VITA HII NI KUBWA SANA TUSIKUBALI WAPAMBE WAITAWALE/WATU WAMEZOEA SIASA ZA KINAFKI''MANENO YA SLAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #JAMBOTV
    VITA HII NI KUBWA SANA TUSIKUBALI WAPAMBE WAITAWALE/WATU WAMEZOEA SIASA ZA KINAFKI''MANENO YA DKT SLAA JUU YA HOTUBA YA TUNDU LISSU
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 202

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya Месяц назад +9

    Namshukuru Mungu sana kuwepo wakati huu wa lissu akiwa kwenye ubora wake na mwenyekiti mbowe akiwa amekifikisha chama juu juu zaidi na dr slaa akiwachambua hao ndugu zake

  • @MashaWagana
    @MashaWagana Месяц назад

    Mheshimiwa tundu lisu jicho la inchi mungu akusimamie usimame imara mtetez wahaki nakweli ninaiman chadema inaenda kufika mbali nasisi watanzania wenye maono kamaww tunakuunga mkono tunaiman mzee silaa yuko sahii sana pambana mzee wetu mungu akutangulie

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o Месяц назад +10

    Mungu mkubwa. Kwa mbali naanza kuona nuru mpya iking'ara Tanzania. Pia naona Historia mpya inakwenda kuandikwa katika Nchi yetu. Mungu mkubwa. Amina.

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 Месяц назад +5

    Pongezi nyingi kwa Mbowe kwa kazi kubwa sana uliyoifanya CDM na busara na hekima zako kukifikisha chama hadi leo. Mbowe ni kiongozi mzuri sana ila hakupewa nguvu ya ubabe kwa sasa ubabe unahitajika Mbowe busara nyingi

  • @MerryWilliam-r4l
    @MerryWilliam-r4l Месяц назад +9

    Lissu anfaa kwa kipindi hiki mbowe kafanya vizuri sana kwa kipindi chake tusimbeze kakijenga chama vizuri sana❤

  • @innocentmlacky
    @innocentmlacky Месяц назад +17

    Mimi ni mwanachama kamili chadema ninaruhusiwa kumpigia kura mwenyekiti wangu lisu pita babababa

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z Месяц назад +1

    Mzee silaa mungu akubariki sana unaongea ukweli sana🎉🎉🎉🎉

  • @IsraelFaustine
    @IsraelFaustine Месяц назад +5

    Amini hili kwa vyovyote itakavyokuwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, Lissu atakuwa Mwenyekiti, hata kama wajumbe wote wageuke wasimpigie kura Lissu ni lazima awe mwenyekiti, kwasababu Nyakati zinamtaka Lissu, Mungu amemchagua huyu mtu.

  • @silasmakweta3002
    @silasmakweta3002 Месяц назад +14

    Wewe hulazimishwi kumusikiliza Dr. Silah si uache wengine tumusikilize.

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 Месяц назад +9

    Mh mbowe amefanya sehemu yake,kwa wakati huu Petro anahitajika akanyofoe masikio ya wakora

  • @MatokeoMwitula
    @MatokeoMwitula Месяц назад +5

    Mungu kivushe chama chetu salama

    • @JibeMwaijibe-p1z
      @JibeMwaijibe-p1z Месяц назад

      Nilifikiri lisu mwenyekiti na makamu lema lkn mtazamo wako wangu naufuta naungana na wako🎉🎉🎉

  • @EmmanuelKiula-e5d
    @EmmanuelKiula-e5d Месяц назад

    Dokta mungu akubariki sana

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Месяц назад +4

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 Месяц назад +2

    Lissu na mbowe wote ni wanasiasa wazuri na katika kuijenga democracy ni vizuri pia mbowe akampa nafasi lissu ili tuone nae atafanya nini

  • @EmmanuelKiula-e5d
    @EmmanuelKiula-e5d Месяц назад +2

    Bila unafki ,kwa unyenyekevi mkubwa ,nikiwa mwana CHADEMA kindakindaki naomba lisu awe mwenyekiti wetu taifa.

