Nimependa sana msimamo wa mh. John Heche baada ya kusikiliza kwa makini, chama kikiwa na wanachama wenye uelewa kama huyu kamanda naamini chadema inakwenda kuwa chama kinacho tarajia kushika dola. Asante.
Kaka,hongera sana umetoa speech nzuri sana, yaani wewe ndo umeleta muelekeo wa chama.lissu, heche nyie mnaweza na tunatumaini mtapita na mtatupeleka kanani Tanzanian ya sasa tunataka kiongozi mwenye,innovation,intergrint, na mwenye vision
Hongera saaaana mh heche. Miongoni mwa viongozi wastahafu mtaje mz braun nguilulupi. Japo yeye alikuja baadae tulipokutana motel agep Hotel wakati tunachagua uwongozi wa muda 1992.hongera kwa hotuba murua.
Mimi ni CCM ila CDM chini ya Mbowe ni ccm B ... Upinzani sahii ni chini ya LISSU ... Simpendi Lissu na sijawahi kumpenda Lissu , ila ni mtu sahii kwa utashi wa maendeleo ya nchi kwa ujumla ..
Akimpenda Mungu inatosha....wewe sio wakwanza kumchukia wapo waliomchukia mpk wakataka kumfuta ktk uso wa Dunia lakini kwa uweza mkuu wa Mungu bado anaendelea kuwa hai ❤❤❤❤❤❤❤ lisuuuuu......
Mishahara ya wabunge na marupurupu .mengine ni makubwa mno ukilinganisha na mishahara ya watumishi wengine wa umma kama madaktari nk.Ndio maana wanaacha taaluma zao na kukimbikia bungeni. Ushauri: Wabunge wasijipendelee kimaslahi.Waangalie vipato vya watz wengine.
SINA MASHAKA NA UONGOZI WA LISSU, HECHE, GOD BLESS LEMA, J. PAMBALU. CHADEMA ITAKUWA NA NGUVU NA WENGI WATARUDI KWENYE CHAMA HIKI. WENGI WANARIDI CHADEMA NA WENGINE WAPYA WATAJIUNGA CHADEMA CHADEMA IKIWA NA UONGOZI MPYA WA TUNDU LISSU NA JOHN HECHE
Comde Heche ulikuwa wapi muda wote huu mwanangu kwani ukimya mwingi uliotutupia majuzi kati hadi mshindo mkuu. Karibu sana. Na nimekukubali hotuba yako ya leo baada ya kutoka "mafichoni" ni kuntu sana hadi imenisisimua. Ukasema, "no reform no election, na hili si kwa maneno tu ni hadi vitendo na naamini watanzania watatuunga mkono." Naam nami naamini umma wa wanyonge upo tayari, wanasubiri tu uongozi wenu thabiti.
Kifupi sana naunga mkono Heche kuwa makamu, Lisu napendekeza agombee tena Urais anafaa zaidi nafasi hiyo kuliko uenyekiti wa chama. Aendeleze pale alipomalizia 2020. Na chini ya uenyekiti wa Freeman mbowe anayo nafasi ya kushinda Urais na chama kikabaki salama.
Naitwa Moses Cheketela ni mwanachadema damu. Naomba Lissu akishinda uenyekiti wa chama na John Heche akiwa makamu mwenyekiti nawaimba mumuteuwe Godbles Lema awe katibu mkuu wa chama Nahapo moto utawaka. Hawa watu nawaamini sana.
Utawezaje kuondoa kibanzi kidogo kwenye jicho la mwenzio wakati kwenye jicho lako kuna boriti kubwa linalokutia upofu wa kuona ulitoka ,Julio na unakokwenda?
Kukataa Kushiriki Uchaguzi wa 2025. Ni Njia Mojawapo Ya Kuleta Mapinduzi Ya Kidemokrasia. Kushiriki Bila Reform Ni Sawa Na Kukubali Kushindwa Uchaguzi Katika Mazingira Yasiyo Na Usawa Katika Uchaguzi.
