RAFIKI wa MAKONDA ALIYESOMA NAYE CHUO AIBUKA MKUTANONI na MADAI MAZITO - MAKONDA ASHANGAA!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 месяцев назад +71

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @laurentrichard4638
      @laurentrichard4638 7 месяцев назад

      global tv.. mko vizurii.. habari na uwakika...

    • @msesemtete431
      @msesemtete431 6 месяцев назад +11

      Hello

    • @Official_eugenny
      @Official_eugenny 6 месяцев назад +4

      Jamani Makonda Awe Raisi Wa Tz

    • @JimmyWilliam-on6po
      @JimmyWilliam-on6po 6 месяцев назад

      00000000000000000000000Aa0000000​@@msesemtete431

    • @JimmyWilliam-on6po
      @JimmyWilliam-on6po 6 месяцев назад

      😊😊😊😊😊aa😊😊😊😊a😊á😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊Á😊😊😊😊😊😊😊😊😊00😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊á😊á😊😊😊😊😊á😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @salvationisindividualbased8036
    @salvationisindividualbased8036 7 месяцев назад +37

    Definition of a good leader is to bring solutions existing ,,, congratulations mkuu wetu wa mkoa

  • @GerardLaizzer
    @GerardLaizzer 6 месяцев назад +25

    Tuwasomeshe watoto maana watatutetea katika haki ona Sasa huyu Anaye tea haki ya babayake♥️♥️♥️

  • @moskim8106
    @moskim8106 7 месяцев назад +65

    Makufuli wa pili ameonekana Tanzania congratulations Mr makonda

  • @edwinlyimo5611
    @edwinlyimo5611 6 месяцев назад +7

    Ongera sana mkuu,Mungu akubariki,watu wengi wana kosa haki zao,naomba uingie na huko magereza naamini kuna watu wanaozea jela kwa kunyimwa haki,Makonda Mungu akulinde,uje upate cheo kikubwa zaidi usaidie wengi, asante Mungu

  • @GöldènGordian
    @GöldènGordian 7 месяцев назад +26

    Asante sn Mh Makonda kwakuzingatia Taratibu za Kushushwa BENDERA. Big Up sn Mh Mkuu wa Mkoa

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 месяцев назад

      Hio nisheria razima afanye hivo

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller 7 месяцев назад +72

    Shukran kubwa pia kwaninyi vyomba vya habari mnaotuletea habari hizi.
    MUNGU awalinde na kuwazidishia nguvu katika utendaji kazi wenu.

    • @WitinessSamweli
      @WitinessSamweli 6 месяцев назад

      L nmojjo John kukuhoji killingly I I plpklolboho oolhoo

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 7 месяцев назад +52

    Makonda Mungu akubariki na akulinde usipatwe na mabaya

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 6 месяцев назад +7

    Uwiii...Hicho kingereza wakenya wasione hii😂😂😂😂😂😂

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 6 месяцев назад

      Mbona Rais wao Bwana Ruto ameshindwa kuongea kingereza na wazingu juzi tu huko anasema kingereza Chako kigumu sielewi ni kawaida tu Sisi sio wazungu brother

  • @adonismuganyizi226
    @adonismuganyizi226 6 месяцев назад

    Asante MH.Makonda ulituahidi kumuenzi Baba yetu Mzee JPM, sasa unatimiza ahadi zako,
    kazi imebaki kwetu kukuombea kwa kwa Yesu akuzidishie urinzi na afya njema,
    Amena

  • @ShaabanMalikiMbwana
    @ShaabanMalikiMbwana 6 месяцев назад +14

    Nakuombea kwa Allah siku moja uwe Rais wa Tanzania yetu

  • @farajasimba9737
    @farajasimba9737 6 месяцев назад

    Mungu ambariki Mr Makonda. Ni mtu wa Mungu, anatumia hekima sana kufanya majukumu yake... Nimemfatilia japo kidogo mienendo yake, anastahili pongezi za dhati, Mungu azidi kumuongoza zaidi na ziadi...

  • @Mcsceo
    @Mcsceo Месяц назад +3

    Daaaaaah Hivi mmemsikia huyo jamaa anayesoma hiyo barua anavyosome Aisee hali ni mbaya sana 😂😂😂 Jamaa anasoma kama maneno yalivyoandikwa afu ni mhitimu wa chuo level fulani Daaah Kazi kweli kweli🙌🏾🙌🏾😁 na anatembea kwenye msafara wa mkuu wa Mkoa daaah.