  • @abasiachimika541
    @abasiachimika541 Месяц назад

    Upo sahihi kabisa

  • @HappyKate-jv6ge
    @HappyKate-jv6ge Месяц назад

    Dr slaa ni jembe na Lissu ni legend

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile Месяц назад

    Napenda kwa sasa Tundu lissu atuongoze wana chadema,Huu ni muda muafaka.

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 Месяц назад +1

    Ngoja aingiieeee ambae alishawahi kuishi katikati ya kifo na uhai ambae ni Lisu kuna mahali dawa itawaingia Vizuri CCM maana ni tishio kubwa sanaa kwa lisu kuwa mwenyekiti wa CDM na hiii inadhihirisha kuwa wakati wa kuangauka CCM ni sasa

  • @SebasitianKikoricho
    @SebasitianKikoricho Месяц назад +3

    hapo ndio penyewe mwamba tunakukubali sana nakuombea Mungu ushinde

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 Месяц назад +1

    Hata mimi nimehis chadema ilikuwa inaenda kupotea kama isingepatikana changamoto mpya.Ccm ilishaanza kutamba kila kona bila kuogopa upinzani wowote.
    Asante Mwenyekiti Mbowe kwa ulipokifikisha Chama umepambana ktk nyakati ngumu sasa ila tunakuomba hebu mpe nafasi Lissu japo kwa mhula mmoja tuone atafanya nini

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Lissu is a clear man ever 💪🏿💪🏿💪🏿

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur Месяц назад +5

    Tundu Lissu hana cha kupoteza yaani haogopi alipigwa risasi 16 MUNGU MWEMA JEHOVAH Aliamua kumuacha hai lengo ni kumpa nafasi hii ya uenyekiti wa chadema tunzeni meseji hii hapo Lissu Anapita kuwa mwenyekiti wa chadema na Dr Josephat Gwajima Raisi wa Tanzania 2025- anakuja apo na anachukua nchi Tunza maneno yangu.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Месяц назад +3

    Tulipofika kwanchi npabaya Lisu mdahuu anastairi achukue kijiti Cha Uwenyekiti .makamanda tuko pamoja

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Lissu hana uroho wamadaraka ila naamini anaona mambo hayaeleweki.:: kama chadema wanataka cheo tu na nafasi basi wamkumbatie mbowe ila kama wanata mabadiliko ya maendeleo na mfumo mpya basi mr lissu ❤!!!

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv Месяц назад +6

    Kalale mzee lisu mwenyekiti mpya mbowe tunampenda atatushauri kama zito na act

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi Месяц назад +2

    atudanganyikiii hii kazi inaitaji nguvu ya mwilii

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад

    Mr lissu akipata uwenyekiti itakua poa::mr lissu is really fighter no dought about it

  • @SuolFat
    @SuolFat Месяц назад +9

    Lisu ni mwana harakati mbowe ni mwana siasa

    • @johnmuhitira7496
      @johnmuhitira7496 Месяц назад

      Hujui lolote wewe bali una maneno ya kukalilishwa na wale wababaishaji wa hoja za kuokoteza. Hizo huwa ni hoja zetu sisi CCM za kujaribu kudanganya watanzania. Wale wenye akili kubwa sana tunamuelewa sana na ninatamani Lissu awe mwenyekiti, ili na sisi CCM tuchangamke maana tumezoea kufanya siasa rahisi sana.

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c Месяц назад

      Mbowe ni mhuni na mpiga pesa

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 Месяц назад

      Lisu anaenda na vyote kutokana na Siasa za kitanzania Lisu anaendanazo Zote alakati na Siasa

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 Месяц назад +12

    Naimani kubwa na lisu ni chaguo la Mungu ndio atakae ingoa ccm

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Месяц назад +6

    Mimi ccm lakini napenda mchanganyiko wa vyama bunge huwa linapendeza. Hakuna kinacho halibika. Ccm ubaya wetu mtu akikosowa huwa wana sema huyu siyo mwenzetu tumtowe. Vurugu hizi tunazofuatilia mpaka mwisho.

