TUNDU LISSU AKUTANA NA NESI ALIYEMPOKEA KWA MARA YA KWANZA GENERAL HOSPITAL DODOMA ALIPOPIGWA RISASI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 175

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz 7 месяцев назад +8

    Mh! Mungu alikuokowa comrade lissu

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 7 месяцев назад +4

    Mungu yupo upande wako Kamanda, nimeingia chadema kwa ajiri yako❤❤❤❤

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 7 месяцев назад +6

    Mungu wa mbinguni akulinde NESI wetu kwa kuokoa maisha ya shujaa wetu mh. Tundu lisu hakika haikuwa rahis.

  • @EmmanuelAmnaay
    @EmmanuelAmnaay 7 месяцев назад +13

    Nesi mungu atakulipa,,umefanya kitu kikubwa sana,,kuokoa maisha ya lisuu,,hakika mungu alikutumia wewe siku hiyo.

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 7 месяцев назад

    Story inafurahisha na inahuzunisha sana.Bigup Dr,Mungu akulinde Mhe Lisu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 7 месяцев назад +7

    MAMA NA DADA YETU UBARIKIWE....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU ATAKULIPIA HAPA HAPA DUNIANI....MH. RAIS SAMIA MSAIDIE HUYO MAMA....WOTE WALIOHUSIKA KUMDHALILISHA NA KUMFUKUZISHA KAZI HUYU MAMA WAWAJIBISHWE.

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 7 месяцев назад +5

    Mungu akubariki mama wewe ni shujaa wetu Mungu atakufungilia NJIA.

  • @Jamessichone-tg7pm
    @Jamessichone-tg7pm 7 месяцев назад +24

    Kiukweli Mungu yupo upande wa mheshimiwa Tundu lisu muuguzi Mungu ndiye atakaye kulipa

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 7 месяцев назад +1

      Nikuulize swali! Sasa hapo kama magu angehusika kumtaka kumuua tundu angeshindwa? Wakati alipokelewa hospital ya serikal?

    • @PhabianYasih
      @PhabianYasih 7 месяцев назад

      Mungu na magufuri, wewe kwako nani zaidi

    • @solomoneglesias9752
      @solomoneglesias9752 7 месяцев назад +1

      ​@@ndogoroedson199oooh akili yako iko kwa nini yako rip nguvu ya Taifa

  • @colethamkamate6617
    @colethamkamate6617 7 месяцев назад +3

    Dar Sister Vero kumbe hauko kwenye ajira tena pole sana best🙆

  • @emanuelfrancis579
    @emanuelfrancis579 7 месяцев назад +15

    Gharama za kuokoa uhai ndo hizo😢😢

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 7 месяцев назад +10

    Muuguzi Mungu àtakulipa na hayo unayopitia Mungu anaona atajibu kwa wakati wake.

  • @simonmwasile4377
    @simonmwasile4377 7 месяцев назад +10

    Mahojiono yanaumiza sana ,kwa kweli ni MUNGU mkubwa sana. Very painful indeed!!!

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 7 месяцев назад +9

    Pole sana mwambaa

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 7 месяцев назад +5

    Hongera NESI kwa kumsaidia Huyo Baba

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 7 месяцев назад +2

    Mungu akubariki sana wewe dada kwa wito

  • @henrynjovu9147
    @henrynjovu9147 7 месяцев назад +8

    Mama Jasiri Sana huyu sijui kwanini wamemdhurumu ajira yake. Ni Nesi na Nusu.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 месяцев назад +2

    Mungu awabariki kwa ajiri ya huruma yenu kujitoa kwenu na ma dr.wote mliopambana kufa na kupona kwa nguvu na uwezo wa mungu atawalipa mema.

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 7 месяцев назад +5

    Kiukweli Lisu mwenyezi Mungu ni mkubwa Sana😭😭😭Pole Sana 🙏🏼

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 7 месяцев назад +5

    MUBARIKIWE SANAA

  • @syliviaibrahim5315
    @syliviaibrahim5315 7 месяцев назад +1

    Hongera muuguzi kwa kusave life

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 7 месяцев назад +44

    Please toeni namba ya muuguzi tumpe angalau ya soda kwa kuhudumia maisha ya watanzania akiwemo shujaa wetu Mungu azidi kumlinda Tundu mwana wa Lissu ..

  • @deusdedthutenga408
    @deusdedthutenga408 7 месяцев назад +2

    Pole sana nesi wetu na MTANZANIA mwenzetu.