  • @ghotmedia
    @ghotmedia 7 месяцев назад +20

    Mimi ndo sielewi au yeye ndo haeleweki,,,kiingereza Cha chuga hiki😂😂😂😂😂

  • @happinessabel9071
    @happinessabel9071 5 месяцев назад +2

    Eeeeh Mungu wangu!. Msomaji sasa!.

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 6 месяцев назад +7

    qualities of good leaders millions of people loves your heart you solves the problems of citizens God guide you day's of life

  • @raphaelmussa7662
    @raphaelmussa7662 Месяц назад +1

    Mmemsikia lakini😂😂 Mwanasheria alivyo soma hiyo older 😂😂😂

  • @lydiammassy4634
    @lydiammassy4634 6 месяцев назад +8

    Jamani Mungu anisaidie,Nimeshindwa kulala nikiwa minamsikiliza huyu mtumishi wa Mungu Makonda,mkuu wa Mkoa wangu wa Arusha.Ninatamani hata niongee nae tu nimshike kichwani nimuombee kwa Mungu uzima wa afya yake.Ila Damu ya Yesu umfunike.

    • @WinifridaJonathan-cq2nw
      @WinifridaJonathan-cq2nw 6 месяцев назад +2

      Mimi sku hizi siangalii taarifa ya habari naangalia makonda tu

    • @jumasaid6073
      @jumasaid6073 5 месяцев назад

      Huyo ni Rais wetu mtarajiwa miaka ijayo panapo uhai !!!!

  • @farajafelician4087
    @farajafelician4087 6 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    English Noumaaa Tanzania nchii yangu Nakupenda kwa moyo wangu wote 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 7 месяцев назад +62

    Shikamoo wakili uliesoma barua .Ume tifua kingereza hatari. Mungu akulinde uweze kubakia katika misafara ya Makonda.

  • @ReonceRevocatus-dp9eu
    @ReonceRevocatus-dp9eu 6 месяцев назад +8

    Kiongozi strong sana kwa haki za wananchi

  • @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c
    @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c 7 месяцев назад +9

    He is a hero 🙏🙏🙏🙏

  • @laurentrichard4638
    @laurentrichard4638 7 месяцев назад +54

    makonda namuona mbali saana... Rais wa badae ....... maana anajuwa kusikiliza kero za wananchi na sifa ya kiongozi ni kusikiliza kero na kutekeleza... nakubali makonda.. arusha one...

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 7 месяцев назад +5

    Aaaah wakili anasoma ivi na ni lawyer 😊😊😊😊😊😊😢😢😢

  • @JaphethIsmail-wt1rx
    @JaphethIsmail-wt1rx 5 месяцев назад

    Makonda mungu akubariki sana kwa kazi yako nzurii wewe ni mfano katika Taifa huru la Tz

  • @anthonmponda12
    @anthonmponda12 6 месяцев назад +5

    Makonda guenda akaja kuwa mbadala wa jpm kama unaaamin oya gonga like hapa kwangu

  • @vennyblack3766
    @vennyblack3766 6 месяцев назад +1

    Jaman Kwani wakenya wamesikia hii kingereza iliosomwa apo😂😂😂 sikijui vizur ila hapana dear 🙌🙌

  • @petermagesa1184
    @petermagesa1184 6 месяцев назад +4

    Hongera msomaji

  • @AnnaMeruss
    @AnnaMeruss 6 месяцев назад

    Mweshimiwa Makonda Mungu akulinde

  • @fatemafatema4780
    @fatemafatema4780 7 месяцев назад +4

    Makonda eyyeeee kazi nzuri sana unoifanta mungu akubarik kwa kazi nzuri sans .kura yangu kwako na mama samiha haina wasi wasi kabisa mashallah

  • @SaidiAmiri-qv5ed
    @SaidiAmiri-qv5ed 7 месяцев назад +24

    😅😅😅😅😅😅 bas ukute jamaa anafasi kubwa serikalini dah maisha haya.

