MAKONDA "Natoa Amri RPC Kamata Huyu Mzee Tapeli Muweke Ndani" AFUNGULIWE KESI ya JINAI HARAKA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024

Комментарии • 314

  • @milkamkola7887
    @milkamkola7887 26 дней назад +13

    Mwanangu Makonda Mungu akulinde akupe maisha marefu uendelee kututetea wanyonge

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 28 дней назад +19

    kwakweli kiongozi makonda is very intelligent he has full administration wisdom and leadership skills and he is listening his people and solving their problems excellently and at equity hana ubaguzi katika maamuzi yake anahegemea haki na sheria . congratulations kiongozi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunafuatilia sana uongozi wako

    • @massawejacob
      @massawejacob 28 дней назад +2

      Heshimuni teuzi ....anaeteuaaa anajuaaaaaaa

    • @user-jw7xz4fj5s
      @user-jw7xz4fj5s 26 дней назад +2

      Wish we hve someone like makonda in Kenya.

  • @jonasfrank1758
    @jonasfrank1758 Месяц назад +33

    Isseee we bro unatisha, kila sehem unafiti, hongera kwa kaz nzuri

  • @solomonsamuel3584
    @solomonsamuel3584 Месяц назад +24

    Nafasi uliyonayo sasaiv na na uwezo ulionao ni tofauti Mwenyezi Mungu akujaalie nafasi ya juu zaidi ili ukawaguse watu wengi

  • @yaredyndaga6483
    @yaredyndaga6483 26 дней назад +13

    Huyu mtoa maelezo kwa RC yupo vizuri sana ( RC ametoa maamuzi ya busara na ya hekima hongera sana Makonda )

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 26 дней назад +8

    Mwamba yupo juu sana mungu Ampe maisha marefu zaidi yenye Amani na Afya njema

  • @josephpeter8511
    @josephpeter8511 26 дней назад +10

    sasa moyo wangu umeanza Kufarijika. tulioyakosa tangu friend of mine Mangufuli apoondoka. More Glory More wisdom More Level of elevations to your sir. Jesus loves You so Much ❤️ 💖 💕 💗

    • @neliusgosbertbaguma8693
      @neliusgosbertbaguma8693 8 дней назад

      Unajua sasa naanza kumuona makonda kwenye Uraisi, Magufuli alimjua tangia zamani, Watanzania wanataka watu kama hawa hawataki vyama

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад +23

    Huyo kiongozi anaemwelezea mhshmw Makonda anajieleza vizuri na kwa uhakika...

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 25 дней назад +10

    Da wanyonge tunaonewa na wenye pesa Asante brother Makonda

  • @user-uf3wr5sz7k
    @user-uf3wr5sz7k Месяц назад +13

    Mh Paul makonda chukua maua Yako mungu akubariki sana kwa maamuzi ya busara na ya haki

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 Месяц назад +8

    Mungu akubariki makonda hizi baraka zimiminike hadi kwenye uzao wako❤

  • @eliasernesti7082
    @eliasernesti7082 17 часов назад

    Duuh Makonda ni mtu Hatari sana kwa mafisadi , Mungu amlinde Paul Christian Makonda 🙏

  • @BJMKANGALA1
    @BJMKANGALA1 27 дней назад +6

    Kiongozi kwanza anasikiliza kwa makini, halafu anaangalia haki ilipo, kisha anatoa maamuzi thabiti.
    Hongera Mh. Makonda,
    Hongera Mh. Rais,
    Hongera Serikali!

  • @user-gt9eu2hg8f
    @user-gt9eu2hg8f 28 дней назад +6

    Kwa unayoyafanya Makonda Arusha Mungu Akubariki

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 Месяц назад +8

    Mama Samia plzzzzz unamuona kijana wako. HUWA MAMA HUKOSEI HATA DADA YUU (KATIBU MKUU WAKO) HACHOMOI BETRY KIZEMBE) BIG UP MAMA SAMIA

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 Месяц назад +6

    Mungu akulinde mh.Makonda piga kazi

  • @elit0vagonze560
    @elit0vagonze560 Месяц назад +8

    Kwakweli Makonda ana sifa zote za uongozi unao hitajika kwa sasa.Mungu akulinde sana.
    Asante sana

