BIBI MWENYE WATOTO 50 ASHINDWA KUONGEA ALIA, KERO YA ARDHI, MAKONDA AMBANANISHA AFISA ARDHI KUJIBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 118

  • @SarahKherdin
    @SarahKherdin 7 месяцев назад +7

    Mashallah namuona mzee magufuli kwa makonda Allah akulinde makonda na mama yetu samiha Aameen

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق Месяц назад +1

    Tuna Kupenda Mkuu Wa Mkoa Mr Paul Makonda Kwa Juhudi Zko Kwa Kutetea Haki Za Masikini Na Wale Wadhaifu Asante Mr Paul Makonda .

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 11 месяцев назад +20

    Makonda mungu akubariki na kukulinda endelea kusimamia haki

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 месяцев назад +11

    asante sana Makonda. Natamani pia Mama ampatie kitengo Mh Sabaya kusaidia migogoro hiii pia. ni kiioingozi mzuri kama Makonda

    • @HOOFCLANMEDIA
      @HOOFCLANMEDIA 11 месяцев назад +2

      Even Sabaya himself is are leader with ambition support u

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 11 месяцев назад +1

      @@HOOFCLANMEDIA true. it is in-born. he is very good. leave alone whatever weaknesses he has but my brother this Sabaya is very good.

    • @futureyouthfoundation5801
      @futureyouthfoundation5801 11 месяцев назад +1

      Sabaya anastaili mungu amuinue

    • @josephminja7953
      @josephminja7953 7 месяцев назад

      😢😢

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 7 месяцев назад

      am a lady lol thanks😄

  • @songeza
    @songeza 11 месяцев назад +4

    Pole makonda mwenezi pambana usisahau maombi nami nakuombea hunijui ni mtu mdogo sana.

  • @yasinthaprosper4226
    @yasinthaprosper4226 11 месяцев назад +2

    Amen Mungu amemrudisha kwa sababu kaka yetu Makonda. Tulijiuliza nani atamrithi R.I.P Magufuli lakini naona ni Mh. Makonda vile abarikiwe mno .

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 11 месяцев назад +4

    Noma sana.. Hitakuwa anachoka sana.. Sio kazi rahisi kabisa.. Jamaa linapiga kazi

  • @prospermbowe9075
    @prospermbowe9075 11 месяцев назад +8

    Mh,Makonda mimi ni chadema ila uwezo wako ni mkubwa unakipaji kikubwa mungu azidi kukubariki mkuu

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 11 месяцев назад +1

    Nakuomba makonda ujasiri wako alio kupa mungu endelea kutetea wanyonge mungu akupandishe viwango Hadi viwango

  • @SalahJuma-g4u
    @SalahJuma-g4u 8 месяцев назад +4

    makonda jamani amerudi mangufuli amerudi Tena mungu akuride popote ulipo

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 11 месяцев назад +15

    Makonda aongezwe muda wa kazi angalau kila mkoa akae wiki

  • @athanassimbila2603
    @athanassimbila2603 11 месяцев назад +3

    NASEMA,MHESH MAKONDA KUWA, ROHO YA MAGUFULI IMO NDANI YAKO.NJOO PIA TANDAHIMBA...

    • @Salsabiil12
      @Salsabiil12 12 дней назад

      Huko tandahimba kuna madudu eeee duh kukaya neko jamani

  • @AlkhaAlkha-d4s
    @AlkhaAlkha-d4s 11 месяцев назад +11

    Ccm oyeeeeee mama samia oyeeeeee makonda oyeeeeee kidumu chama cha mapinduzi 🙏🙏

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 11 месяцев назад

      Kidumu chama tawala

    • @gililwise
      @gililwise 11 месяцев назад

      kweli mimi ni ccm ila viongozi waliopewa madaraka wanatuangushaaa.chama kinaonekana ni C=chukua.C=chako.M=mapema

    • @ClementinaHabineza
      @ClementinaHabineza 11 месяцев назад

      Kwakweri mubarikiwe

  • @EmanuelSamwel-d1o
    @EmanuelSamwel-d1o 3 месяца назад +1

    Makonda utakuwa rais mungu atakupa kama jpm

  • @ZaiKigwinya
    @ZaiKigwinya 10 месяцев назад +1

    Makonda amejitowa Kwa akili ya wanyonge,mungu amulinde zidi ya wanaokula haku za watu maana duh pekeake hatoweza yuko wapi magufuli ,emungu mulindi makonda kadili uwezavyo