  • @JacquelineGoda
    @JacquelineGoda 6 месяцев назад +1

    Mungu akubariki ,Akulinde na akutunze

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 7 месяцев назад +57

    Nchi nzima iko Arusha inafuatilia kwa makini anachofanya Makonda.🎉🎉🎉🎉

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 7 месяцев назад +3

      hadi nje ya nchi Tuko online si mchezo

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp 7 месяцев назад +2

      Niko gulf nalala na kuamka nikimskiliza Muheshimiwa Makonda

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 месяцев назад +1

      Mlisoma wote Chuo Kikuu, vipi wale wanaosema hakusoma?

    • @sumaidgasto4721
      @sumaidgasto4721 7 месяцев назад

      Hata mimi mwenyewe nawaza waliosema hajasoma

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 7 месяцев назад

      ​@@trophywilson7211Wow❤

  • @nestor384
    @nestor384 7 месяцев назад +8

    Magufuli in the making, God bless up Sir

  • @neddon5822
    @neddon5822 7 месяцев назад +96

    Mimi napitia comments kuhusu ki inglish kilicho charangwa hapo na wakili wa Tanganyika Law Society (TLS)😅

    • @elihurumakisimbo1124
      @elihurumakisimbo1124 6 месяцев назад +5

      Wakati mwingine na vilema nao huenda shule.
      Sio kila mwana - TLS ana ukamilifu ... wengine wana ulemavu wa midomo, hasa kusema vizuri, lakini akili za darasani ziko sawa!
      Let's not judge the book by its cover but the contents!

    • @Salhamaneti
      @Salhamaneti 6 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @zachariabakila5528
      @zachariabakila5528 6 месяцев назад

      😂😂😂

    • @andreamandari7089
      @andreamandari7089 6 месяцев назад

      Hatariiii sana

    • @yahyagonga
      @yahyagonga 6 месяцев назад

      Ulimi mzito!

  • @HappyBeagle-fn5jw
    @HappyBeagle-fn5jw 6 месяцев назад +2

    Jaman wakili huyu.😢😢😢 hiki kizungu daah mimi cjui ila dogo kazingua😅

    • @Indeii_biashara
      @Indeii_biashara Месяц назад

      😂😂😂😂 Wakili alikua anakula sana chabo shule, yani sio shida zake

  • @boniphacehamis8974
    @boniphacehamis8974 Месяц назад +8

    Alie sikia kiingereza ya wakili agonge like

  • @kabelwasalim6305
    @kabelwasalim6305 6 месяцев назад

    Trabuno kwenye moja na mbili,nice job Mh Makonda

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 6 месяцев назад +3

    Kwakweli Mungu amutiye nguvu Makonda!anajitaidi kabisa manyanyaso ni mengi ata siko mu Tz!nafatilia från Stockholm Sweden Mungu awatanguliye kwakila jambo

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 6 месяцев назад +1

    Waah huyu jamaa amesoma Nini kwenye hio application na makonda ameelewa😂😂wabongo

  • @VictorIshengoma-v4y
    @VictorIshengoma-v4y 6 месяцев назад +4

    Big up msomaji

  • @vijibwenisdachurchchoir
    @vijibwenisdachurchchoir 5 месяцев назад

    Hakika Mungu muumba wa mbingu na nchi mruzuku wa uhai kwa viumbe hai yuko pamoja na Mhe Paul Makonda
    Amina

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 7 месяцев назад +39

    Alafu anauliza na Kwa ujasiri Wew ndio nani?baada ya kumaliza kusoma Kingereza chake kibovu 😂😂😂😂😂😂

    • @wisemanking001
      @wisemanking001 7 месяцев назад +2

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @claveryjulius4482
      @claveryjulius4482 6 месяцев назад +2

      Yani Ze ze za kutosha

    • @pepchallanga3626
      @pepchallanga3626 6 месяцев назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂
      kwanza ni nani cheo chake

    • @wisemanking001
      @wisemanking001 6 месяцев назад

      @@pepchallanga3626 kama sijakosea ni wakili eti

    • @wisemanking001
      @wisemanking001 6 месяцев назад +1

      @@claveryjulius4482 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f 5 месяцев назад

    Makonda ishi baba mungu akutunze tusaidie😢😢😢😢 sisi jamani

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 7 месяцев назад +58

    Mimi sijui English lakini hii ni kiboko😂😂😂😂

  • @OliverNyenye
    @OliverNyenye 6 месяцев назад

    Wa kahama mbulu , pamoja sana❤❤kipindi chenu kinaelimisha mambo mengi sana

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 7 месяцев назад +10

    Msomaji duh😢😢😢

  • @malilaizer123
    @malilaizer123 5 месяцев назад

    My best Friend,Saning'o Richard,Tutafutane kaka.

