Sauda umeuvaa uhalisia wako kamili kweli unaweza saana mamaa upo sawa na uigizaji wako upo sahihi kabisa na unachokifanya, chukua hioo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much❤frm254
Kim blich imekuzeesha huyu syo Kim wetu tunayemjua Flam mbili tofauti katika flam moja ya My daughter flam iliyoanza na hii inayoendelea ni vitu viwil tofauti kabsa
Jamani toka snake boy mpaka sasa hivi tupo kwenye my daughter... Nipeeni likes za clam kutoka nchini kenya EAST AFRICA sisi MANDUGU
Pamoj
Tuliotoka kwenye Big Boss Tusemaje sasa
@@Bizbabillon😂😂😂😂mwambie
@@Bizbabillon tuenjoy
Ego kweli
Iko sawa.....ila dakika ni kidogo mno...kama unataka dakika ziongezwe piga like hapa❤🎉
humu ndani sauda anawakimbiza sana chukua maua yako dada🌺🌺🌺
Bibi chaka mon combat 😂😂😂 bibi chaka ugomvi wangu ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🫡
Movie nziri sana clam vevo bonne chance clam vevo kutoka congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
Sauda amejua sana kuitendea haki scene yakeee... Congrats zakeee
Sema Vevo unatisha sana mwanangu kama una mukubali like apa tujuwane from 🇨🇩 Congo Kolwezi
Naomba liké zangu wakwanza kutoka Congo drc
Sauda umeuvaa uhalisia wako kamili kweli unaweza saana mamaa upo sawa na uigizaji wako upo sahihi kabisa na unachokifanya, chukua hioo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much❤frm254
My daughter inazidi kua ya moto sana 🔥🔥🔥umetisha kinoma clam vevo 🙌
Watu waruto wapi likes za clam😂😂😂😂
Love from kenya 🇰🇪
acha ujinga wewe
Ongera sana Vevo ❤❤❤❤❤❤❤kutokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri kwa team ya clam vevo, nawafata kutoka Goma, DRC
Yaan Sauda kila Anachoigiza kinampendeza safi sana Anakipaj kikubha sana
Yani sauda na alivo mwembamba uhusika umekaa vizur kweli kweli utafikiri ni mgonjwa kweli 😂
Hii move angekuwepo mzee wa mmmmmmmmh bamutu benyewe wata nikuta kwa nyau mmmmmmmh MWAKATOBE 😂
Nipakee mimi shabiki wa vevo kutoka Congo ata n'a liké moja jameni
Mm cjapenda kabisa alivyonyoa kim
Clam basi waisha usitusahaulishe hii my daughter na minutes pia kiasi zifike 20 usije kupoteza viewers ❤❤🎉🎉🎉
My lovely clam vevo hatimae sai ndio naagalia Nimechelewa sana maua yako 🎉🎉🎉🎉
Vevo ulivyo chenhi gea hewani kiukweli umepata dairecta mzuri tumesha msahau sara
Mhh clam we kiboko stori yako nimeielewa sana upo vizur🙋🙋🙋
Cram vevo hongera kwa kazi nzuli Ila ongeza minit ata ifike 25 jameni tunagufuatilia sana gutoka Burundi ❤🎉
Uyu mtoto naon km atamgeuka babaake kwa mchezo unavoenda ila cwez jua 😢😅
Sauda Nampenda bule usije ukamuacha huyu dada Tunampenda sana mashabiki wako
Uko sawa clam usiwachekee watu wanakuwaga na mauzi sana wameanza kuchoka na kazi huyu sara
Wakwanza leo from Kenya,like ata kama ni kumi basii
Huyo mlevi na huyo bibi 😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Wakwanza apa naomba like zangu from Mozambique. Please
Wee unaesoma comment hii M mungu akujalie uyafikie malengo yako
Sauda anajua sana kuigiza 🔥🔥
Big up kwa wote tulio kuwa tunasubili muendelezo wa MY DAUGHTER 🎉🎉
Cheusi tiiii nauku upooo 😂😂
Clam unaakili sana kuchenchi stor lakini bado tunaipenda
Kazi nzuri sana Mr. Clam vevo🇹🇿
Sema huyu sauda humu kaubonda saaana 😂😂 yan uwezo wake n mkubwa mnoo
Clam kweli wewe ni bingwa dakika kidogo tu nakosa na fasi kweye comment 😂😂😂 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Depuis au Congo clam🇨🇩
Mbona Kim kama kazeeka
Huo uso ni Mimi naona au Kuna mwingnee pia anisaidie😮😮😮
Mafuta ilimwaribu
😂😂😂ata mm nimeona nimechukia Sana alikuwa mzur sijuw kawaje
@liliy-u3n 🤭🤭🤭
@NeziaisamaiIbulahm kama ni vipodoz ni vipodoz gan kabla y ujana unakuwa Mzee 🤭😂😂😂😂
Hiyo Dye wabongo mnapenda kuweka kichwani ndio inafanya mtu aonekane mzee
Clam watu wako wote wanajuwa kuuvaa uusika ongereni san
Tunakupenda sana kaka clam nakundi lako nzima mungu awazidishie na awape maisha marefu 🙌🙌 ila sisi mashabikizako tunaomba dakika ziongezeke 🙏🙏
Saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho
Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲💥💥💥💥💥
Ameen
Ameen amenipa Alhamdulilah Allah azidishe furaha
Sikia wewe sio utakaye ni utakae
Insha-allah 😊
Vipi wakuu boda hii inaweza
Kazi mzuri claim leo umekuwa good boy unaleta mapema 😊😊😊
Hapo sasa Enjoy ameanza kuwa wa moto kwa baba ake,
Leo wakwanz mwenyew😂😂
Jamani saudaaa
❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila imechelewa sana
Kazi safiiii, swali: kwann wanawak wana penda watu wasio wajuwa kiundani? 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Iyo inakuwa ni tamaa tuuu amn kingin
Wakwanza from Burundi 🇧🇮🥰 nipeni like zangu atakama ni5
Huyo mlev anacheza je😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Mm wa kwangu uyo mchawi mnywaji😂😂🎉
Ngoja nipige mihayoo nipo peke angu afu wa kwanza
Matako wewe
clam vevo movie nzuri sana wapi like zangu wakuu all the way from Tz
Safi umewaisha Sana kazi nzuri clam
Wa pili leo toka DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana 🎉🎉
Mwazo niliona kama halieleweki hili ingizo sasa ndoa nalielewa kumbe zuri, okay kazi iendelee
Movie nzuri sana Ila mujitahidi kuongeza dakika
Clam baba wa filamu tz wapi likes kutoka kenya, Tanzania na Dunia zima
Kazi nzuri hongera
Saud anajua sanaaa aiceee❤❤
I salute you clam kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kim blich imekuzeesha huyu syo Kim wetu tunayemjua
Flam mbili tofauti katika flam moja ya My daughter flam iliyoanza na hii inayoendelea ni vitu viwil tofauti kabsa
Kweli namm naona
Hata mimi nimeona hilohilo nikazan labda nimimi tu
Kwer kabisaa wanatuchanganyaa
Ana mimba huyo
Ndio ila sio mbay tuendelee nayo..hivy hivy huyu kaka ajawahi kushindwa
Wawooooo Leo tena nipeni mauwa Yang, ❤❤❤❤mwageni hongera za llak
Namkubaliii xans vevo ilaa anachelewesha xana kutowa mwendelezoo😢😢 ilaaa❤❤❤ xanaaa
ukisikia kazi juu kazi ndyo hii haucheleweshi kazi🤜⭐
unaesoma coment hii mungu akujaalie uvuke mwaka salama na baraka za mungu ziwe juu yako 🙏🙏
AMINA🙏
Amiin
Amiin
Amen nawe pia🇰🇪
Amiin
Wenyekazi wameludi kazini 🎉🎉🎉
Butuwa yuko wap jaman uyo atumtaki😂😂tunamtaka mlevi butuwa
Yuko mjini😂😂
Kamaunape NDA unigongeye iyi
Jamani Hans boy niko apaaa😂😂😂
Haya sasa ndio mambo, bandika banduaaa🎉
Hongereni sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤
Noma sana big up team clam🎉🎉🎉
Ivi kumbe huaga kuna walevi wachawi😂😂😂😂
Mbona munaikosea heshima tasnia ya ULEVI, toka lini MLEVI akawa mchawi 😂😂😂
Et😂
Muvi ilianza safi sanaaaaaa lkn dah 😮😮😮
Ninavyoona story imechange kwa7b ya muhusika mkuu kujitoa merisa mana naona mashokoro mageni tu hapa😂
wa kwanza mkipita plz naomba likes zenu frm Kenya🇰🇪
Clam we love you forever from kenya 254❤❤❤❤
Vevo toujours likolo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Sauda ameweza sana hio character ya kuumwa
Namuona bichaka 😂😂😂😂 Mzuri sana tena na kamote❤❤❤❤
Ila sauda anajua👌👌👌🔥🔥
Wakwanza leo kuiona from Kenya
Me nakubari vitu vya clam maana ata commedy zangu zina hit kama kaka clam unaloho nzuri wewe❤❤❤❤❤❤❤❤
Hiyi nayo kali courage kaka Vevo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 congo
Mimi mafikirio yangu yamekuwa jinsi saraha alivyo toka na movie ikabadirika
Mhhh Sauda kma mgonjwa kweli hongera sana
Wangapi wameona mabadiliko kwa hii movu au me tyu story imebadilishwa clam nae mchawi😮
Clam hio part ya mlevi..ebu badilisha mtu mwengine basiii....huyu haiwezi kabisa😊😊😊😊
Big up sana clam🎉🎉🎉🎉🎉
Nimeludi sasa film kali sana
Ila sauda🔥🔥🔥❤️
Clam unajua 🙌
Ila wa Nigeria Kuna somo wanatupa idea zipo nyingi sio uchawi tuu mje na idea nyingine
❤❤
Wakwanza kutokeya congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali Clam vevo
Miyeyusho kweli eti we mwanamke unatembea na moyo wangu😅
More Loves to vevo❤❤❤❤❤from Kenya
Hapa clamvevo umetufurahisha hongera kwakuwaisha kazi
Wakwanza leo like kwangu nataka japo 20 tu movie iko vizul Sana kaka ila inatisha mmmh🌄🛍️🇹🇿
Kim anajiingisha kwa moto
Primeiro a visualizar esse vídeo 📷 diretamente Moçambique província de cabo delgado -montepuez