  • @masamakijames7837
    @masamakijames7837 11 месяцев назад

    Wewe nakuombea Mungu akulinde sana,maana kazi ufanyayo ni takatifu kabisa

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 11 месяцев назад +5

    Kwa nini watu wanawapenda Wanasiasa na sio Watumishi wa Umma Serikalini -;
    Hii ni alama kwamba Waajiriwa Wetu Kwenye Sekta za Umma Wana tatizo la kutowajibika ipasavyo
    Dhidi ya Shida za wananchi wetu
    Mifumo yetu ya utoaji haki Ina changamoto
    Pia ni vigumu kwa Wananchi wa kipato Cha kawaida (kina sisi ) kupata suluhulusho la kudumu katika Kutatua Migogoro
    yaani ni shida , tabu , changamoto Kila Mkoa daaahhh
    Eee MUNGU Ulie Mbinguni tusaidie
    Mh Makonda Mungu Akubariki sana

    • @mgonasipapune1383
      @mgonasipapune1383 11 месяцев назад

      Umenena vema

    • @RoseMhando-dg6yp
      @RoseMhando-dg6yp 11 месяцев назад

      Weee

    • @RoseMhando-dg6yp
      @RoseMhando-dg6yp 11 месяцев назад

      🎉🎉🎉😂❤

    • @richardchawenda5938
      @richardchawenda5938 11 месяцев назад

      Watumishi wa umma hawafatili ndo maana wanaichi wana angaika tu

    • @kiri5807
      @kiri5807 11 месяцев назад

      Wananchi hawapewi elimu . Wao wanajua umpate kura ndio mwenye wajibu wakukusikiliza .

  • @RamadhanKidedede
    @RamadhanKidedede 11 месяцев назад +7

    Makonda aongezewe posho

  • @JasminiAlly-pu6gf
    @JasminiAlly-pu6gf 6 месяцев назад

    Wakipatikana vingozi kumi kama makonda nchi itakiwa sawa makonda mungu akuhifadhi na akukinge na Shari zamaadui

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 11 месяцев назад +2

    Mimi naona Aya matatatizo wakuu wa wilaya na mikoani shida sana mikoani awafanyi kazi kusaidia wananchi Bali kunyanyasa wananchi mshahara wanapata marupurupu gari nzuri shida Nini watatnzania inauma sana acheni dhuruma

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 11 месяцев назад +1

      Hilo ndio neno lakini wajuwe IPO siku mwenyezi mungu atawahukum juu ya hii dhulma

  • @NeemaKamugisha
    @NeemaKamugisha 11 месяцев назад +1

    Mungu akulinde makonda Yesu azidi kukuinua

  • @MmungaMbele-u1o
    @MmungaMbele-u1o 6 месяцев назад +1

    One day, Makonda will be president of Tanzania.

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 11 месяцев назад +6

    Kiukweli apo ulipo makonda alipo jamani akuna viongozii embu naomba mama wetu awatumbue tu awa watu wlioko madarakani

  • @marylucy1455
    @marylucy1455 Месяц назад

    Mungu akutunze sana Makonda wetu.

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 11 месяцев назад +9

    Watu mnadhambi sana jamani yaani mnapata utajiri kwa mali za wenzenu

  • @SophiaMaingu
    @SophiaMaingu 6 часов назад

    Mungu akusaidie

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 7 месяцев назад +3

    MAKUFULI NO 2

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад +1

    Umati huu unamkubali makonda je akigombea nafasi yoyote hapa nchin hakunawagomshinda makonda

  • @MatthewSimonKanyanzulu
    @MatthewSimonKanyanzulu 11 месяцев назад +2

    Makonda ni mahakama inayotembee haisee piga kazi mwambaaaa

  • @MichaelMfangavo
    @MichaelMfangavo 7 месяцев назад

    Mh makonda mungu akubariki uwe waziri waaridhi miaka Kumi tu

  • @muna1165
    @muna1165 11 месяцев назад +3

    NINA WAOMBA MUMFUKUZE KAZI SHILIMA

  • @MeriJohn-i7j
    @MeriJohn-i7j 3 месяца назад

    Pole sana bb makonda tenda hak

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 11 месяцев назад +2

    Nimeipenda hiyo Eeehe Eeehe

  • @OmanOman-hz1qm
    @OmanOman-hz1qm 7 месяцев назад

    Makonda wetu tunakupenda sana endelea piga kazi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 11 месяцев назад

    Makonda maashaqllqh❤❤❤

  • @Juma-h5v
    @Juma-h5v 29 дней назад

    Makonda we nikamanda mungu akuongoze were nakizazi chaos uko vizur

  • @MatthewSimonKanyanzulu
    @MatthewSimonKanyanzulu 11 месяцев назад +2

    Piga kazi mzee

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 11 месяцев назад

    Aya ni matatizo ya viongizi mkuu wa wilaya yupo mkuu wa mikoa yupo Sasa hii migogoro kwanini wanashindwa kutatua shida za wananchi mpaka mtu atoke makao makuu Ili kutatua matatizo jamani watumishi wa umma mwogopeni mungu mtaukumiwa na mungu dhuruma sio nzuri

