ALIYEPEWA SHAMBA NA MAGUFULI ADAI KUDHULUMIWA NA MKOA, MKUU WA MKOA AWAKA "ACHAKUMDANGANYA MWENEZI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 517

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 11 месяцев назад +36

    Makonda mungu akuweke sana mimi nakuahidi mungu atakusimamia na endelea ktk hilo

  • @leonardkinanda3284
    @leonardkinanda3284 11 месяцев назад +57

    Muheshimiwa Makonda! Nakufurahia sana! Bado namuomba Mungu akulinde na macho ya husda

  • @MarwaRange-m2e
    @MarwaRange-m2e 10 месяцев назад +16

    Fanya kazi baba makonda uko Safi unaweza ukawa kiongozi bora sana brother

  • @daudbulba9153
    @daudbulba9153 11 месяцев назад +70

    Naposikia haya namkumbuka hayati magufuli aliko mungu amuraze pema makonda big up sana magufuli wa pili anakuja

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 месяцев назад

      anakuja arakini😭😭😭 arakini uhhhmmmmmm😭😭😭😭😭

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 11 месяцев назад +24

    Hamna mkuu wa mkoa hapo huyo mama yupo upande wa wawekezaji si aseme tu na Hana mpango wa kusaidia wananch

  • @elinipendokarisha9570
    @elinipendokarisha9570 11 месяцев назад +24

    Mh. Makonda ni chuma cha pua....he is a man of the peple

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 11 месяцев назад +54

    Bado Kuna Mt anaitwa ALLY HAPPY apewe nafasi mchapa Kaz kweli naye, wakiunganishwa na huyu mwamba itakuwa

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 10 месяцев назад +3

      kwel kabisa yaani ni watu ninaowatamani jumlisha sabaya nchi ingekua mwake

    • @hopehealthcs3294
      @hopehealthcs3294 10 месяцев назад +2

      Wow true

    • @aishaabrahaman9957
      @aishaabrahaman9957 10 месяцев назад

      Yulee yupo busy na ukulima abaki tuuuh uko uko

    • @MgangaDaud
      @MgangaDaud 10 месяцев назад +3

      Anhaa! Kaka umemsahau LENGAI OLE SABAYA! Na yeye arudi serikalini

    • @abdulmelele7322
      @abdulmelele7322 10 месяцев назад +2

      Ally Hapi mwamba namkubali sana mrangi yule ni kichwa kwel kwel

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 10 месяцев назад +9

    Mama Asante sana, Mungu akupe umri mrefu Kwa kumrejesha Makonda. Msamehe na kumkumbuka Tena katika ufalme wako, ALI HAPI na SABAYA. 🙏🙏

  • @AlphonceJumanne
    @AlphonceJumanne 11 месяцев назад +16

    Ama kweli makonda nimekukubali upo vizuri kaka piga kazi

  • @mrsab303
    @mrsab303 11 месяцев назад +34

    Makonda you reminded me Magufuli good job ❤❤❤❤

    • @selemanimchana3598
      @selemanimchana3598 10 месяцев назад

      He fight for the next election 2025, haya maisha bhana Mimi nimechill tu

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 месяцев назад +1

      ​@@selemanimchana3598Akichaguliwa na akafanya hivi ndipo tutajua kwamba ni mzuri ama mbaya

    • @FatumaShaban-g7g
      @FatumaShaban-g7g 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @alexandersangi1724
    @alexandersangi1724 11 месяцев назад +16

    Mm nazani makonda baada ya mama ufate wewe kuwa Raisi.

  • @mms9158
    @mms9158 10 месяцев назад +5

    Mr makonda Alla akupe umuri uendelee hivohibo kuwasaidia wananchi ❤

  • @AliFakiMati-m7n
    @AliFakiMati-m7n 10 месяцев назад +7

    Wewe mwanamke huna haya hata kuzungumza uongo humuogopi mungu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 месяцев назад +19

    Walipoona Magufuli amekufa amemdhulumu huyo Mkuu wa Mkoa

    • @Obasaniyo
      @Obasaniyo 11 месяцев назад +1

      Mkuu wa mkoa hovyo kabisa. Anajifanya anahasira.

