Mh: Paul Makonda kazi yako ni nzuri binafsi kwanamna unavyosikiliza shida za wananchi na kuzitatua najikuta machozi yananitoka. Amini kwamba MUNGU amekuamini na amekuchagua kupitia Mh: Raisi Samia. Tunakuombea huyo MUNGU akuongoze, akulinde na akukinge na mabaya yote Amina
Kwakweli mama Rais wetu samia kitendo cha kumpa nafasi mheshimiwa makonda, binafsi nakupongeza sana yan kama ingekua timu ya mpira ningesema umefanya super sub, hongera sana mama yetu mungu akulinde na uendelee kutuongoza mhula ujao InshaaAllah
Mungu akulinde Makonda kazi ipo baada jpm kufariki kunamadudu yaajabu nduguyangu pita kijiji kwa kijiji tena si kwasiku moja japo ukae siku mbili mbili kwa faida ya wanakijiji
Dah umetumia Akili ndogo sana kusema ayo ila Rpc ni binadamu pengine wala sio ccm..ila kila watu wana roho zao Mm sikuwa namkubali san Makonda ila sasa naanza kumuelewa kumbe kuna madudu mengi yanajificha kwa vyeo ila huyu kaka anafanya vitu vyengine vinaelekea
Rps pole kwa kashi kashi ila pambania wananchi hao ndio waliokuweka hapo japo nimeona unapambana mungu akubariki pia mr.paul makonda my br. Unafanya kazi kubwa sana
Napenda CCM. Napenda pia viongozi km Makonda. Ila ktk ziara zake, kuwe na watu maalum wa kuchukua taarifa zikafanyiwe mchakato na hatua za dhinamu zichukuliwe juu yao. Tunanyanyasika sana.
Honestly Tanzania is a wonderful country. President Maghufuli had set a great precedence and I'm very happy to see Mama Samia continuing with the same legacy, and she gave it to the right person Mr Makonda. I'm sure Mr Makonda is the next future president in waiting
Mimi nakuita "Dume la madume" sikuiti makonda hakika wewe umeshushwa na mungu kama mtetezi wa watanzania wote, mungu akujalie maisha marefu na akulinde dhidi ya maadui.
Kazi ya utawala ngumu sana has aAfrica ambapo hatujui kutawala ndiyo maana kila sehmu kirio utafikili hatuna wakuu wa mikoa, hatuna wakuu wa wilaya, hatuna ma RPC, wala Ma OCD maana wote wanakaa ofisini tu kusubili madili badala ya kushughulika na matatizo ya wananchi.
Inasikitisha sana 😭😭😭, watu wanapoteaje kienyeji hivi??? Huyo rpc anadai hamjui seriously???? Hapo shinyanga kuna shida sana. Mpaka makonda aende ndo tuyasikie haya na hawa waandishi WA habari wamekalia uchawa Kwa CCM Tu, habari kama hizi Kwa nini hawazifuatilii??? So sad 😭
Kabisa brother yani hawajui wajibu wao inauma sana na utashangaa lingne mshahara ukicheleweshwa linalamika n wakat kazi halifanyi kama linavyozingatia mshahara n madili
"Ndugu yangu Mungu amekuleta naomba unitendee haki" Watu wanadhulumiwa sana na hawa wenzetu walioko kwenye mamlaka, Mungu iokoe Tanzania na Africa kwa ujumla dhidi ya wale wote uliowapa dhamana ya uongozi na kuitumia kwa kuwanyonya na kuwakandamiza wanyonge kwa maslahi yao binafsi
Hakika makonda nakupongeza ila unakazi ngumu mno na hutaimaliza lakin kwa jitihada yako kwq wananchi inshaalla utapoishiya hatutakilaumu mungu akulinde kaka Yani aibu nchi imekuwa kqma haina watendaji huko mitaani hatari AGP wambura fika fika mitaanihuko usisubiri uadhirike kamanda
Nasikiliza tu Ila watu Wana shida kubwa Sana cha kushangaza sasa bdo CCM inashinda Jaman yatubasa kupambania haki zetu tuandamane na tukubali kuitupilia mbali hii serikali
Huwa najiiuliza maranyingi!! Hivi upolisi huwa unawafanya watu wawe na mioyo migumu!!! Ukweli polisi wetu wanaroho ngumu sana!! Fanya kazi ndugu yangu!! Hiyo ni kazi ya mungu!!
