Yaani uwe unaumia sana lakini hujui utafanya nini watu wakikuuliza sababu ya kuacha ndoa yako nashindwa kueleza yaani wangejua ndani mwanamume analala kamagongo.....,, ,🥹🥹🥹🤣
nyege gan hzo huo n ugonjwa wa ngono 😂😂 dah ila madem mwanaume angekuw hvo bas mwanamke angesem n anamtesa ila kw kuw n dem nd hvo wanaume tumeumbiw lawama😢
Kweli nakupenda nakipenda kiswahili nimejifunza niligombana na mpenzi sina amani sinaraha nilikuwa naliya tu ila saivi Allhamdullh 🎉 munguu atulinde
Pole sana
Bonge la movie lenye mafunzo sana ubarikiwe
Waoooow jamaniiiii move ni nzuri sana, pia nimejifunza mengi kwakweli 🥰🥰🥰🥰
Wau great movie,inapendeza na kufunza sana,nko kenya ❤ Mr Chapa u perfect
Kaka chukuwa hongera zako hapa umenena kinoma tunao watu hao tunakupenda from uk 🇬🇧 well done tena unavyojuwa kuelezea hiyo minyoosho unatumaliza 👏
@@mahramarswad6041 Asante sana ONE LOVE
Ila Una move Nzur nmependa kwa kweli
Nahii ndoinasumbua ndoa nyingi serious tena inatesa hasa 😂😂❤❤❤🎉
Kabisa
mmh
Kweli
kabisa
Ukweli kuna cha kujifunza kwenye hili
Wapenda minyoosho tujuane plss😂
Am here
Tupooo
😂tupo
@@khadijahamina8457 🤣🤣🤣
😝
Big 👆 Sana brother nimejifunz kituu hapoo
Nimeipenda iyi❤❤❤❤❤❤❤ Kazi nzuri sana brother
Woow nimefurahi Kidia wameongea kiswahili lakin pia movie imenifunza kitu kikubwa sana big up
❤️❤️yan hiyo kweli kabisa kwangu sijifuzi bali naona kam picha yang hilivo kuw ndio napitia sas😢
Naomba nami nipate mke km huyo anayependa mipinduko! Yani nitamuoshaaaaaaa!
Hawa maex mafundi 😂😂😂wanatuchanganya
Unatisha inatishi,❤.
Mliocomment woote nakuoenda baby❤
Yaani uwe unaumia sana lakini hujui utafanya nini watu wakikuuliza sababu ya kuacha ndoa yako nashindwa kueleza yaani wangejua ndani mwanamume analala kamagongo.....,,
,🥹🥹🥹🤣
Huyu mwanamke ana tabia zakimalayaa😂😂😂😂😂😂alipatana na muhuni mwanzoni
Iko vizuri sana Ahsantee brother ❤❤❤❤
Nakupenda Kwa sababu unanipenda ett
😂😂😂😂sijawahi kucoment ila leo acha niseme minyoooshooo😂😂😂😂😂
Naskiza kutoka Qatar simulizi poa broo keep it up
Sasa apa tumeelewa apo mwendo wa minyoosho😂😂😂
Huyu Moris ana Movie nyingi sana na zote ziko poa Sina shaka ndie anaewakimbiza wanaija
Wanaume hii yakwenu ss😅😅😅
The truth is hakuna ex,yaani ex huwa haachiki kamwe,ata iweje,huwa na mshko wake kwa moyo,kwa maneno tuu mmeachna, BUT remains in the HEART ❤
Ujamove on pambana
amn kit kam hicho me mbn nmemsahau x wang
Sasa hiii miyoshoo niatali sana
Nimependa❤❤
Hii ndo shida na kwa nn mtaje jina LA Anna na mie napenda minyooshooo yooooo jamn
Yani nimejifunza sana
Nice one story movie 🔥👌😍
Yaani hii napitia mm kabisa x wangu alikua anajua kunukuna jamn 😢😂
Nakupenda baby 😂😂
Sema mikunjoo inabid iwe sehem yoyote yan sio kwny gar sio ofcn choon seblen oya kiwashe tu sehem yoyote
Ex wangu wacha abaki kama kibaki 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Ni zaid ya funzo🎉
@@zachamohamed9389 true
Asante kwa darasa
hiz movie nazipenda san eti minyoooshooo 😂😂😂eti anakipenyezaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂chombezaaa 😂😂😂😂