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 11 месяцев назад +18

    Eti muogope mungu yaan limekaa Limama linawatetea wawekezaji linaumiza wananchi wake sa sijui linawaongoza wawekezaji au wananchi

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 11 месяцев назад +10

    Ni huzuni Sana Tanzania yangu 😢😢😢😢😢kila kona ni kilio dhuruma imetawala

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 10 месяцев назад

      Yn ni haibu nchi ya hamani tunajulikana dunia nzima lkn ndan ya mchi akuna hamani imejaa zuruma tupu

  • @grayjordan3900
    @grayjordan3900 11 месяцев назад +16

    Kwa nini wanateuliwa watu hovyo namna hii nivigezo gani wanatumia kuteua watu wa hovyo, mkuu wa mkoa anadiriki kutishia wanainchi kweli

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 11 месяцев назад +2

      Ndio maana mm huwa huwa sipend hizi nafasi za kutwuliwa maa hawana hofu na wananchi wao huwa wanahofu na aliyewateuwa

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb 11 месяцев назад +10

    Mueshimiwa makonda Alha akulinde
    Na Kila adui CCM oyeeee

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 10 месяцев назад +9

    ALI HAPI! ALI HAPI! ALI HAPI! Mama mkumbuke huyu kijana mzalendo na jasiri kama Makonda.

    • @denisyohana8104
      @denisyohana8104 10 месяцев назад

      nimemmic sana ALI HAPI ,asant MAKONDA

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 11 месяцев назад +8

    Mkuu mkuu shikamoo uzidi kubarikiwa aseee kwanzia leo nimeamini mungu nimkubwa sana ivi ayayote unayaoteshwa mkuu????? Maana unaoji mpaka mtu anajikuta ametubu zambi bilakujuwa aseee

  • @Muuzambuzi
    @Muuzambuzi 10 месяцев назад +6

    Makonda oeeeeeee big up sana.

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 11 месяцев назад +19

    Kwan sheria ai ruhusu wwe kua rais toka alivyo kufa JPM ckuwah kua na matumain 🎉

  • @lucaschipanga4466
    @lucaschipanga4466 10 месяцев назад +6

    Makonda kaka ukovizuri mungu tuuu akuride honja zingine mariza hapo hapo tuone mfano

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer 9 месяцев назад +3

    Maghufuli left a great legacy, he set the pace and I'm glad seeing this going on after his death. Initially I thought it was during the lifetime of president Maghufuli but seeing the poster of Mama Samia behind assured me that she's truly followed the footsteps of her predecessor. But please I wish Mama Samia too went round to directly listen to her people's problems like Maghufuli did. Thank you Tanzania and Tanzanians for your uzalendo and being true to your country. God bless Tanzania

  • @BahatiMohammed-s8f
    @BahatiMohammed-s8f 10 месяцев назад +10

    Nawapata vizuri nikiwa dar. Tanzania

  • @jacobmwashambwa4893
    @jacobmwashambwa4893 11 месяцев назад +15

    Nakufuatilia sana Comrade Makonda najifunza mengi

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 11 месяцев назад +9

    Wizala ya ardhi inashida sana yaani imejaa zurma sana nyambafu sana hawa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 11 месяцев назад +8

    Kusema kweli watendaji wa serikali huwa hawana msaada kwa wananchi😢

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 11 месяцев назад +1

      Tena wanadharau ukiwa maskin wanahis huna haki hat yakuishi ni majinga sana.

    • @FredrickOlotu-u8n
      @FredrickOlotu-u8n 5 месяцев назад

      Jamani mungu amoaze mgufuri rushwa ilikomeshwa makonda tunakuomba uje morogor jamani uwi!

  • @HamadiMgaluka-ld7hv
    @HamadiMgaluka-ld7hv 10 месяцев назад +5

    tunataka viongozi kama mh makonda. mama kamaitawapendeza mpeni kitengo Ally Happy nae ni mzuri kwenye kazi

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 11 месяцев назад +10

    Huyo mama mmmmhhh

  • @daudisaimon7466
    @daudisaimon7466 11 месяцев назад +7

    Huwezi miliki leseni bila kulipa watu fidia za maeneo husika

  • @EmmanuelMwanza-ef9bf
    @EmmanuelMwanza-ef9bf 10 месяцев назад +4

    Yani huyo mama anaongea kama vile anachambana na wanawake wenzake kwenye vikoba

  • @isaacmambwe6547
    @isaacmambwe6547 11 месяцев назад +9

    Tanzania yangu shikamooooooo

  • @banguha
    @banguha 11 месяцев назад +52

    Uyu mama na miwani yake kama fundi maget ameanza kwa mbwembwe za umuogopi Mungu utadhan yeye anamuogopa muone gaun lake kama mwanafunz wa chekechea

    • @johnbernad3990
      @johnbernad3990 11 месяцев назад +11

      Sikutemea kucheka usiku huu wa manane 😂😂😂😂

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 11 месяцев назад +3

      😂😂 na hilo tumbo Lake sasa

    • @fatumamilimo7336
      @fatumamilimo7336 11 месяцев назад +2

      😂😂😂😂niacheee

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 11 месяцев назад +1

      @emmanuelmayunga1518 usimseme vibaya Kwa uumbwaji, maana hakuomba, Bali mseme Kwa mabaya aliyonayo kutoka moyoni mwake.