Ndugu zangu hata kama mnakua na matatizo ila mnapopata nafasi ya kueleza au kuongea mbele ya makonda punguzeni uongeaji wa mfululizo usio na maana hoja zinatakiwa zijibiwe kwa hoja. Hilo pia itasaidia kumpa makonda nafasi ya kuwasikiliza kwa usikivu mzuli.asanteni ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hivi kweli tutafika kwa style hii, ya kutokutenda haki, ,makonda pekee yakee hataweza kumaliza kero maana leo.yupo kesho hatakuwepo, na buashara itakuwa kama kawaida hebu tuliyopewa dhamana tuwajibiki, .na tujuwe kuwa baada utumishi kuusha hatutakuwa na raha maishani bali majuto tu.
Uzembe Wa jeshi La Police kutojua majukumu yao ipasavyo... niwazi kuna rushwa na uzembe unaofanywa na polisi! Muheshimiwa mwenezi watie spana hao washughlikie ipasavyo waongo polisi nivitisho kwa wanyonge tu ndio nguvu yao inapo onekana. Venginevyo hamna
Tumefikaje hapo kisiwa cha amani leo ni kilio kila mahali tumekosea wapi jamani ee mungu tusamehe kweli kupotea mwanadamu inauma bola azikwe utalia na kufalijika
Makonda usi konde bro,hongera kazi poa sana lakini chunga wenye wivu wa kisiasa juu ya umaarufu wako na ukaribu wako kwa RAIS MAMA SULUHU.Kazi nzuri hapa Kenya nafuatilia
Ongeraaa Sana Baba makonda na pia pore Sana kwa Kazi ngumu hiyo.Sisi wananchi tuko pamoja naraisi wetu Mama Samia .Tunajua hamlali kwajili yakutatua kero zetu na kwaajili yakuleta maendereo kwenye Taifa letu.Mimi Kama kijana ambaye nimkulima Natoa pongezi za zati kwa raisi na viongozi wote wa serikali na Chama Cha mapenduzi.Tunaelewa yote mnayo yafanya kwajili ya Taifa Nazidi kuwaombea viongozi wangu kwa Mungu .
CCM wote wangekua kama wewe wananchi tungeishi maisha yenye furaha na wa ccm wengine wajaribu kuiga matendo yako mungu akupe maisha marefu uendelee kuwasaidia wa Tanzania.
Unajua kuna wapumbavu wanabeza ziara za huyu jamaa makonda kama hazina maana lakini daah ziara zahuyu jamaa zinawakumbusha sana wengi uwepo wa mzee wetu magufuri wewe piga kazi mzee ss kama wananchi tunaona hao wengine wapiga kelele hawatubabaishi kaka wasimamie wanyonge pia msaidie mama watu wanateseka kiongozi wasaidi wanyonge ni mungu peekee ndio atawalipa
Mh: Paul Makonda kazi yako ni nzuri binafsi kwanamna unavyosikiliza shida za wananchi na kuzitatua najikuta machozi yananitoka. Amini kwamba MUNGU amekuamini na amekuchagua kupitia Mh: Raisi Samia. Tunakuombea huyo MUNGU akuongoze, akulinde na akukinge na mabaya yote Amina
Kweli kabisa ata mm machozi yanabubujika anachimbua uozo kweli kweli
Kwakweli mama Rais wetu samia kitendo cha kumpa nafasi mheshimiwa makonda, binafsi nakupongeza sana yan kama ingekua timu ya mpira ningesema umefanya super sub, hongera sana mama yetu mungu akulinde na uendelee kutuongoza mhula ujao InshaaAllah
Mungu akulinde Makonda kazi ipo baada jpm kufariki kunamadudu yaajabu nduguyangu pita kijiji kwa kijiji tena si kwasiku moja japo ukae siku mbili mbili kwa faida ya wanakijiji
Pole mwenezi kazi yako ngumu Sana mungu akutunze
Wakiona anafanya vizuri ananyendo Kama zamagufuri watamtowa
Mashallah magufur mtetezi wa wanyonge sasa kapatikana mwenyez mungu akubariki baba😭
Mwenyezi Mungu akulinde makonda kaka yangu
Asante Sana Makonda Kwa Kukiumbua Chama Chako Kwa Maovu Serikali Yao Isivyowatendea Haki Wananchi.
