''NKURUNZINZA'' WA IRINGA BALAA KATAPELI NUSU YA KIJIJI, APIGIWA SIMU
HTML-код
- Опубликовано: 15 мар 2020
- Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi ameendelea na Ziara yake Mkoani Iringa na Hapa amefika katika kijiji cha Nduli na Kuongea na Wananchi wa Kijiji hiko na kupokea na kero mbalimbali kutoka kwa wenyeji wa Kijiji hicho hapa amekutana na Nkurunzinza wa Iringa unaambiwa ametapeli nusu ya kijiji.
Nahata wewe milad ayo tunakushukru kwa kutuletea habar lazima tukufikishiye shukran zetu kwa taarifa hizi
kwakweli miladi ayo ndio mkombozi wa w2
@@zainaramadhan7769 "gyy
Milad tunaaimini sana chanel yako...keep on trust plz
Miladihayo kazi yako inakubalika kwa waandishi wa habali kwa tanzania ww ni namba 1 maana hutoi habali za uongo nikiona kitu umepost ww huwa naamini asilimia 💯
Mungu akubaliki sana maana unaupiga mwingi viongozi wenye Welidi mkubwa na baba na wewe Mungu akupiganie sana kwenye kazi yako hiy
Safi sana kwahii kazi ndugu yangu mkuu wa mkoa ally hapi mungu atakulinda naataendelea kukulinda
Muheshimiwa Mchapa Kazi Barikiwa Sana, Endelea Kutetea Wanyonge.
Hii changamoto inaonekana kuota mizizi hapo ulipo...yaani mwenyenzi mungu akujaalie kibali zaidi na zaidi Mh mkuu wa mkoa...kazi uifanyao ni ngumu na nzitoo mmno
Ally Happy God bless you a lot unafanya vyema!!!! Zao la Magu hili nimelipenda hakika
Fanya kazi yakuwatetea nakuwakomboa nakurudidua haki zawanyonge, Amini utapewa daraja na kivuli Cha Arshi siku ambayo hakitakuwa nakivuli
Napendaga kusikiliza kesi za iringa🤣
Kama mm hahaaa
Kiongozi mwadilifu atapata neema ya kivuri Cha Arshi siku hiyo ngumu isiyokuwa nakivuri, Mungu akupe maisha marefu, Nimekuamini kiongozi, heshima kubwa kwako
Mkuu wa mkoa usitoke ilinga unyooshe watu .nakupenda bule baba kazi nzuri
Nakukubali muheshimiwa kwangu mm nakuita mwamba ALLY HAPI
Wewe nkirunzinza wewe, mbona hatari Sana hii , wee nkirunzinza wee Ni nomaa sanaa
Hongera mkuu wa mkoa unajali watu wako h sana
Kumbe waku wa mikoa wanaweza kufanya kazi nzuli kama hizi kwa wananchi wao Mungu wa mbinguni awabariki
Mkuu wa mkoa uko vizur Sana
Safi mkuu wakoa wairinga nakupenda unajiamini Sana inapendeza sana
Ningekuwa iringa, ningejikuta nmdai namimi😂😂😂
Gud saana
Asante. Mkuu
mamaee devd mwisa kiboko ya wahehe ......alijuaa wahehe ukiwazurumu wanaenda kujinyonga😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 nkurunzinza
🤣🤣🤣🤣hatujinyongi now day's
😂😂😂😂
Mungu amusaidie uendelee na kazi nzuri
Nkurunzinza mungu anakuona 😂😂
Namshukulu Mungu wa Ally Happy akulinde akutunze tunakuhitaji ktk ngazi ya juu zaidi
Wa Kwanza , hongera Sana kwa taarifa
Atapatataaabu
Mmh baba mkuu was Mkoa kwko nmeinua mikono!!nmekuelewa mkuu MUNGU AKULINDE SANA KWA YOTE
Wallahi ata sichokagi kutazama izi habari maana kuna kuchekesha babu koti lake jamaa anataka akapigie deki jamaa anazarau kinyama
😂😂😂😂
Jamani
Mkurunziza n jipu akiii... High 5 milard ayo...
Ali hapi mtetezi wa wanyonge mungu akujalie Kila laheli
Mkuu Wa mkoa mchapa kazi nakukubali sana bwana hapy hapo tatizo ni police rushwa nyingi
Mwizi huyo shenzi taipu likatwe
@@nuratkalinga581 taifisha Mali zake zote wape wanaodai
Huyo David nahisi ni mchawi sio bure! Ubabe gani huo?
Part 2 plzzz tumsikie na David Mwisa
Haswaa
Huyo kwisa ni mchawiii,matapeli ŵengi huwa wachawi.anawarubuni watu kwa njia ya nguvu za giza
Mheshimiwa Ally Happy tunakuombea Mungu akupe ulinzi wake
Hao police wanajuana na Nkurunzinza🏃🏃🏃🏃🏃
Huyu David mwisa ni corona kabisa🤣🤣😂😂
kabinywa pumbu mpaka kawalipa
Haha haha haha haha
Duh! Jamaa ana dharau anaomba koti apigie deki
Vile nakuombea mwenyenzi mungu azidi kukujaalia afya njema na kukubalika zaidi na zaidi mbele ya wananchi wako.na wengine pia....huwa sitamani kupishana na hizi video za kazi zako...unaibua sana changamoto za wananchi wa jimbo lako.
Anyanganywe kwanza bunduki.
