Safi sna kiongozi umefanya kazi nzuri. Wote mlio comment kwa kumlaumu mkuu wa Mkoa ndo wale wale tu wanachadema maana nyie hata mtu afanye mazuri ni lawama tu. Weka ndani hata mwaka akasome namba sisi ni mbele kwa mbele haturudi nyuma.
@Khamis Rajab ni mwna ccm org na matusi usidhani yanasaidia jibu kisomi pengn lbd uwe hunaenda shule huna haja ya kutukana maana chadema hawakulishii familia yako wala hakuna unachofaidika nacho ndugu shida zako zitabaki pale pale wapo wanaokula ruzuku ya milioni mia tano. Ila ccm tunafaidika maana miundombinu inaimarishwa tunaitumia na nyie sote lkn pesa zenu mnazopewa na serikali hiyo hiyo mnayoshinda mnaikashifu hazijulikani zinafanya kazi gani.
@Khamis Rajab khamis pole sana na utatukan sana lkn chadema hamjielew nyie hamna ubinadam na wanyam wakubwa msojua kutetea matatizo ya wengine pole kwa kuumia
Tumezoea kupinga hata jema.Makosa hayaangalii vyama. Kumbuka waliomkataa ni watendaji ambao waliamulishwa kwa kutumia cheo. Angefanya wa ccm mungepiga makofi lakini kafanya chadema kaonewa.
Safi sana ifike hatua watu tuheshimu sheria na utendaji Ally happy jitahidi kabisa kurekebisha matatizo baadae Muwe wazalendo muongoze nchi Unajua mwalimu wa zamu akiwa mkali hata vilanja nao wanatenda kazi vizuri..
Mheshimiwa mungu akubariki kwa kuwateteya wanyonge# nasikiya uchunguzi sana baadhi ya viongozi kwa dhuluma wanayoifanya ktk utendaji kz wao mungu wasimamiye viongozi wenye upendo na wananchi wao
Hawa vijana ni malimbukeni....huwezi kuwa kiongozi uka-treat wawakilishi wa wananchi namna hii..kuongoza watu kunahitaji hekima na busara....huu ni udhalilishaji uliovuka mipaka..mimi ni mtu hatari sana ??? ni kauli ya kipuuzi kabisa...hii si sawa!!!!
Tunakushukuru mama Samia kwa kumwondoa huyu Dikteta Hapi, nilichokiona hapa Hapy hafai ktk uongoz maana ni mdhalilishaji kama yule jamaa wa Arusha, niombe Samia Rais wetu mpendwa Fungulia kesi huyu Hapy
Hapi ndugu I am a lawyer too...tunatakiwa kuanza na investigation then Arrest... sisi ni nchi mwanachama wa mikataba ya kimataifa hasa ya mwaka 1966 ya haki za binadamu nadhani unaijua ambayo ni ICCPR na ICESCR... usisahau hilo... awe ameonea au hakuonea bado kuna rights zake ndani ya katiba na sheria za nchi....na miongozo mbalimbali... vyama tofauti lakini ni raia wa nchi moja hiihii sote tu watanzania
Huyo mama anafaa afunguliwe kesi ya madai ili alipe fidia ya nyumba aliyobomoa na mental distress aliopata huyo mzee......ni mjinga sana lakini pia nampengeza sana Mkuu wa mkoa alivo handle swala hilo vzur sana.......Hilo swala haliitaji uchadema wa uccm swala hapo ni huyo mama amemnyanyasa huyo mzee
Mheshimiwa Aly hapy nakukubali sana kwautendaji wako wakazi ila usijigambe kua mtu hatari hayo madaraka ni yakupita tu muogopa bilashaka ww ni muislam mwenzangu
Sasa wewe Ali umempa mtu nafasi ya kujitetea unamkatisha katisha hapo hata ahojiwe nani lazima yamkute hayo yaliomkuta, Ali acha kuongoza kwa itikadi za kivyama Ali madaraka yamekulevya
Ktk kuendesha nchi yeyote ile watu wakitumia siasa hatutofika popote ndio mjue kuw ccm ndio chama. CCM juju juu juuuuuu zaid mungu ibariki ccm mungu wabatik viongoz wetu
Aisee kuwa mpinzani yataka kuwa na moyo mgumu sana, kinachotafutwa hapa ni mama wa Chadema wengine wanaingia tu. Mkuu wa Mkoa angetafta namna nyingine ya kulifanya jambo hli kwa sabab ya chain ya wanaotajwa kuwa wengi na wapo. Mama amewaambia wachunguze watapata majibu na ikumbukwe kwamba watendaji wa serikali wote ni makada wa CCM hakuna mahali ambapo viongozi wa upinzani watatetewa
Iringa mpya kweli nimekubali. Kumbe Kuna watu wanabomolewa nyumba zao hata serikali haijui?????🤔😜😲😲😲😲 Ila mama angesikilizwa bila kuswekwa ndani maana Kuna watu waongo huwezi tegemea, haki itendeke kwa wote
Maoni yangu hapa ni hivi.. Happi amejtahid Sana kudadavua na maswali ya msingi umeuliza, but umeshindwa kufinalize.. ningekuwa mimi ningewatafuta hao migambo waliovunja hiyo nyumba na ningepata ukweli walitumwa na nani, lakini sio kutoa maamuzi hapo hapo.. furthermore bado hajahukumiwa na mahakama haijathibitisha km yeye ni mkosaji therefore umekosea sana kumpa majina mabaya mwishoni. Ni hivyo boss
Wewe, Hapi Kafie mbele huko, umekuja ukiwa umemukamia huyo Mama wa watu tena mpole tu, Lakini unamzima kila akitaka kueleza, mbona wengine hushout nao?