YAANI CHADEMA TUTAKUWA IMARA , WENYENGUVU NA WAMOJA. ENDAPO TU ATASHINDA MH. LISSU, YAANI AKIENDELEA MBOWE KUWA M/ KITI, WENGI TUNAACHA SIASA TUFANYE MAMBO MENGINE. HATUTAKI KABISA MBOWE AENDELEE. TUPO PAMOJA NA LISSU
Je ni kweli kuna kitu kinaitwa mbowe foundation kwenye chadema? Ni kweli hiyo foundation inakusanya pesa na michango ya chama lakini mwenye umiliki ni bwana Mbowe mwenyewe?
Je ni kweli kwamba 'chadema digital' wanaosimamia kutengeneza kadi na kupokea malipo vinafanyika kwa kampuni ya Kenya ambapo mbowe ana hisa huko? Mna mpango gani?
Wabunge wasilipwe pesa yote hiyo.....kwa kitu gani wanawazidi sana wengine? Kama wanataka hiyo m18 kwa mwezi na wengine nao kwanini wasipate walau m3 minimum? Hapo itakuwa afadhali walau.
CHADEMA KWANINI MSEME MNAHITAJI UONGOZI MPYA HUKU MKIMSIFIA MBOWEE? AMEKIFIKISHA CHAMA KILIPOFIKIA? HIKI NI KITANDA WILI KIKUBWA SANAA ACHA TUANGALIE KITAKACHOJIRI
CHADEMA inatakiwa iongoze Mapinduzi Ya Kidemokrasia. Mojawapo Ni Kuwa Na Tume Huru Ya Uchaguzi. Kuanzia Ngazi Ya Mtaa/Kijiji/Kitongoji Hadi Taifa. Pasiwepo na Chama Chochote Kutumia Nguvu Ya Vyombo Vya Dola Kujihusisha Na Wizi wa Kura kwa Niaba Ya Chama Tawala.
Kwanini huyo jamaa hapo nyuma amevaa barakoa?!,. Kwa hiyo anakuwa makamu mwenyekiti wa Lisu au kwenye chama cha CDM?!.Vipi Lisu akashindwa halafu Mbowe akashinda na yeye akashinda, je atakubali?!.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mbona halipo
Nimependa sana msimamo wa mh. John Heche baada ya kusikiliza kwa makini, chama kikiwa na wanachama wenye uelewa kama huyu kamanda naamini chadema inakwenda kuwa chama kinacho tarajia kushika dola. Asante.
Big up thatha
Tunaomuunga mkono lisu na heche sisi wote ni wapigakura halali
Ni mmoja wa watu wenye akili za kutosha. Hongera! Safi sana John!
Ana akili gan?
Safi sana Mura,,,Ahsante sana kutukubalia Ombi letu,,,La kugombea Umakamu mwenyekiti..
kaka john Mungu akutunze akupe mahalifa zaidi na misimamo imara daima ktk kuleta mabadiliko katika taifa letu hili lilivamiwa na wakoloni weusi CCM
Kaka,hongera sana umetoa speech nzuri sana, yaani wewe ndo umeleta muelekeo wa chama.lissu, heche nyie mnaweza na tunatumaini mtapita na mtatupeleka kanani Tanzanian ya sasa tunataka kiongozi mwenye,innovation,intergrint, na mwenye vision
Mwamba kabisa,hii nchi ikiwa na watu Kama Hawa raia watafurahi,Asante mh Heche kwa kukubali kuchukua fom
Heche Safi sana.
Tumekuelewa heche ukwel usemwe
Hongera sana
UBARIKIWE SANA MH. JOHN HECHE
nakuelewa kaka,kura yangu kwa lisu na heche
UMENIPA FURAHA MH. JOHN HECHE
Safi sana tata
Bg up sana hecheeeee!!!!!
