Makonda kutatua kero zenye kesi Mahakamani, adai yupo tayari kupoteza chochote kwaajili ya Wananchi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Arusha paul Makonda amesema yeye na timu yake watasikiliza kero zote za wananchi wa Arusha hata kama kesi hizo zipo mahakamani kwa kuwa, wapo wanasheria aliowaandaa kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi hizo.
    “Hata kama una kesi mahakamani lakini huelewi mwenendo wa kesi unavyokwenda, inawezekana wewe ni masikini, mama mjane, mtoto au yatima nimekuandalia wanasheria bingwa tutakwenda nao mahakamani kutetea haki yako kwa hiyo usiogope,”amesema.
    Makonda amesema hayo leo Mei 8, 2024 kwenye kliniki ya kusikiliza kero za wananchi mkoani Arusha.

Комментарии • 45

  • @shariffsagaf2305
    @shariffsagaf2305 Месяц назад +5

    Hapo umesema mahakama inatusumbua sana

  • @deograsiasngailo4871
    @deograsiasngailo4871 Месяц назад +1

    Makonda hua ananimalizia sana bando langu aisee! Keep doing bro!

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Месяц назад +1

    Pambana Poul Makonda Mungu atakua pamoja nawewe Pambana Sana tena Pambana

  • @ananoel9530
    @ananoel9530 Месяц назад +3

    Safi sana bonge ya kiongozi

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Месяц назад +2

    Makonda watanzania wenye akili timamu tu Nakuombea kwa Mungu

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 Месяц назад +4

    Makonda Eeeh Wewe ni kiongozi wa kuigwa Mwenyezi Mungu akujalie afya njema Inshallah na Akuepusha na husda mbaya xa Watu ❤

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 Месяц назад

      Maomb yako kwa Mungu,yatasikiwa.. Nae Mungu atafanya k2 kwa ajil yake!

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 Месяц назад +3

    Wewe uliyeandika kichwa Cha habar unapotosha watu,Makonda hajasema hvyo

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Месяц назад +1

    Jamani Makonda nashindwa nikuombee Dua ipi mpaka chozi linanitoka Allah akuongoze

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 Месяц назад

    Safi sana makonda Mungu akubariki sana

  • @jacklinegasper1707
    @jacklinegasper1707 Месяц назад +1

    Mungu akulinde sana Mr makonda

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ubarikiwe mnooo

  • @KweliAdventure
    @KweliAdventure Месяц назад

    Hakika Tanzania mungu anatupenda na awape afya njema viongozi wetu wapendwa .GOD bless the world 🌎

  • @EliaMwamengo-uu6ky
    @EliaMwamengo-uu6ky Месяц назад +1

    Makonda mungu akulinde ndug yangu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 Месяц назад

    ❤❤❤❤Mungu akulinde akutunze na akuepushe na kila baya MAKONDA ❤❤❤

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 27 дней назад

    Mungu akubariki

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Месяц назад +1

    Mhe makonda atakae kuonea mungu amuone

  • @joshuanizigiyimana8409
    @joshuanizigiyimana8409 Месяц назад

    ❤❤ Makonda

  • @JoyceJames-bp6gq
    @JoyceJames-bp6gq Месяц назад

    Damu ya Yesu ikufunike Makonda

  • @user-yt2pf2hd2u
    @user-yt2pf2hd2u Месяц назад

    Jaman mimi namkubal sana makonda mungu akulinde choz langu la magufur limerud da kaz iendelee kiongoz wetu

  • @ThomasThomas-lk8ez
    @ThomasThomas-lk8ez Месяц назад

    Huyu ndo kiongozi sasa achana na hao wanaohtaji bumu litolewe😂😂😂

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Месяц назад +1

    Masaria ya magufuri bado yapo na husitawi siku hadi siku.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Месяц назад +2

    Ameanda wanasheria kusaidia wananchi ambao hawana uwezo kuendesha kesi kwahali hiyo anaheshimu mamlaka ya mahakama au mhimili wa mahakama

  • @user-gx4vx5ru2u
    @user-gx4vx5ru2u Месяц назад

    Ubarikiwe kiongozi mwema

  • @paschalmanumbu572
    @paschalmanumbu572 Месяц назад

    We muheshiwa naonavyowaliza watu, wanashangaa hawaamini kama kweli wanapata haki zao.

  • @KulwaJakutai
    @KulwaJakutai Месяц назад

    Nakukubali sana kaka ,we n mkomboz wa wanyonge

  • @MercyMwita-wx8hb
    @MercyMwita-wx8hb 7 дней назад

    Mweshiwa nashindwa la kufanya Niko nje ya mkoa naomba namba za mweshimiwa jamani nisaidieni

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz Месяц назад

    Mungu akutunze

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t 6 дней назад

    Samia muongee mshahala uyoo jamaaa

  • @gastonekivuyo3577
    @gastonekivuyo3577 9 дней назад

    Wakuu wa mikoa mingine wajifunze kwako kupiga wahuni spana..

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 28 дней назад

    Na uko mahakamani ndio kwenye dhulma kubwa kuliko sehemu zote mahukumu ya kipumbavu yamejaa uko

  • @user-pn5kp4rm2d
    @user-pn5kp4rm2d 28 дней назад

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 28 дней назад

    Hivi mikoa mingine hawana wakuuu? Wanafanya Nini?

  • @gastonekivuyo3577
    @gastonekivuyo3577 9 дней назад

    Wapige spana mkuu

  • @robertmhilu132
    @robertmhilu132 26 дней назад

    Ivi mikoa mingine hakuna kero mbona hatusikii au kuko shwari

  • @EliaMwamengo-uu6ky
    @EliaMwamengo-uu6ky Месяц назад

    Magufuli wapili huyoooo

  • @maliakishaushi9089
    @maliakishaushi9089 Месяц назад

    soko la kisongo limeenda na wajanja

  • @user-mp2sf5sm4o
    @user-mp2sf5sm4o Месяц назад

    Sasa wakuu wa mikoa awaonagi KERO zawatu kama makondo hajikutokea kama makondo na aliy happi

  • @Shebyboy-vw9rh
    @Shebyboy-vw9rh Месяц назад

    Mwandishi has unapotosha

  • @user-bv6mm5qk8n
    @user-bv6mm5qk8n Месяц назад

    ❤️🥱

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +2

    Muandishi unapotosha Tutakupiga pini hii chanal yako

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 Месяц назад +1

    Safisha police hasa upande wa arusha wilayani kuna shida sana hakuna kusaidiwa haki yako ni mateso ukifika hapo rushwa tupu

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 Месяц назад

    Jerry jifunze kwa makonda...anauelwa juu ya utawala wa sheria

  • @goshenieagleWOG
    @goshenieagleWOG Месяц назад

    Huo ni uchochezi kasema atatoa wanasheria kwa asiyeweza kuwa na uwezo wa cost kusaidia haki ipatikane wataenda hadi mahakan mnyonge mzee yatima mjane wasikose haki zao kisa kukosa malipo ya wakili wewe KICHWA CHAKO KIHABARI HUONI KAMA UNA NIA YAKUONYESHA KUWA MAKONDA ANANIA YA KUINGILIA UTENDAJI WA MAHAKAMA!!!!!!!!!

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 28 дней назад

    Bando likiisha, nipo tayari hata kukupa songesha.