BALAA! HOTUBA YA LISSU YAPOKELEWA NA WANACHADEMA, WATOA YA MOYONI, "TUNAMTAKA LISSU, MBOWE APUMZIKE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 159

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 2 дня назад +17

    Pamoja Sana mh lissu utuba Yale uko sawa

  • @HassanHamis-i9b
    @HassanHamis-i9b 2 дня назад +22

    Mko sawa atoke hatumtaki kabisa mseven tokaaa tunamtaka lissu❤

  • @ISAACSHABANI-h1y
    @ISAACSHABANI-h1y 3 дня назад +52

    Mimi kiufupi naunga mkono hoja! zote za TUNDU LISSU alizo zisema na ni team lisu sijui wewe unasemaje????😅

    • @rastheunique
      @rastheunique 2 дня назад +2

      Mimi kama wewe aisee Lissu for chairman

    • @adoniemanuel908
      @adoniemanuel908 2 дня назад +2

      kwa uhakika sasa mboe amuachie lisu kwakua mbowe amekua mpple sana naukiangalia chama cha ccm kinataka mtuu kidogo mwenye maamuzi magumu kidogo kwasababu mariziano aambayo yanafanyika nawengine wanaumia sio kabisa

    • @ISAACSHABANI-h1y
      @ISAACSHABANI-h1y 2 дня назад +2

      ​@@rastheuniquethank you ❤❤❤❤❤ god bless you

    • @ISAACSHABANI-h1y
      @ISAACSHABANI-h1y 2 дня назад +2

      ​@@adoniemanuel908yes brother l❤ve you

  • @nestor384
    @nestor384 3 дня назад +19

    Freeman Mbowe alipaswa ameshaachia uenyekiti mpaka sasa! Wanachama walio wengi hawataki Wananchi ndiyo hawataki kabisaa! #MboweMustGo

  • @MfunjoWabaBoydays
    @MfunjoWabaBoydays 3 дня назад +20

    Tanganyika Active Legend
    Tundu Antipas Lissu is the only Boy to recover our humiliation 🎉

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 2 дня назад +13

    We love tundulisu although freeman mbowe has building chadema for long time but now we need tundulisu

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 3 дня назад +27

    Ili chadema ionekana hiki chama sio sacos ya Mbowe ilitakiwa aachie ngazi na ataheshimiwa sana

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад +2

      Hili tatizo la hata sisi wafuasi. Kwanini hatuamnini kura, kwani mbowe anajiweka

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад +1

      Hakuna heshima eti kwasababu hagombei, huu ni ujinga, mbowe anagombea kama wana Wachama wengine akishinda is ok, akishindwa is ok

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 2 дня назад +1

      mbona mnapenda vya mtelezo pigeni kura,au na nyie mnaibiana kura😂😅 kiongozi apatikane kwa kura tu

    • @ISAACSHABANI-h1y
      @ISAACSHABANI-h1y 2 дня назад +2

      Mbowe hatumtaki yeye ameachiwa changuzi nyingi alikuwa akigombea pekeyake miaka 21 yoote inapaswa achie wangombee wengine na siyo yeye tena! kwani chadema hakuna watu wengine. Wakugombea miaka 21 tosha kabisa!!

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 3 дня назад +19

    Wajumbe tunaomba Sana lisu ndo chaguo letu

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 3 дня назад +17

    Twendeni na Lissu

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 3 дня назад +17

    Kwa heshima na taadhima MBOWE MWACHIE LISSU utajenga heshima kubwa mno ambayo haitasahaulika.

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад

      Mwachie ili iweje, chadema sio ya kifalume zinapigwa kura

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 дня назад +2

      ​@@melch3097 Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,Tundulissu ndiyo chaguo letu kwa sasa Tundulissu anatosha tunaenda na Tundulissu kwa uwezo wa Mungu,Ameni.

