MAJUNGU PLESI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • Wadada muwe maakini na wanaume mnaoishi nao kwenye maisha yenu. Wengi wao ni wambea sana hawana kaba ni watoa siri...
  • ПриколыПриколы

Комментарии • 452

  • @stanslausmajalla8896
    @stanslausmajalla8896 17 дней назад +16

    Jamani na mimi naomba like hata 1 tu kila siku wengine tu mnawapa like

  • @jeremiahromward6784
    @jeremiahromward6784 Месяц назад +91

    Anayeangalia huku anasoma comments gonga like twende sawa 😂😂😂😂 #joti is the best comedian 🤣

  • @ErickmidoMsodock
    @ErickmidoMsodock Месяц назад +16

    From Japan Kuma moto I love u YANGA bingwa tyr😂😅

  • @user-lk9rb2zw9s
    @user-lk9rb2zw9s Месяц назад +79

    Kilasiku mm nakosa like ata moja

  • @officialsule270
    @officialsule270 Месяц назад +71

    Watu mpo faster haya nipeni hata like kumi tuu

  • @batofrancis6930
    @batofrancis6930 Месяц назад +25

    Kama watu wamemkataa robot Yunis watanikubali mimi kweli 😂😂😂

    • @angelazizi4831
      @angelazizi4831 Месяц назад

      Mwnyw cjamuelewa wanja wake umetokea kulia kwenda kushoto..😂😂haf hela zetu wanachezea

  • @jonnyfranco5318
    @jonnyfranco5318 Месяц назад +7

    Joti unafanya kazi nzuri ila ukiingia katika series inakuwa the best

  • @NdongaBoy-hy2qg
    @NdongaBoy-hy2qg Месяц назад +16

    Ila joti kunakitu unatafuta Kwa huyu mzee jamani lake zangu 😂😂 jamani

  • @fallykitwara1192
    @fallykitwara1192 Месяц назад +8

    Daaaah!!wana wamemkataa kabisa Mwenzao Joti ndio kwanza wanachochea😂😂

  • @issafadhiri3895
    @issafadhiri3895 Месяц назад +7

    Daaaa ndio nilikua naishi uko wengi wakinijua kwa jina la dogox nyumbani uko safi sana mdogowangu joti

  • @HarounHassan-zv8kd
    @HarounHassan-zv8kd Месяц назад +5

    Teem Fisi mtanivunja mbavu zangu.
    Kila siku story tam.dah noma sanaaa

  • @khalelykhaled9266
    @khalelykhaled9266 Месяц назад +20

    Joti number one tz kwa comedian 🎉

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Месяц назад +7

    Mamaaeee nishai huo mwendo ulivokuwa. Unaingia kijiweni. Umeuwaa🤣🤣🔥

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Месяц назад +16

    Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo misuguano 😊😂😂😂😂😂 kila ijumaa

  • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
    @LovelyMountainLandscape-dd4xe 15 дней назад +2

    Ila joti noma kwel

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Месяц назад +35

    Kutoka nairobi like senu

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Месяц назад +22

    Ijumaa tulivu nikiwa na JOTI TV🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @zamirzanjeel09
    @zamirzanjeel09 Месяц назад +20

