MADUDU ya KUTISHA! MFANYABIASHARA AMUONESHA YOTE MAKONDA - ''UNANIITA SAA 2 WEWE UNAFIKA SAA 4''...
HTML-код
- Опубликовано: 17 май 2024
- MADUDU ya KUTISHA! MFANYABIASHARA AMUONESHA YOTE MAKONDA - ''UNANIITA SAA 2 WEWE UNAFIKA SAA 4''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
U
Ppl
L
❤Jkk@@owenwaane5285
😢
Willy huna tabia ya wizi. Nakufahamu tangu kibo huna baya na mtu na huna konakona kwrnye kazi zako.
Big Up Willy!! Just keep on going
Bravo brother.
Hii nchi itakombolewa na wenye uthubutu kama wako.
Wametumaliza hawa.
Uthubutu changanya na uwezo wa kifedha na uzoefu wa miaka mingi
Nimempenda huyu Baba anajua kujielezea,ni kichwa Masha Allah
Na ni bilionea
❤
Pesa inaongeza confidence
100% @@salymkitumbika8644
Sanaaaa @@salymkitumbika8644
The demeanour of his speaking is an evidence of his integrity, wits and intelligence.
Dah
Mzee anakwenda na Facts kali I see👌👍
Huyu mtu kama sio ubize wake,angeweza hata kuwa waziri wa maliasili na utalii, anaujua utalii nje ndani.
Mungu azidi kumlinda.
Kabisa
Dah mzee uko vizuri umesaidia upelelezi kwa kweli.
Kwa wanvyobebana ushahid ipo waz hakitakua na hatua yoyote
Daaah alivosema "Tunapigika usiku na mchana" n kweli hayo ndo maisha ya mfanyabiashara.
Huyu nafanyabiashara yuko vizuri sana mashaallah
Makonda mungu akulinde na majitu yenye Roho mbaya na wewe,
One of the Best Administrator ever..!!!
Jamaa Ana mzigo na documents zimenyooka mtamwambia nn😂😂
Hatar jamaa amenyooka sana
Hahahahha
Kanyoooka😢 walahi pesa ipo pia akili kubwa
😅😅 Daah, kweli ana Mzigo!!
huo ni mfano wa jambo 1 ila nchi nzima kuna ugwadu sana
Huyu mwamba inaonyesha hata wafanyakazi wake wanainjoy sana.nikipata chance kwake aiseee nitajifunza mengi.willy big up bro
Mungu akusimamie mh Makonda kuna madudu mengi sana kwenye hizi almashahuri nchi imeharibiwa na watu wasio kua na hutu majizi yaliyo ajiriwa ndani ya serekali
Jamani naomba muhifadhi maneno yangu, kunasiku mtaamini huyu makonda atakuja kuwa kiongoz wa hii nchi Tena ataongoza vzur na Tanzania tutazungumziwa Sana na Dunia nzima nasio kwa mabaya ni mambo ambayo yakuushangaza ulimwengu Tena mazuri mno... One day yes❤️🔥
Kabisa tena muda si mrefu
Amen
Watamuua hii nchi washeni wanawapiga vita watu wema
Tumuombeeni asiuliwe tu jamani
@@RoseJohn-js7kb tumuombee Sana kwaajili ya kizazi chetu anakitu huyu mtu Tena kikubwa sana
Private Sector Iko Smart Sana Mf Ni Huyu Ndugu Chambulo.
Maafisa wawajibikaji, Inatakiwa hawa uwaendee polepole, private sectors wapo vizuri ktk itifaki, sheria, kanuni na taratibu za mawasiliano serikalini.
@@davidlyamboko7477 Locally Government Kuna Mambo Ya Ajabu Sana Watendaji Hawapogi Serious Kabisa Yale Mavilaza Kabisa Ndiyo Huudumu.
Hiki ndio kinacho fanya watu wanakwepa Kodi
Kitendo cha mh Makonda kumpa muda huyu bwana mkubwa kuongea mwanzo mpk mwisho ni utume tosha na kesho mbinguni MUNGU ATAMLIPA KWA WEMA HUU WA LEO❤🙏
Sasa ulitaka ampige makofi bilionea? Kenge kweli ww
Jamaa anaongea very smart lakini inauma sana watanzania wenzangu daaah Kwann lakini ...? Tunakosa vya kusema ila mh Paul apewe ukuu wa mkoa Kila mkoa mwaka mmoja mmoja tu afu awe anazunguka kama circle Yan
Kweli kabisa, azunguke Kila mkoa. Hata Kama itakuwa miezi 2. Atatusaidia saana.
