Mh. Makonda hongera sana naomba uwafundishe wakuu wote wa mikoa wachape kazi kama wewe. Pia wapende kutenda HAKI. Makonda utainua nchi hii mwanangu. Mtoto umebarikiwa na Mungu. Nakuombea sana baraka nyingi na afya njema.
Makonda nakupenda zaidi ya sana Mungu akuweke salama siku zote za maisha yako. Yaani wakuu wa mikoa wote wangekuwa hivi hii nchi dhuruma na mambo mengi yangepungua,
Da jamani! Mheshimiwa Paulo Makonda Mungu akulinde ndani na nje ya ofisi. Mungu husaidia wanyonge kupitia watu, wewe ni mtu mmoja wapo ambaye Mungu anakutumia kusaidia wanyonge.Haleluyaaa.
Very smart teacher,. na hiyo ndio shida ,. ukiwa mwalimu hutakiwi kujua sana ,. yani ukimzidi mwalimu mkuu uelewa ukawa na misimamo yako na unafanya kazi as professional yaliyomkuta huyo mwalimu ni kawaida,.
Heko kwako makonda Mungu akulinde ukaweze kuwasaidia watanzania wenye Nia njema na inchi Yao, hatuna Cha kukulipa sisi ni kukuombea Mungu tu, Mimi binafsi nilikuchukia sana wakati ukiwa mkuu wa wa mkosa wa dar enzi za magufuli, kumbe wewe ni kiongozi safi namba hii, nilikutambua juzi mama alipokuteuwa kuwa katibu mkuu mwenezi ccm, nikaona your true colours, na sasa uko vizuri mkuu wa mkosa Arusha, keep it up 🤝🙏🙏❤️💚💙🤜🤛💪💪💪
Mungu akupe ujasiri,uvumilivu,bidii ya kazi na Maomo uendelee kusaidia jamii ndiyo tafsiri ya Dhamana ya Uongozi,yajayo kwako yana mungu mbele yako makonda
Pole teacher kwel huy ni mwalimu wangu alinifundisha njiro secondary japo ulikuwa una tutandka lakin pole sana itakuwa ni yule mkuu wa shule msalangaa nn mwenye roho mbaya sana
Huyuu jamaa mi naamini Mfumo ndio ulimfanya aonekane mtu mbayaa, Yani walimtumia vibayaa, ila kiuhalisia huyu jamaa nikiongozi kweli kweli , tena mtetea wanyonge
Yaani mm nashangaa sana.. Why mnamchukia mtu tu bila sababu yeyote mnafunga mshahara wake na alikuwa mtumishi wenu Ila Kitu nilichokiona hapo ni Wivu wa kusoma masters tu.. Wakajua ataongeza Elimu Atawapita kwa hiyo Ni Roho mbaya tu Ambayo Imesindikwa na kiongozi ikasambaa kwa wengine.. kumbe kuna watu wana matatizo jamani Duh😮😢
Hiyo ya wivu watu wenye nafasi kama mkuu wa Shule nk wana hofu yakupoteza nafasi zao watu wa chini yao wanapokwenda kuongeza elimu hasa idara hiyo tajwa wanatengezewa kesi hadi inakubalika mahakani hata ya kubaka tu ili akomolewe bila kujali kuwa nae ana haki na anategemewa na watu ikiwemo familia yake kama walivyo wao Mungu huwa anawaumbua kwa unafiki wao
Nchi hii mioyo ya watu imekuwa ya kishetani! Uzalendo umeondoka! Mungu awarehemu wengi hawajui walitendalo! Dhambi nia aibu kwa watu wote! Mungu awainue watu kama makonda!
Samia raisi akulete na kilombero ifakara mlimba mbingu tunashida sana mungu. Akulinde baba ingefaa uwe waziri unayetembea nchi nzima ammmen in Jesse's name
Kwa Muktadha huu Uongozi katika Utumishi wa Umma utakuwa Mgumu. Kwa sababu wakati mwingine Watumishi wanavuruga utumishi wa Umma kupitia Pesonal Anbitions badala ya Kanuni za Utumishi wa Umma.

Mh. Makonda Mungu aendelee KUKUBARIKI kwa yote unayoyafanya. Hongera sana Mama Samia kwakumchanguwa Mh. MAKONDO.
