"UMESOMA SHERIA CHUO GANI WEWE? MHAMISHENI KITUO - ANGALIENI UTENDAJI WAKE" - MAKONDA ACHACHAMAA....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 май 2024
  • "UMESOMA SHERIA CHUO GANI WEWE? MHAMISHENI KITUO - ANGALIENI UTENDAJI WAKE" - MAKONDA ACHACHAMAA....
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 605

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  22 дня назад +36

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @DORCUSSAZIA
    @DORCUSSAZIA 21 день назад +186

    Timu Makonda like zifike 500 hapa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 22 дня назад +316

    Kusikiliza bunge na makonda Bora kumsikiliza makonda

    • @user-kz1rx3rk1b
      @user-kz1rx3rk1b 22 дня назад +18

      Uhakika yaani umesema kweli

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t 22 дня назад +16

      😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉.sahihi kabisa uyu jamaa ata wamfiche wapi anajua tu tofauti na vibwengo wengine wa ccm

    • @paulsibu5770
      @paulsibu5770 22 дня назад +21

      Ni kweli kabisa Mungu amlinde huyu Mkuu wa Mkoa

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 22 дня назад +8

      Umesema kweri kabsa

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 22 дня назад +8

      Bira5Makonda na ALL HAPI

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 22 дня назад +102

    Ukitaka kuangalia mabaya ya mtu hakika hutapenda mazuri yake! So mazuri ya Makonda yanazika yale mabaya ambayo hua wanayasema kwake. Team Makonda mpaka fainali kombe la dunia 🎉🎉

    • @albertmbise2670
      @albertmbise2670 22 дня назад +1

      Ila ile ya kudhurumu haki ya kuishi watu hyo haiwezi futika

    • @DanfordSimon
      @DanfordSimon 21 день назад +3

      Woyooooooo mwamba uyu Apa

    • @J_Pabloescobar0806
      @J_Pabloescobar0806 20 дней назад +1

      🎉❤makonda jeshi🫡

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x 20 дней назад +1

      Watanzania tujitambue watu Kama makonda ni wachache,na Kuna watu pia hawapendi uchapaji kazi wa makonda.
      Leo sisi wote hatuujari kumaliza bandle juu ya kuangalia maana ni utatuzi wa kelo Ila ukisema naangalia hii ya mwisho inakuja nyingine Tena inahudhunisha zaid ya Ile .
      Tuombe uzima mungu baba amjalie afya mengi yatakwisha.

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 20 дней назад

      ​@@albertmbise2670huwezi ridhisha kila mtu na hakuna alie kamili sasa soma vizuri then ujibu

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 15 дней назад +6

    Tatizo sio kwa mwanasheria liko Kwa walochelewesha kujibu barua, mwanasheria ametekeleza wajibu wake. Lakini pia hapewi nafasi ya kujieleza

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 22 дня назад +140

    Naunga mkono hoja, ni bora kusikiliza makonda kuliko kusikiliza Bunge la Tanzania

    • @ChegeMsemakweli-cv4qb
      @ChegeMsemakweli-cv4qb 20 дней назад

      Aise umeongea point sana ndugu

    • @asunigohagi5177
      @asunigohagi5177 16 дней назад

      Bora makonda

    • @isayashayo4777
      @isayashayo4777 16 дней назад

      Na leo Kuna mgeni alikua nje ya bunge anaitwa mdoli bora nimpongeze Raisi kwa kutuletea makonda arusha

    • @DM.2200
      @DM.2200 8 дней назад

      Bungen kuna futuhi na ze comed sa iv 😂😂

    • @mohamedkindem843
      @mohamedkindem843 4 дня назад

      Good

  • @DaudKoroso
    @DaudKoroso 3 дня назад +3

    Vizuri kabisa.
    Gonganisha magari boss tuone ajali

  • @deniskimune5232
    @deniskimune5232 22 дня назад +44

    ongera, sana mr makonda, hii nchi inahiyaji people kama wewe..Mungu akulinde

  • @PacohMedia
    @PacohMedia 22 дня назад +83

    Gonga like kwa Makonda wakeee.....

