nimecheka nikaisha vile kameingililia na kuanza kuiongoza choir😂😂😂haki talent iko ndani yake mungu na amuongoze akuje kuwa choir master kanisani akikua mkubwa.🙏💞
Mungu awabariki nyinyi nyote watoto wake pamoja na musimamizi wa nyimbo iyi pia awajalie nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
The people who were donating spoiled for the choir conductor. They distracted the conductor. They should have set aside a bucket for the donations and gift the donations after the beautiful song.
Baba Mungu aksabti kwaniyi kipaji ya uyu mtoto Elia na wanjake wote wanao omba apa Mungu abariki sana tuendeleye kumutumikia maisha yenu yote ma awakingr kwa ubaya inayo tawala dunia leo
I am also crying. Glory be to God. Is this Gracious child the one conducting the song. Jesus , look the way he is behaving, or is the holy spirit doing this.
Wow, a new choir master in waiting ! Baraka ya Mungu ikuongoze kijana mzuri . Watoto ni baraka na Malaika . Ni Kama kijana emefanya Zoezi na wale warembo , malaika hawa jameni wana sauti Nzuri
Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name
Wonderful souls Glory be to God .....Joel 2:28 and it shall came to pass afterwards that I will pour my spirit on all flesh , son's and doughters shall prophesy .......
Ni vizuri kwa wale wanaoibuwa vipaji kuwasaidia watoto wadogo kama huyu ili wafikie nia yao. Na wakati wa kupafomu wajizuie kuwatoa kwenye node kwa kuwatunza katikati ya ya zoezi. Ukiangalia kwa makini utaona huyo mtoto alianza kupoteza umakini pale walipoanza kwenda mbele kumtunza zawadi. Wangoje kwanza amalize ndipo wajitokeze kuwatunza wote kwa pamoja kwani itawapa hata wale wanaoimba kujisikia wote wameweza.
Na kweli baraka ya mtu haimwachi . The boy just walked from no where n took overs conducting the choir very comfortably lk he practiced with the girls. This is just awesome 👏!! Felista shukuru Mungu na umlee huyo kijana Kwa kanisani. Good luck young boy!!
Amazing and cute little boy and great God bless the family with joy, love, justice, peace, humble huge your self with my lord Jesus christ all the world even our enemies happy and huge yourself 😇➕👋🙏🤑🥰Amen
Nimecheka Sana, pesa zinachukuliwa na upepo ikabidi afabye Jambo la busara. Safi Sana watoto. Mama Maria awatunze mtembee kwenye njia yake daima
Nkajua nacheka mwenyewe jmn uwiii
Acha tuuu
Waaah! 😂
Asante Mungu nimebarikiwa Sana, utulivu100%
Mavazi 100%
Ujumbe 100%
Catholic raha sana
Kweli gogo yuko vizur
Safii Sana njoo WhatsApp 0655223799
Mnamvurugaaa mnapomtunzaa! 😀😀 ila hongera kwake! N utukufu urudi kwa Mungu! Awesome
nimecheka nikaisha vile kameingililia na kuanza kuiongoza choir😂😂😂haki talent iko ndani yake mungu na amuongoze akuje kuwa choir master kanisani akikua mkubwa.🙏💞
😅😊❤🎉
I just realized u may be serving God but when money comes in we get confused n forget the call. The boy has send the message well. Be blessed.
Hahahaha
😂,,
I saw the boy looking at the note being blown by air
True
😂😂😂😂 l was looking for this comment!
Spiritual tazama utaelewa haya mambo yanatendeka.
Ongera sana kwa hicho kipaji mwa
Nangu mungu akuinue na akupe kibari milele amina
Aleluyaaa, nasikia raha sana nikiona wtt wakimtukuza Mungu, Mungu azidi kuwaongoza mzidi kulitukuza jina lake
Nimepata raha sana kwa huyo mtoto mwenye kipaji Mungu amjalie afikie ndoto yake hongera pia kwa waimbaji pamoja na mwalimu waoo
Jamani mtoto yupo vizuri sana 😂😂
Mwenyezi Mungu awabariki nyinyi watumishi wake na kuwa Linda katika maisha yenu yote amina
Mungu awabariki nyinyi nyote watoto wake pamoja na musimamizi wa nyimbo iyi pia awajalie nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Aaameeni Mungu azidi kuwatumia wanangu,dogo yuko vzr sana
Ata nami nmefurahia sana
Amazing hui wimbo nimeupenda wako vizuri ningeipata hio ya manabii ingekuwa pow sana
Watoto wa kike mungu walinde maridadi, I wish ningekua Karibu nije hapo nishuudie makuu ya Bwana mungu
Amina
Amina
😂😂😂 Mtoto kaona Pesa zisi ende goja niache kuogoza kwanza😂😂. Mungu akubariki mtoto mzuri
Aminaaaa
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Aki wewee jameni🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
The people who were donating spoiled for the choir conductor. They distracted the conductor. They should have set aside a bucket for the donations and gift the donations after the beautiful song.
Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
utoto ni raha sana kaacka kuongoz akawahi mapesa yake, MUNGU AKUZE TALANTA YAKE
☺️☺️☺️☺️☺️ Amina
God bless you toto,keep it up.
Amenifurahisha kweli
😂😂😂😂
Mchezo na pesa hataki
Nakushukulu mwenyezi mungu kwa kuweka salama nitakutumikia Hadi siku ya mwisho
Kila mtu kaniasani kaitwa kwa kazi maalumu na mungu, God blessing little boy.
wonderful. very inspiring. a Sunday school child. Gifted. kindly " kuzeni hicho kipawa " all the way from kk
Wooow the boy is gifted ,,, that talent should be nurtured,,,congrats young boy
Baba Mungu aksabti kwaniyi kipaji ya uyu mtoto Elia na wanjake wote wanao omba apa
Mungu abariki sana tuendeleye kumutumikia maisha yenu yote ma awakingr kwa ubaya inayo tawala dunia leo
I am also crying. Glory be to God. Is this Gracious child the one conducting the song. Jesus , look the way he is behaving, or is the holy spirit doing this.
Wow, a new choir master in waiting ! Baraka ya Mungu ikuongoze kijana mzuri . Watoto ni baraka na Malaika . Ni Kama kijana emefanya Zoezi na wale warembo , malaika hawa jameni wana sauti Nzuri
Hongera mtoto Mungu akubariki na ainue watoto wengine hakika utukufu n wake Mungu,mtoto yuko makin sana anaangalia pesa huyo hapa kazi tu jmn
Nakuombea 🙏🙏🙏🙏Sana mtoto umebalikiwa kutoka tumbon mwa mama yako❤️❤️❤️💗
Wow beautiful talented boy watching from Kenya. All children who are singing big shout out for them♥️♥️
Praise the Lord 🙏 all the time
A by
Wow! Conductor for the beautiful choir! God bless the little boy ❤God bless the little girls❤
Umenikumbusha mbl mdog ang na mim nilisha wah kua kway masta❤❤❤❤❤
The future is bright! Very talented. But hiyo place ameacha kuconduct akimbize doh imenibamba. I like his composure when conducting
Wazazi wamefanya kazi kubwa aiseee!! Mbarikiwe sana
Alleluia. .....Wouw soo amazing Great job. THIS BEUTIFUL ANGELS GOD BLESS THEM.
hahahaha,badala ya kutunza waimbaji! nice song...safi sana MC,waimbe wengine uchache achukue mwingine,kkkkkkk
Mtoto kachanganyikiwa na pesa.Mungu akikuze kipaji cha mtoto huyu.Amen
Woooou so talented for really, wanahabari tafuteni huyu Malaika wa mungu kwa mahojiano jamani
Mungu azidi kuwbarki na kwaya yenu pamoja na malimu wenu ❤❤❤
God bless you my little angel Son.keep your talent choir Master. I know you can play piano 🎹 too.
Amen
Hongera Sana watoto
Amen 🙏🏼 he's going far
AMEEEEEN!!!
huyu mtoto yuko vzr sana mungu amjarie hivyohivyo
Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name
Huyu mtoto amenifurahisha, mungu amuonekanie kwa kila njia
Amina
Wahooo napenda Sana utoto wa Yesu jamani huwii raha sana mwanikumbusha mbali sanaa
Baraka sana wimbo mzuri nimebarikiwa.Mungu awabariki watoto wazuri.
Nyimbo nzurii xana na muongozaji yuko powa xana like it
Uko vizuri mwanangu mungu akupe nguvu sana
I get surprised how can a young boy able to manage the songs rhythm( oh! blessed) , all in all our almighty God keep doing miracles to the world 🙏🏾
A gift from God younger boy
Aisee Mungu akubariki sana mtoto na kwaya kwa ujumla
Woow this is so wonderful,I love this boy,may the lord bless him
Amen
Okey mtoto hameblessiwa nakipawa huyo ,tiya bindii kambisa mtoto God bless you so,
I love you son... Great job
Tuwaangalie watoto na vipaji vyao Mungu ambariki Malaika huyu amina
Dah!!!! Had memc utt wang axe. Big up xan watt 4:42
Asante Sana mtoto mzuri... Mungu ambariki na amkuze
Mungu akubarikiii sana mtoto mzuriii uje uwe mwimba kwaya mkubwaa
Amina
@@JugoMedia asantee
Wonderful souls Glory be to God .....Joel 2:28 and it shall came to pass afterwards that I will pour my spirit on all flesh , son's and doughters shall prophesy .......