Dah umetumia Akili ndogo sana kusema ayo ila Rpc ni binadamu pengine wala sio ccm..ila kila watu wana roho zao Mm sikuwa namkubali san Makonda ila sasa naanza kumuelewa kumbe kuna madudu mengi yanajificha kwa vyeo ila huyu kaka anafanya vitu vyengine vinaelekea
@@ramsonramadhan4156 Bro Rudia Kusoma Na Kuelewa Kilicho Andikwa!!!!
@@ramsonramadhan4156makonda anakiumbua chama chake kwamba hakisimamii haki za wananchi kimeshindwa kutoa haki za watu
Nimeota makoda kawa Rais wa Tanzania ❤
Kura yangu lazima nimpe
Mungu akulinde mimi nakufahamu toka ulipokua Mkuu wa Mkoa wa Dar
Big up makonda mungu akulipe mara dufu
Makonda makonda makondaaaa mungu akubarikiii tusaidie kaka
Dah Mungu akulinde Mweshimiwa Makonda. Rais Samia Asante sana kwa kumleta makonda
Rps pole kwa kashi kashi ila pambania wananchi hao ndio waliokuweka hapo japo nimeona unapambana mungu akubariki pia mr.paul makonda my br. Unafanya kazi kubwa sana
R. I. P Magufuli wetu tunakukumbuka sana baba yetu 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
naonakm nimemuona tena magufuli makonda hongerayake
Mheshimiwa Paul Makonda Mungu akuongoze na akulinde 🙌❤
Mungu akulinde Kaka yangu makonda
Hii Kazi aliyo ianzisha Makonda ni nzito sana😢
Ndio maana inabd aongezewe ulinzi
Ninzuri coz wanyonge wanaonyabyasika wanapata haki yake
Makonda njoo nahuku daar utusaidie angalia coment zetu
Makonda Mungu akubariki na akulinde Sana.
Hongera sana kiogozi
Makonda hoyeee. Fanyakazi mwanangu. Malipo utayakuta mbinguni Kwa Baba Amen
HAO makamanda mbn wanaangusha jesh wasukumwe ndanii tuuuu mashaka matupuuu daaah safii makondaa
wamemtoa kafara
MAGUFULIIIIIIIIIIIIIIIEEEEEEEEEEEE, HUKO ULIKOLALA BABA SIMAMA.
Mbona hata enzi zake yalikuwepo
Akisimama ww utalala
Napenda CCM.
Napenda pia viongozi km Makonda.
Ila ktk ziara zake, kuwe na watu maalum wa kuchukua taarifa zikafanyiwe mchakato na hatua za dhinamu zichukuliwe juu yao.
Tunanyanyasika sana.
Hapo makonda namm leo nimekupenda 🎉
Ubarikiwe kwa hili kiongoz
Mungu atusaidie kwa kweli
Mh/makonda hongera sana M/mungu akuongoze
Mungu akulinde sana Makonda kazi hii ni ngumu maana tumefikia pagumu sana inch hii viongozi wangi wamekua kichomi sana
Well Done ✅👍✅ Paul Makonda , magufuli way is what we need 😢
Eeeeeh kazi kweli kweli.