    • @seifkulwa3346
      @seifkulwa3346 11 месяцев назад +3

      Huyu mama hamna kitu!

  • @mihayokakwimba9524
    @mihayokakwimba9524 11 месяцев назад +6

    watu wa bara kwa uongozi wapo vzr❤

  • @costantinochibago9768
    @costantinochibago9768 11 месяцев назад +14

    Tungepata watumishi japo 10 kama mh.p makonda kwenye taifa letu tungeishi kama wafalume Mungu akulinde sana maana hhhh

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 месяцев назад +10

    Huyo mkuu wa mkoa anaonekani ni m'babe sana, atakua mkorofi sana, anaweza kumpiga makofi huyo jamaa, baada ya mwenezi kutoka hapo.

    • @mot.tvmsamvu6770
      @mot.tvmsamvu6770 11 месяцев назад +3

      hawa ndoo waaribifu ktk nchi hii hawajuo chochote kile

    • @MonaAlmona-c1n
      @MonaAlmona-c1n 10 месяцев назад +1

      Angefukuzwa kaz akajifunze upendo na nidhamu
      Hawa awajawakiliwa na jua la maisha

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 10 месяцев назад

      ​@@MonaAlmona-c1nafukuzwe na nani

    • @maryamChumas
      @maryamChumas 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂kwamba mwenezi akitoka jamaa anakipigo😂😂😂😂imebidi nicheke

  • @juliusmogaka2735
    @juliusmogaka2735 10 месяцев назад +13

    I wish for this man to be the next Tz president

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 11 месяцев назад +7

    Da mama Mkuu wa mkao huyo, hajui mkono wake wa kulia wala wa kushoto.🙆😂🤷‍♂️

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 4 месяца назад +1

    Roho ya magufuli bado inaendelea kuishi still😢😢

  • @ErickMbuma
    @ErickMbuma 11 месяцев назад +8

    Hii nchi watu wanaonewa wengi asa Kwan viongoz wengine wanalala tu

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage 11 месяцев назад +9

    Kwani shinyanga si kuna uchawi wanasubili nini kuroga hawa watu kuanzia muwekezaji, mkuu wa mkoa na afsa/kamishna wa ardhi

  • @SAIDSAID-zb8xr
    @SAIDSAID-zb8xr 11 месяцев назад +7

    Hawa viongozi wanateuliwa kwa vigezo gani Yani mkuu wa mkoa mzima anakuja na hoja hazieleweki hii nchi ngumu Sana

    • @Obasaniyo
      @Obasaniyo 11 месяцев назад +1

      Mimi kanishangaza. Huyo hawezi kuwa mtetezi wa wanyonge

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 10 месяцев назад +3

    Waandishi na wanahabar peleken hisia zetu kwa mama Samia kwamba Tunampenda sana Makonda tena apewe ulinzi mkal

  • @dorikaluwanja
    @dorikaluwanja 7 дней назад

    Mheshimiwa Makonda Bwana Yesu akutunze. Kazi yako njema.

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 11 месяцев назад +4

    ki ukweli nakiona kile kilichomfanya Mzee Magufulina hata sasa Mama Samia kukuteua Jamani Weye unaweza Mungu akuweke kiongozi wetu maaana sio kwa busara hizo ulizonazo

  • @emanuelgella8201
    @emanuelgella8201 11 месяцев назад +8

    Kunayo muda viongozi wanao wateuwa hawa wakuu wa mikoa na wilaya wanapsswa kijitathmini sana, hivi kwa jins mkuu wa mkoa alivyo anza kuongea kwa jazba na kwa mkwara utafikiri ni kweli jamaa hana haki, kumbe ni kujihami,, waweke watu sahihi jamani kwenye hizi nafasi za uamuzi