Hiyo ni kesi ya madai,mama apelekwe mahamani, mahakama ndiyo itaamua na siyo kumweka jela kabla. Hiyo siyo KAZI ya mkuu WA mkoa. Ingawa WATU hawatambui, ugomvi huo ni wa kisiasa zaidi.
this man is a true leader mamae namkubali uyu jamaaaa aseee...
may the lord protect u my niqqah
Safi sna kiongozi umefanya kazi nzuri. Wote mlio comment kwa kumlaumu mkuu wa Mkoa ndo wale wale tu wanachadema maana nyie hata mtu afanye mazuri ni lawama tu. Weka ndani hata mwaka akasome namba sisi ni mbele kwa mbele haturudi nyuma.
mgosi philemon hata mm ni mwanachadema lakini Mkuu wa mkoa Yupo sahihi kabisa awekwe ndani uyo mama anachuki binafsi sio kaz ya chadema anayoifanya
@Khamis Rajab ni mwna ccm org na matusi usidhani yanasaidia jibu kisomi pengn lbd uwe hunaenda shule huna haja ya kutukana maana chadema hawakulishii familia yako wala hakuna unachofaidika nacho ndugu shida zako zitabaki pale pale wapo wanaokula ruzuku ya milioni mia tano. Ila ccm tunafaidika maana miundombinu inaimarishwa tunaitumia na nyie sote lkn pesa zenu mnazopewa na serikali hiyo hiyo mnayoshinda mnaikashifu hazijulikani zinafanya kazi gani.
Mgosi 😂😂😂 tenaaaa
@Khamis Rajab khamis pole sana na utatukan sana lkn chadema hamjielew nyie hamna ubinadam na wanyam wakubwa msojua kutetea matatizo ya wengine pole kwa kuumia
Tumezoea kupinga hata jema.Makosa hayaangalii vyama.
Kumbuka waliomkataa ni watendaji ambao waliamulishwa kwa kutumia cheo.
Angefanya wa ccm mungepiga makofi lakini kafanya chadema kaonewa.
Asante mku wa mkoa mungu akubariki katika kazi yako
Inauma sana huyu baba mungu amuwezeshe apate nyumba yakumtosheleza na familia yake
Wanaokuponda awajui uchungu wawatanzania kazi nzuri sana mkuu wamkoa nimefurai sana mueshimiwa appy ally
Safi sana ifike hatua watu tuheshimu sheria na utendaji
Ally happy jitahidi kabisa kurekebisha matatizo baadae
Muwe wazalendo muongoze nchi
Unajua mwalimu wa zamu akiwa mkali hata vilanja nao wanatenda kazi vizuri..
Super work from you Rc, chapa kazi
Nakubali apige kazi
Upo vzr Sana mkuu wa mkoa wa iringa mungu akulinde 🙏
Mungu AMBARIKI SANA RC
Mheshimiwa mungu akubariki kwa kuwateteya wanyonge# nasikiya uchunguzi sana baadhi ya viongozi kwa dhuluma wanayoifanya ktk utendaji kz wao mungu wasimamiye viongozi wenye upendo na wananchi wao
Fatuma Hassan mmmm
Yaani.hadi mwili unanitetemeka huyu mbayaa kwelii yaani mkuu Allah akupe maisha.marefu.
Be blessed
Uongozi ni dhamana tu,
Mungu tusaidie sana.
