MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
    Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
    / bishopelibarikisumbe
    / bishopelibariksumbe
    Website
    Vukayordani.Org
    LIKE | COMMENT | SHARE.
    UBARIKIWE.
    #VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

Комментарии • 775

  • @magrethandrew9503
    @magrethandrew9503 3 года назад +22

    Nimelia mno, Mungu wewe utabaki kuwa Mungu itunze familia hii, Pastor barikiwa sana.

  • @GorethShirima-q1h
    @GorethShirima-q1h 15 дней назад +2

    Assnte Mungu nilidhani mimi ninapitia magumu number mwenzangu anamagumu kuliko mimi.Asante Mungu Kwa maisha ninayo ishi sasa.Mpiganie huyu mama wakati unampigania unikumbuke na mimi

  • @lucialeoter934
    @lucialeoter934 3 года назад +13

    Ameni mtushi yesu akubali mtumishi ,nami naomba maombi niwe mtumishi wake.

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 16 дней назад +1

    Kama umeguswa na hii clip kama mimi ninairudia Mara kwa Mara ili kujifunza mengi nipe like

  • @bellasfoundation2928
    @bellasfoundation2928 3 года назад +21

    Sumbe uko tofauti sana na watumishi wengine saanaa wengine hawaulizi kama umeokoka wanakuombea tu mungu akubaliki your such unique man of god

  • @neemamdawa8369
    @neemamdawa8369 3 года назад +8

    Nimelia sana unaeza ukaona unashida kumbe tunazidiana duuu

  • @HappyTemba-l2g
    @HappyTemba-l2g День назад

    😢nmelia Sana jaman sheten Ana huruma jmn tuwaombee waume zetu na sio kuwalaumu amen

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 года назад +11

    Asante Yesu kupitia mtumishi wako mwema baba yangu wa kiroho Mungu akubariki

  • @laudakanyika3247
    @laudakanyika3247 3 года назад +11

    Kwa Mungu hakuna linaloshindikana😭😭😭🙏🙏

  • @GeofreyMhagama
    @GeofreyMhagama 3 года назад +12

    Imenitoa machozi ihi video, Yesu akutetee dada angu

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 3 года назад +14

    From Burundi! Yesu ni Mwema sana! Injili ya kweli kabisa . Na Mali zetu zitumike kwa kuwaokowa Mataifa. Halelua

    • @AaAa-vj5id
      @AaAa-vj5id 3 года назад +1

      Wakwetu mungu amaweza

  • @papiasniyonzima4289
    @papiasniyonzima4289 3 года назад +2

    YESU akubaliki wewe na kanisa yako yote kwakazi nzuri mnayofanya .Hiyo njo kazi ya Mungu kabisa.

  • @rallyjoe9607
    @rallyjoe9607 3 года назад +7

    From Burundi ,Bwana Yesu apewe sifa ...Yesu ni mzuri sana leo kesho hata milele

  • @jeriahonkoba
    @jeriahonkoba 6 месяцев назад +3

    Mungu wewe ni mweza yote tushindie matatizo yote kwa damu ya yesu kristu mwana wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @scholamatogolo3493
    @scholamatogolo3493 3 года назад +2

    Mtumishi Mungu akubariki ... Angekuwa mwingine angesema lete sadaka ya kufunguriwa kutoka kwenye vifungo au sadaka ya upatanisho lkn wewe uko vzr umetunza mwili wa kristo 🙏

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 3 года назад +7

    Huu ni uonezi sana Asante Yesu maana wewe ni mtetezi na utamsaidia

  • @EstaKanyandete
    @EstaKanyandete 16 дней назад +1

    Yesu azidi kuwa nawe mamaangu, pia pastor Mungu azidi kukutumia

  • @ZIADABAKARI-hn4pv
    @ZIADABAKARI-hn4pv День назад

    Mungu akubariki mtumishi una roho nzuri sana🙏

  • @YustoKiyeyeu-k7i
    @YustoKiyeyeu-k7i Месяц назад +2

    Du inaumiza xana mungu atusaidie kwa kweli mungu akupe maisha marefu mtumish

  • @ruthmbula3564
    @ruthmbula3564 3 года назад +4

    Kutoka KENYA....hakika mungu ni mkuu....Amina

    • @agnesnafuna8455
      @agnesnafuna8455 3 года назад

      Kutoka Kenya... Na Mungu apewe sifa.... Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @pastortimothyjoshua3304
    @pastortimothyjoshua3304 3 года назад +7