  • @snurathalokobogo
    @snurathalokobogo 4 месяца назад +1

    Nimemis mikutano ya makonda jaman dah!! Sijui yuko wap kwa sasa jaman 😢😢

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 11 месяцев назад +12

    Dunia simama nishuke wanawake muogopeni mungu nyie

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa 11 месяцев назад +5

    Huyo mkuu anatumia jaziba hata mbele yako makonda je akuwa nawanyonge tu si kesi

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 6 месяцев назад +2

    Da ila hii nchi ni ngumu watu wanaonewa wanadhulumiwa hatari

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 11 месяцев назад +4

    Makonda baada ya mitano tena ya mama. Aki Mungu iposiku utaiyongoza ii nchi japo silaisi kazaa

  • @juchaonline4084
    @juchaonline4084 11 месяцев назад +19

    Mi ningependa inch iongozwe na Wasukuma 😂😂

  • @issaabdallah7660
    @issaabdallah7660 11 месяцев назад +11

    Hawa watendaji mda mwingine huwa wanaichonganisha serikali na wananchi

  • @Pendobalase-yk4go
    @Pendobalase-yk4go 3 месяца назад

    Mungu akuinue sana mtumishi makonda kwa kuwajali wananchi kama alivyofanya John pombe magufuri ubarikiwe sana

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 11 месяцев назад +5

    Ofisi za Umma zimejaa wala Rushwa na matapeli

  • @LumanijaMatiga-j6h
    @LumanijaMatiga-j6h 4 месяца назад

    Jamani Paul Makonda anafaa kuchukua kiti cha Urais 🇹🇿 Tanzania

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 10 месяцев назад +3

    Mnapokeza uongo tu watu mlioaminiwa na serika na wananchi

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 10 месяцев назад +3

    Kuweka matumbo hofisini tu na kutumbua tu pesa ndowanaotia serekalihasarana wananchi

  • @SaidHassan-wz1px
    @SaidHassan-wz1px 11 месяцев назад +5

    MAKONDA ANAFAA KUA WAZIRI MKUU

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 10 месяцев назад +3

    Yani mwekezaji na hekari mia sita zote 600 na wananchi wanangaika😂😂

  • @adieldennis1316
    @adieldennis1316 10 месяцев назад +3

    This man Makonda seem to be a good person,he speak well ,he communicate with common mwananchi with a lot of humility,To my opinion he has great future,but on the other hand am wondering how come there's rumours that he was involved on assassination attempt of Tundu Lisu.?

  • @Gamba81
    @Gamba81 11 месяцев назад +7

    Huyu bwana kamuita raisi samiya wala siyo mama samia kimu mkazi atasaidiwa kweli

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 11 месяцев назад +5

    Ilo limama linafika lishakula pesa limalaya likubwa ilo sura kama bundi

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 10 месяцев назад +1

    Huyo Mama Muongo Hasemi Ukweli! Mweke Sawa

  • @CatherineKisanga
    @CatherineKisanga Месяц назад

    Makonda nakupenda sana kwahaki unazofanya natamani hata uwe raise mungu azidi kukuweka pazuri

  • @ErickPazia
    @ErickPazia 6 месяцев назад

    Wewe ni kiongozi mzuri usiogope jitie moyo mkuu na mungu atakuwezesha❤

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 7 месяцев назад +1

    I miss you daddy magufuli but nimefarijika kumona mwanao makonda amefuata nyayo zako😢

  • @Yboy-j2u
    @Yboy-j2u 19 дней назад

    Makonda naona km magufuri yupo. Endelea hvyhvy

  • @MartinLugayila
    @MartinLugayila 2 месяца назад

    Bg up sana bro makonda Mungu akupe nafasi ya juu zaidi uhudumie wananchi zaidi

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 6 месяцев назад

    Mimi ni mkenya Rakini makonde achopanya ana mwenzake mungu akulinde na akupatie maisha marefu

  • @mihayokakwimba9524
    @mihayokakwimba9524 11 месяцев назад +3

    raisi 2025 huyu anatufaa

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 10 месяцев назад +4

    Acha uwongo mama karatas kazipata wapi

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 10 месяцев назад +4

    Mwenezi ruhusu waoneshe karatasi zao ndomuse serekali sikuzi inatoa mihuri feki?