Minakupenda tu mkuuu salute
Safi Sana mkuu wa mkoa hlo limama sukuma ndani
Rc hapi nimeupenda utendaji wa kazi yako mkuu
Yani nakupenda bure na Mungu akulinde
Baraka and
ishu sio siasa kiongozi gani unasimamia mwananchi wako anabomolewa nyumba yake ingekua sheria basi wangebomolewa wote nyumba,safi sana rc happi
Mzee nguvu ulizotumia Ni nyingi sana kuuwa sisimizi
Sumu ya makonda inafanya kazi Makonda big up and big up
Nyumba imebolewa ,kila mtu alikuwa anakata,saiz wameingia lain, Asante mkuu wa mkoa
Wajaman kazzi kubwa wakuu wa mkoa mnafanyaaaa hongeren sana
Mkuu pamoja sana sasa naanza kukuelewa mungu akuogoze
😊😊
Safi sana..
🎉
Safi sana
Mwenyez MUNGU enderea kumuongoz kumrinda kumsimamia na kuzidi kuimalisha afya yake kiyongoz wetu mkuu wetu wa mkowa
Mkuu wa mkoa mungu akubaliki sana kaka
"Huwezi kuwa kiongozi ukatumia madaraka yako kukandamiza watu... "
R.C Ally Hapi..
Source: youtube video above
Aaaaaaaaaah! Pole sana mama maana umejitengenezea msiba mwenyewe kwa mikono yako
Umeona eeeeee 😅😅
hatar ni Mungu bhanaa Sio Mwanadam
Hongela
Mashaallah
Ewee Allah mola wote, ihifadhi Tanzania
very good
Huyo Mama hafai kuwa mwenyekiti ana Roho mbaya Sana 😭😭😭😭😭😭
Pole sana mkuu wa mkoa kwa maamuzi yako ila Mungu yupo atahukumu pia kama ww ni hatari bas sawa ila mm ni najua hatar ni MUNGU tu note hilo
safi sana, kamata hao, ikiwezekana wachapwe viboko hadharani. safi sana
Vzr sana kka mkubwa
Kiukweli tanzania tuna wataka viongozi kama hawa wenye uchungu na wananchi wake hongera sana mkuu wamkoa iringa
Pole mama yangu yana mwisho
Cheo ni zamana ongera mkuu chapa kazi
Yaan ww na makonda mungu awaweke sana nchi hi watu wanateseka sana huku dodoma pia mkurugenzi anatutesa sana njoo na huku
Asante mkuu wa mkoa
Kufanya kazi kwa mihemko ni shida sana busara hakuna kabisa kwa kweli yajayo yanafurahisha
Hawa vijana ni malimbukeni....huwezi kuwa kiongozi uka-treat wawakilishi wa wananchi namna hii..kuongoza watu kunahitaji hekima na busara....huu ni udhalilishaji uliovuka mipaka..mimi ni mtu hatari sana ??? ni kauli ya kipuuzi kabisa...hii si sawa!!!!
Kwa sasa hana jipya na yeye.anaota joto ya jiwe
sikudhani kama happy ni hatari, nimeamini ni hatari na kazi ya kuongoza watu haiwezi!
Tunakushukuru mama Samia kwa kumwondoa huyu Dikteta Hapi, nilichokiona hapa Hapy hafai ktk uongoz maana ni mdhalilishaji kama yule jamaa wa Arusha, niombe Samia Rais wetu mpendwa Fungulia kesi huyu Hapy
Polena sana mzee
Hapi ndugu I am a lawyer too...tunatakiwa kuanza na investigation then Arrest... sisi ni nchi mwanachama wa mikataba ya kimataifa hasa ya mwaka 1966 ya haki za binadamu nadhani unaijua ambayo ni ICCPR na ICESCR... usisahau hilo... awe ameonea au hakuonea bado kuna rights zake ndani ya katiba na sheria za nchi....na miongozo mbalimbali... vyama tofauti lakini ni raia wa nchi moja hiihii sote tu watanzania
tumepata janga la uongozi
Pumba tu
Mama unaroho ngum penyewe umezaa
Nifikiri haya yana mwisho ndugu rejoice today but you mighty be carrying tomorrow. Continue time will tell.
Najuwa hapo anatimiza ilani yachama angekuwa ccm usinge sema akamatwe huo niuchama ndio unawasumbua
Hatari
Hufai mama
Maamuz mazur dhulma imezidi ala nashindwa wanao tetea uyu mama
Safi sana RC
Pole sana baba 😢😢
Ongera Rc hapi ...pambania Iringa
acha kujisifu kijana,unajua tu Leo,kesho huijui
New leadership style
Uwezi kuwa kiongozi kutumia madaraka yako kukandamiza watu....🙏🙏🙏🙏 nukuuu
Hawezi kuwa mtu hatari. Ni mtumishi wa wananchi.
Nimecheka kwa sababu uyo mama atakushinda kesi ilo eneo nikweli ni hifadhi!!! Subiri utayapta majibu yake!!! Hahaha, poor happi!!!
pumbavu Huyu
Nc
Ni uongozi usiokuwa na sheriakuna polisi mahakama mpaka mkuu wa mkoa anakuwa juu ya sheria za nchi .
