MWANAFUNZI WA AJABU Full Movie /Bongo Movie

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 262

  • @RevocatusTitus
    @RevocatusTitus 4 месяца назад +16

    🥰🥰 nimeipenda sana hii movie baba joan unakipajiii

  • @DommyMwesh
    @DommyMwesh Месяц назад +12

    Movie tamu from 🇰🇪 Kenya wapi likes zangu jamani

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue 4 месяца назад +8

    😂😂😂Baba kachuda much love❤❤unaweza

  • @Joykathambi-q7b
    @Joykathambi-q7b 5 месяцев назад +9

    ❤❤❤nawapenda sana baba Joan na mm Joan nafuatilia vipindi zenu sana Niko Kwa Ile ya baba karobo. Niko Kwa 28sahi nawapenda sana ❣️❤️❤️💝

  • @NevisKyupila
    @NevisKyupila 5 месяцев назад +12

    Hakika mnajuw yaniii big pu sanaaa baba joaniiii

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 5 месяцев назад +12

    Salute Kwa tumbo ,njaa haijui matatozo

  • @KandiRitah
    @KandiRitah 4 месяца назад +12

    Naomba like mimi kutoka Uganda ☑️☑️☑️☑️

  • @BernadethaMkumbo
    @BernadethaMkumbo 2 месяца назад +4

    Kazi nzuri mungu azidi kuwaweka tupate kazi nzuri zaid

  • @alexsilvano332
    @alexsilvano332 7 месяцев назад +14

    Maisha wanayoishi baba joan na mama joan ni elimu kubwa kwetu,wanapishana then wanaelewana hahaha big up sana

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 3 месяца назад +8

    Keep going huna kiki, walienda Wacha waendelee tamaa mbele mauti nyuma🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @StacyKakuu-qz9rn
    @StacyKakuu-qz9rn 6 месяцев назад +42

    Ok, pia naomba likes hata kumi I'm from Kenya 🇰🇪, kipindi kizuri sana❤❤

  • @MonicaMnjau
    @MonicaMnjau 2 месяца назад +4

    ❤❤❤ baba Joan nawapenda sana

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 5 месяцев назад +11

    🌷🌷🌷🌷maua yako baba joani na team yako,msaada ni muhimu ila wanaosaidiwa ni baraha nilishasaidia Binti mwisho aliniibia jamani

  • @MerabuMachibula
    @MerabuMachibula 5 месяцев назад +10

    Chukua hiyo big up bro mmetisha sanaaaaaaaaaaaa

  • @AbdalaMomba
    @AbdalaMomba 3 месяца назад +7

    Baba johan hapo umekufuru ulipo sena nisaidi ya ntowa roho.sema astaflu Allahu. Napili naomba niwe mkeo nimuowe joan.

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue 4 месяца назад +7

    😂😂😂Mama karobo nakupenda Bure ❤❤

  • @DjShalom-uw6sk
    @DjShalom-uw6sk 6 месяцев назад +23

    Niwape ongera zangu kubwa sana yaani hiii filamu mzuri sana pia mama Joan aliagiza vizuri sana mimi mr Shalom kutoka kenya na wapenda sana

  • @kishukamihero1777
    @kishukamihero1777 5 месяцев назад +8

    Kwa kweli filamu nziri ila muli poteza muda kwenye kipindi ya humo musituni .ila hongera kwa muchezo ama filamu nzuri

  • @DjShalom-uw6sk
    @DjShalom-uw6sk 6 месяцев назад +9

    Eti ulisema mama joan ako na mdomo mzuri kama kasuku anaye imba wimbo mzuri wa mapenzi😂😂😂😂😂😂😂🤩🤩🤩🤩

  • @WinfridaRobart
    @WinfridaRobart 3 месяца назад +10

    IrA misada nyakati nyengine inaweza kuatarisha maisha yako

    • @BwayWanamany
      @BwayWanamany 20 дней назад

      ❤❤❤❤❤❤❤vp

    • @BwayWanamany
      @BwayWanamany 20 дней назад

      Nina mpango wa kushuti kesho😂😂😂😂😂😂😂ngoma kari ambaye inatwa bIkira ndiy dem

    • @BwayWanamany
      @BwayWanamany 20 дней назад

      😢😢😢😢😢😢kipajiii

  • @CharesCopa
    @CharesCopa 6 месяцев назад +11

    Je vous félicite les tanzaniens vous êtes des meilleures sur les novellas

  • @alexsilvano332
    @alexsilvano332 7 месяцев назад +16

    Namuona kwa mbaali mrith wa steven kanumba.kazi nzuri baba joan,nakubali kazi zako.

