"NALIA NA RPC" ADAI KUTEKWA NA ASKARI NA KUCHUKULIWA MILIONI 19, APEWA ULEMAVU, MAKONDA AMBANA RPC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 509

  • @japhetaverin-ou9rp
    @japhetaverin-ou9rp 11 месяцев назад +59

    Huyu makonda ni vile tu hana maamuz angelikua raisi angewanyoosha mafisadi😢😢

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 11 месяцев назад +3

      Kabisaaaa

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 11 месяцев назад +4

      Kabisa

    • @joyce55727
      @joyce55727 11 месяцев назад +2

      Kabisa ata mimi nazan angewanyoosha

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m 11 месяцев назад

      Ni kweli angekuwa Rais angetimuwa hata huyo RPC

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 7 месяцев назад

      Hao askari wote ni wajanjawajanja wameshagawana hao hata huyo rpc muongo anamuambiaje huyo mama kuwa kesho afike mahakamani jee kama sio mkutano wa makonda angeambiwa kwenda mahakamani

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 11 месяцев назад +37

    Huyu mama apewe ulinzi, pamoja na kutafuta haki yake

    • @ThomasMaulid
      @ThomasMaulid 7 месяцев назад

      Huyu mama ni mtu mbaya sana yani hapo analia bure tu yeye ndio tapeli

  • @Pips_Lab-v2f
    @Pips_Lab-v2f 11 месяцев назад +24

    Hii nchi hii 😢😢 ndio maana MAGUFULI alikuwa mtu wa maamuz yaan ujinga kama huu ni hapo hapo anafanya maamuzi😢😢R.I.P MAGUFULI ILA HONGERA SNA MAKONDA

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 11 месяцев назад +33

    Dah, makonda ubarikiwe sana🎉🎉 nchi yetu ni ngumu sana mnyonge hana haki kabisa, Mungu atusimsmie nchi imeoza kila kona

  • @clyvanboss
    @clyvanboss 11 месяцев назад +18

    Aiseee raia wa tanzania wanateseka Sana daaaaa😢😢😢

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 11 месяцев назад +20

    Huyu mama asaidiwe kwanza apate hela yake milion 19 ana wtt 7 imagine ingekuwa ni wewe unavaaje kiatu chake
    Mungu msaidie mama huyu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 11 месяцев назад +6

      Ni ngumu sana duniani kuna watu ufalme wa Mbinguni watauskia tu unaenda kumdhulumu mama kma huyu unatafuta Lana tu

    • @dullahmmebela5624
      @dullahmmebela5624 11 месяцев назад +1

      😢😢😢 maumivu kwa kweli!!!

    • @ThomasMaulid
      @ThomasMaulid 7 месяцев назад

      Huyu mama ni msanii kabisa yeye ndio alimzurumu pesa huyu seleman walikuwa shea kwenye mambo ya machimbo mwisho wasiku akaunza vitu bila kumshilikisha mwanashea mwenzie ambae ndio alikuwa mtoa pesa hata hukienda kule anakotokea wanajua kabisa anasema uongo amezoea kufanya hvyo kwa mwatu unajua ukisikiliza upande mmoja unaweza kuukumu bure

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 11 месяцев назад +21

    Duuh hii nchi ngumu sana aiseee,...kama huna ela imekula kwako

  • @FelxiPius
    @FelxiPius 11 месяцев назад +18

    Mweshimiwa Makonda kazi unayofanya tunaiona tunamshukuru sana mama kwa kukuona pia kukupa nafasi hiyo mkuu, Mwenyezi Mungu akutangulie na akulinde akupe afya njema uzidi kututetea wanyonge

    • @faustinedeogratias4337
      @faustinedeogratias4337 11 месяцев назад

      Kumbuka rais bado ni but, kias kwamba hata makonda nae anaishia kuibua tu

  • @ISMAILNASHON-zh3sg
    @ISMAILNASHON-zh3sg 11 месяцев назад +40

    Ndugu makonda tunaona jitihasa zako za kusaidia na kutatua kero za wananchi lakini, nafasi uliyonayo inakubana kutoa maamzi ikiwa ni pamoja na kuwapunguza viongozi wasiotenda haki," tunaomba ugombee nafasi kubwa mpumzishe mama mziki huu hauwezi::: Kama TANESCO wanatutesa sana aise," wanadai tufanye kazi nchi iwe na maendeleo je, hayo maendeleo yatatoka wapi wakati mda wa kufanya kazi wanakata umeme????? Tunaomba utusaidie