  • @RevocatusJasson-e6t
    @RevocatusJasson-e6t 2 дня назад +2

    Lissu💯

  • @paulokitundu4961
    @paulokitundu4961 2 дня назад +10

    Kura yangu kwa lisu

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 3 дня назад +22

    Huyo mwanamme naongea vizuri sana Lissu tunamwitaji wanyonge Mbowe na matajiri wenzake wapumzike maana wanatumiwa na ccm😮😮😮

  • @rewardkiwelu5776
    @rewardkiwelu5776 2 дня назад +7

    Nyie
    viongozi...nimewakubali..sanaaa
    Mmeongea kwa busara sanaa asipo Sikia ni sikio la kufa...atabaki na kichama chake

  • @nelsonpaul4618
    @nelsonpaul4618 3 дня назад +13

    Mama kashusha nondo kweli kweli

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 3 дня назад +14

    Natabiri, MBOWE atajiuzuru kugombea uenyekiti, dakika za mwisho

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 2 дня назад +1

      hawezi

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 дня назад +1

      Wish angefanya hivyo.

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 2 дня назад +1

      Hata mimi nawaza hivyo

    • @1stladyafrica402
      @1stladyafrica402 2 дня назад

      Hawezi. Yaan hata abaki oeke yake chadema hawezi kujiuzuru kugombea. Anamaslahi makubwa mno kila eneo yaan bora afe kuliko kutokuwa mwenyekiti ama bora chama achukue mkewe lakini sio mtu baki

  • @JohnMusagizibert
    @JohnMusagizibert 3 дня назад +9

    Mbowe wanaokushauri wanakushauri vibaya eti ugombee tena huna aibu

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад +10

    Unataka ushahidi gani. Wakati wenje amekili. Alimpeleka abdul. Kwa lisu na lisu. Hahongeki. Ni mzalendo. Wa kweli. We kskojoe ulale

  • @ScentsationalHeven
    @ScentsationalHeven 3 дня назад +15

    Mbowe achia ngazi

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 2 дня назад +6

    Nyie mashujaa wa mitandaoni kama anavyowaita lisu mngekuwa mnajitokeza kwenye maandamano kama mnavyojitokeza mitandaoni ccm isingetuyumbisha kiasi hiki.

  • @abrahamnyagawa1304
    @abrahamnyagawa1304 2 дня назад +1

    Vizuri sana,nimefurahia maelezo yako, sauti safi.hongera Sana.
    Mbowe ni roll model wangu,safi kabisa.Lakini kwa sasa,ili chadema ing'are kitaifa na kimataifa, Mheshimiwa Tundu Lisu,anafaa kushika nafasi ya uenyekiti wa chadema.tofauti na hapo, chadema inapotea kabisa,tena ita paralise.

  • @JohnMusagizibert
    @JohnMusagizibert 3 дня назад +10

    Mbowe pumzika mzee mbona unataka kujiaibisha jaman afu unaharibu chama chetu acha uking'ang'anizi

  • @balljmushi9599
    @balljmushi9599 2 дня назад +6

    Lissu--we great,,CHADEMA,-PEOPLES POWER===Again

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дня назад +7

    Tundulissu anatosha kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu-anatosha. Mbowe apumzike awe mshauri wa chama.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 дня назад +6

    Ndugu twaha tahadhali usituangushe wananchi wewe na wajumbe wengine hakikisha mnatuchagulie mtuletee Tundulissu.

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula День назад +2

    Tunaenda na lisu

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 2 дня назад +3

    Twende na LISU DAIMA

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 3 дня назад +8

    Kisheria inatakiwa upumzike wakati bado watu wanakuhitaji.Ukisubiri watu wakuchoke,utaondoka kwa aibu.

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад

      Kisheria kama humtaki usimpigie kura

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 3 дня назад +1

      @melch3097 ni kweli,kwa wapiga kura.

  • @silasmakweta3002
    @silasmakweta3002 3 дня назад +6

    Safi sana mama yanv

  • @RichardBituro-x9g
    @RichardBituro-x9g 3 дня назад +14

    Uchaguzi uwe wazi na live kama TLS.