    Gonga like kwa ajili ya joti from Bukoba 🏳

  • @numpefikimwaipopo
    @numpefikimwaipopo Месяц назад +4

    Waomba like wanakera Kama nini

  • @JamesMpiga
    @JamesMpiga Месяц назад +7

    Unaviuno lakini unaachika sana😅😅

  • @Khmy54
    @Khmy54 Месяц назад +5

    Alikuwa anasema mwananguuhh😂😂💔🙌

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 Месяц назад +7

    Oh mpu vizuri sana

  • @HawaAkida
    @HawaAkida Месяц назад +7

    Naombeni like zangu sijalala Leo nlikua namsubr not wa1 leo😂

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf Месяц назад +11

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas

  • @BundalaShija-yb4vo
    @BundalaShija-yb4vo Месяц назад +5

    Mmetisha team joti 😂😂😂😂

  • @kyannickk2be
    @kyannickk2be Месяц назад +5

    Joti aisee....alivyojua ni baba mkwe dah...😂😂🤣

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Месяц назад +3

    Majungu plesi,anavaa shanga anavua daah

  • @godfreymasondaabel1904
    @godfreymasondaabel1904 Месяц назад +3

    Haaaaaa hili funzo sanaaa

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r Месяц назад +11

    Nakubali sana mwanangu joti🎉

  • @dabomtanzania
    @dabomtanzania Месяц назад +12

    Sema Zito mnafiki sana alivyokataa kwenye sauti sio mchezo 😄😄😄

  • @muhammadamir2901
    @muhammadamir2901 Месяц назад +4

    King of Comedians 🔥🔥🔥

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 8 дней назад

    Inachekesha alafu inafunfisha✌️ tupambane sana❤❤

  • @ZaiduGillah
    @ZaiduGillah 12 дней назад +2

    Kutoka MAREKANI 🇺🇸🇺🇸

  • @HawaAkida
    @HawaAkida Месяц назад +22

    😂😂Kama unamkubali jot gongalike hapa

  • @user-br4yw1eo4h
    @user-br4yw1eo4h Месяц назад +10

    Joti it's better comedy Africa

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up Месяц назад +7

    Sema joti anajuaa sana kuchekexha

  • @Bakari_motors7
    @Bakari_motors7 16 часов назад

    Nishai hajawahi kutoboa maisha yake yoote😅😅😅

  • @BabaKubwa-po3wy
    @BabaKubwa-po3wy Месяц назад +1

    Leo jotii naona umekumbuka ulipotoka daaah 😊😊

  • @mussanachele5199
    @mussanachele5199 26 дней назад +1

    😅😅😅😅nishai anasema leo kakalia chupa😅😅😅😅😅😅

  • @user-gz5tp6dw1k
    @user-gz5tp6dw1k Месяц назад +5

    1 leo

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 29 дней назад +2

    Hahaha joti kayakanyaga😂😂

  • @nachengasir5426
    @nachengasir5426 Месяц назад +1

    Kuna vitu viwili haviko sawa kwanza mzee kaja kauliza hichi ni kijiwe cha majungu ples baadae anauliza hichi kijiwe kinaitwaje, pili anamtaja mpita njia kwa jina "zuu" ilihali yeye ni mgen

  • @Charleskulwa-hp5ow
    @Charleskulwa-hp5ow 28 дней назад

    Joti hongera sana brother hamna kama ww bongo

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Месяц назад +3

    Babahhh mlewa sheweleeeee

  • @ashahassan7414
    @ashahassan7414 Месяц назад +5

    😂😂😂😂joti ❤

  • @andersonmutta3807
    @andersonmutta3807 Месяц назад +3

    ila Joti, mwanangu nataka kuja mjini na mimiiiiii😂😂

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Месяц назад +2

    Huo ndo ulikua utani wa mwisho😂😂😂😂😂

  • @user-ck7fi3bh3i
    @user-ck7fi3bh3i Месяц назад

    Haki nmechekaa leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan joti mungu akuweke jmn uzid kutufurahisha et kaja mjini kutolewa mkishipaaaa 🤣

  • @salimakida95
    @salimakida95 Месяц назад +7

    Timu Fisi pamoja tujuane

  • @user-gv8pf6if9m
    @user-gv8pf6if9m Месяц назад +1

    Leo waomba like wamechelewa sijui wametangulia kwa billytv😅

  • @fadhilinankoli2894
    @fadhilinankoli2894 19 часов назад

    Joti anazngua sana yaan

  • @jayjay8845
    @jayjay8845 Месяц назад +6

    Nishai Mtombangile wa miguno mikazo

    • @baloz8974
      @baloz8974 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc Месяц назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅 joti nakukubali sana best comedian in TZ 😅

  • @1czay
    @1czay Месяц назад +1

    😂😂😂wacha nicheke ju nikiomba likes sipewi hata moja

  • @amirikonja340
    @amirikonja340 Месяц назад +15

    Mapemaa

  • @kiberakishimba9691
    @kiberakishimba9691 Месяц назад +3

    Kazi tu

  • @WilliamMosara
    @WilliamMosara Месяц назад +1

    Baba mkwe kachomoa betri😂😂

  • @dominiquebirler2791
    @dominiquebirler2791 Месяц назад +2

    Twakusupport sana wakenya. Wapi likes za 254 ? 🇰🇪 🇰🇪

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 29 дней назад

    Leo Kijiwe Majungu kimechanganya Sana😂😂😂😂

  • @user-gq7qy7ok1v
    @user-gq7qy7ok1v Месяц назад

    🙌🙌🙌 umenishinda jot haun mpenzani

  • @christiantariq7263
    @christiantariq7263 Месяц назад +3

    Eti leo nimekalia chupa😂😂

  • @abdallahmagesa6209
    @abdallahmagesa6209 Месяц назад

    Joti......salute

  • @Missney-ci1kx
    @Missney-ci1kx Месяц назад

    Joti kitambo sanaa ujashtua kijoti napendaga walaah ,, kipindi ikoo watu ndo ilikuwa swaga yetuu

  • @EmmanuelPeter-lo2mp
    @EmmanuelPeter-lo2mp Месяц назад

    Big up great comedian 👏👏

  • @dckeydad3737
    @dckeydad3737 Месяц назад +7

    Joti 😂😂

  • @salamisindimwo303
    @salamisindimwo303 Месяц назад

    kimeumanaaaa in KANYINYI'S voice....