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 11 месяцев назад +5

      Nafasi aliyo pangiwa na Mwenyezi Mungu kwa sasa ni iyo mengine Dua inatakiwa

    • @kilianikiliani
      @kilianikiliani 11 месяцев назад

      a1

    • @addomapunda957
      @addomapunda957 11 месяцев назад

      Kaka makonda vilii ivyo vitendee kazi

    • @rogerstemu
      @rogerstemu 10 месяцев назад

      Daah! Kweli baazi ya watanzania wanateseka na kuzulumiwa, Makonda wasaidiee😭😭

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 11 месяцев назад +4

    Samia suluhu hasan makonda safii mungu awasaidie sana

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 11 месяцев назад +38

    Aisee kwa kweli mimi sina imani na nchi hii serikali yetu ime tufanya wananchi mbwa sisi 😢😢😢

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 10 месяцев назад +1

    Daaaa Mwenezi wetu ishi sana MUNGU AKULINDE SANA KAKA

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 11 месяцев назад +12

    Mimi nimekosa Cha kuandika zaidi ya kutokwa😭😭😭😭😭

  • @Don_Saleh_
    @Don_Saleh_ 11 месяцев назад +14

    Wengi tuna mengi tuna tamani kupata nafasi km hii yakuongea sehem tutakayo sikilizwa km hv.

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 11 месяцев назад +4

      Uyu makonda anafaa kua rais sababu anasikiliza kesi za watu na watu wanapenda mtu anae sikiliza matatizo ya wananchi uyu tumpe kura tumchague sio rais samia anazidisha utitiri wa maisha magumu rishwa nyingi sana mavamizi kwenye nyumba zawatu imekua hatar

    • @Don_Saleh_
      @Don_Saleh_ 11 месяцев назад

      @@khadijachacha3156 sawa nakubali makonda kura yng anayo lkn kwa ss hv ingetafutwa njia ya watu kuzifikisha sauti zetu kwa wakubwa maana ni wengi wanamengi yakusema ambayo yanaweza hata wakubwa kutushukuru wakaliendesha Jiji kwa ukamilifu km raisi magufuli alivyokuwa akiwapata watu waajabu jijini .

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 10 месяцев назад +2

    Uchaguzi ukipita mateso yanaendelea😊

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 11 месяцев назад +5

    mungu atakusimamia ,zaidi hongera sana Kwa kuweza kujielezea 💪

  • @TaibAdam-i9d
    @TaibAdam-i9d 11 месяцев назад +5

    M/Mungu mlinde Mh Makonda.

  • @saimonpastory866
    @saimonpastory866 11 месяцев назад +1

    Makondaa nakukubali sanaa mungu akulindee sanaaa na utafikaa mbalii sanaaa

  • @Johnjoshua-b7p
    @Johnjoshua-b7p Месяц назад

    Broo makonda nice nice ❤❤❤mungu akupe maisha marefu?Sina la kukupa Ila nitakuombea Sana kwa mungu❤❤❤❤❤

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk 10 месяцев назад +1

    Hii dunia wengi wame kufa kwaajiri ya kutetea haki zao

  • @NoelMayunga
    @NoelMayunga 11 месяцев назад +5

    Mungu akulinde mkuu wapo wengi wanakasilika unayofanya ila naomba mungu akupe ulinzi wake

    • @FatumaMadende
      @FatumaMadende 4 месяца назад

      Mh makonda kama uko hai naomba uje tanga kaka

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 10 месяцев назад +1

    Makonda nakuomba siku zijazo ugombee uraisi from From Congo to Sweden.

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 11 месяцев назад +6

    Wallah watu wanadhambi duniani hapa tenawanake ndio roho mbaya zaidi mkuu msaidie huyo mama

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 11 месяцев назад +2

    Magufuli karudi tena hahaha mji unakazi❤❤❤

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 месяцев назад +3

    Yuko wapi mtetezi wao wananchi hawa?. Mungu mkuu aturehemu. Amen.

