BOB CHACHA WANGWE AWAPASUA VIKALI MBOWE NA WENJE/ AGUSIA TUHUMA ZA RUSHWA NDANI YA CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 115

  • @LusajoCornelius
    @LusajoCornelius День назад +10

    You are smart brother!!

  • @JohnMusagizibert
    @JohnMusagizibert День назад +9

    Bob Chacha unaeleweka sana kaka

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 День назад +3

    Bob Wangwe kumbe uwezo wako katika kujenga hoja ni mkubwa sana maana nimekusikiliza mwanzo mpaka mwisho hakika wewe ni mwelimishaji bora sana wa jamii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 День назад +4

    Very nice Chatham wangwe

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 День назад +9

    Lissu na Heche ni mwendo mdundo,wanafaa Sana

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 День назад +6

    Mi binafsi namwitaji tundu lissu kuliko kitu chochote wajumbe tuletee lissu mtaupata ufalme wa mbingu mungu awatangulie wajumbe

  • @BeniMwengo
    @BeniMwengo 22 часа назад +1

    "Kwamba hela tunashida nazo, wakizileta tutachukua lakini kula ni siri". Nimeipenda sana hiyo.

  • @kaburi920
    @kaburi920 День назад +15

    Nyerere aliituhumu
    Ccm kwamba kinanuka rushwa kwani alikuwa mpotoshaji au alikuwa mwokozi.

  • @djandrewacqtv2969
    @djandrewacqtv2969 День назад +8

    Nimeipenda Hii ya Dereva na Kondakta.💥💥💥👌🏿

  • @LusajoCornelius
    @LusajoCornelius День назад +11

    Pamoja Mr.Wangwe.

  • @fabianlyimo7186
    @fabianlyimo7186 День назад +8

    Nyerere alimtuhumu Lowasa hadharani kwa utajiri mkubwa akimaanisha kuwa ana chembechembe za rushwa kubwa.

    • @fabianlyimo7186
      @fabianlyimo7186 День назад +2

      Hakutoa wala kuweza kuthibitisha lakini hii ilipelekea misukosuko yote aliyopitia marehemu Lowasa.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd День назад +5

    BOB CHACHA WANGWE UKO SMART SANA!!! AAH WEWE NI KIONGOZI BORA, UNAFAA SANA KUWA KIONGOZI WA NCHI HII.

  • @JooLusajo
    @JooLusajo 2 дня назад +20

    Heche na lisu wakipita chama kinaenda kukamata dola

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 День назад +1

      Hivi busara inapimwa na nini

    • @abuubaya7614
      @abuubaya7614 День назад +3

      Fact kak na serikal inawahofia sana hawa cyo mbowe anaonekana huwa anapewa ktu na Ccm

  • @ChristerKok
    @ChristerKok День назад +7

    Heche anatosha kuwa makamu mwenyekiti,Wenje hana mvuto.

  • @godsson5954
    @godsson5954 День назад +3

    tundu aende akaondooe ukabila😂😂

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd День назад +7

    TAMAA YA MADARAKA KWA MH. MBOWE KUMEPUKUTISHA KABISA HEKIMA NA BUSARA ZAKE!!! NIMEGUNDUA PIA MBOWE NI MCHOYO MKUBWA WA MADARAKA KWA WENGINE NA HIYO NI HATARI SANA KWENYE TASISI YA UMMA KAMA CHADEMA!!!

  • @fabianlyimo7186
    @fabianlyimo7186 День назад +6

    Rushwa si jambo la kuonea aibu

  • @bardenMwamalumbili
    @bardenMwamalumbili 23 часа назад

    Mungu ibariki CHADEMA,

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c День назад +6

    Kiukweli Tundu Lissu anafaa

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 День назад +4

    jambo na lisu😂😂

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale День назад +5

    M/kiti Lissu anatosha but nafas ya makamu Heche/Lema wanatosha naamin CDM itasonga!

  • @kaburi920
    @kaburi920 День назад +6

    TAL Anafaa kwa angle zote. Mbowe aheshimiwe kama wastaafu wenzake.