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 Месяц назад +1

      Kwani chadema wao mtu akikosowa hawasemi sio wao uliza vizuri. Waliofukuzwa na kuuliwa chadema. Huyo slaa mwenyewe ni mnafiki

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola Месяц назад +7

    Lisu okoa nchi hiii ,kalia kiti

  • @yudahjackson8542
    @yudahjackson8542 Месяц назад +6

    Lisu nimemwelewa sana,
    Hapo nimekuwa follow wa Mbowe muda mwingi kwa busara ,
    Uongozi Wake,lakini kwa wakati huu tunamhutaji Lisu Ili tuvuke hapa ,

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад +2

    LISSU NI mukweli sana sio muongo haongeki waTANZANIA mulijue Hilo ili kujilidhisha mfatilieni LISSU mtakuja kuniambiya nika pale ushilika TUKUYU

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 Месяц назад

    Lissu one will be the President of this lost nation for so long.

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 Месяц назад +2

    *mimi ni mwanademokorasia mtiifu muoga ila kwa lisu kura yangu hii apooo√*

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 Месяц назад +2

    Lisu umeishi na Lisasi 16 hutaogopa Risasi za wajinga wanaotumikia CCM badala ya wanachi bunduki tununue sisi kwa kodi zetu mishahara tuwalipe bado Rasisi mtupige na maji ya upupu haki kuna siku Askari wa tanzania watahamia kwenye kambi za Jeshi ili wawe Salama na huo wakati wanautengeneza wenyewe

  • @godsson5954
    @godsson5954 Месяц назад +11

    Mwenyekiti lissu katibu wake heche na makamu boni yai aise hahahhaha chafa kitakua kama kenya

  • @AkimuWaziri-u9b
    @AkimuWaziri-u9b Месяц назад

    Lisuuuuuuu ndio mwenyekit

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 Месяц назад

    Lisu. Tupo nyuma yako😊

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu Месяц назад +4

    slaa yani ulishakubali kuhongwa na bwana magufuli una babaisha babaisha yani kwa akili yako unataka wakupe nafasi ya kugombea urais wakati hauna uwezo hata ubalozi walikupatuu lakini kiwango chako ni chauenyekiti wa mtaa.

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 Месяц назад +2

      Hujalazimishwa kumsikiliza Dr.Slaa! Kaa kimya au unawashwa kiungo gani kumsikiliza!?

    • @LandelinoYae-j6j
      @LandelinoYae-j6j Месяц назад

      Kweli unamjua sinahakika kama unamjua

    • @uoFransisca-ew3fe
      @uoFransisca-ew3fe Месяц назад

      PHD Hana akili, Katibu mkuu mstaafu CDM hajui kitu? Mbunge wa kwanza wa upinzani nchi hii hana uwezo? Dahhh haya bhana

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Месяц назад +2

    😅😅😅ccm hawatalala

  • @HusseinJumaa-y6x
    @HusseinJumaa-y6x Месяц назад +8

    Ccm wanahitaji mpinzani mkorofi kama lisu,mkweli na mpenda haki,nikweli lisu Hana subira lkn ndie anaye FAA Kwa siasa za sasa,ni siasa za kunyan'ganywa hadharani.nimekuelewa sana slaa

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 Месяц назад

      nawaambia ukweli lisu akipewa uonyekiti kutatokea shida kwenye nchii hii nawambia kwenye nchii hii inatakiwa mtui mwwnye maamuzi ya uvumilivi akipewa lisu nimtuu mwenye maamuzi magumu sana tena s haraka mtaona yatakao tokea

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 Месяц назад

      ​@@adoniemanuel908ndiyo tunamtaka

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Месяц назад

      ​​@@adoniemanuel908Lissu hayuko Serikalini. Hana dola, ataletaje shida? Nchi hii ina Serikali! Haiendeshwi kwa makelele!!