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 10 месяцев назад +1

    Imagine Kuna watu wapo jela kwa kesi za kusingiziwa ,miaka 20 wengine 30 wengine 10 wee imagine tu hali zao

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 11 месяцев назад +7

    @Paul Christian Makonda, hongera Poti kwa kuibua madudu mikoani, kwa kweli chama CCM kina kazi sana cha kutatua matatizo ya wanyonge... Da

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 11 месяцев назад +2

    Mama yuko wazi mno na RPC Kajieleza vyema mno na mama Kaongea hiliyo kweli basi kusikilizwe kote

  • @EmmanuelMwanza-ef9bf
    @EmmanuelMwanza-ef9bf 11 месяцев назад +2

    Yani hadi saivi nimebaki mdomo wazi jmn kunawatu wanateseka sana dah😢😢 siwezi kumuamini kiongoz yoyte hapa dunian mm

  • @MohammedPakia
    @MohammedPakia 3 месяца назад

    Mh magufuli tutakukumbuka daima mungu akupeleke pepon

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 11 месяцев назад +1

    Hii serikali ya ccm ina madudu sana mbna wanapindisha mambo sana

  • @KennMwabili
    @KennMwabili 3 месяца назад

    Makufuli wa pili💪💪💪💪💪💪

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 11 месяцев назад +3

    Makonda 🤝❤❤🎉 Chapa kazi najuwa lau ungelikuwa na uwezo wa kutimbua hizo shida zingelikwisha kitambo. Bt kwa sasa upo sawa mwenezi. BigUp❤❤🎉

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 11 месяцев назад +3

    CCM Hoyeee.... Endeleeni kumalizana huku mkisema mna serikali ya kutetea wanyonge huku wanyonge wenyewe wakinyongwa.

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 10 месяцев назад +1

    Mama kama hao wapeninmadaraka wanyooshe nchi sio madigriii TU hata sisi wa chini tunaweza na nchi inapotea Kwa watu wachache

  • @AaronMbayo
    @AaronMbayo 10 месяцев назад

    Mungu akubariki baba makonda ni Mimi aruni kutoka kongo❤

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 11 месяцев назад +2

    Nacheka huku nasikitika jaman mama Samia unaona mambo hayo mambo mapya kabisa Sasa naanza kukupenda MAKONDA mungu akulinde. Ila watu wanakilio jaman Sasa MAKONDA mbona umesahau yule mme ametekwa umelimalizaje

  • @Matimila_Boy
    @Matimila_Boy 10 месяцев назад

    Sio shabiki wa siasa ila unachofanya makonda aisee Mungu akubariki

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 11 месяцев назад +2

    Police wakishaona hela tu basi ujue huzipati ng'o, nikikumbuka walivyo nichukulia elfu 18 yangu 😂😂😂 nabakigi nacheka tu

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 11 месяцев назад +4

    Ila maombi tunayo omba kila siku iko siku Mungu atatusaidia

  • @clemencemarcelli3365
    @clemencemarcelli3365 11 месяцев назад +11

    Hii nchi inatakiwa iendeshwe kijeshi

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 10 месяцев назад +1

    Wanawake wanaweza kuhurumia midume tu, sio wanawake wenzao kbisa.....😮😮😮😮

  • @navicsaimon3141
    @navicsaimon3141 11 месяцев назад +1

    Hiii nchi Hawa wasenge wanaonaga hawatakufa Haina noumaaaaaaa mbwa nyiee😢😢😢

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 месяцев назад

    Huyo RPC wa Shinyanga atumbuliwe kabisaaa

  • @TumusifuJackson
    @TumusifuJackson 11 месяцев назад +2

    Dada angu Africa inafahamika kuwa mapolici niwezi mbona mambo hayo yalitutokea maranyingitu mapolici niwahuni basi siwabadirike rabda selekali hamuwapi mishahara twambieni tujue Moja.