  • @evajohnsun7672
    @evajohnsun7672 Месяц назад

    Alooohh...Mwanangu nataka kuja mjini na mmi 😅😅😅

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 Месяц назад +1

    Walio rudia kuangalia wa like

  • @edwardfaraji1133
    @edwardfaraji1133 29 дней назад +1

    😂😂😂 Joti anabalaa aisee...

  • @Wanisimbula
    @Wanisimbula 29 дней назад

    Zito sio mtu mzuri kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-my1vi6wv9h
    @user-my1vi6wv9h Месяц назад +1

    ila jotiii😂😂😂😂 unamsema mkwe wako

  • @JosephMinja-xh3jm
    @JosephMinja-xh3jm Месяц назад

    Joti kweli unaweza!

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад

    Miee leo nimesahau kama leo JOTI 😂😂😂 MBONA MAJUNGU PLESI😂😂😂

  • @KondoRamadan
    @KondoRamadan 23 дня назад

    Sema mwanangu unazingua sana joti😂😂😂

  • @mtalemwafesto
    @mtalemwafesto Месяц назад +4

    Wakwanza ni meme

  • @kidilumstaarabu7873
    @kidilumstaarabu7873 3 дня назад

    Eti mwanangu😅😅😂

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 Месяц назад

    Kumekuchaaaa 😂😂😂😂😂 waomba 👍 like

  • @mbarakapandu101
    @mbarakapandu101 Месяц назад

    Mi joti namkubali sana ukiwa nishai bwana ananivunja mbavu

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Месяц назад +3

    You never disappoint me Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Месяц назад

    Never disappoint jotiiii 😂🎉

  • @ShabanRajabu-pz5cn
    @ShabanRajabu-pz5cn Месяц назад +1

    Nishai unamiuno ila unaachika sijui kwanini😀

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Месяц назад +1

    Kiatu Cha joti namba 120😂😂😂

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 Месяц назад

    Kumbe mpigwa majungu naye yupo hapohapo, hatari hatari😂😂😂😂

  • @user-vo5ob1pw4j
    @user-vo5ob1pw4j Месяц назад +1

    Aky leo nmekelia chupa 😂😂😂😂😂

  • @starjay3052
    @starjay3052 Месяц назад

    🤣🤣😂😂 shika shika shika kikombe kwanza

  • @HashimMbamba
    @HashimMbamba 24 дня назад

    Nmecheka

  • @kicbreezy4641
    @kicbreezy4641 Месяц назад

    Mkwe wangu habariii😂😂😂😂 nataka kuja mjini na Mimi🙌dah joti😂😂😂

  • @alhalithhamis2536
    @alhalithhamis2536 Месяц назад +1

    Et leo umekalia Chupa😂😂

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 29 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂joti weye noma sana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 Месяц назад

    Nimecheka hadi nadikia haja yachoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😄😁😁😄😃😃

  • @majambomake-js3tw
    @majambomake-js3tw Месяц назад +8

    Asanteee❤❤

  • @selemandaniel6179
    @selemandaniel6179 23 дня назад +1

    Joti unashidagani lakn

  • @michaelmacha7033
    @michaelmacha7033 Месяц назад +3

    Wa kwanza leo. Likes zangu

  • @juma6253
    @juma6253 Месяц назад

    Dorisi wa maneno ya kuambiwa na wa joti wakikutana lazima wazichape😊😊😊

  • @emmanuellabronde4647
    @emmanuellabronde4647 Месяц назад

    "Ndo ulikuwa utani wa mwisho"😂😂😂

  • @user-ir1cw9ev3v
    @user-ir1cw9ev3v Месяц назад

    😂😂😂😂 joti wee ni kiboko sana🎉🎉

  • @fabianclato3101
    @fabianclato3101 Месяц назад +1

    Natoa naweka 😂😂😂

  • @mayahkibwana9017
    @mayahkibwana9017 Месяц назад

    Hahahaaaaa😂😂😂😂 majungu camp nishai wana sio poa

  • @MagrethNyakunga
    @MagrethNyakunga Месяц назад

    Nishai mvaa shanga😂😂😂😂

  • @norbertlucas4144
    @norbertlucas4144 Месяц назад

    Huyu msenge mwenye shati ya draft anafaa kupigwaaa😂😂😂😂😂😂😂