    Nimefurahi sana mtumishi wa Mungu kwa huo moyo wa huruma! Hivi ndivyo wahudumu wote wa injili tunatakiwa kuwa! Tuige mfano huu mzuri sana katika kuwahudumia watu kwa huruma na upendo

    • @SaraphinaAngelo
      @SaraphinaAngelo 5 месяцев назад

      Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nilitegemea kuona maji na mafuta , Lakin Nashukuru Mungu ni jina la Yesu tu limetumika safi sana 💪ila nimelia Kwa uchumgu sana wamama Mungu atusaidie

  • @GeraldMyuku
    @GeraldMyuku 5 месяцев назад +1

    Bishop sumbe kwa kweli wewe unanifundisha huo ni upendo wa kimungu, hongera sana kwa hio huduma

  • @SalimaNdayishimiye
    @SalimaNdayishimiye 18 дней назад

    😭😭😭😭😭😭huyu mama amenitia ujungu jamani namimi Nina shida yatumbu rinauma sana kwe baba uniombeye naamini nitapona🙏🙏🙏

  • @santykimaro4711
    @santykimaro4711 5 месяцев назад +1

    Hakika hawa ndiyo watumishi wa kweli wa Mungu. Mungu wa mbinguni aendelee kumtumia katika jina la Yesu.

  • @Unceasing-prayers
    @Unceasing-prayers 7 месяцев назад +2

    Nimelia nimelia😭😭😭 upendo wa yesu ulinitoa dhambini yesu yesu yesu ❤

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 года назад +16

    Mbarikiwe mliojitoa kwa Ajili ya huyo Mzazi Mungu atatue shida zenu,nimelia kwa uchungu mwingi saana

  • @josephinearonkyogo1604
    @josephinearonkyogo1604 3 месяца назад +1

    Mungu.akubariki sana.Baba.sana.sana.na.waumini wako kweli mmefanya.jambo.jema sana.mtalipwa na.Mungu

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 года назад +1

    Bwana yesu asifiwe
    Ilakuna mda mnatukosea sana nasisi walio inje kama mimi nimechukua number kila nikipiga haipokelewi nikituma ujumbe haujibiwi
    Tafazali nawahomba m’ we mnatupokelea sim zeta tunawaitaji watumishi wa mungu

  • @manirambonajeanne9184
    @manirambonajeanne9184 3 года назад +2

    Mungu aendelee kukubalikia pasit muzuli amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @renisterhyera2552
    @renisterhyera2552 3 года назад +1

    Bwana Yesu asifiwe namshukuru mwenyez mungu Kwa ajili ya mama huyu ,Mwenyez Mungu jidhihirishe kwake ,mpe hitaji la moyo wake

  • @MathayoMollel-iz3iw
    @MathayoMollel-iz3iw 7 месяцев назад +2

    Hapo ni ngaramton mchungaji niombee niko mombasa pole sanadada yesu anaweza

  • @francinelumuna8470
    @francinelumuna8470 3 года назад +1

    Hakuna kinachokushinda ee mungu wa wana waisrael naamini namimi niko kati ya historia yangu 🙏🙏🙏

  • @MuyamaBetwa
    @MuyamaBetwa 3 месяца назад +1

    Mungu wangu Mungu wangu watoto wangu Mungu 🙌

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 года назад +2

    Dada umejua kuniliza...Mungu asikupungukie maishani dada🙏🙏🙏

  • @louis8474
    @louis8474 3 года назад +8

    Mungu akubariki muchungaji from USA 🙏🙏🙏

  • @BeataRafaeli
    @BeataRafaeli 6 месяцев назад +1

    Mungu awabariki sanaaaaaa wote waliomsaidia huyu mama Jmn

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 3 года назад +2

    Tanzania iko na ummoja MUNGU AKUBARIKI sana bishop....kwa uwongozi mzuri...

