MTOTO MUUZA NDIZI AIBUKA KWA MAKONDA KUMPA UJUMBE "UNISAIDIE KUNISOMESHA NIMSAIDIE MAMA YANGU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 10 месяцев назад +75

    Asante Muheshimiwa Makonda kwa kumsaidia mtoto huyo na familia hiyo. Mungu asikupungukie kwa chochote.🌹🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @MonincaKibona
      @MonincaKibona 7 месяцев назад

      Mungu akuhifadhi akubariki Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Makonda

  • @RukiaMwenge
    @RukiaMwenge 10 месяцев назад +12

    Mungu akubariki mhe makonda hicho unachokifanya mungu atakulipa.Hongera sana mtoto wetu ni shujaa sana atafika mbali mradi asome tu

  • @justinomtili9226
    @justinomtili9226 10 месяцев назад +48

    Daaah! Mtoto amenitoa machozi, Mungu akulinde mh makonda

  • @CeciliaCharles-m8g
    @CeciliaCharles-m8g 5 месяцев назад +12

    Genius mtto anaakili mpka raha eeh mwenyezi mungu nisamehe pale ninapokua nalalamika nashida kwasababu wako wanashida zaidi yangu

    • @ValcoMangapie
      @ValcoMangapie Месяц назад

      Akikaa karibu na mama handsome vizuri

  • @banguha
    @banguha 10 месяцев назад +47

    I'm crying for joy Asante Mokonda jmni uyu ni mtoto mdogo sana kizur anapenda shule na anakumbuka familia yake

  • @KelvinBanda-pk5py
    @KelvinBanda-pk5py 5 месяцев назад +6

    MH Paul makonda mungu wakujua kubariki akubariki katika kazi zako zote,unapolala,unapotembea,unapowaza katika kutetea wanyonge na mwenyezi mungu akulinde kwa hari ya juu.Mi ni malawi ila nimeshawahi kukaa huko Tanzania kwa miaka 10 ila nachonderea kuona unachoendera kukiona ila moyo wangu nafurahi sana hakika wewe kabisa ni magufuri wapiri .

  • @priscadaniel6459
    @priscadaniel6459 10 месяцев назад +42

    Makonda mungu akuweke sana .sio lazima kila mutu.aone.wema wako mungu akulkpe

  • @72TiAnDaLaH
    @72TiAnDaLaH 10 месяцев назад +9

    Pole sana mdgo wangu mwenyez mungu akusimamie na akubaliki kwenye utafutaji wako

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 10 месяцев назад +21

    Asante sana mweshimiwa makonda ❤❤❤❤ mwenyezimungu akutunze mpaka vitukuuu visipungukiwe amina

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 9 месяцев назад +1

    Mungu akikuinua kutoka chini watakutambua 🥺❤❤ imagine kuamka maskini 😪🥺 unaenda kulala tajiri😊🤭May God bless MH MAKONDA very much and even more, may God bless everyone who touched his pocket, may you never lack❤

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 10 месяцев назад +24

    Namkubali sana makonda, viongozi wakifata mfano huu ubarikiwe sana makonda❤🎉🎉

  • @amosmakoba5042
    @amosmakoba5042 10 месяцев назад +2

    Ninamshukuru Mungu kwa kukupa ufahamu wa Neno lake mh Makonda.. Mungu kakupa nafasi ya kuwa kiongozi katika Taifa hili kwa kusudi maalumu.
    Moyo wako uigwe na wengine katika kuongoza wananchi...🙏🙏

  • @Bridge2024
    @Bridge2024 10 месяцев назад +17

    Hakika tukiwa na wigo wema wa kusaidiana kwenye maisha huo ndiyo uongozi mungu akubariki mh: makonda. Amin

  • @elieniyonzima1074
    @elieniyonzima1074 5 месяцев назад +6

    Mtoto kaomba vizuli hajaomba hela,ameomba kusoma uyo mtoto namtakia kila laheli, love from 🇧🇮🇧🇮

  • @tatutumbi4640
    @tatutumbi4640 10 месяцев назад +13

    Makonda, Mungu Akubariki Sana Mwanangu. Huyo mtoto , ndoto zake zifike mbali.