  • @bahatisanga8890
    @bahatisanga8890 7 месяцев назад +2

    Mungu msaidie huyu Dada apate haki zake

  • @jonaskalebe5486
    @jonaskalebe5486 7 месяцев назад +6

    Long live Lissu, and God bless you. You are a real fighter.

  • @MzunguNike
    @MzunguNike 7 месяцев назад +4

    Huyu mama anaongea hadi naumia jamaniii, Wamrudishe kazini 😢😢

    • @rajabumohamed1468
      @rajabumohamed1468 6 месяцев назад

      Kwani walimtoa na kazin baada ya kuhudumia lisu

  • @emanuelgella8201
    @emanuelgella8201 7 месяцев назад +10

    Mtaka huyu ambaye namjuwa Mimi jamani? Daah kumbe binadamu wengi wanao onekana kondoo kumbe ni chui.. nimevunjika moyo kabisa

  • @EliabuTitus
    @EliabuTitus 7 месяцев назад +2

    Mungu akupee maishaa malefu

  • @deogratiusmaila676
    @deogratiusmaila676 7 месяцев назад +8

    Mheshimiwa Rais huyu mama umkumbuke sana umpe wizara

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 7 месяцев назад +5

    Mh. Lissu Amefanya Kitu Cha Muhimu sana Kuwaona Wauguzi wake wa First Respond.

  • @AbdonChengula
    @AbdonChengula 7 месяцев назад

    Mungu Am bariki Sana huyo dada jaman

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 месяцев назад +3

    Lisuu naona mahaba yasha kubamba kwa nesiii Hale baba

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 7 месяцев назад +5

    Hakika madoctor mnaojali afya za watu kulliko pesa MUNGU awalipe maradufu mama uishi nakufaniki kwajina la yesu

  • @saiddaji6342
    @saiddaji6342 7 месяцев назад +5

    Pole nurse kwa kumuhudumia shujaa wetu

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 7 месяцев назад +1

    Mungu akisema apana nani mwengine apinge Asante mungu

  • @Francis-kx1sb
    @Francis-kx1sb 7 месяцев назад

    Mungu akubariki sana nesi

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 7 месяцев назад +1

    Msaidie huyu mama Hawa waajiri wanaoneaga Sana Hawa watu wa chini...

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 7 месяцев назад +4

    Mungu atakusimia kama alivyomsimamia lissu

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 7 месяцев назад

    Pole sana muuguzi naomba arudishwe kazini

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 7 месяцев назад +16

    Huyu maza tupaze saut arudi kazin ata km utoro kazin hakupewa nafas ya kujitetea

  • @allymkazi2775
    @allymkazi2775 7 месяцев назад +5

    Eeh mungu wetu waadhibu waliofanya tukio la lissu

  • @elymollel
    @elymollel 7 месяцев назад +4

    Hongera sana mama, ila Kwa hapo usiwe na shaka kipele kimepata mkunaji.

  • @saturinimushi4746
    @saturinimushi4746 7 месяцев назад +5

    Nakumbuka Maneno ya Ndugu Tundu Lissu Alipokuwa Kwenye Matibabu Ubelgiji Alisema:
    Nanukuu:
    Nitarudi Tanzania Mchana Kweupe.
    Nitarudi Tanzania Nikiwa Natembea tena.
    Mwisho wa Kunukuu.
    Ni Maneno ambayo Nilikuwa Siyaamini Amini nilihisi Unajipa tu Moyo.
    Kumbe! Ni kweli.

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 7 месяцев назад +2

    Mungu asimame kutetea haki za wanaoonewa.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 месяцев назад +3

    Huyu nesi yuko vizur sana.

  • @eliainasomalisa7599
    @eliainasomalisa7599 7 месяцев назад +1

    It's a painful story 😢

  • @johnmwanyika
    @johnmwanyika 7 месяцев назад +8

    KAMA SISI, TUNAUMIA HIVI TUKIONA ANAVYOCHECHEMEA KWA SHIDA AKITEMBEA. JE KWA FAMILIA YAKE WANAUMIA KIASI GANI NA WATU WAKE WAKARIBU?.