  • @massawejacob
    @massawejacob 28 дней назад +7

    Mh makomda oyeee !
    Chuga mnasemajeeeeeee

  • @aidankamugisha5107
    @aidankamugisha5107 29 дней назад +4

    Piga Kazi makonda.Mungu akutangulie🎉

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Месяц назад +13

    Makonda upo smart sana normally I appreciate you salute kaka

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 28 дней назад +6

    Kwa kweli hata mkimsema makonda vibaya kwangu mm naona anafanya vizuri sana

  • @user-xd5ty1cx1j
    @user-xd5ty1cx1j 21 день назад +1

    Mungu akubarili mweshimiwa Paul makunda na akupe maisha marefu.amen

  • @chriseskibet718
    @chriseskibet718 Месяц назад +16

    Hongera sana RC wa Arusha Paul makonda kazi nzuri bro mungu akulinde siku zote uendako.

    • @sadickissa1600
      @sadickissa1600 Месяц назад +2

      Mkuu kazi yako ni ya haki mungu Akulinde uwatete wanyonge mimi nipo na wewe na Nakuku bali sana ukifika Tanga nitafute tuongee naomba niwe ndugu yako Asnate makonda

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 28 дней назад +2

    Mkoa ulioshindikana,wameona MAKONDA ataunyooshaa🙏🙏🙏 Mungu mcmamie MAKONDA

  • @kennedymalya
    @kennedymalya 28 дней назад +3

    Huyo ndiyo kiongozi tunayemtaka.Mungu umlinde ktk majukumu yake

  • @SAMPonda
    @SAMPonda Месяц назад +13

    Saafi sana mkuu wa mkoa mungu akusimamie

  • @FauziAllyRamadhani
    @FauziAllyRamadhani Месяц назад +10

    Makonda uje uchukue mbuz morogoro aiseee

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Месяц назад +7

    Makonda nakuchukia wakati wote ilaa leo nsamehe kweli ww nmtenda haki❤❤❤❤❤

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 29 дней назад +3

      Unajua siku zote usiwe na chuki na m2 bila sababu na hili tunalo watanzania wengi

    • @gracegrace6510
      @gracegrace6510 29 дней назад +1

      Chukia hiyo Veep apewe Maua yake bana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉wewe kuweza

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 27 дней назад +2

      Huna akili,unamchukia,kwani anakula ,kuvaa,na kuishi kwenu
      MBONA HUNA AKILI

  • @allyomari2245
    @allyomari2245 8 дней назад

    Mungu akulinde kiongozi pigania haki one love

  • @athumankimata2951
    @athumankimata2951 26 дней назад +2

    Mungu ampe maisha marefu

  • @OmanOman-hz1qm
    @OmanOman-hz1qm 2 дня назад

    Makonda wewe ni nguvu kazi mungu akupe afya njema

  • @sadikimwakalebela7699
    @sadikimwakalebela7699 Месяц назад +13

    Mungu akubaliki makonda

  • @SanteMbawala
    @SanteMbawala 7 дней назад

    Hongera makonda Kwa kutupigania wanyonge

  • @JemaElia-np6yi
    @JemaElia-np6yi 26 дней назад +2

    Mambo hayo baba una upiga mwingi hongera sana😊

  • @Pro_editings2024
    @Pro_editings2024 Месяц назад +5

    He deserves our country

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 Месяц назад +4

    Na kama hajampatia mkataba sababu ndio hiyo alitaka kuliuza tena kwa mtu mwengine dah Tanganyika kuna watu makauzu kweli

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 23 дня назад +3

    Mheshimiwa Makonda !!! Mungu aendelee kukupa ujasiri na moyo wa kuwatumikia WANANCHI. Unatisha Baba!!

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Месяц назад +3

    Aaah Makondaaaa aisee unanifurahisha sana

  • @adolpheaoci5706
    @adolpheaoci5706 Месяц назад +1

    Thank you Mr governor Paul Makonda.
    You are my best teacher, I have a dream to become a governor in my Country.