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 10 месяцев назад +7

    Mhuu mwenyezi mungu akuponye kabisa katika Jina LA yesu lililo Hai 🙏 huyo mama

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 10 месяцев назад +7

    ❤❤Ubarikiwe sana Makonda kuokoa maisha ya uyo mtoto Nakupata 5/5 från Stockholm Sweden

  • @AgnesyTimotheo
    @AgnesyTimotheo 10 месяцев назад +6

    Kazi nzuri Mungu akutunze🙏🙏🙏

  • @janethngowi1058
    @janethngowi1058 10 месяцев назад +16

    Kwa hili Mungu akubariki sana Makonda!

  • @NdesaPesa
    @NdesaPesa 4 месяца назад +1

    Mmmmmh,aseeee!!Paulo wewe ni mtu Wa Mungu,kwa hichi hakuna chochote kitakachokukuta hata kama atapewa sumu hufi maana hata kitabu Cha Mungu kimesema.Mungu akupe ulinzi thabiti baba yetu/kaka yetu P.M.❤❤❤❤❤❤❤

  • @jumakapesa2940
    @jumakapesa2940 10 месяцев назад +84

    Sitaacha kukuombea Mh:Makonda. Hakika unachokifanya kinaujira wake. Asante kwa Rais wetu Dr Samia kwa kukuteua katika nafasi hiyo.

  • @LeoniyJovid
    @LeoniyJovid 3 месяца назад +2

    Hakika wew ndo mrisi wamaguful kwakujali wanyonge mungu akutunze👏❤❤❤

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 10 месяцев назад +183

    Haki ya Mungu makonda ni kiongozi
    Namuona magufuri ndani yake
    ❤❤❤❤❤❤

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 10 месяцев назад +5

      Kabisaa yaani

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 10 месяцев назад +5

      Kumbe Magufuli bado anaishi nasi japo amenondoka kimwili

    • @NasraOthmani-by4rn
      @NasraOthmani-by4rn 10 месяцев назад +1

      Kwakweli mungu amtunze

    • @selemanhamidu1398
      @selemanhamidu1398 10 месяцев назад +1

      Kabsa

    • @salometabu100
      @salometabu100 10 месяцев назад +2

      Kweli kabisa amefanya vizuri sana kumsaidia Huyo mtoto maana ndo professor wa kesho

  • @eligiverlema524
    @eligiverlema524 4 месяца назад +1

    Magufuli mtupu ❤❤, Makonda to the world❤❤

  • @KamiliusLupembe
    @KamiliusLupembe 10 месяцев назад +8

    Makonda mungu akubariki sana kwa kazi nzuri

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 10 месяцев назад +3

    Allah akuhifadhi inshallah urudi mtoto mzuri katika imani yako ,,makonda ubarikiwe sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 месяцев назад +16

    Mtoto maashaallah anaakili sana yakujisaidia nakujiakini Allah akufanyiewepesi makonda Allah atakulipa heri ulipotoa pataongezeka lnshaallah

  • @JoelmwizalubimustaMusta
    @JoelmwizalubimustaMusta 2 месяца назад

    Yan kaka Makonda Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya kwa wananchi hakika wewe ukipata uraisi tanzania tutaishi kwa furaha kwa kiasi kikubwa sana Mungu akurinde usiku na mchana Leo mpaka kesho❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mjukuuhotelitv7736
    @mjukuuhotelitv7736 10 месяцев назад +69

    Makonda wewe ni Magufuli mtupu Mungu akuweke zaidi

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 10 месяцев назад +2

      Amiin amiin yaarab

    • @jackiesheo6063
      @jackiesheo6063 10 месяцев назад

      Haswa

    • @tintin0019
      @tintin0019 Месяц назад

      @@mjukuuhotelitv7736 PESA ZENU IZO MUNGU AMWEKE KWA KAZI GANI

  • @rosemassawe9456
    @rosemassawe9456 8 месяцев назад +1

    Mh. Makonda mungu akubariki pamoja na familia yako. Nimefurahi sana umeteuliwa kuja kwetu Arusha. Karibu sana ututetee sisi wakina mama ambao hatukupewa mkopo wa kurudisha bila riba. Kwani ni mungu amekuleta Arusha. Amina.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 10 месяцев назад +8

