 15 дней назад +1

    Huu ni umasikin wa akili roho na mwili baada ya miaka kumi huu ni mzigo kwa taifa😏😏😏

  • @twinsstz2250
    @twinsstz2250 14 дней назад

    Chali etu ase

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 15 дней назад +12

    MAKONDA KAZI ANAYO ILA ATAFAULU TU PAMOJA NA CHANGAMOTO ZOTE

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 15 дней назад +1

      AKITAKA KUWAWEKA KWENYE HOTPOT SEKUNDE TU

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 14 дней назад

      ​@@MCNgakungaJuniorsyo chuga alyo yakta atayaacha ivyo ivyo

  • @henrypeter1361
    @henrypeter1361 15 дней назад +2

    Mbona simuoni makonda au kasaliti chama

  • @bitricepadros5787
    @bitricepadros5787 8 дней назад

    Hivi Hii nchi yenye Hawa watu Iko wapi ....

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 13 дней назад +1

    Watu wa Dar wanaona watu wote wa Arusha tuko ivi, tunavaaga ivyo na life style ni hiyo.!! 😂😂😂

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 11 дней назад

      Nataka kuja arusha ila naogopa hao wadudu kwakweli

    • @Views-mf8ir
      @Views-mf8ir 11 дней назад

      @@Aidhjuma karibu sana Boss ..!!
      Can i give you my Contact number uje nikutembeze Ungalimi, Ololooo na Matejoo alaf tumalizie kwakula Nyama kwa Mromboo alaf tukaogelee zetu Duluti ..😊

    • @Views-mf8ir
      @Views-mf8ir 10 дней назад

      @@Aidhjuma nikupe number uje ututembelee Boss

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 15 дней назад

    Hawa vijana hawa tusipokua makini nao itatugharimu sana

  • @NehemiaZakeo
    @NehemiaZakeo 14 дней назад

    He!he!he 😂😂😂😂😂 haowote nivijana una fikilia miaka michache mbele kama vijana wote tukitegemea kukwa kama hivyo nini kitakacho jili baadae.

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 13 дней назад

    Badala ya kuwa na kizazi cha wasomi tuna kizazi cha wavuta bangi

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 8 дней назад

    Serikali owe makini na hawa wahuni Chalamila kunamfaa Arusha

  • @user-kd7mw6be5q
    @user-kd7mw6be5q 14 дней назад

    Wana waendekeza hao wengine wez2 hapo

  • @hurumakaaya1150
    @hurumakaaya1150 15 дней назад +7

    Hivi wadudu ni wakiume tuu?

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 10 дней назад

    vijana wa hovyo kabisa sijui taifa gani hili tunatengeneza ..wanafanya makosa kama haya ya barabarani lakini hakuna sheria wanachukuliwa

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 15 дней назад +1

    Arusha nchi ya wahuni

  • @S__Official24
    @S__Official24 15 дней назад +1

    C mmewapromot endeleeni kuwafurahia na kuwapa promo

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 10 дней назад

    Kama sio wezi nasio wabakaji hakuna shida yoyote 💯🫡💥

  • @obedingilisho
    @obedingilisho 10 дней назад

    😂😂😂😂Wapuuzi ote awo

  • @OmbeniShoo-kg8dr
    @OmbeniShoo-kg8dr 15 дней назад +1

    Kuna tatizo ambalo linaonekana si tatizo ni mtaji wa watu kujijengea umaarufu hivi tumefika hapo kama Taifa na je nini tunapata kwa majina haya Wadudu, Panya roard, Chawa, nk tutavuna matunda yake kizazi kinazidi kuharibika.

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 15 дней назад

      Ni kweli kabisa vizazi vinaenda kuaribika

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 14 дней назад

    Mamba siyo mdudu ni mnyama mdudu ni chawa,mmpu siyafu inzi kunguni mende.

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 15 дней назад +1

    Kudadadeki bangi nuksi kishenzi
    Hawa wadudu watakula nchi

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 15 дней назад +1

    daah makonda una kazi babaa

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 13 дней назад

    Chukulia hawa ndio wazee wa baadae.
    Aisee, WanaArusha chukueni hatua mapema.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 14 дней назад

    Arusha msipo jirikibisha mtaisha vijana nimezaliwa chuga ila naumiaga saaan jisi wanavu edesha pikipik

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 14 дней назад

    Hichi kizaz huko mbeleni itakuwa shida sana

  • @albertadalabert5702
    @albertadalabert5702 15 дней назад +2

    Hacheni habari za kukimbiza pikipiki vifo ni vingi sana jamani vijana tutaisha

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 15 дней назад

    Makonda shikamoo. Kazi ni kubwa

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 15 дней назад +2

    Mungu warehemu vijana wetu wamechanganyikiwa

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 14 дней назад

    Millard ayo mnaongoza kuwa promote hawa wapuuz

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 15 дней назад +5

    Muna watentekizaa Sawa wadudu gani mbona jeshi la police linawaaachia wafanye watakavo
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    +254

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 15 дней назад

      Eti eeh!!

    • @user-ox3ij7ki3t
      @user-ox3ij7ki3t 15 дней назад

      Hii ni nchi nyingne hiyo serekali yenyew ikfka arusha inabid ifuate sheria na taratib za wenyeji

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 15 дней назад

    Hawa wadhibitiwe mapema sanasana.... Hii sio Haiti..

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 14 дней назад

    Makonda utawaweza hawa kweli

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 14 дней назад

    YANI ASILIMIA 80%VIJANA WA ARUSHA NIWAVUTA BANGE NA KUNYWA POMBE SIJUI SHIDA NN?

  • @michaelaloyce2072
    @michaelaloyce2072 15 дней назад

    Hawa wAdudu ni walevi sana. Wapuuzi

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 14 дней назад

    3:20 hii inch imeshndkn

  • @mugocomedy
    @mugocomedy 3 дня назад

    ARUSHA BILA WADUDU NI KAMA EMBE BILA KOKWA

  • @malkijuma
    @malkijuma 10 дней назад

    Ukifiwa ndo utajua uchungu

  • @isayaluvanda5757
    @isayaluvanda5757 13 дней назад

    SDA NJIRO MOJA, Kwa Msola ni kwele😂

  • @AboubakarShabani-op1dk
    @AboubakarShabani-op1dk 14 дней назад

    Uhuru wa wadudu

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 15 дней назад +2

    dah ni huzuni Kwa kweli

  • @ashuramahali3410
    @ashuramahali3410 15 дней назад +2

    Wadudu kama wadudu

  • @user-nn5lv6nb6i
    @user-nn5lv6nb6i 15 дней назад

    Jmn mmesikia kua nyok ndo kaf kwa hyo selikari inaongoz nyok n kumbi kumbi wenye mafuta huk arush na ng'e

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 15 дней назад +5

    Hiyo hali isipoangaliwa kwa makini....

  • @rizikimtui8992
    @rizikimtui8992 10 дней назад

    Nahisi Arusha inahitaji Mfumo wa Elimu yake ili malezi yasifikie hapa