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 Месяц назад

      @@1961nungwi hatukatai nchii inaongozwa nasheria ila kunawakati inatokea sinto fahamu mboe anatwa ikulu mambo yanaenda huyuu huo muda utakuwepo

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Месяц назад +1

      ​@@adoniemanuel908ndio tunataka yatokee,tunataka mtu mwenye maamuzi mangumu bila kujali chochote, CCm tunataka wakae pembeni

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Месяц назад +1

    Mbowe alikuwa na shida lakini angalau alikuwa muungwana, tundu sawa lakini sio muungwana hana busara kabisaaa.

    • @wiliamkatala
      @wiliamkatala Месяц назад

      Ndo mtu anayehitajika KWA sasa 😂😂😂😂😂

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 Месяц назад +1

      Busara ipi shenzi ninyi ata Yesu kuna kipindi alileta ukali ndio mambo yakaenda

    • @philipojustine2541
      @philipojustine2541 Месяц назад

      Kwa tulipofikia hatuhitaji busara za majitaka😂😂

  • @7stianPius
    @7stianPius Месяц назад +5

    lisuuuuu mwighwai yuko juuuu Sanaa,apewe chama akiongoze,yani kapigwa risasi kisa upinzan yani chama alfu akiue,sio kweli,mwenyewe nampigia kura

  • @BoayHotay
    @BoayHotay Месяц назад

    Wajumbe msifanye makosa mchagueni Lisu kuwa Mwenyekiti

  • @Petermunema-p1m
    @Petermunema-p1m Месяц назад +12

    Lisu anaweza kuongoza

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy Месяц назад

    Ila na we dokta ulikuwa unatisha kama njaa mzee wa dokment hai mungu tusaidie mi nawahitaji wote nawapenfa sana mungu atusaidie

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 Месяц назад +4

    Mbowe akigombea ntaamini anatumika na CCM.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 Месяц назад

      Hata mim ntaamin ivyo maana ameishiwa mbinu za kupambana na ccm hadi kasababisha inafanya lolote baya bila hofu.Anatoa matamko hewa hadi wameshamdharau

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Месяц назад

    Kwa Siasa za Sasa za Nchi yetu Lisu ndiye anafaa kuongoza Upinzani

  • @JimokuMhela
    @JimokuMhela Месяц назад +2

    Gari ina gia nyingi, na kila gia ni ya muhimu. Sasa kwa nini gia moja ikatae kuiachia gia yenye uwezo kupanda mlima wakati gari linapanda mlima? Gari halitaporomoka?

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk Месяц назад

    Umenena Dk slaa.

  • @eatlawe
    @eatlawe Месяц назад +1

    Mzee Dr. Slaa ni mzalendo wa ukweli. Anaangalia misingi na siyo watu! Yes, Chadema imepoteza mwelekeo kwa kurudi kwenye drawing board na Lissu ndio Musa atakayetuongoza!

  • @nicrodrigo
    @nicrodrigo Месяц назад +1

    Watembee na upepo kama Lissu anao wampe M/kiti na Mbowe awe makamu. Kumbukeni mfano wa Russia ikihakikisha inasimama jinsi Dmitry Medvedev na Vladimir Putin walivo badilishana bila kujali nani alishakuwa bosi wa nani.

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 Месяц назад +1

    kuna uchaguzi cuf zikiwa zimebaki siku nne tu lakini chadema akuna hata tarehe lakini kila mtu homa

  • @SamsonLegembo
    @SamsonLegembo Месяц назад

    Kwa maana hiyo mbowe alikuwa anakipoteza chama? Duh uchawa huo😢😢

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z Месяц назад +6

    niwakati chadema kupata mwenyekiti Imala kama Lisu

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 Месяц назад

    Wasije wakafanya kosa wakamuengua Lissu, wamuache Mbowe. Tutakihama chama sisi wananchi tusapoti wengine

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Месяц назад +1

    Mimi naona chadema sasa kitakuwa chadema ya kitaifa badala ya chadema ya kifamilia.