Makonda nakupenda Kwa ajili ya ALLAH
Honestly Tanzania is a wonderful country. President Maghufuli had set a great precedence and I'm very happy to see Mama Samia continuing with the same legacy, and she gave it to the right person Mr Makonda. I'm sure Mr Makonda is the next future president in waiting
Up up comrade Makonda wananchi wanachangamoto nyingi sana unafanya ibada unapokuwa unatatua shida za wananchi.
😭😭😭huyu bint kanifanya nilie sana kwa uonevu huo anaoupata Mungu amsaidie
Kwa kweli mungu hapendi watamtoa tu! NaitKuwa ni ainbu
Igp angalia haki ya Watanzania. Simamia vijana wako. Asante. Mungu mkuu akupe hekima katika yote. Amen.
Daah aisee swahiba wangu Issa Mungu ndie anajuwa namna ya kukurudisha. Kitambo sana swahiba 😭
Mimi nakuita "Dume la madume" sikuiti makonda hakika wewe umeshushwa na mungu kama mtetezi wa watanzania wote, mungu akujalie maisha marefu na akulinde dhidi ya maadui.
Mheshimiwa Kiukweli Mungu akulinde Sana kiongozi wa watu mzarendo wa taifa hili
Asante mama samia kwakuturudishia mtetezi huyu wa sisi wanyonge ni juhudizako mama ❤
Huyu mwamba tulilkosa, lkn mama tunakushukuru saaana kwa kumuibua Tena Huyu jamaa ❤❤❤❤
Kwaya mtakatifu sisilia
Kazi ya utawala ngumu sana has aAfrica ambapo hatujui kutawala ndiyo maana kila sehmu kirio utafikili hatuna wakuu wa mikoa, hatuna wakuu wa wilaya, hatuna ma RPC, wala Ma OCD maana wote wanakaa ofisini tu kusubili madili badala ya kushughulika na matatizo ya wananchi.
M
Inasikitisha sana 😭😭😭, watu wanapoteaje kienyeji hivi??? Huyo rpc anadai hamjui seriously???? Hapo shinyanga kuna shida sana.
Mpaka makonda aende ndo tuyasikie haya na hawa waandishi WA habari wamekalia uchawa Kwa CCM Tu, habari kama hizi Kwa nini hawazifuatilii??? So sad 😭
Kabisa brother yani hawajui wajibu wao inauma sana na utashangaa lingne mshahara ukicheleweshwa linalamika n wakat kazi halifanyi kama linavyozingatia mshahara n madili
Kweli watanzania Bora tuwe na vita kuliko kusema tuna amani watanzania tunashida nyingi sana na manyanyaso mengi sana mpaka nimetoa chozi😢
Inauma Sana kwa jeshi letu
Ukosahihi
We vita unaijua au unaisikia ? Acha huo upuuzi. We la kuomba ni watu kujitahid kutenda haki na kuacha manyannyaso kwa haki za raia
@@allymohamed6265 wewe ulishawahi kuiona au unafikilia watu wanavyoishi na kufanyiwa unyama w namna hiyo unahisi n furaha
@@allymohamed6265huna kile unachokijua,, jambo lolote gumu hutatuliwa kwa damu👀👀
Kaka anamheshimisha mama kiukweli mama hongera kuchagua makonda hapepesi macho yuko moto mungu akulinde maana wabaya ni wengi nyuma yako❤
"Ndugu yangu Mungu amekuleta naomba unitendee haki"
Watu wanadhulumiwa sana na hawa wenzetu walioko kwenye mamlaka, Mungu iokoe Tanzania na Africa kwa ujumla dhidi ya wale wote uliowapa dhamana ya uongozi na kuitumia kwa kuwanyonya na kuwakandamiza wanyonge kwa maslahi yao binafsi
Kamanda janet pole uko vizuri
Hakika makonda nakupongeza ila unakazi ngumu mno na hutaimaliza lakin kwa jitihada yako kwq wananchi inshaalla utapoishiya hatutakilaumu mungu akulinde kaka
Yani aibu nchi imekuwa kqma haina watendaji huko mitaani hatari AGP wambura fika fika mitaanihuko usisubiri uadhirike kamanda
Uyu mama ni tatizo kubwa ni TATIZO 😢😢😢
Huu RPC akamatwe afungwe...