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 3 дня назад +7

    Twaha Mohamed Ngwai wewe ni mjumbe tunaomba usitwangushe Kura kwa Lissu wetu

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 3 дня назад +9

    Dada nimekupenda buree

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 дня назад +3

    Huyo jamaa aende huko anakotumwa Sote tupo na Lisu

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 2 дня назад +2

    Lissu ✅✅✅

  • @JosephMwakibete
    @JosephMwakibete 2 дня назад +3

    Ushauri kwa mbowe jiuzulu kugombea la sivyo lisu atakutoa. Na utapata aibu kubwa kukuangusha lisu sisi tunakuheshimu nisikie mimi kakatae kugombea please lisu ndo habari ya mjini

  • @MakameAly
    @MakameAly 2 дня назад +2

    Kwa ccm ilivyo bila lissu wapinzani hawawezi kutobowa lissu ndo kibogo wa Raisi samiya🎉

  • @SalhaRamadhani-b5m
    @SalhaRamadhani-b5m 2 дня назад +1

    Jamaa kaongea vizuri sana

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 дня назад +3

    Tundu lisu anafaa zaidi

  • @EliasMwakibete-s7q
    @EliasMwakibete-s7q 2 дня назад +1

    Risu hongera mkuu kwa hotuba nzito.nakuelewa sana.ila hata wajipange kulijibu,watanzania sio wabangaizaji ni wazito kuamua,sasa dira tumeiyona twende mkuu tunafika

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn 2 дня назад +1

    We go with Lisu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 дня назад +4

    Lissu bhana ndio habar ya mjini

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 2 дня назад +2

    Lisu juu

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 2 дня назад +1

    ww kweli ni mwanachama hai umesema ukweli kabisa

  • @rastheunique
    @rastheunique 2 дня назад +2

    JAMANI EEEH TWENDENI NA LISSU MBOWE AMETOSHAAAA😮😮

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 дня назад +6

    Akili imechoka.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 3 дня назад +5

    safi mama

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 2 дня назад +1

    RAISI LISSU THANKS 🙏

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 2 дня назад +1

    Hivi MBOWE husikilizi hizi hoja zenye mashiko pumzika uwe na heshima kama Nyerere

  • @claudsaprapasen9068
    @claudsaprapasen9068 2 дня назад +2

    Nakushauri ukagombee Makamu M/kiti

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 2 дня назад +1

    Kwa maoni haya TUNDU Atapata kura nyingi mno machawa wa mbowe wanahaha huko 😂😂😂

  • @HosseaRuban
    @HosseaRuban 2 дня назад +1

    Lisu ndo kiongozii

  • @YardieWild
    @YardieWild 2 дня назад

    Safi Sana umeongea vizuri

  • @NyangoboNyangobos
    @NyangoboNyangobos 2 дня назад +1

    Mbowe bado tunakuhitaji sana ni kwaushaur na hekima zako ila uwenyekiti tosha mwachie lisu bhana ona aibu

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 2 дня назад +2

    mbowe achia ngazi huo ni uroho wa madaraka

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 3 дня назад +5

    Nirisu tuu

  • @leebronkasianh5296
    @leebronkasianh5296 3 дня назад +2

    Inamaana kila anaekipigania Chama lazima awe mbunge?😂? Viti maalum

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y День назад

    lissu 1love

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 дня назад +3

    Uchaguzi huu chadema umewapaisha

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 2 дня назад +1

    Lissu ngoja nikunong'oneze kitu,,yesu, walimdharau wakasema ni mfalme maskini,,lakini,,walikuja wakazikubali kazi zake mpaka leo zinatenda kazi,,

  • @Seifkassimmkumba
    @Seifkassimmkumba 2 дня назад +1

    Yani kama kweli lisu atapita na kua mwenyekiti wa chadema baaasi naona chadema linakua bonge la chama la upinzani ambalo alitawezekana tena apa tz na nakiona chadema kikienda kuongoza nchi apa tz

  • @benderakashindi3834
    @benderakashindi3834 2 дня назад +2

    Tundul lisu is very fit despite he is in the discrepancy but he will win this election. Chadema with no lissu is going to lose his big picture, lissu has a great vision to leave Tanzanians from dictatorship Government system.
    Tanzanians lost his Democracy ever since, we know democracy in tanzania comes with lissu if he win election.
    To overcome CCm from power in Tanzania only lissu is enough and this will be the beginning of democracy in Tanzania, Remember abduction will never end if CCM is on power.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf День назад +1

    Mmekuja kwa udongo mtarudi kwa ( ⚰ ) hameni mtuachiye chama chetu chadema (+255). Sisi na Mbowe nyinyi jeee?...

