KIJANA AZAMA KIMAPENZI KWA JIMAMA |FULL MOVIE | CHAPA MOVIES RECAP

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 174

  • @PeterChuwa-o3k
    @PeterChuwa-o3k Месяц назад +2

    Uyu brother kiukweli anaupiga mwingi Sana anajuwa kuchezesha mov kinouma

  • @FredrickMhidze
    @FredrickMhidze 4 месяца назад +13

    Huyu jamaa ananimalizia bando😂😂😊😊

  • @IqramBarut
    @IqramBarut 5 месяцев назад +6

    Kaka we Una juwa unacho kifanya Una ua🎉🎉

  • @Inatmaulididdi
    @Inatmaulididdi 4 месяца назад +8

    Nimeipend sana sna san sana hii movie n nzr na pia inafunza

  • @SideBoy-p3h
    @SideBoy-p3h 4 месяца назад +5

    Umetisha Sana brow nakubali Kaz 🙏

  • @AntonyMwangoka-m2h
    @AntonyMwangoka-m2h 5 месяцев назад +15

    Broo unaweza sana nimekukubali

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 4 месяца назад +5

    Kazi nzuri iyo kaka👊

  • @sabinasamwel1520
    @sabinasamwel1520 5 месяцев назад +5

    Aseee❤❤❤nimeenjoy . Big up

  • @AbdulHassan-ns9ww
    @AbdulHassan-ns9ww 4 месяца назад +6

    We jamaa unajua sana.. Unaifanya muvi iongezi mvuto zaid

  • @jameskway7128
    @jameskway7128 2 месяца назад +3

    Aisee Diva ndio katutoka hivyo 😢
    Tutakukumbuka muhusika mkuu Diva the boss 💔
    Rip. Diva wa bongo 💔💔💔💔

  • @KelvinWilson-s8e
    @KelvinWilson-s8e 5 месяцев назад +6

    Mwamba we ni fundi utafika mbali amini

  • @ColnCharles
    @ColnCharles 2 месяца назад

    Hakika nimefuatilia story zako zote n taaaaamu sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 4 месяца назад +5

    Bmkubwa yuko vizuri mamaee

  • @AHLSUNNA-yw8gg
    @AHLSUNNA-yw8gg 4 месяца назад +2

    Duu uyu mshangaz mbona pisi mjh ata mn🥰😊☺😅

  • @FadhiliFadhili-b7f
    @FadhiliFadhili-b7f 5 месяцев назад +4

    Umetisha saana kaka nimependa❤

  • @ChidiKingi
    @ChidiKingi 2 месяца назад

    Nice story my best thanky nimepnda San ❤❤❤❤❤

  • @FatumaHamisi-zy9wt
    @FatumaHamisi-zy9wt 5 месяцев назад +3

    Kweli unaweza ndugu napenda unavyohathia.

  • @JabiriSeif
    @JabiriSeif 5 месяцев назад +4

    Mwenetu unajua na unajua ten mimi sijaona ulipokosea ila tu ni vile kwamba kila mmoja hua anamachaguo yake yani kukuelwwa au kutokukuelewa yote tisa kumi acha nikupe maua yako 🎉

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 4 месяца назад +10

    Diva wa Nigeria 😂😂😂 nimecheka balaa

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +3

    Me sipendii kabisa maswala.yq shkamoooo 😅😅😅sitaki

    • @Krod23-p8s
      @Krod23-p8s 5 месяцев назад

      😅😅😅😅

  • @eliasmbise4328
    @eliasmbise4328 2 месяца назад

    Ata mimi napenda mishangazi ❤❤

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 5 месяцев назад +3

    Mtangazaji nakukubbali 🎉🎉🎉🎉

  • @WilliamArabe-y9g
    @WilliamArabe-y9g 20 дней назад

    Jamani movie ziko butamu sana

  • @victorias7500
    @victorias7500 3 месяца назад

    Nimeipenda hiyo diva wa mchongooo😂😂😂😂❤

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +6

    Barooo barooo wa chapaaa ilaleeeee😅

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +2

    Bongooo mapemaaaa tenaaaa tunalambaaaa😂😅😅😅😅

  • @syliviasimon8415
    @syliviasimon8415 Месяц назад

    Waoooo mapenzi hayachagui nimependa sana

  • @Sheha-t6x
    @Sheha-t6x 5 месяцев назад +3

    Movie zako nzuri 💯 💯

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +6

    Umriii nambaaaa tuuuu 😅😅😅😅😅letaaa utamuuuu😅huoooo

  • @luciamsani
    @luciamsani 4 месяца назад +2

    I like it lete lete ma movie kibao

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +8

    Ila nyieeeee nimeipendaaaa sana mbonaaa patamuuu kinomaaaaa weuweeee letaaaa utamu😅