  • @EvalineNasson
    @EvalineNasson 6 месяцев назад

    Mungu ni mwema anakupeda na kukujali mtukuze yeye sikuzote za Maisha yako amen

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 3 года назад +5

    Mungu Awabariki Sana watu wa mungu bishop pia wewe mungu Akutie nguvu Sana in the name of Jesus Amen 💯

  • @ButamoBugota
    @ButamoBugota 14 дней назад

    Ubarikiwe sana sumbe kwa kumtumikia mungu natamani sana kufunguliwa mimi na mume wangu nashinda nimekaatu kazini siuz lakini wenzangu wanauza mimi hakuna

  • @PredJovin
    @PredJovin 10 дней назад

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @rosebumi6780
    @rosebumi6780 3 года назад +2

    Barikiwa Askofu sumbe..naitwa Selina Bumi kutoka Redio Okoa fm

  • @naomymoraa2362
    @naomymoraa2362 3 года назад +5

    Mimi anapenda pastor,mungu akubariki sana.watching from Kenya

  • @HurumaeliSamson
    @HurumaeliSamson 6 месяцев назад

    Mungu nitetee na mimi nimechoka na mimi nipate maendeleo nipite salama mtumishi niombee❤

  • @hellenodongo
    @hellenodongo 7 месяцев назад +1

    Asante mchuganji mungu azidi kukubarika ufuguwe wengi kwa jina la yesu kristo

  • @LekisosionNangenoi-dz3kq
    @LekisosionNangenoi-dz3kq 6 месяцев назад

    Nakataa hiyo roho la farka kwa mimi na mke wangu jina La Yesu litawale kwa maisha yetu in Jesus name

  • @PeninaMlaponi
    @PeninaMlaponi 9 месяцев назад +1

    Ee Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo Fanya njia na familia yangu, mkono wako si mfupi hata usituguse

  • @dadamkubwa1087
    @dadamkubwa1087 3 года назад +9

    We we mam heeee mungu bwana wako ni wako mme wako must come in jesus name amen 50×wa from saudia Arabia.

  • @NdindaNganza
    @NdindaNganza 2 месяца назад

    Kanisa Lina upendo Glory to God kujeni Kenya natamani kuja just say hi for church bt Niko mombasa Kenya kanisa la mungu neema kuu

  • @JenniferMkamba
    @JenniferMkamba Месяц назад

    Mungu akubariki Sana Baba na Mungu asimame katika Huduma yako pamoja na washirika wako

  • @ElizabethKathini-u7b
    @ElizabethKathini-u7b 5 месяцев назад

    Mungu akutie nguvu kupitia hii maombi ya mutumishi mama MUNGU anakupenda

  • @KaizaEdwin
    @KaizaEdwin 7 месяцев назад +1

    Wewe ndio bishop wa kweli mungu azidi kubariki kazi zako za kiroho amina

  • @DianaAnselim
    @DianaAnselim 18 дней назад

    Naomba mtumishi uniombee mwaka huu nipate mama mtumishii

  • @akimanaalice7832
    @akimanaalice7832 3 года назад +1

    Ubarikiwe sana utukumbuke na sisi utuombeye tufunguliwe na kupona maladhi

  • @furahagiselle1235
    @furahagiselle1235 23 дня назад

    Yooo Mungu musaidie huyu mama nakuomba emwenyezi Mungu😭😭😭😭🙏

  • @DorisSapula
    @DorisSapula 7 месяцев назад +3

    mungu akurinde mchungaji usiache kuturinda barikiwa kwa jina la yesu

  • @jocelynburemo4047
    @jocelynburemo4047 3 месяца назад

    Uchungu mwingi😭 Mungu naomba umvushe mtumishi wako,asante kwa kumfungua!

