''HUYU MKURUGENZI MTU MZIMA ILA ALINIPIGIA MAGOTI OFISINI - NIKAONA NI UNAFIKI'' - MAKONDA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 112

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 месяцев назад +9

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 7 месяцев назад +14

    Kaka Makonda anazidi kupendeza na kunkara siku baada Ya siku na kukoma kisiasa zaidi.
    Big up bro Kazi Nzuri.

  • @Dr.Mo1510
    @Dr.Mo1510 7 месяцев назад +11

    Mimi nipo U.S huwa sicomment sana kwenye social platform, Ila kazi anayofanya makonda imenifanya nicomment kwa sababu pamoja na historia yake amekuja Kurudi kiongozi smart sana. Alichoongea hapa ni kitu kikubwa sana. Mfanyabiashara ni mtu wa kuheshimu sana kwa sababu ni mwajiri, ameshikilia maisha ya familia za watu. Na pia nlivyoona lie press conference niliona ni jambo la ajabu sana. Hapa Marekani ukiharibu uchumi na ukiwachokaza wafanyabiashara na unemployment rate iwe juu tu unashidwa uraisi vibaya mno.

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 7 месяцев назад +6

    Makonda Mwenyezi Mungu akufunike Damu YESU. Uwe salama sana kila mtanzania anakutegemea. 🙏🙏🙏

  • @prophetev.josephatfarasimw8445
    @prophetev.josephatfarasimw8445 7 месяцев назад +13

    There is the light of God in you Makonda keep it up for Gods glory

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 7 месяцев назад +10

    Huyo Mkurugenzi aomba ardhi ipasuke aingie,mambo yamemgeukia,tulizowea kuonewa na maafisa serikali na kujiona mungu watu.

  • @georgendosa4025
    @georgendosa4025 7 месяцев назад +1

    Makonda with highest maturity ever!do appreciate it

  • @Godbless-o6c
    @Godbless-o6c 7 месяцев назад +7

    Naanza kukuelewa mheshimiwa Makonda ....uko vizuri sana

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 7 месяцев назад +3

    Mpeni makonda mauwa yake mapema saanaaa mpeni makonda mauwa yake mapema sana ......nakupenda tunakupendaaa❤❤❤❤❤❤

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 7 месяцев назад +3

    Makonda baba unafanya kazi iliyotukuka mungu akulinde siku Moja utakukuwa raisi wa hii nchi utasaidia wa nyonge

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 7 месяцев назад

    Kiongozi wetu..Makonda ..Mungu akulinde

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 7 месяцев назад

    Hivi mnashindwa kumpongeza makonda mnaanza kumsema vibaya kweli jmn.......makonda piga kazi ,,wanaosema una kiburi mm bado sjakiona kiongeze...mnapenda sana ufisadi watanzania

  • @witnessriwa6576
    @witnessriwa6576 7 месяцев назад +4

    Yaani Baba Kegan mkuu wangu wa mkoa Mungu akubariki mno umekuwa na busara sana ya kuamua mambo. Yaani wewe hapa arusha hutoki mzee na mama akikuhamisha mimi niko namba moja kuandamana kutoka arusha hadi kwa mama

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 7 месяцев назад

    Mwanangu chukua maua yako. Yaan sio yeye peke yake wako wengi wa namna hiyo Mikoani na Wilayani kite.❤❤❤👍👍🙏🙏🙏

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 7 месяцев назад +3

    Muheshimiwa sisi wanyonge wa vibanda vya stend kuu ya mabasi pia tumitowa sana shs 30,000 kila mwezi kwa control no tofautitofauti lkn sasa hivi atudaiwi tena!

  • @glorianassary5684
    @glorianassary5684 7 месяцев назад

    Mungu akulinde

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 7 месяцев назад

    Wakuu wengine wa mikoa muigeni Mr. Makonda. Mungu Mlinde Mkuu wetu wa Mkoa.