    Usikatishwe tamaa na wengine waovu wa kichinichini wenye wivu ambao hawana ubavu wa kusimamia haki kama wewe. Hawapendeki kama wewe hivyo wanatafiuta kila namna ya kukuchafua mh. Makonda kwa faida zao binafsi. Wewe piga kazi bila woga wala unafiki na mungu akutunukie uongozi wa ngazi kubwa zaidi kwa taifa hili ili aendelee kutimiza mapenzi yake kupitia wewe kwa faida ya faida lake hili.
    Tunakukubali mh Makonda Mungu akulinde na akuinue zaidi sana

  • @FatinaSalum
    @FatinaSalum 3 дня назад

    Yan makonda unanitoa machozi unaupendo kama magufurii. Allah atakulipa ❤❤❤

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 10 месяцев назад +69

    Magufuli kumbe ametutoka kimwili tu lakini kiroho bado yuko hai pamoja nasi. Mamwona akiwa hai ndani ya makonda. Asante ee Mungu wetu. Asante mama Samia kwa kumteua makonda.

    • @JoyceKusaja
      @JoyceKusaja 10 месяцев назад +4

      Kabisaa yan

    • @ChiefNgosyemo
      @ChiefNgosyemo 5 месяцев назад +1

      Amin hivyo Hawawezi😢 wakauwauwa wakawamaliza

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 5 месяцев назад +1

      @@ChiefNgosyemo kweli kabisa

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 5 месяцев назад +1

      Mungu wetu anatupenda sana na bado atatupigania watu wake. Asante mungu wetu

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 5 месяцев назад +1

      Kweli

  • @johnlucas8509
    @johnlucas8509 7 месяцев назад +1

    Kwa kazi unayoifanya Makonda Mungu aendelee kukukumbuka zaidi katika kazi zako kwa kusaidia jamii na kuwapambania wanyonge

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 10 месяцев назад +83

    😢Umasikini unadhalilisha sana 😢😢MUNGU ampony mama ako 😢😢na wewe ni mwamba 🥰hongera sana dogo

    • @ramadhanimuya2162
      @ramadhanimuya2162 10 месяцев назад +3

      Nimempenda sana huyu dogo.safi sana.Mwenyezi mungu amsaidie.

    • @OlivaSilayo-mj5yf
      @OlivaSilayo-mj5yf 7 месяцев назад

      😂

    • @JeskaMatondo
      @JeskaMatondo 2 месяца назад

      Nimempenda sana uyomtoto, anajielewa sana.

  • @RehemaKirway-l4p
    @RehemaKirway-l4p 2 месяца назад

    Mungu wa mbinguni ambariki makonda na kumlinda adui wasimpate amen mtoto mzuri ukawe baraka zaidi na zaidi kwenye familia yako na taifa baadae amen ukafaulu vyema kwenye masomo unayo endea ❤❤❤❤️❤️

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 10 месяцев назад +18

    Mungu akubariki Mh Paul Makonda kwa kumsaidia huyu mtoto

  • @janetkithi775
    @janetkithi775 10 месяцев назад +2

    Jaman Tanzania. MUNGU yuko nanyi. Alimtoa magufuli. Akamleta magufuli mwingine. M UNGU ambariki sana na aendelee. Na moyo huo huo.🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 10 месяцев назад +29

    Makonda ni mwanadamu ktk wanadamu mungu ndo atakulipa🎉❤❤❤❤❤ C.C.M.Juu

  • @mussathomas3661
    @mussathomas3661 Месяц назад

    Mungu ampe maisha marefu sana huyu mtoto pamoja na wazazi wake pia Mhe.Paul Makonda Mungu akutunze na akupe maisha marefu wewe na kizazi chako kwakuwa umekuwa mwaminifu mbele ya wanadamu na mbele za Mungu