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 Месяц назад

      Mimi nili muwazima mtuu gari yangu arusha jamaa akakimbia nagari nilizungushwa hapo sentro mpaka nikakoma kama sikua na kioongozi wa juu ningepoteza gari mana nilizungushwa vibaya sana makonda angalia hivo vituo vya polisi arusha watu wanapoteza haki zao

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 11 месяцев назад +2

    Matatizo ni mengi,yanayokufikia mheshimiwa ni robo tu 😭

  • @treasureandme1703
    @treasureandme1703 4 месяца назад

    Mzimu wa mtetezi wa wanyonge wa Magufuli upo ndani yako, Mungu akulinde na wabaya wachache wasiopenda haki

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg 4 месяца назад

    Du !!!Mungu atusaidie wanyonge tunaonewa ,,mweshimiwa msaidie huyu mama,

  • @phoebembwambo2763
    @phoebembwambo2763 5 месяцев назад

    ❤❤Rais ajayeeeeeeeee

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 10 месяцев назад +1

    Walitaka kumua mama wawatu kwa hela yake

  • @Abdul-rn5zj
    @Abdul-rn5zj 11 месяцев назад +2

    hakimu wa kweli ni mungu

  • @abushirissa-pc5lq
    @abushirissa-pc5lq 11 месяцев назад +9

    Ifike wakati viongozi wetu waone aibu wa Tanzania wanaishi kwa shida, hali nchi yetu ina watu wana hali ngumu sana...bado mali zote za nchi za kwenu na mnakuwa wakatili kwa wananchi.hivi hii nchi ni ya wenye vyeo tu au?...mbona nchi zilizo endelea wanajali raia wao?...TZ mwenye cheo anaweza kumpiga na kumzalilisha mwananchi.😭😭😭😭😭

  • @JumaFadhili-p1h
    @JumaFadhili-p1h 11 месяцев назад

    Kwa kwer japo magufur katutangulia we nae unajitaid mh makonda mungu hakulinde so majeshi yetu ya hakiba tuombee kwa mama fursa nakusaminika kwan Nas tuko vizur ❤

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 11 месяцев назад +3

    Harafu MTU anakwambia CCM oyeeeeeeee 😃 watu wanateseka hivi

  • @ConsolataKalili
    @ConsolataKalili 4 месяца назад

    Duu!! Watanzania mnakumbuka kauli ya rais Magufuli??? Tutamkumbuka!! Haya mmeona Madudu yanayojitokeza? Hakuna haki kabisa.😢😢😢😢 .

  • @patricemapike9244
    @patricemapike9244 5 месяцев назад

    Sasa makonda kwa nini watu ni wanyama kiyasi icho 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 jamani kaka yangu unakazi ngumu saaaana Mungu akupe ulinzi kabisaaa ju mwanadamu hataweza

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 10 месяцев назад

    Nchi hii jamani.Mungu amuongeze Mh.Rais na atusaidie wanyonge.

  • @AgastaKitema-dl1fz
    @AgastaKitema-dl1fz 10 месяцев назад

    Mungu akulinde Makonda

  • @georgewambura7695
    @georgewambura7695 10 месяцев назад +1

    Hii nchi basi tu wananchi wake tunaonewa sana

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 11 месяцев назад +2

    Marapisi wote nchini wote watalowe wote hawafai wote

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 месяцев назад +1

    Kwenye Hii Nchii Sisi Wanyonge Tupo Mashakani Sana Yani Police Wanajaalibu Kumzungusha Mumy wa Watu Roho Inaniuma Sana Mpka Machozi Yamenitoka

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 11 месяцев назад

    Haki ya Mungu Mh Makonda unafanya kazi ngumu sana ambayo kama chama kingekuwa kinasimamia hayo hakuna wa kuwapinga ila wasiwasi wangu usijekuwa unafamya hayo wengi hawayapendi kaka kwenye chama
    Natamamani viongozi wote wangefanya kama ulivyo tungefika mbali sana kama nchi

    • @johnkmjema9727
      @johnkmjema9727 11 месяцев назад

      Wewe subir kijacho, kama ni kweli! Utanijibu wakat fulani

    • @irenemichael
      @irenemichael Месяц назад

      Alindwe na Mungu makonda

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 10 месяцев назад +1

    Kumbe kunawatu wanateseka kiasi hiko taifa hili ? Nadhani viongozi wetu sio viongozi sahihi kbsa.....