ASEMA ILIKUWA LAZIMA AZAE NA BABA YAKE ILI AISHI MAISHA YA KIFAHARI, DUNIA HII JAMANI😭😭
ruclips.net/video/E83AULEkDjs/видео.html
Mwalimu anaongea vizuri. Proud to be a teacher!
Mwalimu ni msomi anajua
@@obsonjulius312kabisa mwalimu ni msomi anajua anachoongea
ni mwalimu alie ni fundisha jamanh. wanamwonea mwalimu wangu
Hongera makonda kwa kazi nzuri unayoifanya hii ndiyo kuonyesha vyombo vya sheria vimewekwa mfukoni na wenye fedha
Mungu akuweke mtumishi wetu hakika ww ndio mrisi wa magufuli❤❤❤🙏
😂😂😂😂 kazilete zote 😅 aaaah am a Kenyan but Tanzanian politics its pure vibe.
We need leaders like makonda even at high level, big up Mr MAGU the sec
Da jamani! Mheshimiwa Paulo Makonda Mungu akulinde ndani na nje ya ofisi. Mungu husaidia wanyonge kupitia watu, wewe ni mtu mmoja wapo ambaye Mungu anakutumia kusaidia wanyonge.Haleluyaaa.
Very smart teacher,. na hiyo ndio shida ,. ukiwa mwalimu hutakiwi kujua sana ,. yani ukimzidi mwalimu mkuu uelewa ukawa na misimamo yako na unafanya kazi as professional yaliyomkuta huyo mwalimu ni kawaida,.
Mungu tunakushukuru kwa ajili ya huyu baba,hongera sana muheshimiwa
Mama anaongea vizur sana na yupo very straight
Ndomana makonda tunamkubali sanaa kwakweli Allah akulinde katika kazi zako kaka wewe nineema kwa wanaichi sote tunakuombeea mungu akupe maisha malefu
Makonda mdogo wangu Mungu ailinde roho yako
Jamani dada mwenyewe mstarabu anajieleza vizuri viongozi wengine wafe wapatikane kama makonda
Heko kwako makonda Mungu akulinde ukaweze kuwasaidia watanzania wenye Nia njema na inchi Yao, hatuna Cha kukulipa sisi ni kukuombea Mungu tu, Mimi binafsi nilikuchukia sana wakati ukiwa mkuu wa wa mkosa wa dar enzi za magufuli, kumbe wewe ni kiongozi safi namba hii, nilikutambua juzi mama alipokuteuwa kuwa katibu mkuu mwenezi ccm, nikaona your true colours, na sasa uko vizuri mkuu wa mkosa Arusha, keep it up 🤝🙏🙏❤️💚💙🤜🤛💪💪💪
Mwl anajieleza vizur sana na kwa hakika anafaa hata kua kiongozi
I'm very proud to be a teacher 💝
Mungu akupe ujasiri,uvumilivu,bidii ya kazi na Maomo uendelee kusaidia jamii ndiyo tafsiri ya Dhamana ya Uongozi,yajayo kwako yana mungu mbele yako makonda
HUYU MWALIMI ANA CONFIDENCE YA HALI YA JUU SANA VERY PERFECT,MAKONDA ANATAKA WATU STRAIGHT KAMA HAWA
Big up sana makonda...tunakupenda sana❤❤
Huyu mwalimu anajieleza vizuri sana
Mwenyezi Mungu akulinde brother.