Pingakazi hali hapi wewe ni kiongozi wa mfano kwa kutetea
wa nyonge mungu akujalie sana
Huyo mama anafaa afunguliwe kesi ya madai ili alipe fidia ya nyumba aliyobomoa na mental distress aliopata huyo mzee......ni mjinga sana lakini pia nampengeza sana Mkuu wa mkoa alivo handle swala hilo vzur sana.......Hilo swala haliitaji uchadema wa uccm swala hapo ni huyo mama amemnyanyasa huyo mzee
Nimeshangaa sana
Pole sana Mzee wangu,Mungu yupo Atatenda Haki,Muheshimiwa Mungu Akulinde Akutie nguvu,pamoja na watendaji wako.
T shirt la kijani kweli mambo ni moto
Mheshimiwa Aly hapy nakukubali sana kwautendaji wako wakazi ila usijigambe kua mtu hatari hayo madaraka ni yakupita tu muogopa bilashaka ww ni muislam mwenzangu
Sasa wewe Ali umempa mtu nafasi ya kujitetea unamkatisha katisha hapo hata ahojiwe nani lazima yamkute hayo yaliomkuta, Ali acha kuongoza kwa itikadi za kivyama Ali madaraka yamekulevya
Lazma ujibunie cheo chako c kwa ubaya...yy pale amemwambia hatar ya mammlaka alyonayo kama alvyomuonyesha...ndan
Upumbavu
Haki sijaiona
haki mbele rc
Ktk kuendesha nchi yeyote ile watu wakitumia siasa hatutofika popote ndio mjue kuw ccm ndio chama. CCM juju juu juuuuuu zaid mungu ibariki ccm mungu wabatik viongoz wetu
Mbaya zaidi Yule Afisa TRA aliyedai rushwa ya mill 2 namuona akichangia elfu hamsini 50000
Nakukubalisana mkuu .
👏👏👏 kazi nzur mh hap kaz, big up kwa mh Rais
Hhhhhhhhhhhhh yani rahaaaaa km tuko class vile aiseee big movie
cheo dhaman broo
Aisee kuwa mpinzani yataka kuwa na moyo mgumu sana, kinachotafutwa hapa ni mama wa Chadema wengine wanaingia tu. Mkuu wa Mkoa angetafta namna nyingine ya kulifanya jambo hli kwa sabab ya chain ya wanaotajwa kuwa wengi na wapo. Mama amewaambia wachunguze watapata majibu na ikumbukwe kwamba watendaji wa serikali wote ni makada wa CCM hakuna mahali ambapo viongozi wa upinzani watatetewa
Kwa maaana hiyo sheria hazina kz ukimsikiliza vizur maana anapanga mpaka ciku ya kuwekwa ndan anatoa hukum tayar
Mtuhatali duh Duh mambo ya hovyo kabisa
Mungu akupe uzima naatakurinda ww mfano wakuigwa kwa viongozi wengine mkuu wamkoa iringa
Iringa mpya kweli nimekubali. Kumbe Kuna watu wanabomolewa nyumba zao hata serikali haijui?????🤔😜😲😲😲😲 Ila mama angesikilizwa bila kuswekwa ndani maana Kuna watu waongo huwezi tegemea, haki itendeke kwa wote
20:40 it painful
Napenda watu wenye haki
Siasa hatutaki saiv mzee Baba
Hatari ni mungu tu, Kama wew ni mtu hatari siku yako ya kufa goma usife Au pambana na izilaeli asiitoe rohoyako.. Hapo utakua mtu hatari.
Vanessa Goodluck Vanessa Angekuwa mwanaume anafanyiwa hayo mge shangilia
Fact
Vanessa good luck
BIG UP AND EXCELLENT
Mmh.
Iringa.tumepata mtu kwelii mungunimwemaa
Mama Samia una makamanda wawili mpaka sasa,wanatosha hawa kukuvusha 2025 _ 30 çcm daima nikele
Njooo kgm kakayangu utusaidie
Hawa wakuu we mikoa walijifananisha na mungu na wanatakiwa rekod zao zifuatiliwe na wakamatwe
Gombea Kaka unafaa Sana kuwa kiongozi wataifa Holi tunaoneawa sana
Huyu dogo Happy ni kiongozi bora Tanzania yaani Magufuli katuachia jembe bora sana
Wallah Hadi nataman kulia
Kwa mimi niliyefatilia vizuri... mkuu umebugi asee mana point zimetolewa vizuri sana na yule Mama.
Mbona watu hawasikilizwi??? Mmmh jmn ni shida