  • @Ariisinemax
    @Ariisinemax 10 месяцев назад

    Makonda nakutazama Sana kutoka turkana Kenya,,,nimefurahia zaidi

  • @ngatatv1365
    @ngatatv1365 6 месяцев назад

    Ni sawa kutoa shida zetu lakini kulia basi naombeni tupunguze😢

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 11 месяцев назад

    😢😢😢 Mungu wangu 🙆‍♀️kusema kweli zulma zipe wanyonge wana wana teseka 😢

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 11 месяцев назад +1

    Hawa wote ni wanafki tu na wamepanga tu maccm wote ni washenzi tu amni hata huyu mama ni muongo tu amni na makonda mungu anakuona tu na ushenzi wenu huu munapanga huyu mama namjua vizur sana

    • @grolyqueen5833
      @grolyqueen5833 11 месяцев назад

      Nikweli ila omba yasikukute ata Kwa ndugu yako yoyote😢😢

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 11 месяцев назад

      Unasema kweli?? Kwamba wanatupiga changa la macho

  • @dipaymarkmediaproduction
    @dipaymarkmediaproduction 10 месяцев назад

    Kutoka kenya Mungu bariki serekali ya Tanzania kenya tunaumia

  • @sarahfesto8411
    @sarahfesto8411 11 месяцев назад

    Kaka yangu M .mimi binafsi nakupenda sana , ila nakuomba achana na hizi kesi , washughulikie wakuuu wamajuu, hatutaki sisi tukupoteze, 😢 naogopa jamani.

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 11 месяцев назад +1

    Kumbe utapeli si tu kwa wale wanaotuma meseji hadi viongozi serikalini wanaotakiwa kulinda raia ndo weziiiii matapeli balaaaa... Mungu atawahukumu na muandae majibu ya kumpa Mungu maana si kwa dhuluma hii

  • @PaschalMasala-n7i
    @PaschalMasala-n7i 11 месяцев назад

    Natamani sana siku moja makonda awe makamu wa rais, ili awe na uhuru wa kuamua jambo papo kwa hapo ananifurahisha sana Kaz anayo ifanya

    • @amerjuma4574
      @amerjuma4574 11 месяцев назад

      Hawez kua makmo wa Rais atakua Wazir kwaza mana Urais ni Hatua kubwa wapo watu wengi hpo wanasubiria foleni ya urais

  • @RodricTofir
    @RodricTofir 11 месяцев назад

    Yaani makonda upo vizuri sana natamani uwe rais ufanye maamuzi ya juu sana

  • @jeturdasimon4851
    @jeturdasimon4851 11 месяцев назад

    Ipo siku makonda utakuwa rais wa nchi hii nautatutetea wanyonge mungu bariki makonda

  • @HawaAdam-t2l
    @HawaAdam-t2l 11 месяцев назад

    Mhmm,,kumbe makonda,umejivisha mabom,,yn umejitoa muhanga,,Mungu akulinde,,

  • @zombokoyassin-li8sd
    @zombokoyassin-li8sd 10 месяцев назад

    Makonda hatari mungu akulinde sana

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo 10 месяцев назад +1

    jaman hii nchiii duuuh

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 7 месяцев назад

    Aiseee😢😢😢Makonda barikiwa

  • @PetroEliakimu
    @PetroEliakimu 9 месяцев назад

    Pole sana dada yangu

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 11 месяцев назад

    Hivi chama tawala na serikali yake kwa madudu haya, watatuambia wana sababu gani kutuomba kura zetu? Kwa madudu haya wanajivua nguo! We Tanzanians need to uproot the root through people's power! ......Hoyeh! Ina uhalali gani?!

  • @BoazimakolobelaMakolobela
    @BoazimakolobelaMakolobela 15 дней назад

    Mungu akikuonesha jumbe zangu nipe nafasi nikuombee baba makondaa

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 10 месяцев назад

    Namuomba M Mungu akinipa uwezo naleta Meli kama ya titanic nabeba wanyonge wote nije nao huku ulaya wale bata

  • @AibaSaidy-jz3xs
    @AibaSaidy-jz3xs 11 месяцев назад

    Tanzania 🇹🇿 Yangu Jaman nikwel makonda amechaguliwa lakin hawez kutowa maamuz magum.ee mungu ibariki Tanzania

    • @Soon815
      @Soon815 11 месяцев назад

      Tumia akili madaraka yake yapo limited

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 11 месяцев назад +1

    Lakini hakuna machozi isipokua kujifanyisha. Hapo sisemi kua hajayapitia.