Nlitaman makonda atoe kauli ya kusema..."RPC huyu jamaa apewe ulinzi"
Huyu Mr.chambulo awe ulizi ?unamjua vinzuri huyu siyo wale wafanyabiasha wakarikao
Ana ulinzi mkali sana huyo mzungu chambulo wala hakuna Fala wa kumgusaa
Haya ni maujanja ya kimahesabu ya kihasibu, makonda hapo anatakiwa asaidiwe na wataalam
Kwa baba si msanii ni msema kweli nikija kunulia bia kwa kweli mkweli Mungu hakulinde wewe na family
Makonda nikimsikia namkumbuka magufuli wangu mungu namuomba akupe maisha marefu ili uje uwe rais natamani sana roho yamagufuli iko pamoja na ww
Wale watumishi wa Serikali wanaodhani vyeo vinaongeza akili wajifunze kwa Mr. Chambulo kuwa wanapaswa kujua wanaongoza watu wenye uelewa mkubwa pengine kuliko wao!
AKILI KUBWA CHAMBULO❤
Chambulo is something else, So transparent, direct and to the point, (Akili kubwa hii)👏👏👏👏🏋️🏋️
Hongera sana mzee
He is so serious and smart guy..
Mimi kama Mkenya nimeguswa na naionea wivu Tanzania kwa mwelekeo wanaochukua kupiga vita ufisadi. heko kwenu mtafika mbali na kuwa vigogo kiuchumi katika Afrika mashariki
Komaa ukweli ukidhihiri uongo utajitenga ndugu ❤
Ahsante sana ndugu yangu❤
Tanzania nzima na haswa Arusha😢 RUSHWA imekithiri inanuka SANA
huyu mzee very bright aisee🔥
Makonda uko vizuri. The feature president
Apitishwe na chama kipi?
@@danielmarwa5122 MCC
@@danielmarwa5122yaaani 😢😢
matako yako wewe eti president 😂😂😂
@@danielmarwa5122ya mama yako
Umenyoooka. Sana mzee
Huyu mfanyabiashara Ana akili sana
Ñimeanza kumwelewa Makonda na kumpenda bure Hongeraa sana na heri ya tumbo lilokuzaaaaa🙏
4.2 bilion na mtu ametulia yan dah,Mama Samia njooo umteue huyu ana kipaji super
i like huyu jamaa yupo very transparent, Mkurugenzi hana pa kutokea hapo
Mnatubana wananchi kumbe majizi mnayafunga wenyewe
Inaumiza Sana Roho Serekali Inakusanya Kodi Halafu Inaziiba Tena So Sad.
For sure, he is speaking on behalf kila siku penalty zisizojulikana
Na huu ndio umuhimu wa good records keeping
Mh! Kweli
Aaanh kabisa kaka 😂
Duh hapa kazi ipo
Makonda Mungu azidi kukutangulia....
Proud of you mkuu wa Mkoa Mh.Makonda
Huyu jamaa yukogo smart sana.
Kiboko yao Makonda!
Unavyo wakatiliza watu kutumbua majipu, kumbe kuna mda wakusikiliza dakika hizi zote???!❤ Nakuoenda bure mzee wangu Makonda. 🇨🇩 🇨🇩
Mwanaume akitoa sumu namna hii anaongeza siku za kuishi safi sana mimi nimemuelewa.Chambulo. asitoke kwenye hicho kiti
Kiongozi Bora huonekana akiwasikiliza watu wake 🎉🎉🎉makonda Mungu akupe umri mrefu uje uikomboe tanzania❤
Jamani makonda Ao wezi wa Arimashauri muwafunge wametuchosha
Haya Kumekucha.
Mashalah mungu akulinde
Awa jamaa wa Almashauri awakujua kama mama SSH kumtuma Mh Makonda Arusha ana maana gani sasa wameingia chakike baba mzee baba
Wezi kama hawa kule China hupigwa risasi. Ilipofikia Tanzania inabidi kuiga sheria hiyo. Watendaji wamefikia kiwango kikubwa sana cha kudharau serikali na sheria.
Hakika makonda mungu akutetee na akupiganie kwa kazi ngumu unayoifanya huwezi pendwa kweli
Hongereni Global kwa taarifa kama hizi
This is Tanzania bhna dah!!ninamonea sana huruma mama SSH wangu Mzalendo wangu dah maumivu
Usimuonee huruma huyo mamako yeye ndo aliowaruhusu hao majizi
@@George-jz3jgMWEHU WEWE WACHA KUROPOKA ROPOKA
Hapana kula pesa ya Mtu. Good job. Tusaidieni Nchi yetu isonge mbele. Lila na Fila havitangamabi! Wafanyabiashara wakilipa kodi zao zifike sehemu husika. Wapigaji enough is enough.
Big up Mr chambulo umesema ukweli nchi hii inawapigaji wengine ahsante director wangu ulinipa Kaz kule Mara Mara na kubukubu uko vizuri Mungu akubariki
Alafu tunaskitika hatuna waekezaji unafikiri watu kwa wizi huo nani atakuja kufanya biashara nasi
Kuna majitu yako na akili mingi na hayana muda wa kukodolea macho kazi za serikali😂😂😂...CHAMBULO MY HERO...MQKONDA TULIIIIII😅😅
Mhh Mungu atusaie sana.