  • @davidkimani4391
    @davidkimani4391 22 дня назад +49

    Chapa kazi makonda..viva viva

  • @PendoPatrick-eo5ej
    @PendoPatrick-eo5ej 12 дней назад +2

    Ukipata kiongozi mwenyewe hofu ya mungu ni raha sana hongera mh makonda na mungu azidi kukuongoza Tz tunakuamini sana❤️

  • @goodwellmutambo7607
    @goodwellmutambo7607 22 дня назад +31

    Bora kusikiliza MAKONDA siyo bunge

  • @theresiajames994
    @theresiajames994 2 дня назад +1

    Mungu mwepushe Makonda na kilalilo baya endelea kumpa Afya njema azidi kuwasaidia Wa Tz Hongera tena Baba unafaaaa. Kuwa Rais baada ya mama yetu Samia

  • @khalifmohamed7303
    @khalifmohamed7303 14 дней назад +2

    I really enjoy how the region commissioner of Arusha Tanzania is dealing with domestic issues bonkezi bwana mkuu, I also congratulate the president suluhu Hassan to have such a competent provincial commisser, I wish we Kenyans learn from this

  • @user-fo9cn6kx1s
    @user-fo9cn6kx1s 22 дня назад +22

    Mungu baba tunakuomba Mlinde kiongozi wetu paul makonda,,,

  • @user-tm3dx2ey7j
    @user-tm3dx2ey7j 22 дня назад +30

    Mama Samia Kwa uteuzi wa makonda mungu amekuongoza Arusha wanabahati kumpata

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 14 дней назад +3

    Makonda Mungu akupe maisha marefu kumbe Mungu bado anawatuwake ambao wanapande haki

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 22 дня назад +26

    Jamaa anendesha Kwa mabadiliko ya wakati uwazi na ukweli Moja ya misingi ya utawala bora

  • @edwinmanji74
    @edwinmanji74 22 дня назад +47

    Arusha Mmebarikiwa sana kumpata huyu Jamaa mtumieni vizuri na kumpa ushirikiano ni kiongozi wa pekee sana ambaye yupo tayari kuthubutu hata kuutoa uhai wake kwa kutetea wanyonge

  • @chriseskibet718
    @chriseskibet718 21 день назад +22

    Kwa kweli mungu ni mkubwa sana,baada ya mwalimu Nyerere,sokoine na Dr magufuli wote kuondoka sasa mungu ameleta marejesho ndani ya taifa la Tanzania.... mungu akulinde ndugu makonda RC Arusha.

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 22 дня назад +21

    Kuogo au kumskiliza makonda .....kwa mm bora nimskilize makondaaaaaaaa❤❤❤❤

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 22 дня назад +34

    Siyo kila mkuu wa mkoa anaweza kufanya kama makonda.makonda anavitu vingi sana,anajua sheria,anaakil kubwa,anahofu ya mungu,hamwogopi mtu,anajiamini,hanarushwa,hababaishwi na mtu au kitu.anajua anacho kifanya,anajua cheo chake na mamlaka na zaidi.

    • @banguha
      @banguha 21 день назад +6

      Mungu akiwa upande wake hakuna aliye juu yake

    • @egonemmanuelkudaba4945
      @egonemmanuelkudaba4945 20 дней назад +3

      Makonda anatambua majukumu yake wengine wanawaza rushwa so kuiona haki ya mtu ni ngumu