Pole teacher kwel huy ni mwalimu wangu alinifundisha njiro secondary japo ulikuwa una tutandka lakin pole sana itakuwa ni yule mkuu wa shule msalangaa nn mwenye roho mbaya sana
Daaaadek tunyooshe Brother
Mimi unanifurahisha sana sana muheshimiwa mmmm😂😂😂 ina maneno mazuri sana ya kufurahisha sana yaani hahaha hatari wape spaner haooo😅😅
Huyuu jamaa mi naamini Mfumo ndio ulimfanya aonekane mtu mbayaa, Yani walimtumia vibayaa, ila kiuhalisia huyu jamaa nikiongozi kweli kweli , tena mtetea wanyonge
Acha unanifiki mfumo gani wakati mfumo aliyo nao ni huo wa magu wa kuwasaidia wanyonge
@@AjiaMohamed-rt5pb inatakiwa kuwa na akili kubwa ili uweze kunielewa , lasivyo hakuna utakacho ambuliaa🚶
❤❤❤@@AjiaMohamed-rt5pb
@@profs.a5412fact😂😂
Mama naomba namba yako ili ni mwl Mwenzio Nina wazo juu yako
Sasa kama ni hivi watu wengi si wanaumizwa Sana!??maana sio watu wengi wanaweza au kujua huu mzunguko wote...daah
Kweli kabisa
Sadakta
Safiiiiii saaaanaaaa Mh Makonda
Safi sana makonda. Namkubali sana asee. Utumish kuna uonevu wa Hali ya juu sana kwa walimu
Mh. Mungu akubariki sana wanaume wametelekeza watoto hawajali
Huyu dada apewe Nafas ya kaz serikalin maan anajua na anajua kujielezea ata utumishi anaweza hongera mama mkwe
Makonda aongezwe back up ya Aggrey Mwanri. Huyu katibu angesukumwa ndani😅😅😅
😂😂😂😂 Hii imevunja mbavu
Dada huyu ni kichwaa@mwalimu
Sio arusha tu sehemu nyingi watu wanaubinafsi tu
😂😂😂😂
Hongera Mkuu wa mkoa wa Arusha unaweza
Yaani mm nashangaa sana.. Why mnamchukia mtu tu bila sababu yeyote mnafunga mshahara wake na alikuwa mtumishi wenu Ila Kitu nilichokiona hapo ni Wivu wa kusoma masters tu.. Wakajua ataongeza Elimu Atawapita kwa hiyo Ni Roho mbaya tu Ambayo Imesindikwa na kiongozi ikasambaa kwa wengine.. kumbe kuna watu wana matatizo jamani Duh😮😢
Hiyo ya wivu watu wenye nafasi kama mkuu wa Shule nk wana hofu yakupoteza nafasi zao watu wa chini yao wanapokwenda kuongeza elimu hasa idara hiyo tajwa wanatengezewa kesi hadi inakubalika mahakani hata ya kubaka tu ili akomolewe bila kujali kuwa nae ana haki na anategemewa na watu ikiwemo familia yake kama walivyo wao Mungu huwa anawaumbua kwa unafiki wao
🎉iyo ipo ata kwenye ivi media mtu mwenye degree hapati hajira hii nchi
Makonda hongera xan kwa kazi nzur unayo fanya kama kuna uwezekano wakulete kagera
you have wisdom leadership let useful mocking next president
Mama akili imetulia sana, hakupaswa kusomea ualimu.
Mwalimu Mtulivu sana
Mwogopeni Mungu watumishi nyie mkuu wa mkoa Asante sana kwako
Makonda mungu akulinde na akuongezee umri mrefu baba
Kweli mwalimu ni mwalimu akili mingi Sana lazima nioe mwalimu anitoe ujinga
Daaah! samahan san broo (MAKONDA) mwanzo niliona kama unakosea lakin kumbe unapiga kazi sana. MUNGU akutie nguvu na kukulinda pia
Nasubilia part 2 Makonda 🔥 🔥
Mungu akufikishe mbali Makonda nimependa nchi yetu hii longolongo nyingi
Hongera mtetezi wa wanyonge
Mungu akupe maisha marefu makonda , unafanya kazi kubwa san
Sikuuu makondaa akiwa.pressident nchii inafika sehem ya mungu
Deus esteja com tigo meu irmão makonda❤
Daaah mam honger unaongea vzr ❤😊
Kwakweli mkuu mueshimiwa mkuu wa mkoa mungu azidi kukulinda na azidi kukupa hekima na wananchi
Mungu akibariki sana Mhe.Makonda,hakika nafasi bado Ni ndogo sana kwako,Uwaziri mkuu unakuufa mno,tunakuombea
Safi sana kaka makonda
Mh Makonda 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera makonda MUNGU akulinde
Hapo kwenda kuchukua file ndio msala unapoanzia miguu itakuwa haiendi na mdomo lazima uwe mchungu 😂😂😂😂Mnadhurumu watu sana
Safiiii Baba keagan😃😃
Nchi hii mioyo ya watu imekuwa ya kishetani! Uzalendo umeondoka! Mungu awarehemu wengi hawajui walitendalo! Dhambi nia aibu kwa watu wote! Mungu awainue watu kama makonda!
Dada uko vizur hongera sana
Safi sana.