ee mungu mhifadhi sana makonda maana analeta matumain kabisa kwa watanzania
Nasikiliza tu Ila watu Wana shida kubwa Sana cha kushangaza sasa bdo CCM inashinda Jaman yatubasa kupambania haki zetu tuandamane na tukubali kuitupilia mbali hii serikali
Mh Mwenezi wa chama tawala nchi imeoza saidia watu wa Mungu
Nakuombea Afya njema na kazi yako maana hapo mungu akulinde mdogo wangu
Makonda mungu akubariki Sana...
Vizuri havidum mungu mdumieshe makonda aishi miaka mingi apate cheo cha juu zaidi ili aweze kua namamuzi magum zaidi❤
Duhh jamani, kumbe kuna mazito!!
Muheshimiwa Mwenyezi!😂😂 Rpc mzima umjui mwenezi!! shinyanga oyee 👏
Huo unaitwa mchecheto
Rpc ni ttz kubwa HP polisi mmmh
Huyo rpc hafai
Huyo RPC hata uhitaji uchunguzi wa kina kujua yanayoendelea kwake. Kiufupi anahusika kwenye madudu.😢😢😢
Jamani mama pole sana mungu ataweka wazi tuu
Huwa najiiuliza maranyingi!! Hivi upolisi huwa unawafanya watu wawe na mioyo migumu!!! Ukweli polisi wetu wanaroho ngumu sana!! Fanya kazi ndugu yangu!! Hiyo ni kazi ya mungu!!
Piga spana Mh. Makonda. CCM oyeeee 👍 Makonda oyeeee, oyeeee, oyeeee. MUNGU anawaona hawa polisi😭😭😭
Munguakulinde naakupeuongozi mkuu. yaniuwe rais
Watu wanatekwa watu wanauwawa ila hizo damu za watu hawa wa mungu zita wArarua
Nice my president Makonda 2025🙏👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu akujalie mwenezi
Nampenda sana mheshimiwa John makonda Mungu akupee umri mrefu sijawai ona mtu kama wewe ana angalia raia yake
Anaitwa Paul sio John
Mungu amekupa kalama nyingi sana hongera
Cheo ni dhamana.Tumia cheo chako kwa kutenda haki utavuna dhawabu kwa Mungu.
Mungu akubariki sana kaka angu
Ndugu zangu hata kama mnakua na matatizo ila mnapopata nafasi ya kueleza au kuongea mbele ya makonda punguzeni uongeaji wa mfululizo usio na maana hoja zinatakiwa zijibiwe kwa hoja. Hilo pia itasaidia kumpa makonda nafasi ya kuwasikiliza kwa usikivu mzuli.asanteni ❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dar tanzania inamambo jamani jamani mungu ajarie
Tanzania nchi yangu 😢
Shida nini kwa viongozi hawa?. Watambue tu hao ni wazazi wa familia. Mbingu ipo anapo kaa Mungu mkuu na anaona yote na atawapigania Watanzania. Amen.
Bora ata uwe rais
Mhuuu Mhuuu Mhuuu makubwa nalia sana na kuomba kwa ajili ya nchi yangu
Hivi kweli tutafika kwa style hii, ya kutokutenda haki, ,makonda pekee yakee hataweza kumaliza kero maana leo.yupo kesho hatakuwepo, na buashara itakuwa kama kawaida hebu tuliyopewa dhamana tuwajibiki, .na tujuwe kuwa baada utumishi kuusha hatutakuwa na raha maishani bali majuto tu.
