Hongera sana Kwa movies tamu na yenye mafunzo YANI kaka uliemsaidia sele kama mwanao na kuatarisha mausiano yako kweli nimekupenda buree nikupe mauwa yako maana unaujuwa unajuwaa tena
That's why I love to much my mom ❤❤. Then I love it to much for this movie. Steve mweusi nakuponguesa kwenhe KAZI zako nsuri sanaaa❤❤ we na mwalimu mgueni munaiguisa sana vibaya uno🎉. Good bless you to your job. I'm from Mozambique 🇲🇿 my name is Carlos Naba. Naomba iyi film itendeleh na vipandi vienguine.
Mimi hata kama hii ni movie , have truly taken it so personal ,nimeumia moyoni sana, kweli mama asiyekulea tumboni miezi tisa haezi kajua uchungu wa mwana . Am hrted
Amezing 🥰 stive Kazi nzuri unafanya 👏👏 kongole to babake sell pia I like your vibe kaka proud of you 👏👏 loveness mama I love you too unajuwa kuigiza mamy 🥰🥰❤️
It is one of the best movies I have ever watched in Tanzania. I am a Tanzanian living in Kenya. This movie has reminded me of the old days of Charles Steven Kanumba. The movie depicts some real life situations. Big up guys.
Mwanzo niwashukuru wahusika wote afu @Steve mwanzo wakaa kichaa 😅😅😅afu ivi mbona unakitu kakangu😂😂😂.....hongereni sana Steve,dogo,babaake na sele pamoja na mametu kichaa ila Steve una wivu sana mbona kidogo haungeongeza apo maisha ya babake sele na mamake kidogoo😂😂 ila CONGRATULATIONS nmefuraia
From 🇰🇪 Naipenda hii filamu ina mafuzo mengi Sana, hivi nawezaje pata nafasi nije Tz niweze kujiunga nanyi napenda sana kuigiza ❤, salaam ziwafikie wausika wote kwenye filamu nawapenda nyote ❤🫂😘
Hongera sana Kwa movies tamu na yenye mafunzo YANI kaka uliemsaidia sele kama mwanao na kuatarisha mausiano yako kweli nimekupenda buree nikupe mauwa yako maana unaujuwa unajuwaa tena
My first time kuona babake sele akicheka much love 💕 from Kenya Steve na watu wako pongezi sanaaaaaaaa
Ashante Kubwa kwa Steve Mweusi.
Tunashukuru kwa kazi mnayo fanya kutufulahisha na kutufundisha
Sijui kwanini nalia machozi wakati wa kutazama hii movie,,,too impressive and emotional😢
Sele Tangu Alianza muvi leo kaniliza sana
That's why I love to much my mom ❤❤. Then I love it to much for this movie. Steve mweusi nakuponguesa kwenhe KAZI zako nsuri sanaaa❤❤ we na mwalimu mgueni munaiguisa sana vibaya uno🎉. Good bless you to your job. I'm from Mozambique 🇲🇿 my name is Carlos Naba. Naomba iyi film itendeleh na vipandi vienguine.