  • @AimeeNyantabara
    @AimeeNyantabara 6 месяцев назад +7

    Nimeinjoyi hii movie. Asante

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 5 месяцев назад +7

    Mama Joan sasa uletewe ela ya Nini wkt keshaokota.

  • @Berrywhitee-Burundi
    @Berrywhitee-Burundi Месяц назад +1

    hhhhh yani sina la kusema hongeleni sana . wa actors wote
    th best horror story.
    fan from 🇧🇮

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +7

    😂😂😂kenyans napenda sana hicho kizungu❤

    • @AngelaBianchi-p8f
      @AngelaBianchi-p8f 5 месяцев назад

      What's your name😂😂

    • @maureennamono7604
      @maureennamono7604 5 месяцев назад

      @@AngelaBianchi-p8f mm so you can't see it

    • @abrahamOduor-m5q
      @abrahamOduor-m5q Месяц назад

      @@maureennamono7604 naweza kulala majameni si utanitext

    • @maureennamono7604
      @maureennamono7604 Месяц назад

      @abrahamOduor-m5q Mimi nikutext kuhusu nini tena kwani tunajuana?

    • @abrahamOduor-m5q
      @abrahamOduor-m5q Месяц назад

      @maureennamono7604 hatakama hatujuani,mi ningependa nijenge urafiki na wewe tu

  • @RibelataRaymond
    @RibelataRaymond 2 месяца назад +3

    💐💐💐🥀🌹axante mnatoa vitu original

  • @AngelaBianchi-p8f
    @AngelaBianchi-p8f 5 месяцев назад +9

    Ian uko wapi? nataka kuchat na wewe thafadhali nakuomba.❤❤❤❤❤❤❤ I...... You

  • @VanessaMariah-wf4eh
    @VanessaMariah-wf4eh 7 месяцев назад +7

    Hahahaha eti sihizi hatuku ogope hhahaha shukuwa royozetu sasa 😂😂😂

  • @winfridahnyatich3189
    @winfridahnyatich3189 6 месяцев назад +49

    Hata mimi naomba like hata moja ya hii movie 🎉❤

  • @MerabuMachibula
    @MerabuMachibula 5 месяцев назад +5

    Dah aisee hilo ni funzo tosha kabisa inapaswa tusaidiane lakn pia tuwe na tahadhari
    😢😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @hadijazabayo841
    @hadijazabayo841 7 месяцев назад +27

    Nimimi wa kwanza naomba like ata moja❤❤❤

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 7 месяцев назад +6

    Kazi nzur sana Big up baba kachudaa

  • @عاملهمنزليه-ي8ض
    @عاملهمنزليه-ي8ض 6 месяцев назад +2

    Nawakubal kinom kz nzr San BB Joan ❤❤❤❤

  • @hildalumonya6892
    @hildalumonya6892 2 месяца назад +2

    Huyu mama nae haeleweki eti, mara nenda nitakuja, mara mwambie aje kwangu, daah jamani anamzugusha mwanae akili yaan😂😂😂😂