  • @RichardDonatus-y6s
    @RichardDonatus-y6s День назад +4

    Mbowe jitoe kwenye kinyanganyilo heshima y ako itaendelea kuwepo nakupa tahadhari

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl День назад +6

    Lisu sio radical kama watanzania tunavyojaribu kumuelezea. Tatizo letu tumezoea na kuhalalisha rushwa na upendeleo wa kirafiki na ndugu na hatutaki kuambiwa ukweli kama ulivyo. Lisu anatuambia ukweli wetu bila kumumunya maneno

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 22 часа назад

    Bob yuko sahihi sana ..mbowe kajichanganya

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 День назад +2

    Bob Chacha Wangwe anaonekana ni mtu mwenye Akili sana na uwezo mkubwa wa kuchambua masuala na ana maeazo huru (independent minds).
    Kwa kifupi Mbowe hafai kuiongozw Chadema kwa sasa

  • @tosh7671
    @tosh7671 День назад +2

    ROLE MODEL WA MBOWE NI MWENDAZAKE ANATAKA AFIE MADARAKANI KAMA MAGUFULI 😁🤩🤩🤩😁😁😁

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 День назад +5

    tunamuta lisu na heche wanatufaa

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama День назад +4

    Kaka bobu wange una busara sanaa

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 День назад +5

    Coment zote nimezisoma tayari kura za Lisu ni asilimia 96

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 20 часов назад +1

    Nilitamani Sana heche awe makamu wa lisu yani ingekuwa chuma kwa chuma

  • @godfreymeagisa1871
    @godfreymeagisa1871 День назад +3

    Chacha uko poa sana kaka mkubwa

  • @Uswegehamza-s1p
    @Uswegehamza-s1p День назад +3

    sisi wana chadema tunamuhitaji lissu sasa nyie wajumbe mtuchagulie mbowe ole wenu

  • @LinusJohn-w2s
    @LinusJohn-w2s День назад +5

    Lissu ana busara sana ata unapojibu maswali anatumia busara sana

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 8 часов назад

    Huyu Mwandishi ana tatizo la kisaikolojia😂😂😂

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День назад +3

    Umezungumza kWa uwazi na busara kubwa sana.

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 23 часа назад

    Fact Mr

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro День назад +1

    Yeye ni Nani aipangie CDM viongozi ,Tupo na mbowe

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 16 часов назад

    Sijui busara ya Kaka imepotelea wapi. Nampenda sana Freeman Mbowe. Lakini angekuwa na nguvu na heshima kama, kama, kama asingegombea. Ni faida zaidi Lissu akishinda.

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 День назад +1

    1.Huyu mwandishi Habari uwezo wake wa kufikiri uko chini sana.
    2.Mwqndishi anaonekana wqzi qnamponda Lissu bila hoja za msingi.Kwa mtazamo huo,mwandishi anavunja moja ya misingi mikubwa ya uqndishi wa habari ujulikanao kama lack of objectivity and balance.

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u День назад +5

    Tunamtaka Lissu mboe ajitoe ata akishinda hatumtaki na hatuna imani nae

  • @libisimohamed2659
    @libisimohamed2659 День назад +2

    Chadema ni vizuri kumshauri mh Mbowe amuunge mkono. Lissu kama Ali you fanya babu duni wa Act chama kisigawanyike

  • @chedijohn2270
    @chedijohn2270 День назад +1

    Naunga mkono maoni ya,Chacha Wangwe.

  • @dorrynnamdi3424
    @dorrynnamdi3424 День назад

    Mtangazaji umetumwa! Mbona una hasira Sana!

  • @libisimohamed2659
    @libisimohamed2659 День назад +3

    Siasa ya Chadema na ccm lazima zionyeshe utofati kama rushwa ipo ccm na Chadema rushwa ikawepo bora ccm wat awale milele ndio maana Lissu ni chaguo la ndani ya chadema na nje ya chadema

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 День назад +3

    HECHE TUMEMMISS YUKO WAPI???