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 11 месяцев назад +1

    Masikini maisha haya yanejaa mtihani mkubwa

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 10 месяцев назад

    Mungu naomba makonda aje huku kwetu manyara tunateswa sana

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 7 месяцев назад +1

    Watoto 50 wa kwake pekeake au wakujuu humohumo na vitukuu?my Lord I wonder 😂😂😂

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 11 месяцев назад +1

    Hapo mmetudanganya watoto 50 alizaaje mmmm uongo mwingine

    • @mtahogarashid8488
      @mtahogarashid8488 11 месяцев назад

      Ni watoo 50 kwa wake 6 ndugu yangu hata mimi mama yangu mmoja ana watoto 12 mke wa pili watoto 8 wake 2 watoto 20 ukiongeza wake watatu wakazaa hivohivo unapata wangapi?

    • @mtamimuMgidange-cd4hi
      @mtamimuMgidange-cd4hi 10 месяцев назад

      Yani kusoma hujui ata picha huoni, sadik kakufafanulia kuwa walikuwa 6 wengne walifarik kabaki mama yao pekee bado tu hujaelewa mhmmmm was Tz mnatuaibisha bhana Yani miaka 7 shule ulifanya nn class✍️✍️

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 месяцев назад

    HIZI ZIARA ZA MAKONDA ZIMEFICHUA MAOVU MENGI ambayo SAMIA na watendaji WAKE wameyafanya kwenye hii NCHI. Ukisikiliza hizi ZIARA zinaumiza sana Mpaka nimekoma siangalii Tena! Siangalii Tena ZIARA ZA MAKONDA Kuna mambo yanaumiza sana

  • @DorahMchome
    @DorahMchome 8 месяцев назад

    Mungu akulinde mnooo mkuu

  • @kuhaniPetroCn
    @kuhaniPetroCn 11 месяцев назад

    Huyo shirima kwanza anaonekana nidhamu yake ndogo sana anaongea kaegemea chuma kama vile yanayosemwa ayamtishi kitu daaaah 😢

  • @J4UPro
    @J4UPro 11 месяцев назад +2

    Hawa watu Mungu awaona

  • @DannyWiston
    @DannyWiston 9 месяцев назад

    Sabaya na makonda wawe pamoja

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 11 месяцев назад

    Makonda mtoto WA magufuri ulie funzwa ukafunzika ulie lelewa akaleleka magufuri amekuachia muguu mzuri huluma upendo upolole ukalimi mtoto mdogo lakini unafanya KAZI ngumu sana ongera sana mungu Azidi kukuongoza tunakupenda watanzania

    • @SheikhIssaAbnau
      @SheikhIssaAbnau 11 месяцев назад

      Hee hichi kiswahi nacho au ligha nyengine 😂😂😂 usinune utni tu huu

  • @SimonLukumay-cw4bd
    @SimonLukumay-cw4bd 10 месяцев назад

    Samia amuweke lengai sabaya washirikiane na makonda watumbue majipu

  • @VascalChibilauli
    @VascalChibilauli 11 месяцев назад

    Kwan sianafaa2 kuwa mkuu kwenye taifa hili
    Uongoz nikipawa ambacho munhu Huwa anampatia mtu makonda anaweza jamani!!

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 11 месяцев назад +3

    Nilisema huyu jamaa shilima ni mpigaji saaana afungwe

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 11 месяцев назад

    Kesi za ardhi ni ngumu huwezi kumaliza jukwaani. Wengi wanauza wakimaliza hela wanashikwa tamaa wanarudi tena

  • @jonathansehaba7441
    @jonathansehaba7441 8 месяцев назад

    Iv unayoyaona makonda hao viongoz wlkua hawaon iv nchi ndo inaanza sasa kw makonda na ninyi wnachi mnachagua viongoz wbovu

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 11 месяцев назад +1

    Kwakweli iringa inaongoza kwa dhulma ya ardhi

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 11 месяцев назад

      Sana ndiomana mm niliwachia mashamba yangu ya urithi mara wanakuroga

  • @PaulineTz-y3y
    @PaulineTz-y3y 3 дня назад

    Ongera makonda ww magu wa pili,

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 месяцев назад

    Pole

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 11 месяцев назад

    KUMBE KUNA BAADHI YA RAIA WANAJUA MAKOMDA NDIYE RAIS.HIKI NDICHO WATU WALICHOACHIWA NA JPM

  • @samsonsengi7574
    @samsonsengi7574 7 месяцев назад

    NCHI IMEOZA NA KILA MTANGANYIKA ANATESEKA KIVYAKE NA SERIKALI HAIONI WALA HAISIKII, HAPO NI ARUSHA TU, JE MIKOA YOTE TANGANYIKA HALI IKOJE? KILA MBUZI ANAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE, MCCM MNATAKIWA KUJITAFAKARI SANA.