Mama Samia👍👍👍👍 Kwa kutuletea nakonda
Mungu akulinde Rc a
Nakukubali sana mheshimiwa mungu akulinde sana .
Motosach International
Mungu akulinde mh.makonda na viongozi wengine waige
MAKONDA HAKIKA UBARIKIWE SANA KWA KUMSAIDIA HUYO MAMA
hivi kwanini mikuwa mnamchukia makonda? kazi kubwa sana anaifanya ,mungu akuongoze
the spirit of Magufuli is him
Huyu mwishimiwa mungu amuweke mpaka nimelia walahi 😢😢😢
Haibu sana, Watumishi wa serikali.
Kweli babaaaa etu makondanyoo 🎉uhakika mkuu
Guys makonda, ni mtu alieshushwa, ajazaliwa hongera mama samia kwa kwa kichwa hiki na umejua pakukiweka muse na maisha marefu❤
Ndio yan me huyu baba wanaomchukia nina washangaa sana kiukweli, yuko vzuri mno kiongozi
Dar Paulo mungu pekee ndio anaweza kukilipa
Safi sana makonda kuna mkwe wanhu naye anayeseka kazukiliwa mahabharata wake miezi mitano ningeomba msaada wako
Mungu akubaliki
Huyu Mwalimu anafaaa kua hata DC .. she is very smart .
Jamani huyu Mwl amepata majanga kama yangu.
Makonda unanisaidiaje mimi nipo Dodoma Arusha mna bahati muombeeni sana Makonda
Mungu aendelee kukuweka
Siyo ww tyuu mama watanzania Wana makando Kandi mengi na mtu akipata nafasi anaona Kama amekuwa mungu wa pili ndugu makonda hebu rekebisha hayo
Makando Kandi mengi2
Makando Kando mengi2
Makonda Mungu akubariki Sana
Pole mama
DAR KWAKWELI IKIWA MTU YUPO HAI ANAZUNGUSHWA
JEEE AKIFA WATOTO KWELI WATAKUJA PATA HAKI ZA WAZAZI WAO KWELI
Kazi Zur sana , watu Wana shida hawana connection
Makonda Mungu akusaidie. Ufanyakazi vizuri ivyo ivyo
SAFI SANA MAKONDA MAMA SAMIA ALITUMWA NA MUNGU KUKUCHAGUA. ASANTE MUNGU MLINDE MAKONDA.
Watu wanaibishia hadi Ikulu, sasa nani wa kuheshimiwa.😮😮😮
Huyu jamaa anapiga kazi bhana
Rais ampe mama nafasi uongozi
Duuu hao viongozi ndo wanaotufanya nchi yetu iko hapa tulipo, hatujui tunaenda wapi, Mungu kakuleta ewe Makonda tusaidie
Samia raisi akulete na kilombero ifakara mlimba mbingu tunashida sana mungu. Akulinde baba ingefaa uwe waziri unayetembea nchi nzima ammmen in Jesse's name
Mungu akubariki sana Mheshimiwa makonda
Mungu akulinde njoo zanziba baba yamejaa
Jaman halimashaur zetu acheni ukiritimba mtaumbuka.CWT mnaboa badala ya kuwatetea walimu,mnawakandamiza.CHAKUHAWATA piga hatua.
Kwa Muktadha huu Uongozi katika Utumishi wa Umma utakuwa Mgumu. Kwa sababu wakati mwingine Watumishi wanavuruga utumishi wa Umma kupitia Pesonal Anbitions badala ya Kanuni za Utumishi wa Umma.
Viongozi wengi wa nchi hii wanaogopa watumishi wasomi.wanaogopa kupokonywa nafasi kwakua wengi wamepachikwa tu kwa hizo nafasi
Congratulations mr makonda
Mungu amlinde makonda watu watende haki
Kama Kenya ingekuwa na mtu kama huyu ingepona sana MUNGU atusaidie
Huyo afisa utumishi pamoja na wenzake ni wezi wamlipe huyo mwalimu stahiki zake
MUNGU AKUPE AFYA njema Mzee MAKONDA. AMEEN
Makonda chapa kazi baba tunakuombea
Hii ndo Tanzania,pole mwalimu
Mungu alikuchagua uwe kiongozi nakuli unatenda yanayo mpendeza mungu ubarkiwe sana namungu akulinde sana