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад +4

    Hakuna mtu namheshimu katika siasa za mageuzi kama mh.mbowe huyu ni mwamba kweli kweli namshauri apumzike awachie aliowalea ili awe na nguvu za kuwashauri hata kukemea huyu anaheshimika hata nje ya tz

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele День назад +1

    Lissu hoyee 54:54

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni День назад +4

    Lisu anatosha

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад +2

    Alafu mzee mbowe awakataze watu wa kabila lake wasiwe na maneno ya kejeli tunakuomba mh.wewe ni mtu muhimu sana ktk nchi yetu

  • @ossipparsalaw-cx3jp
    @ossipparsalaw-cx3jp День назад

    Mbowe na Lisu wote wanahiyajika ni swala la kukaa chini kimkakati na kujua nani akae wapi kulingana na siasa za nchi. Hekima inahitajika kujua nani akae wapi kimkakati zaidi.

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu День назад +7

    Tundu Lissu, Tundu Lissu, Tundu Lissu

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 День назад +7

    Lissu ni mwamba

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko День назад +5

    Eche nalisu

  • @LinusJohn-w2s
    @LinusJohn-w2s День назад +3

    Vijembe vimezidi chama hayo yangetoka ndani ya chama siyo nje ya chama lakini ukweli unabaki palepale mbowe pumziko lissu awe mwenyekiti wa chadema Kwa sasa

  • @Joyce-k9c2m
    @Joyce-k9c2m 19 часов назад

    Uchaguzi Chadema unataka kuwa chachu na kujibu swali je kuna demokrasiw Tanzania

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 День назад +2

    Mbowe atupishe

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 День назад +2

    Kile kiitwacho M4C sasa inakwenda kupata uhalisia katika chaguzi ndani ya waasisi wa hiyo movement ya mabadiliko..

  • @antipasmkude3789
    @antipasmkude3789 День назад +2

    Lisu akishinda Chama kurakurai. Mbowe akishinda Chama kitagawanyika. Bushara Ni muhimu kuliko mihemko.

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp День назад +1

    Mtangazaji swala limegeuka mbowe anachapwa

  • @ossipparsalaw-cx3jp
    @ossipparsalaw-cx3jp День назад

    Minyukano nyakati za uchaguzi ni mambo ya kawaida na hufanyika kwingi, chamuhimu do not personalise minyukano mkakosa muelekeo. Minyukano ni chachu ya demokrasia, ukihimili nakujua ni wakati wake na kuacha kujengea visasi. Utakuwa umekomaa kisiasa.

  • @GODFREYNTANGANA
    @GODFREYNTANGANA 19 часов назад

    Bonge la mwanasheria hadi raha kumsikiliza busara zimejaa tundu ndo tunae mhitaji kwa sasa

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 День назад +3

    Mbowe fuata mfano wa Babu DUNI.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 День назад

    Hapo ni sawa hapo bi sawa

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele День назад

    Ni aibu isiyoelezeka,kuwa m/kiti wa chama cha upinzani lkn ukaendesha hicho chama kwa Katiba isiyotaja ukomo wa uongozi?!Utaikoromeaje ccm wkt Katiba yako iko hivyo?Ila tunakujua badala ya kuwakoromea maccm huwa unawabembeleza,si uhamie huko 54:54

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 18 часов назад

    Ushindi wa mbowe utazua majonzi makubwa kwa wapenda mabadiliko na demokrasia ndani na nje ya CHADEMA

  • @melch3097
    @melch3097 День назад +3

    Mbowe na Heche wanatufaa, sana

  • @PauloLaizer-c7f
    @PauloLaizer-c7f День назад +1

    Tumuite huyu Simba lisu jembe ambalo mama anamkubali

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 День назад +2

    Huyu simba tumuite Tundu Lisu😀😀

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 День назад

    Hapo ni Tundu lisu tu huyo mbowe hana jipya tena

  • @richardvallerian1003
    @richardvallerian1003 День назад

    Muandishi mtu wa ajabu kweli, anasema tuhuma zilijadiliwa kwenye Kamati Kuu dhidi ya mtu aliyekuwa Mwenyekiti wa Kikao hicho alafu hazikuthibitishwa, yani alitegemea Mwenyekiti aseme tuhuma dhidi yangu zimethibitishwa?😅😅😅