  • @janethmitema1807
    @janethmitema1807 7 месяцев назад

  • @ZaiKigwinya
    @ZaiKigwinya 10 месяцев назад

    Tatizo la wasomi wakisha ajiliwa hawana shida na kutetea haku za watu ivo hawafai kuigwa na jamii

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 11 месяцев назад +2

    Huyu Shirima kwa nini hajawekwa kizuizini?

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 11 месяцев назад +1

    Huyo shirima anyongwe

  • @HappyElias-t9f
    @HappyElias-t9f 25 дней назад

    Alafu unakuta Hawa wako ccm😅

  • @SevelnMasaka
    @SevelnMasaka 11 месяцев назад

    unafaa kuwa rais ase

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 11 месяцев назад

    Kuishi Tanzania ni laaana kubwa

  • @sabagangaEmmanuel
    @sabagangaEmmanuel 18 дней назад

    jamaa huyu ni mwamba kwel kwel nimekubal kaz yake endelea kutenda haki

  • @guyasidotto1198
    @guyasidotto1198 11 месяцев назад

    Nchi inakuwa kama haina viongozi saiv kiongoz amekuwa makonda tu aise

  • @jmastertz161
    @jmastertz161 11 месяцев назад

    watu hawajui haya yoote maumivu ya wananchi ni yanafanyika na hao walioteuliwa na chama cha kiwafukuze wote kiweke wapya

  • @TanziruJambia
    @TanziruJambia 11 месяцев назад

    Yaani makonda ww utakua waziri mkuu kwamana sio poa

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 11 месяцев назад

    Huyu jamaa ameeleza Maelezo meengi mpaka simuelewi

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 11 месяцев назад

      Anaeleweka,ni uchungu likikukuta utaelewa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 11 месяцев назад

    Waandishi kibao wa matatizo nimengi watanzani wateseka lakini wote wanakimbilia kuchambua michezo nakuisifia yanga .

  • @danieltsaxara9199
    @danieltsaxara9199 11 месяцев назад +1

    sabaya arudishwe kazini nchi ikae sawa

  • @VianaKokutensa
    @VianaKokutensa 8 месяцев назад

    Mvi ni matatizo 😅😅

  • @SurprisedAtom-vp5qe
    @SurprisedAtom-vp5qe 11 месяцев назад

    😂😂😂😂shirima hahahaaas

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 месяцев назад

    Unachimbaje kifusi kiwanja cha mtu....?

  • @tinamhimba307
    @tinamhimba307 11 месяцев назад

    ngoja uchaguzi upite ndo mtaelewa maana ya siasa

    • @SakinaJumapili
      @SakinaJumapili 11 месяцев назад

      😂😂😂umeona eee mh yetu nachoo walahi

  • @jmastertz161
    @jmastertz161 11 месяцев назад +2

    watu wanamaumivu sana 😢

  • @JascaMichael
    @JascaMichael 11 месяцев назад

    Danganyweni na ccm tu mtaipenda

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 11 месяцев назад

    😢😢😢😢😢😢

  • @happyhayola6672
    @happyhayola6672 11 месяцев назад

    MUNGU akutuze makonda

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 11 месяцев назад +1

    Why this Shirima is not in detention now?

    • @jessym8341
      @jessym8341 11 месяцев назад

      Because he is a hardworker...

  • @HassanKindururu
    @HassanKindururu 11 месяцев назад +1

    Kunahajagani yakua nawakuu wa wilaya namikoa?

  • @OliverThomas-z9c
    @OliverThomas-z9c 11 месяцев назад

    Bila maombi hii nchi hsitakuwa salama

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 11 месяцев назад

    Makonda hawasaidii kitu uchaguzi ukishapita hamtamwona.

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 11 месяцев назад +5

    HIZI ZIARA ZA MAKONDA ZIMEFICHUA MAOVU MENGI ambayo SAMIA na watendaji WAKE wameyafanya kwenye hii NCHI. Ukisikiliza hizi ZIARA zinaumiza sana Mpaka nimekoma siangalii Tena! Siangalii Tena ZIARA ZA MAKONDA Kuna mambo yanaumiza sana