hiinipicha ya kwanza kwangu kuiyona yautofauti kwakua ina ubunifu mwingi tofauti nazile tulizo zoea tajili ana jifanya masikini kidogo lakini hii mwendo wa buku na nilipo penda zaidi pale mwana mke alipo jiongeza yani dairecta katisha apa kutoa akili za watu kuklemisha kwamba ita ishia ivi kweli mtazamo niuleule lakini kwautofauti sana tishaaaa sanaaaa directa
Halaf ww jamaa unatafsir vizuri kweli kweli😂😂😂mana una maneno yale yale ya kusisimua ya kwetu uswahili😂😂😂😂mara kerebu, mara mzigo, mara jumba la kifahari la bilioni moja la mwijaku😂😂😂😂😂😂hadi nafurahi
Movie Kali Sana bro nimeipenda eti keep it up 👏👏👏👏👏
M0vie nzuri xan❤❤❤🎉
wanawake kama chidema bongo nzima unaweza Kuta wako wawil au mmoja aisee
Hawapo kabisa 😂
Watokee wapi
Isitoshe ni chidema tu
Wapo bhna
Sure umesema kweli
😅😅Ety humu tu 😅😅ila nimejifunza kitu big up
❤❤❤❤Manshaaallah 😊
Kipimo cha kujua mke mwema ni hii aisee 😅😅 mwendo wa buku
hiinipicha ya kwanza kwangu kuiyona yautofauti kwakua ina ubunifu mwingi tofauti nazile tulizo zoea tajili ana jifanya masikini kidogo lakini hii mwendo wa buku na nilipo penda zaidi pale mwana mke alipo jiongeza yani dairecta katisha apa kutoa akili za watu kuklemisha kwamba ita ishia ivi kweli mtazamo niuleule lakini kwautofauti sana tishaaaa sanaaaa
directa
Move tamu sna ❤️💯💯☑️
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii kali sana broooo God bless you 💖 😊
Nimejifunza ki2 bro ❤❤❤
Tusizaralauliane kwa kweli
Ama.kweli usimzarau usiemjua❤❤😂🎉
Iyo inawakuta watu wengi sana ❤❤
Kelele nyiygi sae
Hii iko poa ❤❤❤
Uko vzr best
Kamziki kanakera broo
❤❤❤ unajua sana Kaka kusimulia I love that
Kweli ndoa ni kuvumilia kesho mungu atakubariki🙏🙏
Mm nilikaa na njaa siku2 na nikaachwa usicheze na wabongo😂😂
Daah masikini mbona wanamtesa sana sio vizuli❤❤😂😂🇴🇲🇴🇲
We mzee baba Chapa hebu weka nyingine mpya mnachelewa, ikiwezekana kila siku mpya 😂
Hii ngoma noma san
Duuuu kuna watu wanatulia Kwenye kutengeneza movie
Kabisa tu mashaallah mungu akuźidishiye kutufunza
Brother unapika kazi nzuri sana naitaji kuijua hii movie inaitwaje
nguo ya kijan sio ya njano 😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂nilishangaa
Hahaha
Mungu mwema amani kwako tuamshe tumelala mno nimeipenda sana
Hiii kali sana brother.......
Part tu iko wap wakulu....
Jamani nimecheka mama mtoto alivyo stuka kazi nzuri from oman
Nimejifunza vtu vingi Asante ❤❤
Move mzr sana kwel inatufundisha
Mambo vp
Nice🎉❤
Jamani hii movie ina simulizi pia sasa apa sijajua nani kamkopi mwezake ila nimefarijika cz nimeaza kusikiliza zen leo nakuja kuona ongereni sana ❤
Mbona kimy sanaa chapa
Kaka soundTrack imezidi sauti...lkn kaz nzur sana
Ziga la mov❤❤❤❤❤❤❤
Yani ww kak nakupenda san had saut yak yani unajua kz yako ❤
Acha umalaya we dada
@@mrgmwando9494😂😂😂😂😂
Nice👍♥️
Irmão avança não volta para atrás
Chidema I like you my dear
Nzuri sana,tamaa mbaya
Pamoja sana❤
Qaliii mnoo broo
Nice lesson 😊
🎉tutaftie parti 2
movie 📽️ mzur mashallha masikini naye mtu 😢😢
Japo kuwa Hana kitu
O waooooh, another one 🕐
Sio kwa mateso hayo 😂😂😂😂
Daah Hii imenitoa machozi kwakweli
❤❤❤❤move nc
Ipo good sana
Magic sound ...... 👂🏻
Nakubali kai
🤔
Waooo waoooo waoooo nimependa❤❤❤
Mbona kinya Mzee tunataka kazi bado ujapost
😂😂😂😂😂eti unaondoka mama
Ebwanaeee ebwanaeee hatari bonge la movie mm sioendi sana movie lakini hii imenifanya nitamani sana kuchek tena movie
Mpk ngolo umecoment😅😅😅
Mnashelewa kutowaingine baba chapa hebu wekanyingine
Nimeipenda
Ama kweli mungu hukuondolea mateso
Halaf ww jamaa unatafsir vizuri kweli kweli😂😂😂mana una maneno yale yale ya kusisimua ya kwetu uswahili😂😂😂😂mara kerebu, mara mzigo, mara jumba la kifahari la bilioni moja la mwijaku😂😂😂😂😂😂hadi nafurahi
Fine broo,
Jina la movie
The resourceful woman
Unajua kaka
Olooo jialeba makabhii
Kazi nzuri sana
Daaag😢😢
Good job
Punguzaga sound inaboa broo sawa uko vzr ila iyo beat iko juu sn
Inaitwa je
Jamaa anamkomoa uyo Mwanamke bana
Bigger up sana bro we nizaid ya wale 👍👍👍💪💪
Toa soundtrack inaharibu
Mmmh aloo
Safi sana ❤
Chapa tunaomba hako ka mziki video zijazo kasiwepo kanakera
Chapa mbona kimya sana saiv
Bahati ya mtu waga haikwepi 😂🎉
Mbona kimya
ii ni nomaa😂
Mbona haiendelei
Ana moyo yaan
Sound ya huo mziki imemeza sauti yako yote makelele ya mziki ni makubwa
kwl kaka
Dj Wacha kujifanya washasha 😂😂na shebereshebere chukua hio big up❤❤❤❤
Vp mkuu mbona 2 yak haipo
@@jimmykapaya4152 hii full movie mpaka mwisho
Hii move nimeisoma kama simulizi kwa watunga simulizi za uandishi long time ago
Next
Hivi duniani kuna watu washenzi kiasi hiki!!!!😭😭😭😭😭
unajua kaka
Uko vzr
Kiukwel nimelia sana jaman
👍👍👍👍❤❤
Jamani wadau kama yupo aliekuwa anazo nyingi izi movies naomba anisaidie
Labda nikutumie namba ya grop kulipia elf10 kwa mwezi unapata zote hizi
❤❤❤
Mwanamke kama huyu Dunia ya sasa ukimpata Wewe ushafaulu Maisha
Mimi ninae 😊
Mbona tupo tu
Story iko powa ila sound ya music ipo juu saana ukiwa unafanya hii kazi jitahidi kubance sound hiyo
nmeipend sn ❤❤
Sushmita
Ebwana we simulizi zako mbona mzuri tu yaani unainjoi kuliko picha yenyewe.
Noma sana