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 дней назад

      @@egonemmanuelkudaba4945 nikwel

  • @consesaphelician9266
    @consesaphelician9266 21 день назад +20

    Dah
    Makonda Mungu akulinde Daima

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 22 дня назад +41

    Magufuri huyoooooooo 2030

  • @annamwalongo1554
    @annamwalongo1554 17 дней назад +2

    Ukiangalia vile mikoa mingine ilivyo na utulivu viongozi wanaonekana kweny picha hawaendi mitaani utasema Kuna usalama kumbe wananchi hawana pa kusemea...Na Mh Makonda akikanyaga tu mahali unasikia matukio ya ajabu yamekaa miaka bila utatuzi swali la kujiuliza waliokuwepo kabla walikuwa wanafanya nini?hawakuyaona hayo??MUNGU akulinde MH MAKONDA

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 15 дней назад +2

    Mungu asaidie! Watumishi wa umma (Viongozi) wengi hawajiamini kabisa ma wana hofu kubwa wazungumzapo mbele ya Wanasiasa. Sijui shidani!

  • @user-rn4ue9kg9d
    @user-rn4ue9kg9d 17 дней назад +3

    Kiukweli sisi binadamu tunafurahia sana mtu kupata matatizo😢

  • @alfredmwamodo1508
    @alfredmwamodo1508 17 дней назад +2

    Sawa mzee mm niko kenya na ni mkenya lakini MUNGU akubariki sana. Kwa haki unayoitetea kwa wanyonge na wanoonewa ...

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 22 дня назад +4

    Makonda akiitawara hii nchi , atafanana na jpm m namwombea mungu amupe uongoz na amlinde na wabaya

  • @theresiajames994
    @theresiajames994 2 дня назад

    Mh: Mungu akubariki na kukulinda hakika unafanya kazi pongezi kwako Bab.

  • @SaedyAhmed
    @SaedyAhmed 19 дней назад +6

    Kwenye hii nchi TUNGEPATA MAKONDA 10 TU INGEKUA vizuri

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 22 дня назад +9

    Mh Makonda, Mh Jerry Silaa, Mh Anthony Mtaka na wengine kama hawa, mara nyingi wako field, wanashuka kwa wananchi na kutatua kero za wananchi haswa wa chini, imekaa vyema kama kiongozi kiwasukiriza na kutatua kero za wananchi

    • @beatrice4780
      @beatrice4780 14 дней назад +1

      Naam. Hii ni orodha ya Matumaini kwa CCM, na ndiyo ingetakiwa kusaidia kumshauri Mhe. Rais masuala ya siasa, maendeleo ya nchi na wananchi pamoja na siasa ya uchumi.

  • @dorotheamethod347
    @dorotheamethod347 21 день назад +19

    Mungu Akubariki Sana Mhe. Nchi hii inahitaji watendaji kama wewe. Mungu Akubariki nasi atusaidie kuendelea kutumikia wananchi. Huwa natazana video zako namtukuza Mungu ❤

  • @TishaniUlanga-bj3nx
    @TishaniUlanga-bj3nx 18 дней назад +5

    Ivi viongozi wengine wanashindwa kujifunza kwa huyu kwamba??

  • @CathyMathias-bx4ft
    @CathyMathias-bx4ft 12 дней назад

    Mungu ni mwema kwakweli ccm nitaipenda sasa kwakweli viongoz wengi fisaidi hawatendi haki ,,, mungu ampe umri mrefu makonda ❤❤

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 21 день назад +7

    Ahsante mh makonda hiki kinachoendelea Arusha kwa mtazamo wangu kinawaamusha wanasheria wote Halmashauri zote nchini kutimiza wajibu wake

  • @mbaralifinest6235
    @mbaralifinest6235 22 дня назад +6

    Tunakuombea kwa mungu makonda mungu azidi kukulinda juu ya wabaya wote wasikufikie. Nipo mkoa wa mbeya wilaya mbarali ninakupenda sana kwa kazi unayo wafanyia wanyonge mungu atakulipia zaidi na zaidi

  • @shalizybety9320
    @shalizybety9320 22 дня назад +11

    Yeye ndo mkuu wa mkoa kila kitu kiko chini yake... Yaan ndo raisi wa hapo... Hongera sana mkuuu

    • @ramadhanmussa1309
      @ramadhanmussa1309 11 дней назад

      Yeye Makonda ndiye Bos wa mkoa anashindwaje kukaa na hao watendaje wa halmashauli wote wapo chini yako unashindwaje kutafuta namna ya kulipa haya malipo yaliyo amĺiwa na mahakama.