  • @BensonMpete
    @BensonMpete 2 дня назад +1

    Kwa nilipofikia lisu hata akicheka me namuunga mkono

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дня назад +1

    Hello acheni kelele Tusubiri kura😅

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin День назад

    MSHAULILISU aje CCM ... Kuna usalama na Amani Kwa nn kujichosha

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 дня назад +1

    Lisu anakampeniwa kabla ya kipyenga cha mda wa kampeni hatuta kubali.

  • @NelsoniJamily
    @NelsoniJamily 13 часов назад

    Lissu ndio mpango mzima

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 19 часов назад

    Lisu anatosha,tunakwenda na lisu tu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 дня назад

    👍👊✌️.

  • @laupetpet7779
    @laupetpet7779 3 дня назад +7

    Mbowe must go

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 2 дня назад

    Kumechangamka kweli kweli

  • @aloycemchuo7687
    @aloycemchuo7687 3 дня назад +5

    BAADA YA UCHAGUZI WENGI WAHESHIMIWE

  • @thomaskimaro2967
    @thomaskimaro2967 2 дня назад

    Kwani si hao wapiga kura wataamua?

  • @ISAACSHABANI-h1y
    @ISAACSHABANI-h1y 2 дня назад +1

    ❤😂❤

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 2 дня назад

    lisu sio mtu sahihi kuwa kiongozi,mpeni chama muone nipo pale nimekaa😂😅 huyo awe kama musiba ila sio kiongozi hafai

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 3 дня назад

    😮😮😮mie thijuii

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 2 дня назад

    Ulikuwa diwani Sio mheshimiwa diwani

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y День назад

    kweli chama kimoja siyo kabisa

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk День назад

    Huyo ni cha maneno tu hakuna matarajio zaidi
    NI MSEMAJI SIO MTENDAJI
    NA ATAWAPATA WASIO NA UWEZO WA KUPAMBANUA
    WATENDAJI NA WASWMAJI
    WASIOJUA KUPAMBANUA WANASIASA NA WASEMAJI

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 2 дня назад

    mbona mnataka mbowe atoke bila kura kupigwa???? mnataka lisu apite bila kupingwa haaaa😂😂😂mbowe mapema tu m/kiti 22/1/25

  • @pontianjohnkahwa
    @pontianjohnkahwa 3 дня назад +1

    Mkusanyiko huu nao ni hamasa ya rushwa, wajumbe kutoka mikoani wamegharimiwa na nani. Huu mkusanyiko unatiliwa shaka.

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 дня назад +1

      Kwa akili zako fupi utawaza hivyo unavyowaza! Hao wanajighalamia wenyewe. Kwa mawazo yako unawaza kwamba Tundulissu ndiye amewaghalamia!

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 2 дня назад

      Kwa akili zako fupi utawaza hivyo unavyowaza! Hao wanajighalamia wenyewe. Kwa mawazo yako unawaza kwamba Tundulissu ndiye amewaghalamia!