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +2

    Noumaaaa ssnaaaa kimeumanaaaa😅😅😅😅

  • @RamadhanIbrahim-g8f
    @RamadhanIbrahim-g8f 4 месяца назад +2

    Mwamba unajua sana kusimulia hla unanikela sana unachelewa kuleta kazi

  • @MeryElakano
    @MeryElakano 3 месяца назад +1

    Vizuli sana naipenda ❤❤❤

  • @AdamGerald-o5f
    @AdamGerald-o5f 4 месяца назад +6

    One love bro unajua sana ila uwe unaandika na jina la movie tuijue ✌️

  • @FadhiliFadhili-b7f
    @FadhiliFadhili-b7f 5 месяцев назад +3

    Tuletee Kila sku hizi love stor

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 3 месяца назад

    Movie nzuri jmni 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Vivian-s7s
    @Vivian-s7s 6 дней назад

    Heri nishide hapa kuliko tiktk ❤❤❤

  • @AsteriaMallya-lu7ue
    @AsteriaMallya-lu7ue 3 месяца назад +1

    Dj umenishinda tabia😂😂😂

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 5 месяцев назад +2

    Hhhhhh kaka yangu mimwenzio at uyo mpenzi sina hhhhhhh kulal mwenyew kuamk mwenyewe hhhhhhh

  • @Katuni862
    @Katuni862 3 месяца назад +2

    Diva wa nigeria 😅😅😅😅

  • @sparkdsanga1612
    @sparkdsanga1612 3 месяца назад

    sema sijaona mipinduko 😢😢😢 daaah oyaa unajua na unajua Tena

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +3

    😅😅😅😅ila richard 😂😂😂😂😂😂

  • @AziziSaidi-d3q
    @AziziSaidi-d3q 4 месяца назад +2

    Umetisha

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق 4 месяца назад +2

    😂😂😂 jamani jamani movie

  • @nasorobwenzinho5985
    @nasorobwenzinho5985 4 месяца назад +1

    Unajuwa sana brooo pokea mauwa yako broooo🔥🔥🔥🤘

  • @malkialinah
    @malkialinah 5 месяцев назад +2

    Nzuri sana nimeeipenda

  • @sabinasabinam-e1z
    @sabinasabinam-e1z 3 месяца назад +1

    eti diva wanaijeria😅😅

  • @yasintakingalu7514
    @yasintakingalu7514 Месяц назад

    Huyu muhadisiaji mbeya😂😂😂😂

  • @kiondo_comedy
    @kiondo_comedy 2 месяца назад

    Mungu mbele sisi nyuma ❤️

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 4 месяца назад +1

    Pole dada bahari haiji mara 2

  • @meddyally4416
    @meddyally4416 4 месяца назад +2

    Me nmempend uyo dada kaiso

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 4 месяца назад +2

    We mshezi sio wote wa dk kumi

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 5 месяцев назад +2

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @SabrinaIsmail-v4s
    @SabrinaIsmail-v4s 4 месяца назад +2

    Noma sana jmn umwiii

  • @JoyceMaziku-y7r
    @JoyceMaziku-y7r 4 месяца назад +2

    Sijaelewa inapoonekana move Haina jina SI inaitwa chapa move

  • @HeryStanley
    @HeryStanley 4 месяца назад +2

    Nom saan

  • @NYAMBISHANI
    @NYAMBISHANI 3 месяца назад

    🤣😂😂😂Mmh lakin apo kwa wadad wa tz alaf una sem samahani saw wew jifany mjanja tu kwa kupoza ukali wa maneno

  • @NishaDonadi
    @NishaDonadi 4 месяца назад +2

    Ikopoa sanaaàà 🎉🎉

  • @zuhurazabiir3769
    @zuhurazabiir3769 3 месяца назад +1

    Mbona diva wa Nigeria

  • @malagajoganya386
    @malagajoganya386 4 месяца назад +3

    Maisha ni password ukipata njia tumia Omar Omar unazingua ukipata upenyo utumie

  • @ReginaJohnbosco
    @ReginaJohnbosco 2 месяца назад

    Kaka kakazaa 😂😂😂

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад +4

    Ila mwamba anajua kuadithia😂kinomaaaa😅

  • @HussenRamadhani-g9w
    @HussenRamadhani-g9w 4 месяца назад +2

    Nakubali

  • @AbdurazakMuhamed
    @AbdurazakMuhamed 2 месяца назад +1

    Umri ni namba

  • @KeristiStel
    @KeristiStel 3 месяца назад +1

    Mimi napigiwa kama diva

  • @TatianaKamulete
    @TatianaKamulete 3 месяца назад

    Kazi nzuri sana

  • @ndogolofadhila6203
    @ndogolofadhila6203 4 месяца назад +2

    Unanifulahisha wewe hadi nasahau kama sina mpenzi

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 5 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤👏👏 Mens