Mimi hata kama hii ni movie , have truly taken it so personal ,nimeumia moyoni sana, kweli mama asiyekulea tumboni miezi tisa haezi kajua uchungu wa mwana . Am hrted
Wallah mpnz mama yako ni wako tu
So emotional ..lot of tears but steve mweusi anapanguza machozi
Aziza,sele ongeren sana kwa kazi nzuri sana.❤❤❤❤❤
Jamn mungu atulinde tuwalee watt wetu ,yaan nimelia kuona mtt anateseka
Kwamala ya kwanza Julia kwenye move bongo st and sele nawa kubali sana❤
STEVE weeeh naipenda sana na kweli inafanyika really gd memories to all family 👉🙄
Amezing 🥰 stive Kazi nzuri unafanya 👏👏 kongole to babake sell pia I like your vibe kaka proud of you 👏👏 loveness mama I love you too unajuwa kuigiza mamy 🥰🥰❤️
Dogo sele na stive mweusi nakubali sana nataka BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Thats why I love my mum❤❤❤Kama wa kwanza nipeni like zangu
❤
👍👍👍
Wamama wote nawapeeni heshima zao,na c tafadhali
@@MakoloChabene1n8mq^(9eooeew
Wow wanapokubali kwamba film hii inatesa ebu nipeni like 👍
Hongereni jamani mnatufunza vyema japo inaniuma san da
Kazi njema na ni funzo kubwa: team poa👍👍
Mmefanya vzr kweli ❤❤
Wale walio 😢😢lia kuanzia mwanzo hadi mwisho naombeni likes 5 tafadhalini mob love from kenya❤❤
Kecheche
Mama ni mama hata kama hana kitu inasikitisha sanaa😪😪😪😪
Steve mweusi tafadhali muendelezo japo kidogo ili mama sele amjue aliye Lea mwanawe mmeifupisha sana!
Aise hongereni Kwa movie nzr San ❤❤ tunaonba muendelezo bas
Hapo fresh stive wazeee wa frash mmetukumbuka ❤❤❤
Uovu haulipi. Kazi safi sana naikubali
Daaaa imeniliza sana sele unaweza na unatia imani
🔥🔥🔥japo inasikitisha nimependa jinsi kijana Sele anavyoigiza pongezi🥰🥰🥰🥰❤
Movie nzuri sana! Nampenda Sele sana... I really find no reason for watching Nigerian movies if our TZ brothers can do such an amazing article
It is one of the best movies I have ever watched in Tanzania.
I am a Tanzanian living in Kenya. This movie has reminded me of the old days of Charles Steven Kanumba.
The movie depicts some real life situations.
Big up guys.
P😊
P😊
P😊
P😊
P😊
Wah! Inauma sana hadi ninalia ika ina mafunzo mazuri
I'm proud of this movies mungu awabaliki sana
❤❤❤❤ nakupenda sana mola akuongoze
Jamn me nimelia mwanzo mwisho istoshe sele anafanana sana na mwanangu nakupenda sana sele nikiangalia kazi nahic kama ni mwanangu
Nimependa sana babake sele hatakm nimuvi lkn unaonekna hunaroho mbaya,mungu akuzdishie,
Ahsanten movie nzur yenye mafunzo
thanks for the firm very educative tafadhali kaka endeleza usituache hanging
inauma kama kidonda,wenye roo za unyama mungu awatekeketeze
Kwa kwel mama wa kambo nishida sanammmmm 😊😊😊😊😊
Amin
sitivu nimekukubari wewe safi hadi peponi
Umbwa sana uyu mama
Nalia machozi 😢ya huruma sana
Irikua nzuri sana ❤❤❤❤❤
Duhu gem inatufundisha kwa wale tulopitia kwa wamama wa kambo ni z ya hapoo ila tulee watoto wetu vzr pia tuawaheshm mama zetu nan km mama😂😂😂
Mwanzo niwashukuru wahusika wote afu @Steve mwanzo wakaa kichaa 😅😅😅afu ivi mbona unakitu kakangu😂😂😂.....hongereni sana Steve,dogo,babaake na sele pamoja na mametu kichaa ila Steve una wivu sana mbona kidogo haungeongeza apo maisha ya babake sele na mamake kidogoo😂😂 ila CONGRATULATIONS nmefuraia
Inauma sana😢😢😢😢😢😢❤❤nipend movie
Mhhhhh
Mov hii ina sikitisha
Hapa Uganda tunawapenda mno
l love mama wewe niloho yangu sele apewe pongezi anajua anajua anajua tena
The ending is so well........ congratulations Mr Steve mweusi mafunzo NI Tele...