Hoyeeeeeeeeee hapo umenifurahisha, kuchukua form
Safi sana,Heche,kazeni Buti,kwasasa LISU NICHAGUO LA WENGI,MSIFANYE MAKOSA
Heche upo vizuri sana
Chadema ya lisu, heche, lema ,itakua tam sana
❤❤❤,Heche katika ubora wake,tuvushen kaka
yan heche ni genius anajibu maswali bila kujianda kaa lolote na anapangua hoja vizuri sana
Du safi sana heche nilikua Sina amani Kwa wenje kabisass
Lisu ni agano,kwan Agano halifagi had lengo litimie na kusud la Mungu,sawa kutoka 14:14,yoh 16:20
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Heche is right
Big brain
# mbowe must go
Hechee ok
Amina.
Hongera saaaana mh heche. Miongoni mwa viongozi wastahafu mtaje mz braun nguilulupi. Japo yeye alikuja baadae tulipokutana motel agep Hotel wakati tunachagua uwongozi wa muda 1992.hongera kwa hotuba murua.
Safiiiiiiiiiiii
Safi heche
TUNAKUPENDA SANAA HECHE HONGERA KIONGOZI
Safi heche lisu anafaa
Hotuba nzuri yenye kutoa uelekeo wa nini kifanyike,,hongera sana kiongozi
NIKIRUDI NYUMBANI MWEZI WA PILI NACHUKUA KADI YA CHADEMA RASMI..... PEOPLE POWER......
Kachukue unamwambia nn sasa
Hata mm lissu na heche wakishinda nachukua card ya chadema!
Heche leo nimekuelewa umenikosha hutuba nzur
Naimani na Heche pamoja na Lissu
Nampenda sana huyu jamaaa
🎉🎉🎉❤❤
Saaaafi
Lisu na heche wnatosh
Safi sana
Talanta
Mimi ni CCM ila CDM chini ya Mbowe ni ccm B ... Upinzani sahii ni chini ya LISSU ...
Simpendi Lissu na sijawahi kumpenda Lissu , ila ni mtu sahii kwa utashi wa maendeleo ya nchi kwa ujumla ..
Upo huko kwa maslahi ila rohoni ni CDM
@@TimotheoSimtowekwa kifupi ni malaya malaya, period.
Akimpenda Mungu inatosha....wewe sio wakwanza kumchukia wapo waliomchukia mpk wakataka kumfuta ktk uso wa Dunia lakini kwa uweza mkuu wa Mungu bado anaendelea kuwa hai ❤❤❤❤❤❤❤ lisuuuuu......
Leadearship means''' to empower people
Kada ya ziwa n makamanda
Haya majembe ndio yanatakiwa kwa sasa.
Huyu jamaaa anajua sana apite pamoja na lisu chama kitawaka Moto sana
Heche ana akili sana na msimamo
Hcheee
Mishahara ya wabunge na marupurupu .mengine ni makubwa mno ukilinganisha na mishahara ya watumishi wengine wa umma kama madaktari nk.Ndio maana wanaacha taaluma zao na kukimbikia bungeni. Ushauri: Wabunge wasijipendelee kimaslahi.Waangalie vipato vya watz wengine.
Wangombea wenye kutakiwa na wananchi ndio hao sasa wajumbe mkajichanganye wenyewe😅
Nchi imeshachukuliwa na Chadema ccm wakitumia Polisi na wizi wao wa kura wameisha tuingia barabarani mchana kweupe
Unafaa kuwa makamu mwenyekiti na lisu mwenye kiti
SINA MASHAKA NA UONGOZI WA LISSU, HECHE, GOD BLESS LEMA, J. PAMBALU. CHADEMA ITAKUWA NA NGUVU NA WENGI WATARUDI KWENYE CHAMA HIKI. WENGI WANARIDI CHADEMA NA WENGINE WAPYA WATAJIUNGA CHADEMA CHADEMA IKIWA NA UONGOZI MPYA WA TUNDU LISSU NA JOHN HECHE
Wenje ni yuda
Comde Heche ulikuwa wapi muda wote huu mwanangu kwani ukimya mwingi uliotutupia majuzi kati hadi mshindo mkuu. Karibu sana. Na nimekukubali hotuba yako ya leo baada ya kutoka "mafichoni" ni kuntu sana hadi imenisisimua. Ukasema, "no reform no election, na hili si kwa maneno tu ni hadi vitendo na naamini watanzania watatuunga mkono." Naam nami naamini umma wa wanyonge upo tayari, wanasubiri tu uongozi wenu thabiti.