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 15 дней назад +1

    Nimeona role ya Tanganyika Law Society katika kutetea Wananchi Wanyonge.....Congratulations pia kwako Makonda

  • @yonnamgonde3044
    @yonnamgonde3044 22 дня назад +4

    Makonda unanipa Raha sana namuona magufuli yupo hai kwa kazi unayo ifanya Mzee

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 22 дня назад +11

    Mungu mlinde Paul makonda

  • @ezekielmwasenga4640
    @ezekielmwasenga4640 17 дней назад +1

    wWana Arusha mmepata bahati kumpata huyu jamaa,,Makonda M/Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 22 дня назад +15

    Akika makonda katika teuzi za mama ih ndo namba moja Asante mama

  • @aminashayo9263
    @aminashayo9263 19 дней назад +5

    Mtumishi wa Mungu Paul Makondo huko Arusha ukifikisha mwaka mmoja utakua umezeeka, yani umechokaa mwili na roho mana kesi ya mtu mmoja tu ina songombingo za kutosha, ila tunakuombea endelea kumuwakilisha Mheshimiwa mama kipenzi cha wengi Samia bint Suluhu wa Hassan, pambana kitaeleweka na Bwana Yesu hatakuacha atakuatia nguvu, endelea kuwa karibu na Mungu maana mkoa kama huo bila Roho wa Mungu huwezi chochote,

    • @AvitElia-nw1lu
      @AvitElia-nw1lu 17 дней назад

      Wewe Samia hamna kitu hapo

    • @staralive9260
      @staralive9260 15 дней назад

      Katika Yesu hawezi kuzeeka hasa ukiwasaidia wananchi wa hali ya chini

  • @dorcasdavid2247
    @dorcasdavid2247 22 дня назад +1

    Mungu Naomba Mlinde sn Paul Makonda,Ananifurahisha sn Kwa Utendaji wk wa Kazi,Mama Samia Mungu Amekuonyesha kuwa Paul Makonda ni Kiongozi Bora na Mcha Mungu.

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 19 дней назад +3

    Ukishaulizwa umesoma chuo gani bas umeshaaibishwa funika uso😂😂😂

  • @agnessslaa1897
    @agnessslaa1897 10 дней назад +1

    Arusha mambo ni🔥🔥🔥sahii msinishawishi kurudi huko😚

  • @sandpardegera7246
    @sandpardegera7246 8 дней назад +1

    Ila kwa nn hajapenda kumsikiliza mwanasheria wa halmashauri

    • @yohanasport5929
      @yohanasport5929 4 дня назад

      Aeleweki ndomana hatumsikilizi mwanasheria

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k 21 день назад +3

    Mimi viongozi wangu, (1) mama yangu mdogo samia suluhu hasani(2)zito kabwe(3)makonda(mkuu wa mkoa),jeli silaa (wazili) (4)Allyi hapi,❤❤❤❤❤

    • @GodfreySanga-fp3yi
      @GodfreySanga-fp3yi 19 дней назад

      Mtoe zitto ndugu

    • @user-bc2wd1sq3k
      @user-bc2wd1sq3k 19 дней назад

      @@GodfreySanga-fp3yi hapana zitto ni nikiongozi nijasiri,ni mbunifu,ni mjuzi, ni mzalendo,wa kigoma yangu,tanganyika yangu,tanzania yangu,na ZANZIBAR, Hana ubaguzi hata kidogo