Meaning team yako inaeza pitia kwangu WA subscribe kama support 😢🎉❤
Na Mimi uke kwangu uni sapport
Steve una team poa:👍👍
Dd aziza una moyo wa kuekti mwehu ongera sana tena sana love you❤
So touching....am wat hing from Kenya ...thanks daddy wa. Sele .....af sele shukrani umesimama na mum sana big up..
Kazi nzuri sana
Dogo sele na mamae wanetisha sana
Yaan katika move hii n move
Nimelike hiyo movie Sana Son and the mum am from Kenya ❤
Somo movie iko vizuri
Kazi nzuri sanaa maua yenu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nashukuruni kwa kazi mzuri
Me
Aki mm nimelia mwanzo mwisho wallahi 😢😢😭 watching from Kenya 🇰🇪
Ubalikisana sele ulinifulahisha sana kwa film😭hiyi
Eeeeeeee jaman mungu atusaidie wametukumbusha ambao tuna watu was mamna hii tusiwatenge tuwapende tuu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Wazaiz wa kiumu mlio achana na wake zeno mkaachewa watoto muwa na mad wa kazungumza na watoto wenye kuusu wanayo pitia nyumbani
Hey inaumiza sanaa
Steve you deliver yet you are not pregnant, much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰
Kidawa shoga yangu nisamehe tu bure😂😂
😢😢😢 dah kaka
Just a lesson to us❤❤❤very smwrt my guys i do love your movies i keep watch them
Daaah ni hatar saana inaudhunisha saana
Wewe mwana mke kwa kweli wewe ni pepo
Je t'aime fort fort ma maman d'amour et mon papa mon héros
Ya allah nmpe mama tangu maisha marefu ya rabbi nami nipe maisha marefu ya kuweza kulewa watoto wangu wawilili
dah inauma sana
Movie 🎬 🎞 🎥 nzuri sana kaipenda sana ❤❤❤❤
We nimrembo sana
From 🇰🇪
Naipenda hii filamu ina mafuzo mengi Sana, hivi nawezaje pata nafasi nije Tz niweze kujiunga nanyi napenda sana kuigiza ❤, salaam ziwafikie wausika wote kwenye filamu nawapenda nyote ❤🫂😘
😢😢😢😢😢
Bailam ata simwelewagi yani ila stivu ameupiga mwingi sana
Wow wow good job ♥️🔥
Pole sana kijana mungu yuko
Napenda xnaaa mama anguu ❤❤❤❤❤
Mama ndo kila kitu mm nampenfa Sana mama
I like the movie imenigusa tu Sana Niko Kenya nawapenda Sana 🎉
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi Kwa ajili ya Steve mweusi 😢😢😢😢❤❤❤😂😂😂😂
❤❤❤❤
😂
Duh twajifunza mengi kwa kweli
Finally umeachilia kitu kali ee
Funzo la maana sana.hongera.
Asante Baba sele Kwa kumpenda mwanao
so emotional movie,i'm full of tears
😭😭😭😭 maman ni maman ❤️
Daaah nimelia adi macho yamevimba
😂😂😂😂😂pole sisi wenye mioyo midogo tunapata shida sana
Imenigusa saana hii move kwa kias kikubwa
Mama wa kambo wako si mama yako.
Nmeumia sana kuanzi mwanzo wa move , kweli mam niwamuimu sana kweny maisha usmuzalau mam wa mwenzio , mama ni mam
Tmpatie taji yake mama big up
😭😭😭😭😭nalia kwa sapabu mama ni mama, Waaaah
Eeeh niweke nilee watt wangu
Sele ni kanumba ajae.
Wanaume tafadhali tusisikeze mama wa kambo
Sele umenitoa machozi wallah.
Nilipenda sana iyi kweli uruma
I wish same peoples wangejua mchungu anapitia huyu mtoto aki may God have mercy
Jaman kumbe mmeshutia apa kwetu
Very interested mwaaa
Ila wewe mama mungu anàkuona
Aki nmelia kwa sanaa jamani kipindi kizima nkiwa Kenya😭😭😭