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 10 месяцев назад +12

    Mungu akufanyie wepesi ktk kazi zako muheshikiwa Makonda

  • @Asuubrown
    @Asuubrown 10 месяцев назад +3

    Its so emotional wallahi,young boy like him takin care of the family as a Dad. Makonda live longer

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 10 месяцев назад +13

    Makonda Mungu akuhifadh kwakweli unaiman na huruma Jaman Al haj Yahya Allah akuhifadh yarab usome ufaulu ManshaAllah unaakili baby wangu na

    • @mohamedsalat1066
      @mohamedsalat1066 5 месяцев назад

      Huyu mtoto msaidiyeni kabla haja poteza imani yake walahi siku ya kiyama tutaulizwa siku ya qiyama wale wako karibu nayo mimi walahi niko mbali sana lakini wale walio karibu ole wenu

  • @scholastica7710
    @scholastica7710 10 месяцев назад +2

    Pole sana kijana mungu akubariki na akupe baraka 🎉❤

  • @filbertmahay32
    @filbertmahay32 10 месяцев назад +7

    Hongera sana mheshimiwa makonda kwa kazi kubwa unayofanya ya kuwasikiliza na kuwasaidia wanyonge.

  • @Pys590
    @Pys590 10 месяцев назад +4

    From tiktok .
    Aki qko na mungu wake..

  • @MuddyShaakif-wk8ni
    @MuddyShaakif-wk8ni 10 месяцев назад +15

    Dah sio uyu dogo amenifanya nilie kwa uchungu sana makonda mungu akulie endelea kuwa na moyo uwo uwo

  • @RechelSimkonda
    @RechelSimkonda 4 месяца назад +6

    Mungu endelea kuwawona Watoto wanao ishi Maisha magumu😢😢😢

  • @SODAYABEMBA-o9h
    @SODAYABEMBA-o9h 10 месяцев назад +4

    Makonda mungu akubariki kaka akuongoze ktk kazi kwa kumsaidia huyo mtoto Asante kaka makonda

  • @NehemiaNzoyisaba
    @NehemiaNzoyisaba Месяц назад

    Makonda mw/mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu i 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 10 месяцев назад +27

    This is more than painful 😢😢😢....mie sio wa kulia lia, ila leo nimelia sana 😢😢😢 Mzimu wa Magufuli wamvaa Makonda ❤❤❤

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 10 месяцев назад +3

      Yaani acha. Nimeguswa.
      Hakika nimemkumbuka mzee wetu JPM. Alale mahali pema.

  • @paschalnghomba4671
    @paschalnghomba4671 4 месяца назад +1

    Makonda from Koromije near by Bugomba and Mwasubi,,,hakika ww ni mwamba na nikiongozi mzuri sana hakika unaweza sana Mkuu

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 10 месяцев назад +10

    Mwanangu Makonda Mungu akulipe na atakulipa tuu unasaidia wasiojiweza

  • @ester.k.6837
    @ester.k.6837 5 месяцев назад

    MUNGU WA MBINGUNI akubariki sana kaka Paulo Makonda. Akuzidishie miaka ya kuishi, akulinde na mabaya yote kwa JINA LA YESU KRISTO. Amen!

  • @mamamdogo409
    @mamamdogo409 10 месяцев назад +73

    Niko Kenya nakufatilia sana ila kwa hili la huyu mtt nimetoa machozi mungu akubariki nakupenda bure

    • @SirasKeyoo
      @SirasKeyoo 9 месяцев назад

      Kenya sehemu gani

  • @ZabibuFitina
    @ZabibuFitina 10 месяцев назад +6

    This kid will never forget you Sir!!! He will live to testify your greatness

  • @Bm_Mwakalobo
    @Bm_Mwakalobo 10 месяцев назад +6

    Mwenyezi Mungu akujalie brother makonda

  • @JudithFelix-ey3hx
    @JudithFelix-ey3hx 7 месяцев назад +2

    Barikiwa sana kiongozi wetu Mungu hatakuacha kwa hayo utendayo

  • @gorethlutego2587
    @gorethlutego2587 10 месяцев назад +5

    Waooooh jamani nimefurahi bure be blessed Mhe.MAKONDA

  • @bonzo3047
    @bonzo3047 2 месяца назад

    Mwanangu Mungu akuweke sana kaka,Mungu akuweke zaidi na zaidi Paulo Makonda.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 10 месяцев назад +5

    Asante sana kaka Makonda kwa kuvaa roho ya ubinadamu. Mungu akubariki sana.