  • @francismussa5690
    @francismussa5690 День назад

    Hakika mchungaji Elibariki sumbe Mungu Yuko ndani yake

  • @mdmonyongo4795
    @mdmonyongo4795 3 года назад +5

    Kwa yesu akuna linalomshinda kamwe, Amen Amen

  • @angelo_Rwanda
    @angelo_Rwanda 2 месяца назад

    Watoto wazuli sana, shetani ndiye adui mkubwa lakini Bwana yesu ni mshindi🙏🙏🙏 any Rwandan here 🇷🇼🇷🇼

  • @joycembise9793
    @joycembise9793 3 года назад +2

    Mungu awabariki askofu Mkuu na kanisa hakika nimemwona Mungu wa kweli

  • @Bahatifatuma-h5m
    @Bahatifatuma-h5m 6 месяцев назад +1

    Djambo mutumishi wamungu naitwa fatuma nakaa uganda.naomba mungu siku yaleo nifunguliwe bamuone mutoto wangu kwenye Scan. Kwa jina la yesu christo Amen

  • @MesharckOlekisosion
    @MesharckOlekisosion 15 дней назад

    Amen Amen Mtumishi wa Mungu

  • @SaraphinaAngelo
    @SaraphinaAngelo 5 месяцев назад

    Nilitegemea kuona maji na mafuta Lakin Nashukuru Mungu ni jina la Yesu tu limetumika safi sana💪 barikiwa baba ,huyu mama amenifanya nilie kwa uchungu sana wamama tunashida sana kwenye ndoa zetu ila uchawi umeshindwa mama uko salama kwa Yesu usilie tena

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 7 месяцев назад +3

    Mungu akubali Sanaa mngu nitetee na familia yangu nikawe naamn

  • @Bromo844
    @Bromo844 6 дней назад

    Yesu ni yeye yule jana leo na milele Mungu akutie nguvu dada usichoke kuomba

  • @NellyIsiyo-nu8es
    @NellyIsiyo-nu8es 29 дней назад

    Wow kwa Mungu kila kitu yanawezekana🙏

  • @LMRCPSFF
    @LMRCPSFF 10 дней назад

    Amen sana barikiwa Bishop

  • @zakariajohnas1752
    @zakariajohnas1752 Месяц назад

    Mungu awabaliki kanisa mzima nimejikuta nalia mungu nifunguwe na mm na family yangu

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 3 года назад +5

    Hakika Bishop una YESU

  • @MerryKingu
    @MerryKingu 6 месяцев назад

    Mungu akutie nguv dada siku zote za maish yako pole Sana kwa yaliyokukut binadam wana roh mbaya Sana endelea kumwomba mungu ipo sk mume wako atarud mlee watoto

  • @BahatinyamugandaNyamuganda
    @BahatinyamugandaNyamuganda 5 месяцев назад

    Nakushukuru muchungaji kwa kazi unayofanya utalipwa n'a Mungu mimi Niko bukavu Congo.

  • @alicewere712
    @alicewere712 3 года назад +9

    Glory to God, huyu dada kiatu chake ni kama changu exact aki mungu have mercy on us 😭😭😭😭

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 месяцев назад +1

    MUNGU akubariki sana mchungaji machozi yamenitoka

  • @juliettootu4798
    @juliettootu4798 3 года назад +4

    Adonai I worship you , son of God you are so good , almighty FATHER hello be thy name 🙏,😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @DianaHaule-k8y
    @DianaHaule-k8y 2 месяца назад +1

    Jamn mungu atulinde San

  • @MathayoMollel-iz3iw
    @MathayoMollel-iz3iw 7 месяцев назад +1

    Mungu akusaidie mchungaji fungua wengi kwa jina la yesu

  • @LebahatiLaizer-b4q
    @LebahatiLaizer-b4q 4 месяца назад

    Mungu utupiganie tu maana wanaume wanakwepa familia yao najikuta tu nalia mungu wangu usinyamaze juu ya hii familia Duuh inauma kwely