  • @HoligahKivali
    @HoligahKivali Месяц назад +1

    Movie nzuri sana yenye mafunzo iseiii💛💛

  • @VictorineKavira
    @VictorineKavira 2 месяца назад +6

    Bonne chance baba joan

  • @abdalamataka8241
    @abdalamataka8241 28 дней назад

    Hongereni Sana hakika kweli mnajua sanaaaa kwenye kazi yenu

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 7 месяцев назад +4

    Mama kachudaa😂😂 nadaka neno moja moja😂😂

  • @NickyMpole-p7y
    @NickyMpole-p7y 3 месяца назад +3

    ❤❤ congratulations kutoka Kenya Mombasa mm

  • @JastinGilbat
    @JastinGilbat 24 дня назад

    ❤ nimependa kweli sema roho nzuri pennine inaponza

  • @lucasdidasdidas8905
    @lucasdidasdidas8905 7 месяцев назад +7

    Jamani napenda sana kuigiza na mm mnipe nafasi nijiunge na nyinyi

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 7 месяцев назад +4

    Hizi pesa jaman😂😂😂 wamedanganyika wakafata 😂😂

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +5

    😂😂 kwani hakuna police station 😂

  • @EvaAmbogo
    @EvaAmbogo 3 месяца назад +9

    Kenyas mpoo naomba like

  • @AbdiRahman-yy4iv
    @AbdiRahman-yy4iv 7 месяцев назад +4

    Eeeh jamani cijui niongee kizungu au kijerumani kazi Safi baba Joan❤

  • @Mwanaidy
    @Mwanaidy 7 месяцев назад +6

    Hongera mmeweza❤❤

  • @BarakamwitachachaBarakamwitach
    @BarakamwitachachaBarakamwitach 5 месяцев назад +3

    Sema huyo anasura mbaya sana😅😅😅😅

  • @MsafiriMsitafa-tv5qw
    @MsafiriMsitafa-tv5qw 7 месяцев назад +4

    Kali Sana hii, endelea hivi hivi

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +2

    😂😂😂wee.. mdomo wako mzuri kama kasuku daa mapenzi wee😂

  • @UtaruhijimanaJowasErick
    @UtaruhijimanaJowasErick 6 месяцев назад +1

    Keep it up my dear unatengeneza filamu yako vizuri

  • @PùŕìtýDèpùŕìèè
    @PùŕìtýDèpùŕìèè 4 месяца назад +2

    Nawapenda sana❤❤❤

  • @DianaRyan-q8o
    @DianaRyan-q8o 26 дней назад

    Movie nzur sana ila wakat mwingine kusaidia mtu usie mjua ni kubaya sana chek yaliyo mtokea baba joan

  • @TabithaSalama-mz9yy
    @TabithaSalama-mz9yy 3 месяца назад +2

    Much love to the tanzanian for the good work

  • @RachelJulius-f1d
    @RachelJulius-f1d День назад

    Baba joan umenifurahisha sana😂😂😂😂😂

  • @GloriaKisaka
    @GloriaKisaka 2 месяца назад +2

    Movie ingepewa jina la black book ingependeza sana😂😂😂

  • @AugustinaSwai
    @AugustinaSwai 10 дней назад

    Never see movie like this one I love so much ❤❤❤️💯

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +1

    😂😂nimezaidia kapepo ,kashetani..kadogokadogo.😂

  • @suleimanpalmer552
    @suleimanpalmer552 4 месяца назад +2

    Nupti my best character ❤❤love u so much

  • @MwongelaDavid
    @MwongelaDavid 7 месяцев назад +5

    Very good and educative movie

  • @MwajumaMasumai
    @MwajumaMasumai Месяц назад +1

    ❤ ni nzuri❤❤❤❤

  • @AdiventinaHelmani
    @AdiventinaHelmani 3 месяца назад +1

    Nimeona mama Joni anagubu haha😂😂😂😂

  • @ShakitumakiInvestment
    @ShakitumakiInvestment 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤ nawapend san

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +1

    😂😂😂eti "it remains two days" 😂😂

  • @amranijuma100
    @amranijuma100 7 месяцев назад +6

    Habari bro movie ya season 2 Mwalimu mgeni inatoka lini

    • @TedySwai
      @TedySwai 7 месяцев назад

      😊😊

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 7 месяцев назад +4

    Haha haha nime saidia kapepo😂😂😂

  • @DolikasiYusufu
    @DolikasiYusufu 2 месяца назад +1

    Baba karomba ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅

  • @ClarisseKashindi
    @ClarisseKashindi 2 месяца назад +4

    Ata mimi naomba hii filamu

  • @AtuMsemwa
    @AtuMsemwa Месяц назад

    Jaman namkubal sana huy mwanafunzi na aliyemuokota

  • @DorcasChepkorir-l3d
    @DorcasChepkorir-l3d Месяц назад +1

    Nimeipenda sana

  • @saidkhamisali8058
    @saidkhamisali8058 2 месяца назад +1

    Wa TZ vipindi na Filamu lazma uchawi naurogi ndani😢

  • @Soska-h7w
    @Soska-h7w 7 месяцев назад +5

    Kazi nzuri kwa mara tena

  • @noahkirui6458
    @noahkirui6458 3 месяца назад +1

    Likes from City of Kenya

  • @EssrAmita
    @EssrAmita 7 месяцев назад +4

    Kwahelini wageni wenye matatizo 😂😂

  • @Esthergesare-g2n
    @Esthergesare-g2n 2 месяца назад +1

    I have enjoyed the movie

  • @AthanasNkhuyu-rr9mx
    @AthanasNkhuyu-rr9mx 3 дня назад

    Tangu nikuone kwa mwalimu mgeni nakukubali sana kijana

  • @RebekaPaulo-h6o
    @RebekaPaulo-h6o Месяц назад

    Move nzr lakini hawana hata mchungaji hawamjui mungu dah

  • @ARNOLDMAKORA
    @ARNOLDMAKORA 6 месяцев назад +2

    toka DRCONGO, GOMA VILLE 5/5

  • @AliceAseyo-j3f
    @AliceAseyo-j3f Месяц назад

    Nimeipenda sna❤

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 7 месяцев назад +7

    Hawa wageni hawa tunao wakaribisha na kuwasaidia ndo haya

  • @maureennamono7604
    @maureennamono7604 5 месяцев назад +1

    😂😂eti natal'ka niimbe kama lady JD

  • @MwanajimbaPz
    @MwanajimbaPz 5 месяцев назад +3

    Ni kipaji kizuri Tz

  • @IsackLucas-d9g
    @IsackLucas-d9g 8 дней назад

    Nimekukubali sana ba joan

  • @Amosrobert.9f
    @Amosrobert.9f 2 месяца назад +1

    Aahh mna tisha sana sarut

  • @MariamMkopi
    @MariamMkopi 6 месяцев назад +2

    Kaz nzur sanaaaa.

  • @AjuayeNgao-rz7gq
    @AjuayeNgao-rz7gq 5 месяцев назад

    Wanao kubali zujati wagonge like hapa❤❤❤🎉

  • @godwinmagayane4708
    @godwinmagayane4708 Месяц назад

    Kazi nzuri ila tu mngeenda polisi kwanza

  • @LolaniPkivuyo
    @LolaniPkivuyo 4 месяца назад +1

    Ndio sawa sawa

  • @WinfridaRobart
    @WinfridaRobart 3 месяца назад +1

    Nimependa

  • @NeemaJames-k7u
    @NeemaJames-k7u 5 месяцев назад +3

    Nzuri sana

  • @lizadiza
    @lizadiza 3 месяца назад +1

    movie tamu sana

  • @PiliBangwe
    @PiliBangwe 7 месяцев назад +3

    Nimeipenda hiyoo

  • @LizsoniaAtieno
    @LizsoniaAtieno Месяц назад

    Kenyans najua mko hapa😂😂😹😹

  • @AiriniShabani
    @AiriniShabani Месяц назад

    Mungu akusaidie kaka unafanya wema kumbe umetengwa

  • @BoscobChai-cl1nj
    @BoscobChai-cl1nj 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤nice movies

  • @AmissaNSHIMIRIMANA-m8p
    @AmissaNSHIMIRIMANA-m8p 2 месяца назад +1

    Asante sana

  • @MalilatanoClement
    @MalilatanoClement 4 месяца назад +1

    Move kari sana

  • @AngelaBianchi-p8f
    @AngelaBianchi-p8f 5 месяцев назад +1

    Sana ❤❤

  • @hildalumonya6892
    @hildalumonya6892 2 месяца назад

    Kizunguzungu kihindihindi😂😂😂😂😂😂

  • @CuthbertKitigo
    @CuthbertKitigo 7 дней назад

    I have like it the movie❤❤❤❤❤😂