    • @user-bc2wd1sq3k
      @user-bc2wd1sq3k 19 дней назад

      @@GodfreySanga-fp3yi hapana zitto ni nikiongozi nijasiri,ni mbunifu,ni mjuzi, ni mzalendo,wa kigoma yangu,tanganyika yangu,tanzania yangu,na ZANZIBAR, Hana ubaguzi hata kidogo

  • @richardsarunoy4462
    @richardsarunoy4462 2 дня назад

    Kiukweli unanikosha Mkuu wangu wa mkoanakukubali sana sana

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 4 дня назад +1

    Kweli kabisa,Hapa kazi tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 22 дня назад +38

    Yafaa ma Rc na ma Dc wengine wangemuiga makonda mambo yangenoga,kujifunza kwa mwengine haina ubaya.

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 21 день назад +3

      Hata Hayati JPM aliwahi kusema wakuu wa mikoa wengine wajifunze kwa Makonda

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 21 день назад +4

      Kwa roho zao mbaya hawawezi kumuiga huyu mwamba

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 дней назад +2

      Mimi nimesha jifunza mengi kwa makonda.mimi ni kiongozi mdogo kwenye kikundi flani,nitatumia mtindo wa makonda kutatua.

    • @babuukimario6146
      @babuukimario6146 8 дней назад

      Hizo akili wanazo?

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 8 дней назад

      Yawezekana mishahara ya wakuu wa mikoa wengine nimidogo

  • @JanetAlex-yw2hc
    @JanetAlex-yw2hc 19 дней назад +3

    Napenda kusikiliza makonda kuliko mbunge

  • @user-uw1fs5mj9l
    @user-uw1fs5mj9l 18 дней назад +1

    Namshauri mama samia avunje bunge ,lingine lianze la Makonda tuu,na wananchi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 15 дней назад

    Mungu akulinde Makonda,yacje kukuloga,Mungu ni mkubwa kuliko mchawi

  • @annamwalongo1554
    @annamwalongo1554 17 дней назад

    Wakuu wa mikoa yote na viongozi wa halmashauri nchini wangefanya kazi kama Mh Makonda tungekua mbali sana na viongozi wa juu wangekuwa na kazi nyepesi ktk utekelezaji wa majukumu.Mungu ibariki Tanzania!!!

  • @reveliusmuchruza7952
    @reveliusmuchruza7952 22 дня назад +6

    Kesi ikiwa na personal interest inaharibika .

  • @abdallahbashiru1152
    @abdallahbashiru1152 17 дней назад

    Mungu akulinde sana Makonda wakuu wa mikoa wengine wafunguke kutetea haki za wanyonge

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 18 дней назад

    Ashukuriwe Mungu kutupatia Magufuli na badae kumchukua nakumrejesha mavumbini nakutuachia Mama Samia kiongozi Mkuu wa Tanzania Nakumuona Makonda anafaa kurudi kuwa kiongozi na Wazir Slaa Mungu mpe Mama Samia maisha marefu na asishauriwe vibaya juu ya Makonda na Slaa

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 22 дня назад +4

    Yaani hawa wafanyakazi wa serikali ni majambazi sugu ni kwamba tu hawatumii bunduki wanaudhi sana na waniabisha nchi yetu nzuri ni majizi sana hawamwogopi hata Mungu
    Tunaomba wakutane na nguvu za Mungu wanawates sana wananchi

    • @GodfreySanga-fp3yi
      @GodfreySanga-fp3yi 19 дней назад

      Na huo ndio msiba mkubwa nchini Kuna kamoja kigoma pale halimashauri dogo hata hajui kujichamba hovyo sana anapenda rushwa kuliko kupenda wazazi wake we acha tu

  • @misifaskills745
    @misifaskills745 16 дней назад

    Namuona mbali sana huyu Mh makonda ana mazuri mengi arusha hongereni kupata kiongozi mweny msimamo na maamzi hajali kuhusu kazi yake kuwa rehani anacho jali ni haki kutendeka bila kujali ni upande wa serkal au wananchi mradi tu kuna haki wapo viongozi wetu wengi serkalini hawawezi kuwa na maamzi na msimamo na ndo waliotufikisha hapa hata wananchi kuichukia serkali wapo kwa ajili ya kuwaonea wanachi wanyonge.