Kiekiekieh...eti mipinduko, minyohosho, kuipenyeza, kuteleza😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Haki uyu kaka ananikumbusha mme wangu nayeye yuko hivo hivo yeye mambo yake mikama yawakiristo😂😂😂😂😂😂 haki mi navumiriya tu tafanya nini sasa
Kuna mdada namtafta humu 😅😅
😂😂😂😂Anna amenicheka mno jamn yaan huruma yaan
Bigap Sana Brow Kwa Ku2letea Movies Mzuri
Movie kali kinoma😂😂🎉
Kujiendekaza nyenge maradhi hayo MUNGU atuhifadhi na kidudu hicho MUNGU atunusuru
Hiking Nina experiance nacho nilikuwa kwenye ndoa 26 yrs my husband dead mwaka huu
Dah huy jomba anazingua
😂😂😂 umeona ee
Sema demu mwenyew mbaya kichiz Sula kaa bb
nikafikiri naona mwenyew sura imekaza yaan mbibi😂
Kaka toka nianze kuangalia movie zote hii ndo the best , hii ndo imenifungua ubongo kaka umeuwa
Mumeme ana kosa lakini yeye maissa lamutoto🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jina la movie bro
Napenda sauti yko na enjoy nikikuskiliza mtu wa maana kabisa DJ wetu😂
Sema nn babu una unyama frani iv
Maisha hayana utoshelevu, lazima kuna mahala mtu unapwaya
Ngumu sana
Upo sahihi bro❤
😁😁😁😁 duu noma sana
Movie nzur san ❤❤❤❤❤
Mwanaume kama huyu ndio namtaka mimi mungu anipe mkaka kama huyu.❤❤❤
Aaah: mshikaji anazingua kinoma duh!😮
Ndakukunda chane
Huyu dada anapwiru wa kufa mtu 😂😂 angempata jamaa yangu mmoja hivi angemnyoosha
Nipo hapa agnes
Minyanduo mingine apana asee unakuta mwanamke anakuamsha saa tisa usiku yan kastuka tu anataka minyandua afu nipo nae home asee 😅😅😅
Mmmmh mbon tamuuuuu😅
Jamanii tuwafanye wake ze2 haya ya kujifanya bussy utafuniwa tu mke .
Mwanetu hutaki shida na basata.... 😁😁😁
Nimepend❤❤❤
Inaitwa aje iyinmovie
Kali sana
Mwendelezo please
nyege gan hzo huo n ugonjwa wa ngono 😂😂 dah ila madem mwanaume angekuw hvo bas mwanamke angesem n anamtesa ila kw kuw n dem nd hvo wanaume tumeumbiw lawama😢
Dah hii ishu inanitokea mm na ex wangu, sema shida ndo kaolewa na mjeda ila mishe siku mojamoja nakula mzigo
Hatarii sanaa😅😅😅😂
Mjeshii eeee utaomba maji
X wako Yuko kazini
Sawa kijan nimekuelewa
Wahuni watu wabaya Sana nakumbuka mengi Sana
Yaan hii dadek inikute mm hii mbon uyo Kaz anayo
Nikwelii kabisa ila wengi wetu mazingira ndoyanafelisha
Inaboa Sana 😅😅
Mapenzii tu kuoga aaah😊😊
Lakini uyu dem bona anafanana Irene Paul ama ni yeye??
Achana nae uyo
Hihi hiko sawa lakini
Linaitwaje hili tambala
Wengi waooo tunatesekesa sana nikiwepo mie😢😢😢😢😮😢😮😮😮
Hall
Mmmmhh
Na mimi pia 😢😢
Tam Sana jaman
Hatari sana asikuambie mtu mazoeya bana acha kabisa
Mtu wa maana kabisa 🎉
Safi sana ❤
Hakuna kitu kinaumiza kama kuolewa na mwanamume ambaye hamjuani vizuri yaani kinaumiza....,,
Wawww that's good
Kaka umetisha sana endelea kuweka mupya
Uyo dem ningempata mm mbona angejuta mamaeee😂
😂😂😂
Alafu watu kama nyinyi uwa hamna kitu
😂😂
.mmmmmh is the best
Kama ni Mimi siachi mbunyeto
Izi Bahati wahuni azitupitiagi 😅
Kiswahili❤❤❤❤
Kachumbali bila limao na kitungu sio kachumbali 😂😂ndio hii ndoa sasa😂😂😂😂
Ila kweli jmn!!
Asee wametish san
Tupo tofauti wallah mm cpendi kila muda mzagamuo hapana kwa kwel
Nikutokana na mtu ulie naee
Naomb jina la iyo filamu
Good!
m swez bora achit 2
😂😂😂😂😂😂😂 good noma