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi Месяц назад

    CCM wanamwogopa sana Lissu

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Месяц назад +1

    Mmmj huyu mzee kweli amechoka akili, ccm hailali kwa nini huyo mzee ana shida laana ya kanisa bado inamtafunatafuna ndio anahangaikahangaika.

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 Месяц назад

    Tunakushukuru mweshimiwa mbowe Kwa utumishi wako

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo Месяц назад

    Hakikaa

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Месяц назад

    Lisu kichaa

  • @HimidMkuya
    @HimidMkuya Месяц назад +1

    Wewe mwenyewe msaliti umesahau

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi Месяц назад

    Ni kwel lisu akisnda uwenyekiti wa chadema ,upande CCM watakua hawana aman mda wte maana wanamjua msimamo wke tofaut na mbowe ,maana lisu ahongeki maana CCM walishazoea kuonga onga vyama kipind wanaona vipo makin sana ktk mambo ili watulie, ila akiingia lisu yaan wataisoma no. Ndio maana hawataki lisu ashnde wenyekit

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Месяц назад +1

    Je wananchi mtatoka Lisu akisema mtoke?

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v Месяц назад

    Slaa nichawa wa Lisu

  • @ottomap-u2i
    @ottomap-u2i Месяц назад +1

    Demokrasia ianzie ndani ya chama.

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Месяц назад

    Ukiona commemts za kwamba Lissu hafai ujue ni mamluki wa CCM. Ni kweli Lissu akishika uenyekiti CCM matumbo joto! Nashangaa CCM ilikuwa na mkakati wa kuisambaratisha CHADEMA kwa propaganda kwamba, "chama gani m'kiti anakaa miaka 20." Hawakutegemea! Sawa mlivotaka tunampumzisha Mbowe, tunamuweka Lissu. CCM hoi tena kwani Lissu hahongeki na hamung'unyi maneneo. Mwizi anamuita mwizi tena hadharani bila aibu. Hapo sasa CCM itatafuta kona ya kujificha Lissu akiwa m/kiti.

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Месяц назад

    Wanaompamba Lissu ni CCM!!

  • @MwitaRMwita
    @MwitaRMwita Месяц назад

    NDO MNAVYO JIDANGANYA.😅😮😮

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 Месяц назад

    Lissu akipata nafasi yawenyekiti ccm akukaliki

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад +1

    Ndiyo amekwisha shinda kabisa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад

    Kama. Watoto. Wa tundu lisu kuwa nje hayo ni maisha yake binafs kwani sheria inazuia wapi acha wivu we lifisi

  • @jaredjoel3243
    @jaredjoel3243 Месяц назад

    Kwa nini tusilale Wana ccm mkumbuke tulisha muasha kwenye uraisi

  • @AloiceMwanga
    @AloiceMwanga Месяц назад

    Maono na malengo ya lieu kuondokana na Hawaii wadhalimu CCM tumpe ushirikiano Bila unafiki na uchawa

  • @BennyGhambi
    @BennyGhambi Месяц назад +4

    Mbowe apishe

  • @BennyGhambi
    @BennyGhambi Месяц назад +3

    Mbowe amechoka atupishe

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 Месяц назад

    Lisu oye

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 Месяц назад +2

    Lazima kuwe na changamoto kali

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Месяц назад

    Silaa, na Lisu hakuna kiongozi hapo

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo Месяц назад +2

    Mbowe apishe. Limekat kimya. Pisha nfas. Hiyo. Uwezo wake. Umefikia hapo. Achia. Nfas. Ije. Nguvu mpy. Kama. Lisu

  • @FelicianKavishe
    @FelicianKavishe Месяц назад

    Pambana lissu tunakutegemea

  • @cassimjr
    @cassimjr Месяц назад

    Kiboko ya ccm ni lissu

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 Месяц назад +2

    Katba mpya

  • @AliyMohamed-r4x
    @AliyMohamed-r4x Месяц назад +1

    Atafanya nn nilazima wananchi tuwe tayari kwa mapambano

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад

    Tupatie kipimo cha busara achana nalisu we lifisiemu

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani Месяц назад

    Mbowe ni mtu mzima naamini atakubaliana na wengi

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv Месяц назад

    Chadema inarudi ulingoni

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 Месяц назад

    Mgombea Uraisi Mwabukusi, Mbowe,na Slaaa Kura zako za Maoni wp?