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 22 дня назад +7

    Hawa ndio viongozi tunawataka nchi hii,,, lakin wanapigwa majungu balaaa Mungu tu anawasimamia

  • @emmanuelakutulaga9756
    @emmanuelakutulaga9756 16 дней назад

    MUNGU AKUBARIKI SANA MAKONDA....live long.

  • @pastoryussuphhussen3162
    @pastoryussuphhussen3162 4 дня назад

    Mh Makonda uko vizuri, nakuombea

  • @sallynakey_tz
    @sallynakey_tz 22 дня назад +16

    MAKONDA MUNGU AKUWEKE SANA DUNIANI

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 22 дня назад +2

    Lema Bado unamashaka na mheshimiwa MAKONDA???
    Lema tuliza boli!! Huyu mheshimiwa siyo saizi Yako kabisa

  • @luganokitangalala1757
    @luganokitangalala1757 12 дней назад +1

    Siasa mbaya sanaa.. uyu dada anakuwa humiliated kwa sababu za kisiasa... Mwanasheria wa harmashauri hana locus mahakamani yeye anapeleka suala kwa Mwanasheria mkuu wa Serikali sasa yeye kosa lake nini?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 12 дней назад

    saaafi sana Makonda kwa kweli unajitahidi sana kutetea wanyonge kwa wewe ni Magufuli mdogo

  • @JemaElia-np6yi
    @JemaElia-np6yi 22 дня назад +3

    mungu mjaalie afya njema makonda

  • @alfambeya5379
    @alfambeya5379 17 дней назад +1

    Sema makonda unafanya KAZI nzuri....lakini hapo hujampa huyo dada kumsikiliza vizuri maamuzi ya haki zaidi inabidi angesikilizwa hyo dada Hadi mwisho na sio kumkatisha katisha...japo watendaji wanazingua sana

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 21 день назад +14

    Siko salama nikitoka hapa nisikilize ,nani kaona hilo bango like tujue

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 22 дня назад +1

    Good leader your blessed sir

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 13 дней назад

    Thank you so much ,Mpenda haki Dr.Paul Makonda. USIOGOPE. Asema Bwana.

  • @annavinkumbu1954
    @annavinkumbu1954 22 дня назад +7

    Dar kiongozi hii nchi jamani tungekuwa na viongozi wa namna hii Raisi asingekuwa na kazi kubwa endapo watenda kazi wake wangaekuwa kama hivi na chama chetu tawala CCM kingependwa na watu wote watu hawakichukii chama Bali wanachukiwa viongozi ambao hawajali Haki ndo wanaopelekea kukichukia chama hii ndivyo inavyohitajika Ili Haki ipatikane. Uonezi umezidi mno na UMUNGU MTU.

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 10 дней назад

    Mungu akulinde wewe nizaidi ya Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  • @ramonlinechannel1282
    @ramonlinechannel1282 17 часов назад +1

    Sikunyingine makondq atoe nafac ya mtu kuongeaa bc mana pia anahaki ya kusikilizwa...

  • @ankotemba7369
    @ankotemba7369 2 дня назад

    Apate tuu cheo cha mkuu wa wakuu wa mikoa wote😂😂😂😂❤❤

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 11 дней назад +1

    Huyu Makonda ufahamu wake ni mkubwa sana. Wanaombeza ni hofu ya kuwa "challenged".