  • @aishamwinyi7820
    @aishamwinyi7820 6 месяцев назад +2

    Daaha mungu amkuze huyu mtoto jaman yuko vzr sanaaa mashaallah yaan mpaka nalia😢

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 10 месяцев назад +13

    Allah atakufanyia wepes mtt mzr na akurudishe kwnye iman yko ya awali na akuongoze ktk njia iliyonyooka

  • @CyprianFerdinand
    @CyprianFerdinand Месяц назад

    Pole sana mdogo wangu sema sisi wengine hatujafanikiwa kupata an nabaki kuumia tu sina ata msaada ila sema nini Mungu ni mkuu na ni wa watu wote. Pole sana mama nakuombea upone urudie hali yako ya zamani Amen

  • @zainab8251
    @zainab8251 10 месяцев назад +7

    Inaumiza sana،pole sana mwanangu mwenyexi MUNGU MWEMA

  • @AndeNdutu-yz8cc
    @AndeNdutu-yz8cc 8 месяцев назад

    uko vizuri makonda mungu akutunze jmani. namwona magufuli ndani yko jamni👏👏❤

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 10 месяцев назад +18

    Mtoto anaakiri sana, Mungu ampiganie huyo mtoto

  • @CarolynoissoFamel
    @CarolynoissoFamel 2 месяца назад

    Huyu makonda ni mungu kashusha malaika wake wakamvaa makonda..makondo nenda katafute kondoo wangu walipotea..mungu akubariki sana na neema ya Mungu iendelee kukutembelea❤

  • @user-ibrahim35
    @user-ibrahim35 10 месяцев назад +9

    Pitapita za magu zinaonekana mungu akubless sana more than a. Leader

  • @HelgaBalele
    @HelgaBalele Месяц назад

    Kaka yangu makonda mungu akupe maisha marefu sana sana, kusema tu ukweli kazi zako ni nzuri na unasaidia binadamu wenzako yaani had machozi ya furaha yamenitoka barikiwa sana kaka yangu msukuma mwenzangu

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 10 месяцев назад +28

    Dah! Wekeni hata namba jamani tumsaidie uyu mtoto! 😭😭

  • @shakespeare83
    @shakespeare83 4 месяца назад +1

    Mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia wasio jiweza tunamshukru sana mwenyezi mungu you hai

  • @mugetakasenyi821
    @mugetakasenyi821 10 месяцев назад +24

    sikuwa nakuelewa kabisa kazi yako makonda lakini kwa hili dah! nimelia sana huyu mtoto asomeshwe na hikishindikana tushirikiane

  • @LOVENESSOSCAR-w8r
    @LOVENESSOSCAR-w8r 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂Ety aende dar huko. Ila kigoma jamani. Anyway Asantee Makonda❤🎉

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 10 месяцев назад +7

    Mungu akujalie Kaka mpendwa wetu barikiwa sana

  • @SheilaMkataya
    @SheilaMkataya Месяц назад

    Asante mheshimiwa mwenyezi mungu akuongoze katika kazi Yako

  • @AliHassan-fy6zk
    @AliHassan-fy6zk 10 месяцев назад +7

    Kazi safi Makonda Mungu akupe nguvu

  • @OlivaGara
    @OlivaGara Месяц назад

    😂😂😂😂😂 aty toeni hela baba makonda umewaweza uwakalishe juani watakuelewa2❤❤❤❤❤

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 10 месяцев назад +31

    Makonde Allah akulipe kaka yangu akupe urmi mrefu

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 10 месяцев назад +17

    Makonda, Im following you from 🇨🇦 You're a nice man with good heart 💖 May God bless you and protects you💫🤲