  • @donkingtraders692
    @donkingtraders692 11 месяцев назад

    Makonda m.mungu akutangulie na jitihada zako pambana kaka ...

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 11 месяцев назад

    TATIZO NCHI HII watu wanamengi ya kusema kutokana mateso na ma yanyaso lkn hawana pa kusemea. Viongozi wanye wajibu wa kumsaidia Rais wanajiona mungu mtu hawamsaidii Rais

  • @josephyamathlaizer-op9sw
    @josephyamathlaizer-op9sw 7 месяцев назад

    Daah inauma sana jamani 😭😭😭

  • @IsakSasi-tf9sr
    @IsakSasi-tf9sr 8 месяцев назад

    pole.sana.mama.hii.ndio.tanzania

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 11 месяцев назад +2

    Mheshimiwa Makonda Mateso ya raia wako kweli hao watumishi wa serikali kwa kweli ni waongo .Mheshimiwa Makonda msaidieni huyo Mama.nafutilia sana ujumbe toka nje ya tz.

  • @AthumanBugota
    @AthumanBugota 11 месяцев назад +1

    Dada angu kateseka sana ifike hatua apewe haki yake sasa kafanya kazi kwenye mazingira magumu sana mgodini pale alikuwa mwanamke pekee Mwenye uthubutu wa kumiliki wachimbaji na maduara kama Saba lakini Leo anatokea mtu anataka kumpokonya haki yake hii haikubariki kabisa aisee

  • @amerjuma4574
    @amerjuma4574 11 месяцев назад

    Kazi za Rais na Waziri mkuu sikuhizi anafanya Mwenezi wa chama cha ccm wakat Rais wa Taifa yupo, Waziri mkuu yupo, makmo wa Rais yupo.. spika wa bunge yupo....😢 piga kaz makonda Rais mtarajiwa

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 11 месяцев назад +1

    Ohoo jamani dada Tanzania inakuwa ya kuteka na kuteswa 😢😢Nini hii?

  • @HadijaSalum-kf6gy
    @HadijaSalum-kf6gy 10 месяцев назад

    Mm baba angu alidhulimiwa na Hawa askar mzigo wako wa samaki na alipelekwa polisi akasingiziwa kesi,kiukweli mm ata Leo nawachukia xana askari,wanakukamata na wanakusingizia kesi

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 11 месяцев назад +3

    Sasa kiongozi wa chama ndo awawajibishe viongozi?CCM na mifumo Yao haifai

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 11 месяцев назад +4

    Kwa kweli makonda Mungu akusamehe mno kwa yote ambayo pengine ulikosea kipindi chako cha utumishi wako kwa mkoa wa dar.kupitia haya unayoyafanya Mungu anakuona ndugu makonda hakika unakitu na mungu anamakusudi na wewe

  • @saadkobelski8705
    @saadkobelski8705 10 месяцев назад

    MUNGU atulinde hii dhamana ya uongozi mmepewa na MUNGU mtaulizwa mliwasaidia vp jmn

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 11 месяцев назад +3

    KAKA NIMEANZA KUKUELEWA KUNA MIJITU YA HOVYO SANA KATIKA NCHI HII, HUYO RPC ANAONGEA KIJINGA SANA

  • @VeronicaYenga
    @VeronicaYenga 8 дней назад

    Mama, asaidiwe kisheriia zaidi, mambo madogo haha yasichafue utendaji

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 11 месяцев назад

    Nchi nzuri ila tuko pabaya mh Makonda.Huo ndio uharisia wa nchi hii ni ngumu jamani!!!!!.Chukueni hatua Mh mwenezi,watu wana shida kubwa tena nyingi.

  • @DicksonKobe
    @DicksonKobe 11 месяцев назад

    Nchi hii kazi ipo duh sasa laki moja Makonda apo umechemsha mkuu nakukubali lakini ungeona mbali kwenye ilo😂😂😂

  • @ElivilaAdiliani
    @ElivilaAdiliani 4 месяца назад

    Jmn pole sn mama angu😭😭🙏