Wasipooo kutaperiii unaletewaaa hiyoo kodiii mara ulikuwa hulipiii ushuruuu , na ndugu yangu amepooza kisaa tenda za serikali wenzakee ndo wameanzaa rdiii kweny system hiv karibuniii🙌🏼
Jifunze kusikiliza kwa makini na kuelewa mtu hapewi hata nafasi ya kueleza vizuri ......... aliyekwambia mradi ulianza bila kuwa na hela nani.Kuna ubadhilifu ulifanyika TASaF jiji na Jambo linachunguzwa........ kwaa akili yako huyu dada angejibu nini?
Wewe ndio Huna akili maana unacomment bila kujua tatizo ni nini..........si kasema aliyehusika anachunguzwa na vyombo vya usalama sasa ajibu nini hapo. Think big brother
Makonda ana spirit ya magufl
Makonda jaman MUNGU fanya muujiza baadae awe waziri mkuu
Kama makonda anaibua madudu arusha namikoa mingine wakuu wa mikoa hawasanuki ama wanapigia pamoja ndomaana wapo kimya:
Waizi tu hao Piga spana Makonda
Kazi njema baba ang
Mungu akupe neema Uzidi kuwatetea Tanzania maskini na wenye mbalmbal
Sasa Makonda akisema watu wanasema ni maigizo tu Mimi ntaendelea kukukubali siku zote
Tatizo Kila shida inasababishwa na viongozi wenyewe ni wa chama na selikali, ni chama kizima kimeoza na ndio chanzo chakila kitu
Tasaf imejaa wapigaji sana
kazi kaz kazi
Hiyo ndio shida inasumbua kenya eti tenda
Tenda za serikali ni kichefuchefu, wababa msijeua mitaji yenu mkafa vibaya. Acheni kabisa
Wasipooo kutaperiii unaletewaaa hiyoo kodiii mara ulikuwa hulipiii ushuruuu , na ndugu yangu amepooza kisaa tenda za serikali wenzakee ndo wameanzaa rdiii kweny system hiv karibuniii🙌🏼
😊😊
Hongera Makonda! FanyaKazi Yako Waokoe Wanyonge MUNGU Awe Nawe Daima
Huyu pia si ndiye alijenga ile shule ya OLE nini sijui na akadhulumiwa?
Jamaa wameshamfanya kibonde chao aiseee, yaani anaumizwa tu.
Yeye😢
Utaanzishaje mradi bila kuwa na ela
😂😂😂😂😂😂😂
Mradi unapagwaaa pesaa inatoka ikifikaaa wanakulaaaa hawa wendawazimu
Jifunze kusikiliza kwa makini na kuelewa mtu hapewi hata nafasi ya kueleza vizuri ......... aliyekwambia mradi ulianza bila kuwa na hela nani.Kuna ubadhilifu ulifanyika TASaF jiji na Jambo linachunguzwa........ kwaa akili yako huyu dada angejibu nini?
Mwendo wa spana tu😅
Eeeeeeee Arusha mtanizeeeesha😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Mwendo wa.spana tu atuchek na nyan
Yaaani uyu mwanamke hajielewi😢😢😮
then she's laghs
Huogopi kesi ya udhalilishaji wewe umemdhalilisha mwanamke mwenzio 😂😂😂
Huogopi kesi ya udhalilishaji wewe umemdhalilisha mwanamke mwenzio 😂😂😂
Wangefikia muafaka kweli au ndio unakoment tuu bila akili............sikiliza kwa makini wewe
Tupe.hela.yetu
Kihindi mkuti hapo😂😂😂😂
Daaaah😂😂😂😂wezi kibao aiseee
Afu kama Kuna ukweli vile maan wametulia kama Tanzania Ina mkoa mmoja
Nimecheka san jmn
Wasafi taarifa wenzenu wameshapost siku ya tatu leo nyie ndio mnapost mpo nyuma sana
Wanakera
Nchi yetu watu Wana matatizo kibao alafu tuna viongozi hivi wanafanya kazi gani
Viongozi wa chama na selikali ndio wezi wenyewe
Watu Bado katika mikutano kama hii utasikia ccm hoye
Wasafi mko nyuma sn
Habari wenzenu washapost nyie ndo mnapost
😂makonda tibu hao wataumiz wanyonge
hapa kuna shido gani kwano 😅
😂😂😂
😂😂😂😅 ni shido kwakwelo
Mwanamke nikilaza huyu
Kwaakili yako angejibu nini na Jambo lipo mahakamani .......... muwe mnafuatilia mambo sio kushabikia bila akili
Yani mtu anakula pesa anahamishwa, analetwa asiyejua kitu
Duuuuuh hivi ni lzm ku comment sijui kama unaelewa unachokisema kahamishiwa wapi kwani kazi kubwaaa
Kwelii bwana walipe helaa
Samia analea wajinga
Point🎉🎉
Hivi huyu mratibu ana akili kweli?
Yaani mchukue bidhaa mtumie mseme mradi hauna pesa?
U cant be serious aiseee!
Hii nchi ngumu jmn🙌