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 7 месяцев назад

    Pole sana Hili Taifa linakiu ya HAKI ,

  • @MzunguNike
    @MzunguNike 7 месяцев назад

    May God Grant you more life,we Love you all🙏

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 7 месяцев назад +1

    Dah LISSU ALINUSURIKA KIFO. cha ajabu hata waliotumiwa hakuna aliye fuatilia😢

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 7 месяцев назад +2

    Mungu wangu nchi hii Ina Mambo serikali hii, mbona mama huyu anaeleza vema kabisa

  • @PhabianYasih
    @PhabianYasih 7 месяцев назад +3

    Kiukweli madakitari wangeweza kummalizia Tundu Lisu, lakini tatizo Hospitali nzima ya General, iliingiliwa na uwepo wa Mungu hivyo wakawa wanafanya kazi si kwa matakwa yao. Sidhani hawakuambiwa kwamba Tundu Lisu anatakiwa auawe ila ni Mungu kazubaisha kuja kushituka Mwamba kashahamishwa wakati wazo la Tundu Lisu apelekwe Nairobi linatekelezwa wauaji ndio fahamu zinawarudia, wakawa wanashauri apelekwe mhimbili ili wakammalizie huko. Wasijue kwamba Mungu hayupo upande wao

  • @dlumala
    @dlumala 7 месяцев назад +1

    Video hii one mengi gani kwa sasa??

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 7 месяцев назад +1

    Kaka yangu mh.mtaka dah. Hikiulichofanya Muombe Mungu msamaha watu tunakupenda sana na tu akuheshim sana sijui nini kilikukuta 😭

  • @MUSSAALPHONCE-d1r
    @MUSSAALPHONCE-d1r 7 месяцев назад

    Daaaah pole sana mama Hiyo Ndo Dunia

  • @EmmanuelGabriel-zm6nv
    @EmmanuelGabriel-zm6nv 7 месяцев назад +2

    Tundu lissu deal na mtaka kwanza.

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 7 месяцев назад

    Mama Samia wekapembeni siasa mpezawadi mwanamke mwenzi wakina mama kama Hawa wauguzi wenyehuruma kama huyu ndio Taifa linawataka🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 7 месяцев назад +2

    Halafu mseme Magufuli ndyo alihusika hivi hao waliompokea ungekuwa ni mpango wa kumuua huyo si angeagizwa tu kukumalizia? Maana angepigiwa cm tu mwacheni afe au mchomeni sindano ya sumu! Acheni kulaumu sana kuwa JPm alihusika c kweli wao chadema waulizane wenyewe

  • @SizaAdolph
    @SizaAdolph 7 месяцев назад +3

    Dah wakurugenzi wabaya hao

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 7 месяцев назад +5

    Lissu nakukubari sana kamanda wangu

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera141 7 месяцев назад

    Pole sana Mama

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 7 месяцев назад +1

    Mm nionacho Tundu Lissu mshukuru Mungubc anakupenda songa mbele kuleta Sera zenye mshiko Aya mep ushauri nasaa wakutoe uchungu ili ufanye siasa
    😢 by. Z

  • @LeahMabula-sv8ij
    @LeahMabula-sv8ij 7 месяцев назад

    Pole sana

  • @Petronkambi
    @Petronkambi 6 месяцев назад

    Mtaka huyu huyu nnaemjua mm nilikua namkubali sana mtaka Kwanzia Leo hapana kumbe mnfki

  • @Manase_js
    @Manase_js 7 месяцев назад +1

    Muuguzii only mhe tundulisu anaejua msaadawako, huyo mkurugenzii atafutwee malamoja

  • @joelbenardkaselya
    @joelbenardkaselya 7 месяцев назад +1

    Ww dada ni jeuri kwa jinsi unavyoongea2 unadharau kumbk meno ya mbwa haya umani😂😂😂

    • @SephrozaMatuli
      @SephrozaMatuli 7 месяцев назад

      We ni mbwa hujui ht haki za binadam unabwatuka tu

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 7 месяцев назад

    Ubalikiwe mama kwa ujasili huo make mifanyakazi ya kibongo inafyata mikia sana kwa sisiemu yani kama imezaliwa nazi uoga mtupu

  • @williammakali5518
    @williammakali5518 7 месяцев назад

    Tutamkumbuka,kama😂 alivyosema,,ilikuwa hiviii,,,,mwacheni huyo mwananchi,,,,njooo mama,,njoo tu

  • @eliudinyangura3921
    @eliudinyangura3921 7 месяцев назад

    mmhh Mtaka tena kama ni kweli basi

  • @emanuelfrancis579
    @emanuelfrancis579 7 месяцев назад

    Pole sana MUHESHIMIWA..
    DAHH SO SAD

  • @cosmaswilliam3805
    @cosmaswilliam3805 7 месяцев назад

    Mama nakutabili maisha mazuri mbeleni

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 7 месяцев назад

    MAMA huyu apewe chote chote kwa kweli. Amefanya kazi ya wito kwa kweli.