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 дня назад

    Kwani rushwa kama imetolewa kwa wajumbe wa mkutano mkuu itasaidia nini uchaguzi kufanyika usiku au mchana.. Wapiga kura watampigia aliyetoa pesa.. Mbowe Freman atapita kupitia mipesa ya ccm

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 3 дня назад +1

    Lisu alikuwa mwanachama wa TLP na mgombea ubunge wake. Kama ni wa muhimu kiasi hicho kwa nini asingeimarisha TLP badala yake anakimbilia chadema chama chenye mifumo ili kukiharibu kwa umaarufu alioupatia kwenye Chama

    • @nasramusaro
      @nasramusaro 3 дня назад

      Wewe mgonjwa fuatilia mambo ujue usiropoke Lissu kuja chadema katafutwa na mbowe

    • @annastaziachacha9109
      @annastaziachacha9109 2 дня назад +1

      Kwani mboe si alikuwa ccm

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 3 дня назад

    naunga mkono TAL 🔥

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 2 дня назад +1

    Upungufu mkubwa katika vyama vya upinzani ni kutokuwa na uwazi na kuweka sera thabiti za uchumi.Wote wanishia kupambania nafasi zao za UTAWALA.UCHUMI,UTAWALA BORA YENYE mizizi ndani ya KATIBA ni mambo ya kuyapigania.CCM kwa sera za kimapinduzi itatuvusha daima ni kusikiliza WANAINCHI.

  • @NyikaKayun
    @NyikaKayun День назад

    Twende lisu makamanda hakuna mbamba

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 дня назад +1

    Wenje ni wenge

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День назад

    Mbowe huoni kama unataka jidhalilisha?!nadhani ni wakati wa kuachia nafas kwa heshima ili nawe uheshimike pia uepuke hayo maneno ya kuhisiwa kutumiwa na upande wa pili!

  • @LuganoJimmy
    @LuganoJimmy 2 дня назад

    Watanzania hasa wanachadema huwezi ukasahau ghafla mchango wa Freeman mbowe tunajua mchango wake kwa upana wake lakini kwasasa ungekaa pembeni na ungekuwa mshauri na heshima yako ingebaki pale pale,Lakini hiki chama kinakoelekea kwa sasa kinapoteza matumaini kwa watanzania wengi kwahiyo kunahitaji kuwa na mabadiliko ya kimbinu na uongozi kwa ujumla.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 2 дня назад

    Chama cha biashara ya mbowe , wabunge walioko chadema wale kumi 19 wote wanipa pesa kwab mbowe walinde ili wasitolewe , kawapa barua kisisiri na ka sign kawapanga wasisieme ukweli na amakulanpesa kutoka kwao 😂
    Jiuzulu mbowe uwajibike sasa

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 дня назад

    Chagueni mnayemtaka... vipi kuachiana???

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y День назад

    mbowe aibu kwako

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 дня назад

    Wengine kutoka Ccm tulio tamani awamu hii tukipigie chadema baad a ya Ccm kuzingua kwa LISU TUNARUDI NYUMA! endeleeni naye wenyewe! Tundu nikirusi kwa tabia yake hafai urais

  • @TeddyCyprian-o1s
    @TeddyCyprian-o1s День назад

    Saf lisu tuna kusubili

  • @FrankMashauri-t4t
    @FrankMashauri-t4t 2 дня назад

    Mbowe atoke aosee anajiaibisha n kama anajichola sasa madhambi yake yataanikwa na kumshushia heshma yake mana ata nyerer aliona ang,atuke ili asje akajichagua lkn s kwmba nyerer hakua na madhamb alkua nayo lkn aliona kbla watu hawajamchoka wanamuhitaji aachie ngazi ili aenziwa kw heshima ila na yye angeng,ng,ania leo nyerer asingepata sifa na heshima kama ilivyo leo na hvyhvy jwa mbowe,, mbiwe kafanya meng ilibidi aenziwe na kuheshimiwa na s kung,ng,ania ila s mbaya kwa kua ameamua iwe ivyo acha iwe ivyo

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 2 дня назад

    Mbowe atuachie Chama

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 дня назад

    Kweli.zamani.hapakuwa.kodi.nyingi.kàma.ss.mawaziri.wanatamanikuongeze.kodi.kila.siku.wakolo.walikuwa.waoga

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 3 дня назад

    Uenyekiti sio Kama kugombea uenyekiti wa ccm .

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 3 дня назад

  • @YusuphSeiph-t1p
    @YusuphSeiph-t1p 2 дня назад +3

    Lissu ✅✅✅