  • @roi2554
    @roi2554 6 месяцев назад +17

    Kuna mzungu kutoka uingereza nimekaa naye apa anauliza hiyo ni lugha gani!!😂😂😂

  • @josephkwai1819
    @josephkwai1819 7 месяцев назад +3

    Umetisha sana Makonda

  • @emmaculatealando4462
    @emmaculatealando4462 6 месяцев назад

    Duh...sio kwa kiingereza hicho jamani😂😂😂 wakili ametisha nikadhani ananena kwa ndimi

  • @shukranikayange2275
    @shukranikayange2275 7 месяцев назад +19

    Mimi nimesikia ''Tribuno ''😂😂

  • @habibusalumu5251
    @habibusalumu5251 6 месяцев назад +1

    Huyo mzee mwenye miwani Mr Kipara hapo nyuma anavyomuangalia sasa huyo msomaji 😂😂😂

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 7 месяцев назад +90

    duuh hicho kingeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @henrymassawe699
      @henrymassawe699 7 месяцев назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 месяцев назад +3

      Kizombi zombi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 7 месяцев назад +2

      Ana ulimi mzito,ni congenital malformation

    • @habibamaguru2722
      @habibamaguru2722 7 месяцев назад

      😅😅

    • @nuruurio8319
      @nuruurio8319 7 месяцев назад

      Huyo unapaswa umskilize kwa makini bila hivyo haumsikilizi

  • @wisleymallya4163
    @wisleymallya4163 5 месяцев назад

    Mungu akulinde Paul Makonda

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 7 месяцев назад +7

    Huyo msomaji anatetemeka daa nacheka kama mazur 😂😂😂

  • @Macamp312
    @Macamp312 8 дней назад

    😂😂😂😂😂😂 huyu kasoma chuo ganiii 😂😂😂aiseee

  • @songombingo108
    @songombingo108 7 месяцев назад +18

    Kiinglish bhana... Zat ze mr sabati he will do ze 😂😂😂😂

  • @jumampunji6609
    @jumampunji6609 5 месяцев назад

    Makonda Mungu akubariki. Watanzania wanakukubali sana

  • @HusseiniHassani
    @HusseiniHassani 7 месяцев назад +3

    😂😂😂😂Makonda mama yangu walai

  • @rodgersgasper7006
    @rodgersgasper7006 5 месяцев назад

    Makofiii kwa wakili kutoka TLS 👏👏👏

  • @geofreykayombo401
    @geofreykayombo401 7 месяцев назад +8

    😂😂msomaji!!!!!ndio kaua kikao chote yani.

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa 6 месяцев назад +1

    Asante sana🎉🎉🎉

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 7 месяцев назад +5

    Mungu akubaliki makonda

  • @abdulazizabdillahkijaro3070
    @abdulazizabdillahkijaro3070 6 месяцев назад

    Judgement imeandikwa kwa kizaire😂😂😂😂 ama huyu Fogo yeasomaje

  • @ZaitunShaban-vr2vi
    @ZaitunShaban-vr2vi 7 месяцев назад +9

    Hahaaaaa...kweli kingereza kinepanda ndege!!

  • @danrevelian
    @danrevelian 6 месяцев назад

    😂😂😂😂 mimi sijui kiingereza lakini huyo wakili hapana..!!

  • @AganoTweve-qz3tx
    @AganoTweve-qz3tx 7 месяцев назад +5

    Makonda chapa kazi Mungu ndivyo Anavyo Taka

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 6 месяцев назад +2

    Mausomaji maakiingereza mananini😂😂😂🙌🙌

  • @johnlucas8509
    @johnlucas8509 7 месяцев назад +5

    Shikamoo Kingeresaaaa

  • @helenacharles9565
    @helenacharles9565 4 месяца назад

    Mungu akulinde akufunike kwa damu ya yesu

  • @victordonald99
    @victordonald99 7 месяцев назад +8

    Hata mim najua kusoma kumzidi😂😂😂😂

  • @LevinantAoko
    @LevinantAoko 7 месяцев назад +16

    Watazania bwana, eee,mhhm 😁😅🤣🤣🤣🤣, msomi kweli,kweli.

