KIJANA MLEMAVU WA MIGUU ALIYEWEKWA NDANI AFUNGUKA KUDHULUMIWA, MAKONDA AMPA MILIONI 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2024

Комментарии • 254

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 месяца назад +24

    WASUKUMA wanahuruma sana kwakwel,🔥🔥

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 4 месяца назад +1

      Wanahuruma na wakarim Sana wasukuma halafu wasafi Sana

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 4 месяца назад +20

    Mtu muhimu sana kwenye hili taifa.Mkuu Paul Makonda.Nakuombea kheri napia ulinzi wa MWENYEZI MUNGU wakati wote

    • @YakoboLohay-cs8jn
      @YakoboLohay-cs8jn 4 месяца назад

      Po
      O

    • @FikiriMloka-ft3yf
      @FikiriMloka-ft3yf 3 месяца назад

      Huyu ndiyo rais mtarajiwa 2030

    • @jogoomohamed2652
      @jogoomohamed2652 3 месяца назад +1

      @@FikiriMloka-ft3yf Hakika tukifanikiwa napia baraka zake MWENYEZI MUNGU huwa zinafuata sehemu zenye maombi ya wengi.Naamini 2030 Mkuu Paul Makonda yatatimia

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 4 месяца назад +32

    Makonda umenikumbusha magufuli unahuruma mungu akujalie

  • @bahatigewa4163
    @bahatigewa4163 4 месяца назад +12

    Makooooondaaaaa mungu akupe maisha marefuuuu

  • @HussainMaula-mw8vz
    @HussainMaula-mw8vz 4 месяца назад +14

    Kweli angeweza kua omba omba mungu akubariki makonda na sisi watanzania tupo pamoja na nyinyi ktk ujenzi wa taifa.

  • @user-nb2ez3bj3v
    @user-nb2ez3bj3v 4 месяца назад +8

    Mungu akuzidishie kaka Paul makonda

  • @aishamzeehamissi6859
    @aishamzeehamissi6859 4 дня назад

    Makonda na slaha 1wa Ardhi mungu awawekee mamasamia twataka watu kama hawa watetezi allwaa atawalipa na Rais wetuu

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 4 месяца назад +10

    Makonda kwenye utendaji na maamuzi yupo vizur

  • @mputaostin3077
    @mputaostin3077 4 месяца назад +2

    KAKA makonda Mungu AKUBARIKI sana kwa haya unayoyatenda. Nakukumbuka ulimsaidia Pascal cassian.

  • @IbrahimDavid-yn1gl
    @IbrahimDavid-yn1gl 4 месяца назад +3

    Makonda Mungu akubariki saaana endelea katika zamu hiyo ni nafasi yako umewekwa na Mungu ,Mungu ibariki Tanzania na viongozi wetu wote.

  • @GervasiMwacha
    @GervasiMwacha 4 дня назад +1

    Safi sana kiongozi.

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 4 месяца назад +12

    Unamuweka mpaka ndani mlemavu kisa kudai haki yake imeniuma sana😢

  • @user-km1gv2kr6w
    @user-km1gv2kr6w 4 месяца назад +4

    Bora umerudi makonda niliomba mungu sana urudishwe

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk 4 месяца назад +7

    Amen Mungu Amtangulie

  • @SophiaKaaya
    @SophiaKaaya 6 дней назад

    Makonda mungu akulinde uwanyooshe walioshindikana hawo ni zaidi ya majambazi

  • @perfectark6292
    @perfectark6292 4 месяца назад +9

    Mungu Amupe roho ya rais aliyopit Magufuriiii

    • @raymondnlelwa427
      @raymondnlelwa427 4 месяца назад

      Lakini pesa hizi za kugawa kama njugu zinatoka wapi kwani?

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 4 месяца назад

      ​@@raymondnlelwa427acha wivu kutoa ni moyo hata waweza kusaidia !!!cha muhimu amesaidika

  • @hassanalshaqsi6707
    @hassanalshaqsi6707 4 месяца назад +3

    Good work brother MAKONDA Your the best

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 11 дней назад

    Makonda ni kiongozi naiona picha ya magufuli napomtizama mh.makonda namna anasikiliza shida za watu nakuzfanyia kazi mwenyezi mungu amubaliki xna

  • @laurugumba4441
    @laurugumba4441 Месяц назад

    Makonda mungu akulinde na akutunze binafsi unanikosha sana kwa kazi unayofanya wewe ni mchapakazi mungu atakuinua viwango vingine vya juu zaidi 🎉🎉🎉🎉