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 10 месяцев назад +16

    Viongozi wetu huu ni ujumbe mzito sana kwenu, Wenzetu wanatengeneza future za vizazi vyao huku sisi tunatapanya pesa na kujivinjari kwenye mataifa ya watu wengine yaliyo endelea huku mkidharau na kuto kuidhamini Nchi yetu

  • @Jesca-yl5xg
    @Jesca-yl5xg 4 месяца назад +1

    Mungu akubarik sana daima twakuombea uishi miaka mingi nakuliendeleza taifa letu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 10 месяцев назад +6

    Allah akulinde kiongozi wetu makonda🙏🙏🙏😭❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

  • @JasminIbrahim-b3z
    @JasminIbrahim-b3z 3 месяца назад +1

    Hongera sana dr makonda kwa uthubu unao uonesha kwawanachi wako hongera

  • @mosimosimon
    @mosimosimon 10 месяцев назад +31

    Mpaka Nimetokwa Namachozi Mungu Amsimamie Huyu Mtoto

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 10 месяцев назад +3

    Kiongozi Mzuri ni yule asiye jisifu makonda barikiwa sanaa sanaa

  • @lucaskagoma7605
    @lucaskagoma7605 10 месяцев назад +9

    Asante Sana Makonda kwa kumusaidia kijana huyu kwakweli kizuri huwa hakidumu naomba Makonda kuonana na wewe

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 10 месяцев назад +9

    Huyu baba makond mungu ambaliki sana mimi ni murundi nirikuwa kambini tanzani arinisaidia sana na sasa niko ulaya yani watanzania wenye loho nzuli nyote mungu awazidishie balaka kwa jina ra yesu amen

    • @NchagwaSenso
      @NchagwaSenso Месяц назад

      Ccm tuwe kipau mbele kutoa kwa wasio jiweza kudumu chama cha mapinduzi wenu mgombea umjumbe

    • @NchagwaSenso
      @NchagwaSenso Месяц назад

      Selikal ya kijiji

  • @LeodigaryPatrick-zo5kl
    @LeodigaryPatrick-zo5kl 10 месяцев назад +7

    One love makonda your the best ❤❤❤❤

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 6 месяцев назад

    I appreciate this mission for the poor and vulnerable. BIG-UP BROTHER MAKONDA

  • @AlfredAloyce-wh5nq
    @AlfredAloyce-wh5nq 10 месяцев назад +9

    Mungu akubariki kiongozi makonda

  • @mudrickandrew6052
    @mudrickandrew6052 5 месяцев назад +1

    ❤❤mngu akakuweke viwango vya juu ukawe mkomboz wa famiiriya yenu

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 10 месяцев назад +73

    Another day to cry with stranger…😭😭😭😭😭

  • @MonicaMikola-z5n
    @MonicaMikola-z5n 5 месяцев назад

    Mungu akubaliki muheshimiwa makonda mungu azidi kukuongoza katika kazi unayoifanya

  • @hellenmagembe8768
    @hellenmagembe8768 10 месяцев назад +5

    Mungu akubark makonda,pia mungu akusaidie mtt mzuriii ufke mbali 😭😭😭

  • @vkileo9097
    @vkileo9097 3 месяца назад

    God bless you abundantly.heri wawahurumiyao masikini maana hao wamkopesha Bwana w mbinguni.Barikiwa Sana honourable Makonda

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 10 месяцев назад +114

    Alienda kanisani akaombea akapona, such a miracle. Glory be to Jesus

  • @VictoriaMushi-r6n
    @VictoriaMushi-r6n 2 месяца назад

    Makonda! Dear Leader! Just like Mabala in Mabala the Farmer short story in the last chapter!! Big up kiongozi!

  • @jacquelinenanze6530
    @jacquelinenanze6530 10 месяцев назад +33

    God Bless you Brother Makonda.

  • @FrolaGerald
    @FrolaGerald 6 месяцев назад

    Hakika mheshimiwa makoda mungu akubaliki sana hakika namuona magufuli ndani yako❤❤❤❤❤❤