Lissu & Heche sina shaka na nyie kabisa.
Kifupi sana naunga mkono Heche kuwa makamu, Lisu napendekeza agombee tena Urais anafaa zaidi nafasi hiyo kuliko uenyekiti wa chama. Aendeleze pale alipomalizia 2020. Na chini ya uenyekiti wa Freeman mbowe anayo nafasi ya kushinda Urais na chama kikabaki salama.
Madaraka mazur sana Leo wapizani kesho watawala wa nchi
Naitwa Moses Cheketela ni mwanachadema damu.
Naomba Lissu akishinda uenyekiti wa chama na John Heche akiwa makamu mwenyekiti nawaimba mumuteuwe Godbles Lema awe katibu mkuu wa chama
Nahapo moto utawaka. Hawa watu nawaamini sana.
Mbowe akishinda wenyekiti tena wanachama wengi wataacha kupiga kula
Chadema iko matangani/Jini limetoka ndani ya chupa! KWAHERI Chadema!
Tundu lisu itabidi uwapishwe mara tatu
Heshe safii napenda sana uyu jamaa, wenje nowakwetu ila amekera sana na kauli zake, sijui ninjaa 🤔
Bangi ni mbaya jamani
Utawezaje kuondoa kibanzi kidogo kwenye jicho la mwenzio wakati kwenye jicho lako kuna boriti kubwa linalokutia upofu wa kuona ulitoka ,Julio na unakokwenda?
Kukataa Kushiriki Uchaguzi wa 2025. Ni Njia Mojawapo Ya Kuleta Mapinduzi Ya Kidemokrasia. Kushiriki Bila Reform Ni Sawa Na Kukubali Kushindwa Uchaguzi Katika Mazingira Yasiyo Na Usawa Katika Uchaguzi.
YAANI CHADEMA TUTAKUWA IMARA , WENYENGUVU NA WAMOJA. ENDAPO TU ATASHINDA MH. LISSU, YAANI AKIENDELEA MBOWE KUWA M/ KITI, WENGI TUNAACHA SIASA TUFANYE MAMBO MENGINE. HATUTAKI KABISA MBOWE AENDELEE. TUPO PAMOJA NA LISSU
Siasa mchezo mchafu eti Leo mnajifanya mnagombana mama anakula 10 tena 😂
Kukemea rushwa hadharani ni kosa?
sio kasa,ni vyema kukemea
Je ni kweli kuna kitu kinaitwa mbowe foundation kwenye chadema?
Ni kweli hiyo foundation inakusanya pesa na michango ya chama lakini mwenye umiliki ni bwana Mbowe mwenyewe?
Mbowe na dalali wake hatuwataki
Kaka chukuwa form muendeleleze gurudumu hili na kak yeti lisu sie tupo nyuma yenu hatutawaangusha
mwanaume kaongea heche
Tukipata Reform Vyombo Vya Dola Havitaweza Kuingilia Uchaguzi. Wala Utekaji Watu Hautakuwepo.
Jembe jembe jembe
Fisiemu haifai haijawahi kufaa kuliongoza hii nchi ndio maana miaka yote. Kazi.yao ni kuhujumu. Uchaguzi manake wamekataliwa
@@rebekakulwa6159 Hao mnaowataka ni malaika??
Wakati utaongea!!