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 4 месяца назад +6

    Piga salute dadadekiiiiiiii
    Heko makonda

  • @alisonikihedu9614
    @alisonikihedu9614 4 месяца назад +3

    Makonda mbona unaniweka njiapanda kunamda naichukia ccm lakini nikkuona roho yangu inatulia sababu ninaona nuru

  • @JAPHETHDauson
    @JAPHETHDauson 9 дней назад

    Mungu akulinde kilasilaha itakayo imuka juu Yako isifanikiwe

  • @user-om5go9nj6n
    @user-om5go9nj6n 4 месяца назад +2

    I wish even kenya tukuwe na mtu kama uyu.
    I can see this guy to be the president one day.

  • @ShamsaNassoro-zm8yo
    @ShamsaNassoro-zm8yo 13 дней назад

    Mungu akubariki makonda

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 4 месяца назад +9

    mwaka ntakaonskia makonda anagombea uraisi hapa tz kula yakwanza yakwangu

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 4 месяца назад +2

    Metaphorically namuona mama samia alikua amekaa kinyonge sana watu wanamchukulia poa ghafla akasema mnanijua kwel?? Akatoa AK47 akafyatua risasi, ile risasi iliyotoka pale is MAKONDA. GOD BLESS THIS MAN

  • @songeza
    @songeza 3 месяца назад

    Yaani Makonda Mungu akubariki tena akuzidishie umri mrefu uishi usaidie wanyonge vaa kwa nguvu zote viatu vya hayati mpendws wetu Magu tunamkumbuka hasa nawe unapochukua hatua zake dah

  • @user-og9jt3mg4c
    @user-og9jt3mg4c 4 месяца назад +2

    Mungu akubariki sana kwa kumpa mtaji huyo kijana

  • @mussashemganga5803
    @mussashemganga5803 4 месяца назад +1

    Mungu akuongoze kaka kwenye safari zako nalufia tena huna kaka ukifa huozi mkuu

  • @AbubakaryOmar
    @AbubakaryOmar 14 дней назад

    Wasukuma wanahofu ya. Mungu hongeren mlojaliwa

  • @JAPHETHDauson
    @JAPHETHDauson 9 дней назад

    Kabisa kama Mungu Aishivyo

  • @giffttymlemwa4523
    @giffttymlemwa4523 19 дней назад

    God bless ....

  • @NeemaMgoli
    @NeemaMgoli 12 дней назад

    Nimekupenda. Bule makonda

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 4 месяца назад +2

    Makonda Katibu Mkuu mpya wa ccm muwe pamoja na kina mchengerwa musifarakanishwe

  • @saeedally268
    @saeedally268 4 месяца назад +10

    Makonda anafaa kuwa rais haswaa anapiga kazi kweli kweli

    • @EzraStephano-lp6qr
      @EzraStephano-lp6qr 4 месяца назад

      Hakika tunaitaji viongozi kama Hawa kwenye taifa letu.

  • @selemanikilupy1468
    @selemanikilupy1468 4 месяца назад +4

    Mimi Toka najuwa masuala ya siasa watu wangu ndani ya Ccm ni wawili tu KANGI & MAKONDA

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 месяца назад

      Makonda sawa lakini Kagi yule mwizi pale Magereza.

  • @NeemaMassawe-qg6kf
    @NeemaMassawe-qg6kf 9 дней назад

    Makoda umekua hodar sana baba munqu akulinde

  • @dottothomas-je6jk
    @dottothomas-je6jk 7 дней назад

    Jaman utu hatuna tena ee mungu agalia watu wakoswa marifaa

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 4 месяца назад +2

    Hakika makonda nimaraika ajae💪🙏🤝✍️

  • @user-xl7tb9xr9t
    @user-xl7tb9xr9t 4 месяца назад +6

    Kaka paul may God bless you ❤continue

  • @LawrenceMndimba
    @LawrenceMndimba Месяц назад

    Very nice

  • @user-nl6yv2rb9g
    @user-nl6yv2rb9g 3 месяца назад

    Amina

  • @AhlamKilema
    @AhlamKilema 26 дней назад

    Mungu hakubariki...makonda

  • @user-nz6pj6gp7z
    @user-nz6pj6gp7z 4 месяца назад

    Maa shaa Allah❤ good job bro makonda

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 4 месяца назад

    Makonda, Mungu akukumbuke na wewe kwenye shida zako🤲

  • @PaulinaNangu
    @PaulinaNangu Месяц назад

    Mh makonda karibu na kwetu

  • @user-bt7ee4up1v
    @user-bt7ee4up1v День назад

    Naiona roho ya magufuli ndani ya makonda

  • @WinifridaJonathan-cq2nw
    @WinifridaJonathan-cq2nw 17 дней назад

    Makonda Mungu akulinde sana hatutaki maumivu tena angalau unatupunguzia ule uchungu moyon😢😢