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 День назад

    Huyu Mtangazaji ni Useless kabisa au kwa Lugha ya Mtaani ni Kanjanja😂😂😂

  • @Joyce-k9c2m
    @Joyce-k9c2m 19 часов назад

    Wachaga hoyee

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День назад +1

    mwandishi wewe ni kilaza uchawa unakusumbua mbowe apumnzike

  • @antipasmkude3789
    @antipasmkude3789 День назад

    Kwannii wafuasi wa Mbowe Ni na hawa na wa Lisu sisi Chama. Ina maana ndani ya CDM mwamuzi wa mwisho Ni mwenyekiti.

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 День назад

    Mbona mgomvi mwandishi?
    Hasira ni ya nini?

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 День назад

    Huyo hana hata mvuto kijamii wala kisiasa anatembelea nyota tu

  • @JeremiahRichard-c6x
    @JeremiahRichard-c6x День назад

    Aliingia coz TUNDU lisu alishaonyesha minyukano mapema kwenye mikutano

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani День назад

    Huyu mwandishi mbona anajazba?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День назад

    Watanganyika wenye akili timamu tuko na chadema forrevar

  • @HezronKaaya
    @HezronKaaya День назад

    Mbowe wewe ni mzee mwenzagu tena rika langu na mimi ni mwanaharakati wa haki za wafanyakazi, kwa hali ninayoiona usiingie kweye uchaguzi.Ukishindwa itaharibu historia yako na kazi ya kutukuka uliyofanya kwenye chama.Nashauri jitoe watu bado wanakupenda,wanatambua mchango wako

  • @TzkwanzaKilimanjaro
    @TzkwanzaKilimanjaro День назад

    Pigeni propaganda lakini Kura zetu tutampa mbowe

  • @antipasmkude3789
    @antipasmkude3789 День назад

    Anayetakiwa kuonyesha clip Ni nani,

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День назад

    Kukamata Dola chama cha mabondia wa mnyukano wa maneno makali watanzania hatuwapi

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z День назад

    Twende na lisu

  • @Evod-dd3kw
    @Evod-dd3kw День назад

    Naomba mbowe na lisu msichanganye unamaana chadema kuna a na b?

  • @melch3097
    @melch3097 День назад +4

    Lisu gear, aliyokuja nao, ndio imemfanya mbowe agombee, lisu kaja na jeuri na kashifa za kitoto

    • @JeremiahRichard-c6x
      @JeremiahRichard-c6x День назад

      Kabsa gear ndo tatzo lkn vile2 alishaonyesha utofauti na wenzie yaan hakuwa appreciate watanguliz nae akakasilika

    • @maggiehiza5884
      @maggiehiza5884 День назад

      Una shida

    • @maggiehiza5884
      @maggiehiza5884 День назад

      Minyukano imeanza baada ya yeye kujitokeza kugombeza

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm День назад +1

      Ni Lisu tu na Heche. Damu mpya

    • @RenatusMatungwa-o7c
      @RenatusMatungwa-o7c День назад

      Kwahiyo Mbowe amegombea ili afanye kitu gani kipya.?

  • @OmariNkalami-l8f
    @OmariNkalami-l8f День назад

    Biashala2?🎉

  • @simonrusigwa3024
    @simonrusigwa3024 День назад

    Muuliza maswali upo vizuri sana.

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 День назад

    Heche ni sawa
    Ila Lissu ni tatizo

  • @kaburi920
    @kaburi920 День назад

    Bwana Wangwe huyu mwandishi kwanza ni mpuuzi halafu ni Chawa na huenda katumwa

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 День назад +2

    HECHE TUMEMMISS YUKO WAPI???