  • @BebiJonas
    @BebiJonas 13 дней назад

    Mungu akulinde daima baba

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 20 дней назад

    Hekima ya Mungu kwa viongozi ni muhimu. Mh. Makonda tunakuombea Mungu akuzidishie hekima upate cheo kikubwa zaidi ulitumikie taifa hili kwa uadilifu. BARIKIWA BABA MTUMISHI WA MUNGU

  • @RamaRashid-ym1yz
    @RamaRashid-ym1yz 3 дня назад

    Naomba siku moja mungu ajalie nikuone nasi tumezurumiwa nyumba

  • @buchumiefremu5830
    @buchumiefremu5830 Месяц назад +10

    Hongera makonda

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 27 дней назад +1

    Barikiwa Sana waziri mkuu ajaye

  • @mrkipinguog3134
    @mrkipinguog3134 Месяц назад +3

    Mungu anabariki sana mkuu wamkoa

  • @user-kr8uw1co7v
    @user-kr8uw1co7v Месяц назад +6

    Makonda MUNGU akulinde sanaa

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Месяц назад +2

    Watu wenye vihela wanatunyanyasa sana safi sana Makonda

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 26 дней назад +1

    Yani Mungu akulinde baba makonda

  • @sampeter5857
    @sampeter5857 27 дней назад +1

    Ila Makonda Mungu akulinde Sana

  • @nellyjuju5325
    @nellyjuju5325 Месяц назад +13

    😂😂😂😂 nilifika pale wale walokole wakataka kuniombea😂😂😂😂😂😂😂

  • @pstemanuelsaiterumollel9251
    @pstemanuelsaiterumollel9251 17 дней назад

    Mheshimiwa Makonda Mungu amekupa hekima kubwa. Mungu aendelee kukutunza

  • @rast899
    @rast899 11 дней назад

    THIS WAS A VERY INTELLIGENT AND SMART RESOLUTION. HUYU MZEE NI MTAPELI.

  • @Rafaeltuli-gw8ii
    @Rafaeltuli-gw8ii 13 дней назад

    kweli makonda mungu akulinde

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Месяц назад +6

    Tamaa mbaya

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 28 дней назад

    Hongera sana sana sana Rc umpe Akili na wengine wafanye hivi. You are Dynamic Action Person.

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 Месяц назад +2

    Makonda ni mtoto mwenye uwezo mzuri wa kufikiria

  • @ShabaniKala
    @ShabaniKala 29 дней назад +1

    Umetisha makonda

  • @McBarakaevents
    @McBarakaevents 2 дня назад

    EEH MUNGU TULINDIE HUYU MAKONDA NDO HUYU HUYU KWA SASA TULIYE NAYE 😢😢🙏🏽🙏🏽

  • @emanuelyakonaay7375
    @emanuelyakonaay7375 29 дней назад

    Shalom Aleichem blessing to makonda,

  • @RudelphZabron
    @RudelphZabron 29 дней назад +1

    Makonda uje na kwetu Geita Tunakuombeeni Kwa Mungu na Mungu akulinde
    Tanzania tunapaswa tupate viongozi wa Kariba Yako tutasonga mbele Kwa hakika Simamia unachokiamini daima endelea kusimama upande wa haki Kwa kauli iliyonyooka bila Shaka.

  • @user-dd8oc6yw9n
    @user-dd8oc6yw9n Месяц назад

    Asante kaka🙏🙏

  • @josephmacha6853
    @josephmacha6853 14 дней назад

    Dah makonda kaka unakazi mungu akujalie

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 Месяц назад +3

    Kiukwer ukwer usemwe hii nchi viongozi bora wanatoka kanda ya ziwa tu huko kwingine sijui 😅

    • @YamunguMuha
      @YamunguMuha 29 дней назад

      Kwamba Kanda ya kati hakuna?😢

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 21 день назад

    Kuna watu wawili nawakubali sana Maconda pamoja na Musukuma Geita Moja nilipozaliwa

  • @HenryHabeli-iy5dv
    @HenryHabeli-iy5dv 28 дней назад +1

    Kweli makonda no kiboko atainyosha arusha

  • @user-nn3dq6or9g
    @user-nn3dq6or9g 19 дней назад

    Barikiwa

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU Месяц назад +6

    Makonda wewe kamanda kweli.