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga 5 месяцев назад +1

    Daaah English ya wakili imenichanganya na wakt sijasoma😂. Makonda Mungu akutunze we baba wa wanyonge

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 7 месяцев назад +9

    NIMECHEKA HADI MACHOZI 🤣🤣🤣🤣KINGEREZA KILIKUJA NA KIMBUNGA HIDAYA,,,,,

  • @ashamaganga1473
    @ashamaganga1473 Месяц назад

    Safi sana Makonda

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 7 месяцев назад +3

    Weweeeeee kiiingeee tupa ukoo new language hiyo.... Arusha bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @InocentGalinoma-dq6hl
    @InocentGalinoma-dq6hl 6 месяцев назад

    Mtumish waselikali na kinge cha nursery......😂😂😂😂

  • @HASHIMUMKUNDA-pz1wd
    @HASHIMUMKUNDA-pz1wd 7 месяцев назад +3

    Which language is this?

  • @MirryKirungi
    @MirryKirungi 6 месяцев назад

    Nimecheka jamani icho kiingereza duh😂😂😂😂😂 mbona anasoma kama hajiamini

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 7 месяцев назад +48

    Aseee hata mimi niliyemaliza middle School nimechekaa sanaaaaaassss

    • @SaidZavallah
      @SaidZavallah 7 месяцев назад

      Hahahaha shule ya kata nimecheka sana

    • @yohanamuhambe9422
      @yohanamuhambe9422 6 месяцев назад

      😂😂😂 nikajua ni french au Kireno

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 месяцев назад

      ​@prezgal8869yaah kikubwa kafafanua vizuri

    • @shedrackmgude5972
      @shedrackmgude5972 6 месяцев назад

      Au ana kisembe ndio sababu😂😂😂

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 6 месяцев назад

    Duh. Nikajua anayesoma ni mwananchi kajitolea tu. Kumbe wakili🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 7 месяцев назад +8

    Jamani duh English hii

  • @EvaMashera
    @EvaMashera 6 месяцев назад +1

    Asante Mungu akuweke uendelee kutetea wanyonge

  • @starjay3052
    @starjay3052 7 месяцев назад +6

    oyo mkuu wa mwisho kanyosha sana mzee uwakika kaogopa akifatilia atakosa kula 😁😁🤣🤣

  • @Indeii_biashara
    @Indeii_biashara Месяц назад

    Huyo mwanasheria mbona noma 😂😂😂

  • @mvullamanase
    @mvullamanase 7 месяцев назад +68

    Mbona kama kachanganya na Kimasai...!? Ila msimdhihaki tunaweza kupata Lugha mpya Mjue. 😂😂

  • @liliangodson8715
    @liliangodson8715 Месяц назад

    Hicho kingereza ni noma sana

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 7 месяцев назад +5

    Uyo anaesoma kimombo kiboko😂😂

  • @HappyMpunga-z2l
    @HappyMpunga-z2l Месяц назад

    Godbless

  • @starjay3052
    @starjay3052 7 месяцев назад +12

    mtu wa kazi ✅

  • @amanieliala-ug9wk
    @amanieliala-ug9wk 5 месяцев назад

    Hongera sana mweshimiwa

  • @sophiarajabu8500
    @sophiarajabu8500 7 месяцев назад +6

    Dahhhh jamani apewe mwingine asome

  • @mozesmuhoza
    @mozesmuhoza 21 день назад

    Nakubar makonda

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 7 месяцев назад +29

    Huyo aliesoma si mumfanye atrend jamn😂😂

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 6 месяцев назад +1

    Mkuu wa mkoa Mungu akubariki nimeona kazi ako njema

  • @daudkindy8062
    @daudkindy8062 7 месяцев назад +16

    Makonda Mashaallah

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 6 месяцев назад

    Hicho kingereza mamaeee kha😂😂😂😂😂😂

  • @deejaymatiangi5063
    @deejaymatiangi5063 7 месяцев назад +17

    Huyu jamaa hajui kingereza kabisaaa🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @StarMode-sd5ko
    @StarMode-sd5ko 6 месяцев назад

    Huyu jaamaa aliesom kingereza kajua kunivunja mbavu😅😅😅😅😅😅😅😅