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 7 месяцев назад +18

    Mkurugenzi ile siku anaongea kwenye media dhahiri alionekana n muhuni tu !!mapete kama msanii,kumbe anaongea uongo!!Na alikua anaonekana tu

  • @FakihiNapunda
    @FakihiNapunda 7 месяцев назад +2

    Huyu mkurugenzi alikuwa smart sana kipindi cha rais magufuli kule serengeti, alilia sana kwenye mkutano aliposingiziwa ni mbadhirifu na rais alimlinda. Sijui mapembe kayatoa wapi sikuhizi.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 7 месяцев назад

    Baba Makonda unafanya kazi nzuri sana kuliokowa taifa hili. Shida viongozi waziri kwenye mataifa ya kiafrika huwa hawadumu. . Arusha ni mkowa wa wakwepa kodi na uhalifu. Ukiwa kiongozi mutenda haki, basi watakuwekea majungu ya uwongo. Walimufanyia hivyo Sabaya. Sabaya alikuwa kiongozi bora sana lakini wafanya biashara feki na viongozi wasiokuwa waaminifu waliungana na kumushutumu vibaya na kupata mateso makubwa kwa kutetea haki.

  • @ibraahmbena
    @ibraahmbena 7 месяцев назад

    Mungu awafanyie wepesi katika majukumu Yako Mh

  • @Dr.Mo1510
    @Dr.Mo1510 7 месяцев назад +1

    Makonda umenibadilisha mtazamo sana. Unafanya kazi nzuri sana kuanzia hili swale na like la mwalimu Beatrice. Sikutegemea Kama ntakuja kuona kiongozi kama wewe, Jerry Slaa, Bashe na Bashugwa.

    • @ananiasmkhamsini
      @ananiasmkhamsini 7 месяцев назад

      Ongeza na aliyekuwa Waziri wa ardhi William Rukuvi

  • @Selemanjohn-se1el
    @Selemanjohn-se1el 7 месяцев назад

    Mkuu nakukubali sana

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 7 месяцев назад +1

    Nilitamani kuona makonda anakuwa mkuu wa mkoa wa mikoa yote anakuwa anaenda mwezi mmoja mmoja kila mkoa kunyoosha wezi na wapigaji

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 7 месяцев назад

    Makonda u r the best simply ckuwahi kukufahamu Kwa namba hii nakufahamu Leo.Mungu akusimamie sana na akulinde

  • @kulambichi
    @kulambichi 7 месяцев назад +4

    Makonda nakukubali sana

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 7 месяцев назад +4

    Namuna makonda akiwa rais wa tanzania siku moja..hii ni ndoto yangu..mpaka sasahivi tayari kura yangu amepata akusanye ya wenye vichwa vigumu

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 7 месяцев назад

      Wanaweza wasimpitishe kwenye kura ya maoni wakapamdisha mtu wao

    • @emanuelluke1279
      @emanuelluke1279 7 месяцев назад

      Huyu ndio kiongozi tunaye muhutaji kama taifa kuzidi kumuombea kwamungu amlinde

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 месяцев назад +5

    Ila moja ya solution ded aondolew ata kama hahusik ana udhaifu mwingi

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 7 месяцев назад +1

    Safii sanaa kaka piga kazii

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 7 месяцев назад +8

    Mungu,azidi kukulinda.Tetea walionewa

  • @tanzanitegemsculturaltourism
    @tanzanitegemsculturaltourism 7 месяцев назад +2

    Umenifurahisha sana mtu mzima hana akili wako kila mahali

  • @ericinnocent-c9e
    @ericinnocent-c9e 7 месяцев назад +2

    Sasa ivi nimerudi kuangala social media kupitia makonda na global kila cku makonda anafurahisha kusikiliza!!yan nikivutio kikubwa anabaze kuisaidia jamii