  • @EltonKivuyo-cv2gq
    @EltonKivuyo-cv2gq 7 месяцев назад +1

    Lisu msaidie huyo mama kisheria tafadhali

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 7 месяцев назад

    Mama samia hebu msaidie huyu mama umpe kazi

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 7 месяцев назад

    Pole hero

  • @janesiwingwa3142
    @janesiwingwa3142 6 месяцев назад

    Mkipata number tumchangie uyu mama

  • @C7Simulizi
    @C7Simulizi 6 месяцев назад

    Anaye taka namba ya huyo mama amchangie aniambie

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 7 месяцев назад

    Kweli mungu atabaki kuwa mungu

  • @VicentBernard-sy9zc
    @VicentBernard-sy9zc 6 месяцев назад

    Namjua huyu mama

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 месяцев назад

    Huyu mama story ndefu sijui km ina ukweli😂

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz 7 месяцев назад

    Mh! Mungu siku zote hamtupi mja wake

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 7 месяцев назад

    Mtaka ana dharau sana na hujiona anajua kila kitu

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 7 месяцев назад +1

    Kwann usifuatilie haki zako kama ulifukuzwa bila kufuata taratibu za ajira

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 7 месяцев назад

    Ni vyema kusikia muuguzi alivyotoa huduma ya kusaidia kuokoa maisha kwa niaba ya Mungu, lakini mahojiano haya ni hatari wanaposikia wale waliotaka kuuondoa uhai kwa niaba ya shetani.

  • @ayubumwakabana2137
    @ayubumwakabana2137 7 месяцев назад

    Daaaaa Sina hamu

  • @CholoNassor-h8r
    @CholoNassor-h8r 7 месяцев назад

    Goods is the first one

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 месяцев назад

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana. Hivi muhudumu kama huyu unamuachishaje kazi. Jamani kisa kakunyima mapenzi, mbona laana zingine ni za kujitakia. Malaya wote waliojaa lakini bado mtu anaharibu maisha ya mtu hivihivi.
    Mama Samia Tafadhari, do something for this woman

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 7 месяцев назад

    Daaa MUNGU NI MKUUU

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 7 месяцев назад

    Mama imetisha sana naamini utafanikiwa

  • @renatusdeogratias2108
    @renatusdeogratias2108 7 месяцев назад +3

    Watanzania tufanye jambo kwa huyu mama

    • @hamidkololeki5009
      @hamidkololeki5009 7 месяцев назад

      Fanya ww atufanyi upuuzi

    • @RamadhaniMzashi
      @RamadhaniMzashi 7 месяцев назад

      kk mbn umepaniki kwan c mtu katoa usjauri

    • @Kibaadvocate
      @Kibaadvocate 7 месяцев назад

      ​@@hamidkololeki5009tumia akili

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 7 месяцев назад

    Kama movie vile kilichotokea kwa Mh. Lissu Antipas Tundu

  • @sukumaganga2613
    @sukumaganga2613 7 месяцев назад

    Mama huyu muonekano wake anaonekana yupo kazin upande wa pili watu wa cuba tuna jua hiyo

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 7 месяцев назад

    Mungu anakulinda mkuuu🙏🏿🫶🏿

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 месяцев назад

    Nes tunashukuru kwaupendo wako kwakumsaidia huduma yakwanza huyo amepewa mamlaka namungu kwahio hata wamfanyeje mpaka mungu mwenyewe aamuwe kumchukua

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 7 месяцев назад +1

    Mboe alitaka kuchukua picha ujue

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 месяцев назад

    👊✌️👍.

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 7 месяцев назад

    WALIKUWA WANAOGOPA SERIKAL ILIYOTUMWA KUMUUA HUUOOO

  • @BahatiMahenge
    @BahatiMahenge 7 месяцев назад

    Mwacheni mungu aitwe mungu

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 7 месяцев назад

    Tatizo kubwa sana na hatari kwa Lisu ni hoja zake za kusema ushoga ni haki ya mtu. Pengine kama si hiki kikwazo Mungu angempitisha kuwa Rais. Kama Mungu ametunza uhai wake, basi angempa Uongozi wa nchi hii, ila pengine ndipo ushoga utanadiwa zaidi kwa niaba ya wazungu. Lakini hata hawa walio madarakani ni kama Lisu tu maana ushoga wameukubali kwa kificho na ndio maana hakuna mikakati yoyote ya kutunga sheria kuhusu vitendo vya kishoga, na taasisi za siri zinaingia nchini na chanjo hamasishi.

  • @NgombeMasalu
    @NgombeMasalu 7 месяцев назад

    Mwamba pole sana

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 7 месяцев назад

    Inaumiza sana