Uzembe Wa jeshi La Police kutojua majukumu yao ipasavyo... niwazi kuna rushwa na uzembe unaofanywa na polisi! Muheshimiwa mwenezi watie spana hao washughlikie ipasavyo waongo polisi nivitisho kwa wanyonge tu ndio nguvu yao inapo onekana. Venginevyo hamna
Majambazi ndio viongozi na polilisi! Kuna usalama? Mungu aingilie kati kuiokoa nchi hii itoke mikonononi mwa ccm
Tumefikaje hapo kisiwa cha amani leo ni kilio kila mahali tumekosea wapi jamani ee mungu tusamehe kweli kupotea mwanadamu inauma bola azikwe utalia na kufalijika
Makonda usi konde bro,hongera kazi poa sana lakini chunga wenye wivu wa kisiasa juu ya umaarufu wako na ukaribu wako kwa RAIS MAMA SULUHU.Kazi nzuri hapa Kenya nafuatilia
Dah askali anae Mlinda RPC nimemuelewa Ile kinoma
Makonda Sina. Lakusema mungu atakulipa
Duu wanyonge tunakalia moto. Ila kuwateka watu kwasababu ya uwezo mlio não sio sawa. Mkistaafu mnajifanya wacha Mungu.
😮😮😮😮jamani ndio nimeona otofauti. Kati jpmb
Shinyanga kazi tunayo,
❤
Mungu asifiwe Magufuli akafukuka....Samia oyeeee makonda oyeee
Dada huyu mjasili sana mpaka nimempenda
Huyu mama wa kwanza anaongea vizuri sana
Hahahaha ndo nn sasa jamani hii nchi ni yet wote msadieni huyu mama
Makonda kashuka kama yesu mungu Akubariki sana
Hii nchi kuna vitu vinaendelea huko mitaani vinaumiza sana dhuruma manyanyaso n.k inahitaji kiongozi jasiri sana kupambana na haya
Atiwe ndani huyu RPC....hana lolote muuwaji tu. Hakuna kitu hapo...Makonda watamuua huyu.😢😢😢
Polisi😭😭😭!!!!
Ongeraaa Sana Baba makonda na pia pore Sana kwa Kazi ngumu hiyo.Sisi wananchi tuko pamoja naraisi wetu Mama Samia .Tunajua hamlali kwajili yakutatua kero zetu na kwaajili yakuleta maendereo kwenye Taifa letu.Mimi Kama kijana ambaye nimkulima Natoa pongezi za zati kwa raisi na viongozi wote wa serikali na Chama Cha mapenduzi.Tunaelewa yote mnayo yafanya kwajili ya Taifa Nazidi kuwaombea viongozi wangu kwa Mungu .
🙏
Tunashukuru tumeubwa kusahau
Jaman wa Tanzania wanyonge tunamengi mazito tunakosa pakuyatolea tukipata fursa km hizi tunaongea kwa uchungu sn mungu aendelee kukututuea
Mmmh huyu rpc
Binadamu wanamatatizo jaman kweli nchi yetu ilivyo makin kinachoshindikana ninn
CCM wote wangekua kama wewe wananchi tungeishi maisha yenye furaha na wa ccm wengine wajaribu kuiga matendo yako mungu akupe maisha marefu uendelee kuwasaidia wa Tanzania.
Mh. Makonda nguvu hio hio umerithi mwendo wa mzee wa kazi mzee Jpm asante nguvu ni ile ile hongera kaka
Nguvu hiyo hiyo? Haiwezi kulingana.
Kudadeki uyu mwamba magufuli akasome ndio viongozi tunayowaitaji tanzania atutaki use,,,,,,,,,,,e pigakazi makonda