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 7 месяцев назад +2

    Mimi naona Makonda yupo sawa kabisa kuna watumishi ambao wakifanya ujinga na wapo chini ya mkuu wa mkoa Makonda atadil nao ila wengine mpaka waziri au Rais mwenyewe ndiyo atoe maamuzi kama hao wakurugenzi wengi wapo hovyo sana na wengi ni waizi lakini ndiyo hivyo nani atawatoa

  • @williamnounstumwesigenkuba6414
    @williamnounstumwesigenkuba6414 7 месяцев назад

    Mungu akulinde makonda

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 7 месяцев назад +1

    Haha hivi hapo hilo jambaka linajiskiaje? Maana limejikausha hapo na limeingia cha kike. Da noma sana. Angekuwa Anko Magu lazima angeondoka nae hapo hapo. 😅😅😅

  • @markwiwi9833
    @markwiwi9833 7 месяцев назад

    Kazi nzuri sana Mkuu

  • @jaribumalambughi3695
    @jaribumalambughi3695 7 месяцев назад +1

    Leo ndo nmemuonda Makonda anayetakiwa kuitwa makonda hongera sana kiongoz

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 7 месяцев назад

    From Kigoma/Ujiji, MAKONDA FOR EVERYONE❤

  • @JoyceWisso-nq8ft
    @JoyceWisso-nq8ft 7 месяцев назад

    Makondraaaa big up

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 месяцев назад +8

    Mkurugenzi wa Vitumbua huyu

  • @devothabernard1570
    @devothabernard1570 7 месяцев назад +1

    Anapaswa awe waziri arekebishe kwanza miundo mbinu aisee wanaanza wanaishia njiani

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 месяцев назад +2

    Xee xima linampigia makonda magoti kwa wixi walo lipaaa,hujawahi mpigia Mungu goti hata cku moja,yakafika shingoni ukapiga kwa binadamu.

  • @mollel-m1
    @mollel-m1 7 месяцев назад

    Tatizo la Tanzania,"watu waliostabili kukaa mtaani ndoo wanaokaa maofsini na waliostabili kukaa maofsini ndoo wanaokaa mtaani"

  • @DuduMagau-sm3pd
    @DuduMagau-sm3pd 7 месяцев назад +1

    DAH!! MUHESHIMIWA UKOVIZURI SANA MUNGU AKULINDE SANA KWAKUA MKWELI NA MUWAZI, SAFI SANA MUHESHIMIWA

  • @nuruelsamiu
    @nuruelsamiu 7 месяцев назад +1

    Mkurugenzi pole sana

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 7 месяцев назад +7

    Nilisema kwenye comment awali hapa hakuna mkurugenzi wapigaji Hawa wanajiona Wana akili kuliko sisi wafanya biashara. Kumbe sisi tunaakili tumekosa nafasi tu serikalini, mimi mwenyewe kuna Siku nimejibiwa ujinga hapo manispaa mpaka unajiuliza nimekuja kulipa Kodi au kuomba msaada na Kuna dada anaitwa Devota anamajibu mabovu Sana na anadhalilisha Sana wafanya biashara mjini anaongea hovyo Sana

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 7 месяцев назад

    Hizi porojo ambazo tumezizoea kila siku kwene siasa ya Bongo ndo maana watu au Taasis wanatajwa na CAG lakin no further action inachukuliwa.....Then serikal ikipunguza makali ya maisha hapo ndo itawagusa watu weng sana koz kama kazi tunafanya sana lakn vitu ndo vinapanda bei kila kukicha hata walio ajiriwa wanalalamika makali ya Maisha

  • @JosephMwangiluke
    @JosephMwangiluke 7 месяцев назад +9

    Makonda the feature president

    • @albertjames6845
      @albertjames6845 7 месяцев назад

      Mnatongozeka kirahisi sana. You’ve no idea what you’re talking about

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 7 месяцев назад +2

      ​@@albertjames6845mtu si anaongea anachoona sasa who are kusema watu hawana idea we ni mmiliki wa fikra za watu au