Choir master anamicharazo hadi raha👍👍👍👍
Hatari sana
God bless you are not alone Jesus christ with all the world even our enemies together step 🥰🙏👋➕🤑😇➕💪💟🥰
He's talented God bless him, has made me cry tears of joy 💗
Amen
@@JugoMedia h
Watu Wana viherehere wangesubir amalize kwanzaaa
Mungu Awabariki Sana utoto mtakatifu
Waoo mungu akulinde ukuzekipaji jaman
The boy is funy ameacha kwaya akimbilie pesa hahaha. Good boy
😂😂😂pesa tamu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ashapata za mandazi, weka kwa mfukp kwanza..
God bless them kuanzia kwa kijana mdogo
Waoow may the almighty God continue use this boy in Jesus Name 🙏🙏🙏❤❤❤
Mbarikiwe sana mabarozi wa Yesu
Kweli watoto wako viziri duu mungu awatunze
Mungu awabariki sana
Furaha mungu apundiwe
Very innocent boy with a good move🥰🥰🥰🥰. May God bless you always ad......... Ur talent
Beautiful voicess..😳😳big up..gals...and mr young man...👌🏽👌🏽🙏his got it.
Hongera mtoto kwakuiongaza kwayahiyo mungu akuongoze
Watoto wazuri hongereni. Mungu bariki na wanangu wakutukuze wewe zaidi.
So wounderful
Hawa ni watoto wenye vipaji I like ❤❤🌹🥀🌷
Ni vizuri kwa wale wanaoibuwa vipaji kuwasaidia watoto wadogo kama huyu ili wafikie nia yao. Na wakati wa kupafomu wajizuie kuwatoa kwenye node kwa kuwatunza katikati ya ya zoezi. Ukiangalia kwa makini utaona huyo mtoto alianza kupoteza umakini pale walipoanza kwenda mbele kumtunza zawadi. Wangoje kwanza amalize ndipo wajitokeze kuwatunza wote kwa pamoja kwani itawapa hata wale wanaoimba kujisikia wote wameweza.
God bless u prince...may He open your ways in Jesus mighty name
Amen
Wow that's good talent keep it up little boy
May God bless the boy,wauh HV lack words to express this ,BT glory unto the lord amen
Hongera sana boy 🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰
Nice job, God bless this young boy
Mungu ni mwema kila wakati ipo talanta ndani Yao we love all❤
Well done dear children. I love you 💝💝💝 so much.
Amen
Mtoto mungu ampe maisha poa
Waoo what's this Bambi that young soul so incredible
Mungu anjalie zaidi huyu mtoi
The boy has blessed my day plus night.I love kids when they execute
Ahwwwww lovely
Hongera sana kwao watoto wetu wamepata mwalimu ghafla
Nimefurahi sana jamani , mtt mungu akubariki.🙏🙏🙏
Mashallah.......hongera baba..
Wow very grateful congratulations 🎉🎉🎉
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Mungu akubariki kijana mtoto wa yesu
Ooh my young angel mungu na akulinde sana Toto
Amina taifa la kesho
Na kweli baraka ya mtu haimwachi . The boy just walked from no where n took overs conducting the choir very comfortably lk he practiced with the girls. This is just awesome 👏!! Felista shukuru Mungu na umlee huyo kijana Kwa kanisani. Good luck young boy!!
Mungu awabariki sana watoto
Asante Mungu kwa kipaji hiki.🙏🙏🙏
Amina
Amazing and cute little boy and great God bless the family with joy, love, justice, peace, humble huge your self with my lord Jesus christ all the world even our enemies happy and huge yourself 😇➕👋🙏🤑🥰Amen
Amina! Anaweza kwa kweli😃
Beautiful sending you blessings
Huyo motto MUNGU ambariki aendelee nakipaji chake
Amina watoto mmeimba Hasa
Mtumishi wa mungu tumeisha mupata mungu amutie nguvu
Waaau talented little boy God bless you
This talent should be matured nice one.. God grant yu favour n follow yua destiny