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 22 дня назад +2

    Anagonganisha magari halafu tuangalie ajali iko wapi tunyooshe magari yaliyo pinda kazi iendelee safi sana makonda

  • @antonmataba106
    @antonmataba106 22 дня назад +6

    Piga kazi kaka wapiganie wanyonge mungu atakulipa hakika

  • @SamwelTaraiya
    @SamwelTaraiya 16 дней назад

    Huyu ndio kiongozi nakuombea kwa mwenyenzi mungu kukujalia afya njema siku moja uchaguliwe kuwa Rais wa tanzania

  • @VictoraloyceIsaya
    @VictoraloyceIsaya 9 дней назад +1

    Sheria inasema endapo utachelewa kukata rufaa nje ya mda utatoa sababu ya kwanin ulichelewa makonda jaribu kumsikiliza huyo mwanasheria wew haujui sheria

  • @iddymtambo7186
    @iddymtambo7186 20 дней назад

    Mungu mlinde huyu kiongozi maana is Best leader

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 18 дней назад +1

    Waliozaliwa miaka 1982 sisi uwaga ni hatari kinauma mtu boya gonga like kama unamkubari kijana Makonda

  • @user-gz2sr2xf9w
    @user-gz2sr2xf9w 18 дней назад +2

    Arusha watanyooka😅😅😅😅 piga kazi baba hadi vibaka wanawaza itakuaje😅

  • @SelestineJeromeMfoi
    @SelestineJeromeMfoi 11 дней назад

    Hongera kiongoz chapa kazi mtangulize mungu mbele

  • @masuzahMkumbo-vs6ng
    @masuzahMkumbo-vs6ng 6 дней назад

    MAKONDA BABA U MTETEZI WA WANYONGE , MUNGU AKUBARIKI SANA SANA.

  • @hassanimzungu765
    @hassanimzungu765 18 дней назад

    Dah makonda🔥🔥 mungu mlinde kijana huyu ni msaada mkubwa xn kwa wanyonge

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 22 дня назад +4

    Magufuli amekufa lakini matendo yake yanaishi ,roho yake inaishi ,waaina kama makonda wapo wengi tu kama kina mpina nawengine

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 22 дня назад +14

    Mimi nalia na samia kukuondoa usemaji wa chama wangeyooka nchi mzima mabazirifu wa masikini 😂😂😂

    • @josephmasele9016
      @josephmasele9016 21 день назад +1

      Ilibidi nikwaajili ya hili na hapo atahamishwa atapelekwa kwenye mikoa mingine yenye utata

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 14 дней назад

      Kwel kabisaa

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 22 дня назад +10

    Makonda wewe ni jembe la mama kanda ya KASKAZINI mama hajakosea kukupereka ubalikiwe sana Uinuliwe sana

  • @user-zx3he3lp3o
    @user-zx3he3lp3o 14 дней назад +1

    RC MAKONDA KALIBU ARUSHA JIJI LA UTAPELI WADUDU

  • @Jonathan-gf9lj
    @Jonathan-gf9lj 19 дней назад +1

    Ndugu yangu Makonda usiogope hakika siyo wewe ila ni Mungu anayekufunulia hayo yote uyatendayo na uyasemayo wewe

  • @fortunatusdaud4237
    @fortunatusdaud4237 16 дней назад +1

    Hii nchi ina maigizo sana 😂

  • @juliethmziray
    @juliethmziray 16 дней назад

    Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo jambo hongera comred Makonda❤❤🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @user-ze8dy1bk7p
    @user-ze8dy1bk7p 18 дней назад +1

    Barikiwa sana kaka.

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 22 дня назад +3

    Yaani mkuu Wa mkoa arusha wanaajiriana kinduguu tembelea halmashauri zote utagundua hili tatizo

  • @grammsonbakaza9092
    @grammsonbakaza9092 20 дней назад +1

    Makonda awabananisha sana , piga kaz bro

  • @alexmottielitetv361
    @alexmottielitetv361 22 дня назад +4

    Arusha wanaenjoy

  • @michaelmwakisambwe509
    @michaelmwakisambwe509 20 дней назад +1

    Arusha imekuwa kubwa kuliko tanzania. Fanya kazi kaka makonda na Mungu atakupa unachostahili