    • @tyivbra
      @tyivbra 7 месяцев назад

      Mwambie huyo kk
      Anajikuta mmliki wafikra za waty😂

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 7 месяцев назад

      Sio feature ni future😂😂😂

    • @Soon815
      @Soon815 7 месяцев назад

      @@hellendaniel3809 😠😠😠😫

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад +2

    Very good guy

  • @AhmadRashid-x1i
    @AhmadRashid-x1i 7 месяцев назад

    Huyu jmaa nmkubali Sana ntamani sku nkutane naye mh makonda kwa kazi yake iliyotukuka nipo Zanzibar

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 7 месяцев назад +1

    Ben Saanane, Azory Gwanda.

  • @ebenezersumari5408
    @ebenezersumari5408 7 месяцев назад +1

    Ivi Arusha Tulionekanaje kupewa huyu Mkurugenzi 🤌.

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 7 месяцев назад

    Mh Makonda baba lao

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 месяцев назад

    Makonda ana fanya mambo ki mpangilio haswa

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 7 месяцев назад +2

    Duhh

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 7 месяцев назад +2

    Alani na makonda muda wote

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 7 месяцев назад

    Mama aliona madudu ya Arusha ndomaana akampeleka mwamba,Arusha ninchi nyingine yn pesa ndoinaongea manyanyaso kwa wasio nacho,wenye hela wenyewe kwa wenyewe dhuluma yn Mama Samia aliona mbali

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 месяцев назад +3

    Sasa hivi sukari na pressure iko juu.

  • @josephsisa8139
    @josephsisa8139 7 месяцев назад

    Nchi hii ina hitaji uongozi wa aina hii kwa sasa

  • @gwamakajohn7122
    @gwamakajohn7122 7 месяцев назад

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 месяцев назад +3

    Makonda utawanyoosha

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 7 месяцев назад

    Tunata nchi inayofuata, hatutaki nchi wananchi ombaomba kwa viongozi.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 7 месяцев назад +8

    Ila Makonda tatizo lako wazungumza mno. Kwani hujui Tanzania wajinga wengi na hayo majizi siyo kuwa hawajui ila ni dharau kubwa tu ya sheria? Acha kuwarai. Fanya kama Magufuli, inapothibiti kama hivyo, amuru kutolewa adhabu. Tena hukumu ianzie hilo jitu litaifishiwe kila kitu chake 2- asimamishwe kazi, halafu fanyeni kama Ulaya, jina la mtu huyo linaingizwa katika masjala hapewi kazi ya serikali milele.3- kifungo na kazi ngumu.
    Nyie mwayachekea haya mambo kwa sababu baadhi ni rafiki zenu. Wizi wa watendaji umemalizwa 95% Ulaya, 97% Singapore, China nk. Inawezekana.

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 7 месяцев назад

      Wakurugenzi wanateuliwa na kutenguliwa na Rais.

  • @jacksonmwalimu5181
    @jacksonmwalimu5181 7 месяцев назад +1

    When you think you know everything you know nothing.time Will speak🤷

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 7 месяцев назад

    Makonda abaki kuwa makonda kwa hiyo msimtumie makonda kuchagua majizi ya CCM

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 7 месяцев назад

    Hv huyu ndo yule aliye vaa mapete kama mpunga majini

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 7 месяцев назад +1

    Hahaha case solved 😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 7 месяцев назад

    Nchi inayofuata Sheria. Hatutaki ombaomba.