Tunataka viongozi Kama hawa
kuna wasio juwa hata kusoma mambo ya polisi wanaogopa maana hawajui hata kusema lolote wanaona tu bora wanyamaze lakini wanaugulia maumivu ya kunyanyaswa na hao watu wabaya wasio kuwa hata na hofu ya MUNGU " nawapenda sana viongozi wanao jitambua wasiokuwa na tamaa
Naona kama movie yani!! Hivi haya mambo bado yapo Tanzania??
ALLY HP CHAPAKAZI BABA
Sijui namimi namdai nkurunziza? Ngoja nikumbuke
Hahaaaaa kumbuka happy bado yupo
Mkuu Mungu akupe afya njema na maisha marefu
Kazi ipo kweli hapo cyo mchezo
Wahehe, watani zangu mnakwama wapi?
Huyu mkuu wa mkoa nakubar sana anachapakazi isee
Barikiwa baba
Huyo jamaaa Duuu ni hatali saana.
Ndugu Ally kwakweli uko vizuri Sana Kama wakuu wote wa mikoa wangefanya kazi kama wewe duh! Tanzania ungekuwa mbali
Nkuruziza mgemtenda anachotenda ngombe zenu kumchinja😂😂
Nkurunziza wa Burundi kkkkkkk
Akika alikuwa rais wa marais mungu akailaze roho yake mahali pema peponi
Huyu mwisa🙌🙌🙌🙌🙌
koti nikapigie deki hahaha kiburi cha hali ya juu
Mungu akubariki kiongozi,viongozi mnaona shida za wananchi msipoenda mtajuaje shida zao
camera iko vzr sana milardayo.salout.
I Know right 👌👍👍
mird nakubar sana bg
Ndugu Muheshimiwa
Mungu atakuepusha na Mitihani ya Dunia na Wenye dhuluma kwa watu Duni kiuwezo, watokee viongozi mfano wako kwa kila Mkoa na Idara kutakua na maendeleo Bora yakijamii, nakila kiongozi na mlanguzi atachunga maisha, Ahsante Ndugu Ally
Wewe unaenda na mamlaka ya Mola Kisheria na Dini zinavyo ruhusu 😍🙏🙏🙏
Umesha pewa chako
Hahahaha hata deki lako naomba nipigie deki, nimelipenda naomba nipigie deki, hahahahahaha dah hakiamungu wallah tuhurumie waja wako inshaallah
Wallah nme cheka sana koti lako amelipenda apigie deki
Nampenda mkuu wa mkoa mimi jamani .anafanya kazi kwa weledi kabisa
Zamani watu kama hawa walikuwa ni wengi.
Mapengo...
Hee jamani David kashindikana hataree ni mchawi huyooooo
njaa tup yani
Huyo devi jamani
Mgu akujarie mheshimiwa
piga uyoooo
Mkuu Wa mkoa nakupa up kwa kufanyakazi macho yetu yako kwako
😂😂😂😂Nimechek sana apo ku koti😂😂
Duuu kiongozi wasaidie hao wanyonge
Pwani akuna kitu
MUNGU mkubwa " viongozi kama huyu ndio wanahitajika " nchi yenye furaha inajengwa na hawa " nawapongeza na kuwashauri wasiogope kufa watupambanie hadi tone la mwisho la damu kuwatetea wanyonge "
Daudi Mwisa. ..huyu anaonyesha anatisha kama corona huko Iringa. .mjukuu wa mkwawa nini au anatokea familia za chief ? Mbona hivi huyu jamaa haogopi kifungo
Huyo hatali akamatwe
Jamani watu zaidi ya mia moja kijijini apo uyo david ni nini.????
Mkuu tunaomba wapo wengi waliotapeliwa wakifika wasikilize walikata taama anatishia anasilsha
Anayemuita mwenzie mapengo nayeye ana mapengo🤣🤣🤣kweli watu wenye kasoro ndo huwa mstari wa mbele kupigia kelele kasoro za wenzie
Huyo jamaa anachafua Jina la David mbona akina DAVID hatupo hivo.
Hahahaaaa pole akina David otee
Huyo Devi ni mtu wa Aina gani mpotezeni piga Shaba aondoke kwenye uso dunia atawasumbua Sana wananchi Kwanza ni mchawi huyo huyo mbabe wenu
Huyo devi ni tatizo kubwa sn
Huyu mkuu wa mkoa ni jembe,kweli JPM ameacha muongozo sahihi,watu waliona JPM alivyopendwa na wananchi kwa kazi yake njema.baadhi wanapita mle mle kwenye njia ya JPM
Mkuu wa mkoa hy aje agombee urais
Mkuu pambana nakuandaliakukuchukuria fom2025uwnyoshemataperi
This is really atrue leader.
Ndugu mkuu wa mkoa kagombee urausi kura yangu chukua wewe na magufuli ni kitu kimaja
💯
Kwasababu anatembea na silaa
Tapeli hyooo
David Mwisa
Stail ya mwenda zake kwa sasa ........?
Kwahio rais wa burundi nkurunzinza ndo mbaze
Korona ikiingia Tanzania tumekwisha. Watu wanajichokonowa mapuwa. Pengine mikutano isimamishwe mpaka Huu ugonjwa upite.
We baba umechanganyikiwa maana ya nkurunziza ni ubabe! 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔
Watu hawaogopi dhambi ya dhulma
David✋✋✋😅
Mutende aki asisumbuwe watu wakose laa kwasabu yako jaman asitese wtu
3:06 Acha kuchokonoa pua wewe Coronavirus ishatua bongo!
Mwitaa sio pw