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 12 дней назад

    Safi sana

  • @user-nv9jn7xc4f
    @user-nv9jn7xc4f 4 месяца назад

    Safi brother makonda

  • @bahatigewa4163
    @bahatigewa4163 4 месяца назад

    Mungu amjalie kheri raisi wetu samia suluhu, mungu akujalie kheri dume la madume paul makonda

  • @esterelias8137
    @esterelias8137 4 месяца назад

    Nakupenda baba makonda fanya kazi

  • @JohnGamma
    @JohnGamma 4 месяца назад

    Mungu akufany uishi milele

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r 4 месяца назад +1

    Baba mungu akubariki sana yani naomba mungu mwaka ujao ugombanie urais

    • @AllyGibu-cz2vo
      @AllyGibu-cz2vo 4 месяца назад

      Urais atagombea Samia akitoka madarakani hawezi kugombea na bosi wake

  • @alfredmhana235
    @alfredmhana235 4 месяца назад

    Mungu akusaidie kamanda makonda.

  • @mediavumbi9243
    @mediavumbi9243 4 месяца назад

    Mubarikiwe sana

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 4 месяца назад

    Mungu akubariiki kaka

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 4 месяца назад

    Ubarikiwe Makonda

  • @queenmunny244
    @queenmunny244 4 месяца назад

    Mungu akubarik ❤❤ baba

  • @bahatibushiri1610
    @bahatibushiri1610 4 месяца назад

    Daaaah makonda ubarikiwe❤❤

  • @charlesdaffa-hk9cd
    @charlesdaffa-hk9cd 2 месяца назад

    Safi sana Young Magufuli

  • @muna1165
    @muna1165 4 месяца назад +4

    Daaa makonda mungu akubariki sana

  • @issasefu5299
    @issasefu5299 4 месяца назад

    Mungu akubariki kaka ❤

  • @user-fu9ef1qf8z
    @user-fu9ef1qf8z 4 месяца назад

    Mungu akubaliki makonda pia niombe upite na kwenye wiraya ya ukerewe please mweshimiwa

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 4 месяца назад

    Apewe ulinzi 😢 masin dah mwenyenzi mungun akuzidishie huruma na wanyonge

  • @user-vb5ci7io5s
    @user-vb5ci7io5s 4 месяца назад

    Namuona magufuli karud ndan ya NCHI yetu Asante mungu

  • @user-ef6ts8ro7r
    @user-ef6ts8ro7r Месяц назад

    Dah wasukuma wana huruma sana

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 4 месяца назад

    Asante kak

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 4 месяца назад +1

    Kilema mnamuweka ndani hamna huruma 😢

  • @DaynessSteven-yr4ud
    @DaynessSteven-yr4ud 4 месяца назад

    Da huu moyo nizaidi ya mioyo hongera kaka

  • @lokendomneni7045
    @lokendomneni7045 4 месяца назад

    God bless you Makonda

  • @user-qo8qy8zv1f
    @user-qo8qy8zv1f 4 месяца назад +1

    Wakati unapitia pitia mapito nilikuombea Sana Makonda,nilimlilia MUNGU Sana hata kuwaambia baadhi ya watu. Leo namfurahia MUNGU alivokuinua akajibu maombi yetu. Kumbe MUNGU alikuwa anakutafutia nafasi na kukuepusha na mengi

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 3 месяца назад

    Kwa tunao ona kuwa kazi inayofanywa na ndugu yetu ni njema na yakutia moyo wanyonge!! Japo wanafikiwa wachache!! Kwanini tusimuombe kuungana nae kwa kuunda japo ka group!! Kwaajili ya kuunga mkomo anachokifanya!! Kwana huo ndio mpango wa mungu!! Kuchukuliana kwa taabu zetu!! Kuna ndugu zetu wengi wanapitia magumu sana!! Tushiriki japo kwa kidogo tunachopata!! Wazo tu!!

