Acha porojo Freeman Mbowe Tunataka serious politics hatutaki porojo Alipaswa huyu bwana aulizwe kama bado ana amini kuwa wanachama walimshawishi agombee au aliwaita nyumbani kwake kujaribu kuhalalisha kwamba anakubalika
Kaka yangu Freeman Mbowe pole sana kwa misukosuko unayopitia sasa hv. Ni kiongozi uliyejaa hekima na busara na mwingi wa uvumilivu. Mungu akuvushe na haya yote unayopitia.
MSHAURI AACHIE NAFASI HIYO ILI ALIOWATENGENEZA NAO WAONGOZE NA AWE MHAURI WAO HIYO NAFASI YA UWENYEKITI NI YA KILA MTU MUDA WA WENGINE UMEWADIA SASA AONDOKE TU APISHE NGUVU MPYA.
Mbowe huna hekima.kipimo Cha hekima ni wingi wa maarifa.lisu kakuzidi maarifa .hekima hutumika kusuruhisha na kuondoka migogoro ya chama.ninashindwa kuniona hekima uliyonayo ukilinganisha na mpasuko uliopo katika chama
Kumbe wanasiasa mmeshaelewa katiba sio mali wala swala la wanasiasa peke yenu bali ni swala la umma mzima. Sasa malizeni ya kwenu umma uje utafakari jinsi ya kupata katiba bora ya kuongoza nchi yetu. Katiba ni mkataba mkuu wa umma na watawala ndio watautumia kuongoza umma sio mkataba wa wanasiasa . Kumbukeni wanasiasa ni sehemu ndogo ya umma. Mkilielewa hilo ndipo katiba ya umma itapatikana bila msuli mkubwa.
Yaani mheshimiwa Mbowe nafikiri kunajambo ambalo limekutoka ambalo Ni kutambua majira na nyakati umefanya mengi katika nchi hii mazuri lakini Sasa wakati umefika yatazame majira nanyakati,itakusaidia Sana hivi hata ukishinda bado kwa Hali ulivyo Sasa huta thaminiwa hata kidogo nachama kinakwenda kuzimika mikononi mwako
Viongozi wote Mbowe na Lisu mpo vzr sana , Na nyie ndo watu mnaofanya inchi iwe na vyama vingi na kiufupi chadema ndo sura halis ya upinzani, Kwa sasa tunataka amani na maelewano kwenye kubadilishana madaraka, Tumpe Lisu akae atuongozeee chama then hajaweza tunakurudisha Mzee wetu wa busara..
Lisu anaseama ameamua kugombea Uenyekiti eti kwasababu kaekewa mgombea kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti , Hakuwa na Plan yakugombea Uenyekiti , hii inaonesha huyu ni kiongozi anaekurupuka kufanya mamuzi yake kwaiyo chadema kuweni makini sana na viongozi wa type kama hii
uko sahihi mwenyekiti Mbowe siasa za maliziano ndo msingi wa demokrasia hao wanaokubeza hawajitambui na siku zote binadamu kamwe huwezi kumufurahisha pia mtu wa karibu yako ndo Adui yako kwa hiyo usishangae Leo akina lema lissu kina msigwa nk ndo wamekuwa wasaliti wako daah pole Sana bro
WEE VIPI KAMA HAUKO KWENYE MLENGO WA UPANDE HUU FUNGA KIDOMO YAKO WATU TUNA HASIRA SANA TULISHA CHOKA NA MIFUMO YA KIZAMANI YA CCM WEE ENDELEA KUNUFAIKA NAYO KWA WAKTI HUU ULIOPO WEW HUKU WATANZANIA WALIO WENGI WANAZID KUYAPITIA MAGUMU NA' ILA KUMBUKA KIZAZI CHAKO KINACHOKUJA WEW UMEISHA KUFA WAPO WATAKAOTESEKA NA MIFUMO HII YA KIZAMANI
Yan hatamaelezo yake yanaonyesha tu hafai tena zama zake zimeisha havutii kusikilizwa hafunguki anaongea kwa kufichaficha sana. Kisaikkolojia hua tunaangalia macho na mdomo na sura kwa ujumla je vinaendana? haonyeshi kumaanisha kile anachozungumza mwilitu umepooza hauendani na sauti. Anachosha kusikilizwa
Siasa sio magomvi. Mabondia wakishatoka ulingoni hurudi kama kawaida na urafiki. Wachezaji Simba na Yanga mtaani wako marafiki. Uwanjani tu ndio ama zako ama zangu. Hauka urafiki. Demokrasia nayo inatakiwa iwe na sura hiyo. Mkapambane kweli kweli mpaka mshindi apatikane. Ila tunzianeni heshima. Hata ngumi kuna sehemu hupigi.
