HUYU HAPA NESI ALIYEMPOKEA TUNDU LISSU AKIWA MAHUTUTI BAADA ya KUPIGWA RISASI -''ALIKUWA na DAMU 3''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 39

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 месяцев назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @angolina1768
    @angolina1768 7 месяцев назад

    Wallah Lisu una Mungu ww endelea kufanya kazi yako kwa kuwa Mungu anakusudi na ww

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 7 месяцев назад +2

    Naona nesi anavyofurahia lissu kuwa hai,,,hii itabaki kuwa historia kwenye maisha yake kushiriki katika harakati ya kuokoa uhai wa mpinzani wa kisiasa

  • @JitihadaMasimba-ng5mv
    @JitihadaMasimba-ng5mv 7 месяцев назад

    Kumbe Nesi WAUKAE MIANGU Pole sana Mungu kezakupiganila kwizapata haki yako INSHAALLAH

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 7 месяцев назад +3

    Dahhh ni strory ngumu sanaa ,dada ubarikiwe sanaaa

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 7 месяцев назад +1

    Daaah inaumiza sanaaa

  • @RaymondMshote
    @RaymondMshote 7 месяцев назад

    Hii nchi Hii nchi Hii nchiii

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 7 месяцев назад +2

    Madaktari mbarikiwe sana

  • @angolina1768
    @angolina1768 7 месяцев назад

    Daa pole sana dada

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 7 месяцев назад +6

    Mtaka nimekuwa nikiheshimu utendaji wake hadi leo baada ya kumsikiliza huyu mama na bila shaka hadanganyi . Kumbe naye ni wa hovyo kiasi hiki.

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 7 месяцев назад

      Nilijua tu lazima kuna watu wanamuelewa sana mtaka lakini mimi nilijitu la ovyo sana

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 7 месяцев назад +4

    Nchi ya kidemokrasia ni hoja na si Risasi ,sikuona sababu

  • @CatherineLekule-l7z
    @CatherineLekule-l7z 7 месяцев назад +3

    Mtaka nae kumbe hana maana jamani

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 7 месяцев назад +1

    Utawala ukiwa mbovu haki za wengi hubinywa

  • @stonetown578
    @stonetown578 7 месяцев назад +2

    Mungu atajaalia utapata haki yako, lakini hii nchi ngumu.

  • @ERNESTSuleiman
    @ERNESTSuleiman 7 месяцев назад

    Jamani,hii nchi????

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 7 месяцев назад +4

    Yani nchi hii ina VIONGOZI WA hovyo sana hona rushwa ya ngono ime mkosesha mama kazi

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 7 месяцев назад +2

    Itifaki za hapa tz zimejaa unafiki uliojificha kwenye usalama

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 7 месяцев назад +3

    Viongozi wengi wa serikali ya Tanzania wanatumia madaraka vibaya sana hawana utu kazini wala uadilifu.)))Wanachojua ni kunyanyasa watu na madaraka yao na ipo siku hayo malalamiko ya wananchi yana mwisho wake hapa ni Dunian tunapita tu.Tanzania ngumu sana ku step forward yan kila siku same shit

  • @josephsokhia
    @josephsokhia 7 месяцев назад +2

    MAWAZO YA MUNGU SI KAMA YA MWANADAMU WALIOTAKA TUNDU LISU ATANGULIE MBELE YA HAKI WAMETANGULIA WAO 😢

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 7 месяцев назад

    Nchi hii inashida sana

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 7 месяцев назад +2

    Hivi CCM hivi hii nchi wameifikisha wp

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 7 месяцев назад +2

    Huyu mtoto mdogo alivokaa kwenye mikono ya Lissu Hadi raha, anyway naichukia nchi yangu Tanzania hasa kwenye swala la uongozi na haki .😫😫

    • @Bushman000
      @Bushman000 7 месяцев назад

      Usichukie Nchi, ila fanya kitu kwa ajiri ya kizazi kijacho waipende..

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 7 месяцев назад

      Unaichukia nchi? Sina uhakika kama unamanisha kuichukia nchi.

  • @AliluHassan
    @AliluHassan 7 месяцев назад

    😢😢 dah mmama wa watu anatia huruma

  • @RaymondMshote
    @RaymondMshote 7 месяцев назад

    Hii Nchiii mioyo yetu una maumivu Uongozi wetu umejawa na kivuli kikubwa Cha mema ya sera za uongo ila vitendo vya Ushetani
    Hii ndio nchi ukipambania Haki Yakoutachikipata Duuuh

  • @RaymondMshote
    @RaymondMshote 7 месяцев назад

    Mama mkurugenzi na wakurugenzi ni net work za maovu ya walio kwenye nchii

  • @babalao910
    @babalao910 7 месяцев назад +2

    Wananyanyasa sana, ndio umuhimu wa vyama vya upinzani.

  • @RaymondMshote
    @RaymondMshote 7 месяцев назад

    Chaajabu hii page watu waki coment utaona coment zinavyo taifishwa

  • @mhidinathuman2398
    @mhidinathuman2398 7 месяцев назад +1

    Mnyampaa musidee mkiku usu mbuyane

  • @mosesdalali7671
    @mosesdalali7671 7 месяцев назад

    Ila huyu mama kisaikolojia bado hayuko sawa, cjui shida ni kufanya kazi milembe au kufukuzwa kazi

    • @VeronicaAlexander-u9x
      @VeronicaAlexander-u9x 7 месяцев назад +1

      Nipo vizuri akili ipo vizuri labda nimechakaa na shida za mtaani dogo usiombe yakukute