Respect Mkuu. Makonda ...do something 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimeipenda sana hii
Mmmm!! Inauma sana lakini hawo Ccm wengine hawajitambuwi zaidi ni kusema hatujinyongi hatunyi sumu inauma sana
Acha kuleta habari za CCM, mtu ukikosa hoja nyamaza ukiongelea mambo ya kula pesa sio CCM ni mambo ya mtu binafsi, Makonda ni CCM Mbona anafanya kazi nzuri ana machungu je huyo sio CCM, ndo shida ya vyama vya upinzani mtu akiamka yeye ni CCM CCM, badala aongelee mhusika, kuna watu CCM wako smart sana, mbona huko upinzani kwenye ufisadi upo
😂😂😂😂😂😂😂huo wimbo unanikelaga Sanaa aiseee!!!
Mnawapa wezi uongozi Atari sana
Nimependa RC Makonda alivyo mtulivu. Big up Willy. Ukweli utaponya Taifa.
Asante
Dis man nataman mumpe nafasi nzuri nadhan akisimamia kwa uangalizi kila kitu kitaenda vzr
Watu wanaumizwa na uongozi wa namna hii haswa Arusha 🙌🏼🙌🏼 ,Mh. Makonda anakazi kubwa kubwa kubwa
Ukweli uwekwe wazi ☄️🔥
Very nice
The most dangerous thing is the world is the human brain so usicheze na mtu mwenye brain kubwa
Bravo Sana Mr Chambulo🙏🙏🙏
Duh mtu analipa analipa Millioni 20 alafu mnamuandikia risiti ya milioni 3??kweli kweli kabisa aisee hiiiiiiiiiiiiiiii yani yani sijui aisee
Nchi inaliwa kumbe kuna chura anameza
Mungu akulinde mh. Paul Makonda👏👏
🙏🙏🙏🙏 hata kuwa rais babaang Kwan unatenda mema ukikuta mtanzania anakuchukia jua ni mpgaji na pia hajitambui. Nakukubali sana tangia ukiw dar. Mm naitwa Adam ramadhan shemzigwa nipo arusha yetu endelea kujenga na mung atakuw pamoja nawe babaang.dah? Wakat mwingine mpakaachoz ananitoka kwa upendo unaowafanyia waliozulumiwa Hali zao. Sijui ata nikupe zawad gan baba Kwan siez ata kukulipa ela mm ni mtu wa chin sana. Bali malipo yangu ni Dua kwa mung nakuombea sana baba Yan ungejua ninavoomba kwaajili yako babaang. Ni mm na mung wangu tu ndo anajua ninachokuombea kwa Kaz ngum na kubwa unayoifanya mung atakulipa kwa mema.
Kuna Madudu Mengi Sana Serikalini
Mungu akulinde mr. Chambulo akupe miaka mengii ya furaha na amani bwana akutunze🙏🙏
Big brains
Ahsante sana Mweshimiwa chambulo
Chambulo ni genius
Mueshimiwa uliebalikiwa na muumba mbingu na alizi endelea kuchapa kazi yako ili chama kiendelee kua imala nami nakuombea dua kila kukicha ili uwe na maisha malefu ili utende haki kwa wanyonge ❤❤❤❤❤
Very humble man
Asante mzee kwa kumlaisishia kazi makonda
Kumbe pia ni vizuri mfanyabiashara akawa msomi? Pamoja na uzoefu elimu pia inatakiwa.
Kama sio msomi wewe ni mjasiriamali sio businessman huyu wala sio mfanyabiashara ni investor
Jamaa uko vizurii mnooo mambo yatakaa sawaaa kwenye ishu ya biashara umeshika namba
Mpaka mama kamrudishia bilioni 4.2 tangu 2022 inaonyesha amenyooka hana mbambamba kwenye kulipa kodi
Mzungu haibiwagi mnafikir wazungu nikama waafrikaee mmezoea kutuibia hapo mmeingia chakike
Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante
hii nchi ni balaa,mzee kaongea very smart and clear
Mzee wangu Upo Sawasawa
Walah m nimemkubal huyu mzae bigUp manzee
Kumbe kuna watu wataingia mbinguni bila maswali mbele za mungu godbless you mr chambulo your faith man totaly
Makonda mungu akulinde nauwe rais siku moja
Huyu mfanyabiashara yuko makini sana tena zaidi ya sana ❤
That man is 🔥🔥🔥
God bless Mrs Chambulo ameonyesha Matatisu
Ni Mr. sio Mrs
Mrs? Bora ungenyamaza 😅😅😅
@@tintatz5109😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
😂😂😂 heti mwanaume mwenzangu unakulàje hela yangu
Duhh