  • @user-ml2ff8fr3c
    @user-ml2ff8fr3c 3 месяца назад

    Karibuni chusifunitures tunachonga vitu imara ubora wa Hali ya juu

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 4 дня назад

    Makonda wabeja Sana wakoramuno

  • @user-sc4sp6ko2s
    @user-sc4sp6ko2s 4 месяца назад +1

    Kaka makonda Mungu akuongoze kiongozi wetu

  • @teadaudi874
    @teadaudi874 2 месяца назад

    Mama yupo kazini

  • @mussamdoe4619
    @mussamdoe4619 4 месяца назад +1

    Mkuu Mr mackonda ujio wako wakuja Tanga tunakuomba fika wilaya ya korogwe Kijiji Cha mazinde Kuna shida nyingi zinasababishwa na diwani Kuna lushwa imekisiri Kila upande juu ya diwani malalamoko mengi yanamhusu njoo tufunguke ujiskilizie keamaskio naikiwezekana uondoke nae

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 4 месяца назад +1

    Makonda ni mwambaaaa

  • @AbuumundhiryMuhmmad
    @AbuumundhiryMuhmmad 4 месяца назад

    Makona ulichokifanya kizulisana munguakulipe khery akuongezee ulipopunguza

  • @user-qk5gh5ns9m
    @user-qk5gh5ns9m 4 месяца назад

    Uishi maisha marefu baba makonda👏

  • @user-ci6oh4cm7j
    @user-ci6oh4cm7j 4 месяца назад

    Ila siomenti Kwa huyu dogo mlemavu ,makonda mungu akubariki

  • @chuilion3099
    @chuilion3099 4 месяца назад

    Kaka makonda ninashida nawewe sana tenasana,nitakupataje

  • @DennisMwakulomba
    @DennisMwakulomba 2 месяца назад

    Magifuli mpya

  • @GraceMhoja-zc7yg
    @GraceMhoja-zc7yg 4 месяца назад

    Mpka nmelia jamn Mungu tusaidie

  • @faridaomary5361
    @faridaomary5361 Месяц назад

    Ungebaki tu kuwa msemaji maana duuuh 😢

  • @user-si2yt4sh6o
    @user-si2yt4sh6o 4 месяца назад +1

    Mungu amupiganie makonda awe hais wa awamu ya saba 🙏🙏

  • @user-mp4yt7ps5q
    @user-mp4yt7ps5q 4 месяца назад

    Makonda Mungu akulinde

  • @mamilooutukufu3516
    @mamilooutukufu3516 4 месяца назад +1

    Wew ni musa ulietumwa lwa wana wa Israel (Tanzania) Ombi langu ni moja tu mpe uraisi uyu mjoli wako Watanzania wote sabbu si kwa utetezi huu

  • @user-xn4qt3go1n
    @user-xn4qt3go1n 3 месяца назад

    Nakukubali xana

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 4 месяца назад

    Mung akubarik kak uwo ndiy uzalind aliyekuw anafany bab yetu magufuli

  • @isaacmanyala3228
    @isaacmanyala3228 4 месяца назад +1

    Siku moja ,Madonna atahualpa raising wa Tanzania.

  • @MwalimuMwalimu-bv9ws
    @MwalimuMwalimu-bv9ws 4 месяца назад

    Pole sna kaka

  • @user-qw8tm3jz2u
    @user-qw8tm3jz2u 4 месяца назад

    ❤❤❤Makonda

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc 4 месяца назад

    Apa ndo mahali makondaa anaponikoshaaa sanaa

  • @UpendoMwashilindi
    @UpendoMwashilindi Месяц назад +1

    Duu ira sisi waremavu tunanyanyasika vibaya muno da nampa pore sana

    • @pancraskazimoto3028
      @pancraskazimoto3028 8 дней назад

      Hatariii kwakweli mwenyezi MUNGU ndo kinga yetu atuokoe kwakweli😭😭.

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 13 дней назад

    Bro ww ni kiongozi kwer

  • @user-ec4ou2tj6r
    @user-ec4ou2tj6r 8 дней назад

    Jamani nimelia

  • @mymunamhozya2820
    @mymunamhozya2820 3 месяца назад

    Kweli kabisa baba walipe madeni

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 4 месяца назад

    Mimi natamani Makonda siku moja ashike nchi