Heche makamu mwnyekiti, mwnyekit Lisu, mbowe na wenje hatuwahitaji
Kwanza watupishe
sasa wewe unataka aongoze
Hakika hivi ni vyuma. Mbowe ndo atakiua hiki chama
Je ni kweli kwamba 'chadema digital' wanaosimamia kutengeneza kadi na kupokea malipo vinafanyika kwa kampuni ya Kenya ambapo mbowe ana hisa huko?
Mna mpango gani?
Usilazimishe kuwaona watanzania hawajui wanawajua sana ninyi mmemis ulaji usiwatuksne walimu wamekupa huo upeo mdogo ulio nao japo hauna afya
Mungechaguliwa mwaka jana, uchaguzi wa mwaka huu ungekuwa huru na haki 😊
Kweli kukazana kuzungumzia uchawa ni kukosa dira.
Wabunge wasilipwe pesa yote hiyo.....kwa kitu gani wanawazidi sana wengine?
Kama wanataka hiyo m18 kwa mwezi na wengine nao kwanini wasipate walau m3 minimum? Hapo itakuwa afadhali walau.
Bonge ya hotuba huchoki msikiliza huyu makamu wa Raisi
Tatizo si nani anachaguliwa bali mnaingia kweanye uchaguzi mkiwa wamoja au mmeingia kwenye mkenge waccm kwamba mbowe kakaa madarakani muda mrefu?
Msiisingizie serikali ninyi hamkubaliki, ccm inakubalika mtaishia kelele
Inakubalika kwa nyinyi majinga bandari inaenda madini mchina anawafukuza wachimbaji wadogo wadogo arafu unasema inapendwa
mmmh toka lini chama cha majambazi kikakubalika ,,majamabazinkazi yao ni kupora na kutishia
kwani uchaguzi wa chadema lini maake sasa watapigana hawa🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa waishie kupuliza kelele achana nao
CHADEMA KWANINI MSEME MNAHITAJI UONGOZI MPYA HUKU MKIMSIFIA MBOWEE? AMEKIFIKISHA CHAMA KILIPOFIKIA? HIKI NI KITANDA WILI KIKUBWA SANAA ACHA TUANGALIE KITAKACHOJIRI
CHADEMA inatakiwa iongoze Mapinduzi Ya Kidemokrasia. Mojawapo Ni Kuwa Na Tume Huru Ya Uchaguzi. Kuanzia Ngazi Ya Mtaa/Kijiji/Kitongoji Hadi Taifa. Pasiwepo na Chama Chochote Kutumia Nguvu Ya Vyombo Vya Dola Kujihusisha Na Wizi wa Kura kwa Niaba Ya Chama Tawala.
Lisu akiwa mwenyekiti Ndo utakua mwisho wa Chadema
Huna akili kabisa, ni mbumbumbu wewe
Ww mjinga type
utakuwa mwisho wa ujinga uoga rushwa na ukandamizaji wa demokrasia ya kweli
Kwanini huyo jamaa hapo nyuma amevaa barakoa?!,. Kwa hiyo anakuwa makamu mwenyekiti wa Lisu au kwenye chama cha CDM?!.Vipi Lisu akashindwa halafu Mbowe akashinda na yeye akashinda, je atakubali?!.
Katiba mpya italetwa na watanzania siyo chadema
Haya tuletee wewe
Zero brain wa taifa
kwani chadema siyomwatanzania ...hebu ongea vizuri
Lissu anapokea hela toka nchi za ughaibuni ameweka wapi uwazi es fedha hizo
Umeziona
nchi za ughaibuni ? au wewe unataka apewe na kufuturishwa tende na halua kama wewe
Acha uwongo nchi haina njaa ya chakula.
unanunua bei gani hicho chakula?
unaujua uwongo wewe
Masikini hiki chama kinaangamia
Masikin mwenye
kinakufa au wewe ndiyo umekufa huku unatembea kwa ajili ya kutaka kupewa tende na halua
Atlanta🤣🤣