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 Месяц назад

    Ccm wanaingilia uchanguzi wavuruge ili lisu asishinde

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Месяц назад

    Huyu Slaa aongelee ccm ndio kwa wanafki wenzake

  • @MaguguStore
    @MaguguStore Месяц назад +1

    Tundu Lissu watoto wake wapo nje ya Nchi na watanzania tumpe kura ya Urais itakuwa watanzania machizi

    • @ZaidAKissinza
      @ZaidAKissinza Месяц назад +1

      Chizi ni wewe peke yako sio Watanzania wote

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 Месяц назад +1

      Kama wapo nje ya nchi tufanyeje!! Ulitaka wawe kwako!!

    • @AmaniKanyika-b6p
      @AmaniKanyika-b6p Месяц назад +1

      Hata unaowaamini watoto wao wapo nje

    • @MaguguStore
      @MaguguStore Месяц назад

      @AmaniKanyika-b6p Nani ?

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi Месяц назад

      kwani huyu aliopo unaona yy ximo? pesa ya sikukuu au sherehe ya uhuru wa Tanganyika inschukuliwa inapelekwa Zanzibar ety maendeleo.

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o Месяц назад

    swali la kujiuliza kwa nini lissu anapendwa na ccm? na kwa nini mbowe anapingwa na ccm? ukiona adui anakusifu jitafakari! wewe slaa ni mnafiki mkubwa tena huna hadhi ya kusikilizwa

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 Месяц назад

    Kwahiyo na ww ulikuwa na siasa za kinafiki kama wanasiasa wanafiki ww na lissu ndio wanafki wakubwa wanasiasa wasio wanafiki walidi kaburu kigoma malima seifu sharif na zitto kabwe nyinyi wote wa oposition mliobakia wanafiki na walafi ww sindio uliyokataa kugombea uraisi mpaka ulipwe maslahi yako ya ubunge acheni pumzikeni tunahitaji wapya

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 Месяц назад

    Kichaneli chakisenge kumanyoko mikundu gya mamayenu, sasa mnatuletea misautisautiyenu hapa ili iweje? Lichannel gani halina ustaarabu? Nyegezenu na manyegeyenu kabisa ah!

  • @EbraniaKivamba
    @EbraniaKivamba Месяц назад

    Wenje aache uchochez lisu ni mkweli

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 Месяц назад

    Hivi ulijiuliza slaa kabla hujakurupuka bado tu hujaelewa watz wengi washawaelewa samia hakuna ataemuweza hilo futa na hatuchaguwa wagonjwa tunachaguwa mtu anaejituma kama mama samia juu ya kutumia vijana wenu na makanisa kuhujumu lakini tambueni dua za watu wema wazalendo wa nchi sio vibaraka ndio zitazojibiwa ulishakimbia vyama vyote na hata kanisa nani ataekusikiliza labda punguwani

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 Месяц назад

      Wew hujielewi usisemee watu semea tumbo lako na familia yako Kama mnampenda Samia Msione kila mtu ana akili Kama zenu.Tulieni Lissu aje kuwakata maini

    • @ShesheKaoneka
      @ShesheKaoneka Месяц назад

      Tz itawekwa kwenye maajabu ya dunia ikiwa tundu atakuwa rais wa nchi, anafaa huko huko chadema sio uongozi wa nchi, hatutaki majaribio kwenye uongozi wa nchi.

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v Месяц назад

    Huoni kama hunamsema nakuponda mbowe?