  • @Zawadirenard
    @Zawadirenard Месяц назад

    Mmmmh niuongo

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 3 месяца назад

    Sio msichana sema mmama

  • @Amba2024-ti2dc
    @Amba2024-ti2dc 5 месяцев назад +5

    Saaaaaafi ❤❤❤

  • @Allyfilms185
    @Allyfilms185 5 месяцев назад +6

    Jaman mm Kuna mtu nimemupenda sana sijawai mwambia sasa nifanye nini

  • @CynthianNizigiyimana
    @CynthianNizigiyimana 5 месяцев назад +3

    inavutia san

  • @SharifaWaziri-h5k
    @SharifaWaziri-h5k 4 месяца назад +1

    Inaitwa ENCHANTED

  • @PeterMbelah
    @PeterMbelah 3 месяца назад

    Mhhh hii tamu sana

  • @UgastaRaymondi
    @UgastaRaymondi 5 месяцев назад +3

    Unatukosha sio poua

  • @luciamsani
    @luciamsani 4 месяца назад +4

    Maurice Sam anajua huyu mwamba lete na za Eddi Watson,Jackie Appiah...n.k

  • @AziluKembo
    @AziluKembo 3 месяца назад

    Uko vzr

  • @JohnboscoPaulo
    @JohnboscoPaulo 3 месяца назад

    Unyama sana 😅😅

  • @SporahSeiph
    @SporahSeiph 3 месяца назад +1

    Jamaniii

  • @HanifaJuma-z4w
    @HanifaJuma-z4w 4 месяца назад +2

    Unajua

  • @FatyLove-ue1cu
    @FatyLove-ue1cu 5 месяцев назад +1

    Yani Leo nimeinjoi kinoma

  • @HassanRashid-e6i
    @HassanRashid-e6i 4 месяца назад +1

    Atali sana duhuuu

  • @PhilipoFrancis-dq2qk
    @PhilipoFrancis-dq2qk 5 месяцев назад +7

    Hii ndo baraa

  • @ReginaJohnbosco
    @ReginaJohnbosco 2 месяца назад

    Jaman hya mpenzi yatatufikia lini??

  • @WilloMalendo
    @WilloMalendo 3 месяца назад

    Amazing

  • @BarakaTutito
    @BarakaTutito 4 месяца назад

    Iko visur san 😂😂😂😁😁😁

  • @الباقياتالصالحات-خ7ز
    @الباقياتالصالحات-خ7ز 2 месяца назад +1

    😅😅❤

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 5 месяцев назад +1

    Kutoka omani mtangazaji unajua kwl

  • @GorbaChev-yn2tb
    @GorbaChev-yn2tb Месяц назад

    Mashangazi 🤣🤣

  • @benjagaspar5304
    @benjagaspar5304 3 месяца назад +1

    Mnataka jna la nn mbandke ukutan ushamba

  • @victoriamasesa6715
    @victoriamasesa6715 5 месяцев назад

    Mwamba akamtoe upwiru bi mkubwa sasa balaa😂😂

  • @PeterChuwa-o3k
    @PeterChuwa-o3k Месяц назад

    Brother Richard unge mwambia ukweli bhn mapema

  • @Faines-z4m
    @Faines-z4m 4 месяца назад

    nimeipenda broo❤❤

  • @SifaHamimu
    @SifaHamimu 3 месяца назад

    Unalo bibi😂😂😂

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад

    Upendooo wa kweliiii haufiiii😂

  • @MwanahalimakisuluKisulu
    @MwanahalimakisuluKisulu 4 месяца назад

    Kimbe siye mishangazi tumeanzia nchi za mbali😂

    • @neematango
      @neematango 4 месяца назад

      Mbali sana haaaaaa haaaaaa haaaaaa

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад

    Mwambaaaaa akatelezaaa😅

  • @Loreen23Loreen23
    @Loreen23Loreen23 5 месяцев назад +2

    Nice