  • @gervasejerry
    @gervasejerry 7 месяцев назад +1

    MUNGU AKUTUNZE MTUMISHI WA MUNGU KWA UNALO FANYA AMEN

  • @ChristinaKawinda-pe3tk
    @ChristinaKawinda-pe3tk 4 месяца назад

    Mungu ambeye mweza wa yote na ataweza yote kwa mama huyu

  • @GloryPeace-gs3nd
    @GloryPeace-gs3nd 6 месяцев назад

    Baba Mungu akubariki sanaa kwa huo upendo wa kristo alokuwa kuwafungua watu na kuwathamini umetimiza maandiko YESU alivyosema,nalikuja na njaa hamkunilisha,nalikuja na kiu hamkunipa chakula,wewe umempa mama huyu mahitaji Mungu wa mbinguni akubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sanaaaaaa😢nimeangalia clip hii nikasikia kububujika machozi yalinitoka hili ndo kanisa na wachungaji, ambalo Mungu anawahitaji kipindi hiki🙏🙏

  • @pamj9v
    @pamj9v 19 дней назад

    Amen and Amen 🙏 🙌 be blessed 🙌

  • @AnitaNamutosi
    @AnitaNamutosi 4 месяца назад

    Amen na mungu amurejeshe mume wake katika jina la yesu

  • @HildaBernard-t3n
    @HildaBernard-t3n 6 месяцев назад

    Tutangulie mungu mwaminifu pia mtunze mtumishi wako

  • @JailosMadeha
    @JailosMadeha 2 месяца назад

    Namu omba Mungu amuongoz mdg wangu apat mme

  • @SurprisedRetroCamera-kl8yx
    @SurprisedRetroCamera-kl8yx 4 месяца назад

    Nimeumia Yani nasikia uchungu 😭😭😭😭 Mungu akubarki mtumishi 🙏🙏

  • @MuyamaBetwa
    @MuyamaBetwa 5 месяцев назад

    Usinibite Mungu wangu mimi unikumbuke 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 месяца назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, umenibariki sana Kwa msaada wa huyo mama, barikiwa

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 3 года назад +1

    Mungu Akubariki muchungaji hata nami uniombee tu

  • @meshackzegezege9893
    @meshackzegezege9893 6 дней назад

    Watumishi Mungu akubarik sana

  • @EustaceNshaija
    @EustaceNshaija 5 месяцев назад

    Bwana apewe sifa,
    Mungu aendelee kukutumia tu.

  • @hellenngunda213
    @hellenngunda213 6 месяцев назад +1

    Mungu akupanguze machozi in Jesus Name

  • @evcarine8314
    @evcarine8314 2 месяца назад

    Eeehh Mungu tusaidiye 😢😢; Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @SallyChem-n2j
    @SallyChem-n2j 4 месяца назад

    Akirudi kwa ndoa yake poa mm nirudi kwa ndoa yangu in Jesus name

  • @ScolasticaJoseph-r8y
    @ScolasticaJoseph-r8y 6 месяцев назад +1

    Amen 🙏 mungu akutunze nimelia sana

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 5 месяцев назад

      Inaumiza sana ndugu yangu

  • @furahagiselle1235
    @furahagiselle1235 23 дня назад

    Asante Mtumishi wamungu Mwezi Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏

  • @blackangel3141
    @blackangel3141 3 года назад +2

    She is a superwoman she made me cry 😭😢😩

  • @MariaBONANE-j4e
    @MariaBONANE-j4e 5 месяцев назад

    jambo nabii wa mungu naomba msaada wamaombi nipate kujifunguwa salam bila tatiz yeyot

  • @catengina3922
    @catengina3922 19 дней назад

    Mungu pigania hii familia amen

  • @lillysoi8031
    @lillysoi8031 3 года назад +3

    God bless you man of God.May God bless your ministry.may God help us to learn from you.i love this ministry.