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 10 месяцев назад

    Dhuruma sio nzuri tuogope allah tutaulizwa siku ya mwisho

  • @BahatiMohammed-s8f
    @BahatiMohammed-s8f 10 месяцев назад +2

    Umenikubusha hayati Magufuli

    • @Zengeni-gz8fe
      @Zengeni-gz8fe 6 месяцев назад

      Acha tu ndugu YANGU ❤ magufuri

  • @raymondkaria1451
    @raymondkaria1451 6 месяцев назад

    Huku ndiko kurudishiwa vilivyoliwa na madumadu na tunutu na parare Bwana Yesu asifiwe Katibu mwenezi,, Mungu akulinde

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 10 месяцев назад +1

    Hawa wa serikali ni wezi Sana,viva makonda,

  • @EmanuelMusa-qp5je
    @EmanuelMusa-qp5je 6 месяцев назад

    Mungu akulinde makonda upo sahihi kibisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AmosJuma-wp2pe
    @AmosJuma-wp2pe 10 месяцев назад +2

    Makonda bona kama unataka nikupe kula nyingi naomba ugombe chochotee

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 10 месяцев назад

      Huyu mwamba akigombea kiti cha urais Asubuh na mapema yaani anashinda na hana mpinzani kabisa

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 11 месяцев назад +6

    Huyu makonda anatakiwa apate kiti Cha ufalme, hiyo uenezi haimfai.

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 10 месяцев назад

    Makonda we ni mtuu na nusu💪💪Mungu ibaliki 🇹🇿🇹🇿

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 11 месяцев назад +5

    Mie karatasi ya serikali sishiki wala sisomi sasa,mkuu wa wilaya ndio ataisoma😅

    • @neema-ee6qm
      @neema-ee6qm 10 месяцев назад +1

      😂😂😂😂s

    • @giftmusa6543
      @giftmusa6543 10 месяцев назад

      @@neema-ee6qm hatari

  • @josephmaroa636
    @josephmaroa636 10 месяцев назад +1

    Makonda wewe ni kivuli cha Mzee hayati John pombe Magufuli pale alipolala anatabasamu hongera kiongozi

  • @Jenifer-wd4hn7cv9s
    @Jenifer-wd4hn7cv9s 7 месяцев назад

    Magufuli is comeback again 🙏🙏🙏thanks God

  • @ROSEENOCK-l3j
    @ROSEENOCK-l3j 5 месяцев назад

    Nakupenda sana baba Mungu akutunze na akukinge na kila jambo baya

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 11 месяцев назад +5

    Hao wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa toa hawafai kabisa

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 11 месяцев назад +3

    dhuluma zime jaa sana hii nchi

  • @mariamalhashmi-zj7hp
    @mariamalhashmi-zj7hp 10 месяцев назад

    😢Mh makonda Mungu akutanulie kwa Kaz unayoifanya nakuonea huruma lshaallh tunakuombea

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 11 месяцев назад +3

    Jaman viongoz wa ccm mbn mna matatizo namnaiharibu ccm iv wachawi nyinyi bora makonda umeanza kazi yamungu

  • @gloryedson9311
    @gloryedson9311 7 месяцев назад

    Akupenda Sana makonda mungu akulindee❤❤

  • @EliasMalendeja
    @EliasMalendeja 5 месяцев назад

    Mungu akubariki sana jembe makonda na jembe la ilinga mungu awalinde

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 11 месяцев назад +4

    Shinyanga ni shida huyu mkuu wa mkoa ni tabu tupu

  • @TeddyKimario-m4f
    @TeddyKimario-m4f 9 месяцев назад

    makondo yawezekana wew u mmoja wa yesu kristo mnazareti mungu akulinde siku zote

  • @shijamakoye6544
    @shijamakoye6544 11 месяцев назад +2

    Ccm itang'olewa madarakani na wateuliwa wake yani ccm inateua wawakilishi wenye nia ovu na chama sasa mfano huyo mkuu wa mkoa na huyo kamishina hawajawahi kufika kwenye eneo na wala hawalijui harafu wanakomaa kumtetea muwekezaji kwa maana hiyo tayari walishapewa hongo

  • @WinfridaMdemu
    @WinfridaMdemu 6 месяцев назад

    We mama mungu anakuona kuwa makini utapigwa pigo kubwa sana

  • @HADSONPAUL
    @HADSONPAUL 11 месяцев назад +1

    Duuu jamani hawa vingozi wengine hawa sijui wabebwaje hawa yaani viongizi wanakua hawajielewi kweli

  • @gabrielbagonambona
    @gabrielbagonambona 6 месяцев назад

    Makondaaa ni magufili wa pili 😢😢😢 mama azid kukuinua babaaaa

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 10 месяцев назад

    Daah hii nnch inamajanga Sana kwakwel sijui tutafanya nn kila siku majanga viongoz wetu changamoto

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 10 месяцев назад +1

    Mkuu wa mkoa aondoke hana mahusiyano mazuri na watu,tazama qnavyozomewa