  • @smartonlinetv127
    @smartonlinetv127 24 дня назад +1

    Saf Makonda Team

  • @magdalenapeter6416
    @magdalenapeter6416 19 дней назад

    Uyu Mzee uyu mmmm😊😊😊

  • @user-iw3uc8tq6n
    @user-iw3uc8tq6n 22 дня назад

    Asante sana baba mtetezi wa wanyonge ❤

  • @sophialiganga1419
    @sophialiganga1419 20 дней назад

    Makonda mungu akuweke nakupenda sana mwanangu kipenzi

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 23 дня назад

    Ukakae ndani kidooogo mzee

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Месяц назад +4

    Sukuma ndani Makonda🤣🤣🤣🤣

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 23 дня назад

    Kaka Makonda sijawahi kukuelewa ila leo nimekuelewa hongera sana

  • @humbemusa3480
    @humbemusa3480 Месяц назад +1

    Hongera mh Makonda hapa ndipo tunajua kiongozi ni nani?
    Njoo na Kagera Bukoba yapo ya namna hii uje utumbue😊

  • @JosiaWmela
    @JosiaWmela 28 дней назад +1

    Makond umeenda sehemu yenyew

  • @godfreynoah6450
    @godfreynoah6450 Месяц назад +4

    Makonda ni Alama ya jpm kabisaaaaa

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 19 дней назад

    Haya mambo yapo Sanaa,,watu wanateseka

  • @user-gt9eu2hg8f
    @user-gt9eu2hg8f 28 дней назад +1

    Makonda Hoyeeeee

  • @mtebebroscar729
    @mtebebroscar729 21 день назад

    Nakuona kama ni Raisi wetu ajae big up!

  • @WilfredKuyonza-jz2nj
    @WilfredKuyonza-jz2nj 29 дней назад

    Daaaaah Makonda anafurahisha sana piga kazi kaka

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j Месяц назад +3

    ⁹hivi wakuu wa Mikoa wengine mbona wamelala maofisini awaongei na wananchi wao?
    Igeni utendaji wa makonda

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад

    Mhe.Makonda watu kama huyo mzee ni wengi sana❤❤❤❤❤

  • @user-cd8ge8mx7p
    @user-cd8ge8mx7p Месяц назад

    Daaaaa, Makonda ishi tuuu, Mungu akuweke sanaaaaass

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 9 дней назад

    Amen

  • @lazaroeliphas8353
    @lazaroeliphas8353 29 дней назад

    Mungu wa mbinguni akubariki makonda

  • @kavulatikivurunzi
    @kavulatikivurunzi 12 дней назад

    Makonda nakupendaga pamoja na Kassim majaliwa

  • @azadinzunda4327
    @azadinzunda4327 29 дней назад +1

    Kama Tanzania nzima tungekuwa na viongozi wenye busara na haki kma Malinda tungekuwa Kama china

  • @geoffreyobaigwa779
    @geoffreyobaigwa779 23 дня назад +1

    Mzee mlagai huyu Tia yeye ndani miaka Miami moja

  • @user-ow5dv1ht6i
    @user-ow5dv1ht6i 29 дней назад

    Asante makonda

  • @atlantis1924
    @atlantis1924 13 дней назад

    Intelligent

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 Месяц назад

    Dah

  • @luluray2115
    @luluray2115 8 дней назад

    Makonda nazid kukupenda

  • @josekinyamagoa-sv4jh
    @josekinyamagoa-sv4jh 28 дней назад +1

    mama yet tunakiomba uyu makonda usije kumuachisha kaz wala usimfkuze. Uyu ni zaidi ya majaliwa.

  • @Mateen7912
    @Mateen7912 Месяц назад

    Hongera sana kijana wetu

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 3 дня назад

    Kweli ilikua mzeee kashauza

  • @aldawawiyjafar7410
    @aldawawiyjafar7410 24 дня назад

    😊

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 Месяц назад +1

    Baba keagan ...hii n arusha tu Iko hv vip mikoa mwingne vipi kule vjijin ambalo hakuna mtu kama makonda 😢😢

  • @user-sl6hb3eh2g
    @user-sl6hb3eh2g 20 дней назад

    Mdogo wangu Makonda nakuelewa sasa baada ya miaka mingi

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад

    Duu makonda mungu akujalia afya njema