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 7 месяцев назад

    Makonda ata kuja kua Rais wa tz

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 7 месяцев назад

    Mwaka jana nilikuwa Nyegezi stand: akaja mtoza ushuru wa abiria wanao ingia na mizigo, nilikuwa na dumu1 la oil 20 ltrs , nililipa ushuru 3000/ ila resiti ya EFD iliandikwa Mwanza south!🙄🙄🙄🙄

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 7 месяцев назад

    Huyo mkurugenzi si ndiye alikuwa anaongea kwa kuonesha mapete ya kifreemason

  • @evanswinston5102
    @evanswinston5102 7 месяцев назад

    Mkurugenzi kazingua makoñda nae kazingua angeweka wazi kukasirishwa kwake na hatua za mkurugenzi na kusema hatua aliyo amua kuichukua sio kumshushia kichambo mtu mzima mwenzake mbele ya kadamnasi
    Makonda Hana na hajawahi kua na busara ya kiuongozi

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 7 месяцев назад

      Wanavyotuibia wanatumia busara china mafisadi wananyongwa Africa busara zinatuchelewesha kumsema fisadi et hamna busara

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 7 месяцев назад

      Wanavyotuibia wanatumia busara china mafisadi wananyongwa Africa busara zinatuchelewesha kumsema fisadi et hamna busara

    • @evanswinston5102
      @evanswinston5102 7 месяцев назад

      China wawe wananyonga mafisadi au wawe wanawapigia makofi
      Makonda Hana na hajawahi kuwa na busara za kiuongozi
      Icho chuma kilicholala chato kilikua hakina uvumilivu lakini kilikua na subira na limits kwenye baadhi ya mambo mbele ya public lakini reaction yake lazima ingekuja kwa vitendo

    • @Kaizirege
      @Kaizirege 7 месяцев назад

      ​@@evanswinston5102yeye hana mamlaka juu ya mkurugenzi... ni raisi tu ndio anaweza kumwadabisha au kumtumbua....kwahiyo katumia busara na yeye kumwaibisha kwa namna anayoweza kwa cheo chake ili wakubwa kama waziri wa tamisemi wamwangalie tena

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 7 месяцев назад

    Huyu mkurugenzi km wa tarime enzi za magufuli Alilia kwenye mkutano hadharani

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 месяцев назад

    Lione jambaxi lenyewe,lifukuxwe kaxi,na lifilicwe,hao wanaokuchuna kupitia jasho la wa2,unatanua na malaya kwa kudhulumu watu,lipaaaa.

  • @maraone_techonology
    @maraone_techonology 7 месяцев назад

    Duh

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 7 месяцев назад

    Wataisoma namba makonda wee ni magufuli tosha uongopii fisi yyt

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 7 месяцев назад

    Piga kazi makonda nape acheze sindimba tu uongozi aujui

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 7 месяцев назад

    Makonda kivipi tena? Mnasahau ya kuwa mifumo yetu yakiutawala ndiyo imetufikisha hapo! Wakurugenzi wasiwe wateule waombe kazi ndipo watawajibika ipasavyo, Sasa ona mkurugenzi amzima anadhalilika na hao wanasiasa wenye kupenda sifa!

  • @jacksonmwalimu5181
    @jacksonmwalimu5181 7 месяцев назад

    Ukiombwa radhi sio lazma kutangaza,sifa zilimponza sungura⛷️

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 7 месяцев назад +1

      Hayo mambo ya kuomba msamaha kimya kimya wakati jambo lenyewe liliongelewa hadharani huo ni UNAFIKI na UBINAFSI mkubwa aloufanya huyo muomba msamaha ili kulinda kibarua chake bila kujali dhuluma wanazo wafanyia wananchi.

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 7 месяцев назад +1

    Wajinga wengi mkuuu

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 7 месяцев назад +1

    Uyu jamaa misifa tu

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 7 месяцев назад +1

      Hapo sifa au uhalisia! Huyo Mkurugenzi Mhuni tu!

    • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
      @JeremiahMwalukosya-eh5nf 7 месяцев назад +1

      Wahuni wote mpaka mwitike abeee Kwa makonda

    • @danneismail5442
      @danneismail5442 7 месяцев назад +2

      Binadamu ndio yenyu hata mfanyiwe wema bado mtaona kasoro ila Mungu yuajua

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 7 месяцев назад

    Ile press ilikuwa ya kipumbavu