Kuna Mambo Vyama wanashindwa kuhelewa, wananchi waliowengi wakishapata mahitaji yao wanawhacha nyie Wakereketwa wa vyama, na Agenda zenu, usitegemee unishawishi kuandamana wakati watoto na Familia yako iko Ulaya mimi na Watoto wangu tuuawe,ili wewe siku moja uje utawale,
Mbowe, chadema needs fresh leaders uncorruptable not like you. Your politics is over with no respect because you are using chadema for self interest for very long, you still have time to withdraw your form, don't feel shame on you to do this.
Mbowe ni kiongozi Bora , bado unahitajika kuongoza chadema bado hujamaliza kazi yako baba .. umepambana sana baba ... Bado wanachadema wanakuhitaji umalize kazi yako ..
Wew ni mojawapo wa mlio hasiwa akili na ccm aidha kwa pesa za walipa kodi mnazoiba kwa miradi hewa nk.tena funga kidomo yako hiyo na huyo mbowe wako kama hataki kuondoka muda huu ataondoka hata kwa mawe tu atake asitake
Hata mtafute mbinu zenu hizo za ki ccm za kuingilia uchaguzi huu mbowe wenu huyo hatumtaki tena kwanza msaliti anatolewa jela kwa juhudi ya wanchama harafu amekengeuka nendeni naye huko ccm hatakiwi huku kwa muda huu tlisha wachoka ccm ila basi na ipo siku yaja kila lenye mwanzo lina mwisho pia haijalishi ni kwa muda gani ila mwisho wa ccm upo tu
TOKA HAPA KWENDA NA CCM YAKO HIYO ILIYOKWISHA HASI AKILI ZA WATANZANIA WENGI WAMEKUWA KAMA MAKONDOO KWELI PAUL KAGAME HAKUKOSEA KUSEMA TENA TUONDOKEE HAPA NA MBOWE WENU HUYO
@geraldleger5793 kabsa hekima busala sio mwingne yule mwehu unaitwa na Rais utak mtawala wa nchi akisema waje wakuuwe s wanakuuwa na familia yako tunakuzika mzima mzima Rais ndo mwenye kaul ya mwisho Hana heshima Kwa wakubwa ata kwa Mh Mbowe kwann umseme mkubwa wako hazalan ata kama kakosea mbona ss wakat tupo wadogo tunachapwa na mama bila kosa na maisha yanaendelea
Safi Sana Mheshimiwa Mbowe Kwa kujishusha kukosolewa ndo Dira ya Chama chenu kubali kukosolewa ni kufunguka kimaono asante sana
Calm and smart💯
True
Daaah press ya Lema leo imebadili kabisa mtazamo wangu kwa huyu Mwamba aiseeee Mwamba kauza mechi
Mimi pia
Press ya lema gani ndio unashangaa lema kusema vile wakati tunamfahamu toka muda lema ni wa lissu
Magembe ametoka wapi Tena kwenye siasa? Mwache Mzee atulie
LEMA NI KICHWA NI HAZINA YA THAMANI SANA TUNGEWAPATA AKINA LEMA 100 WENGINE NCHII INGEBADILIKA PAKUBWA
Hakika
Acha porojo Freeman Mbowe Tunataka serious politics hatutaki porojo
Alipaswa huyu bwana aulizwe kama bado ana amini kuwa wanachama walimshawishi agombee au aliwaita nyumbani kwake kujaribu kuhalalisha kwamba anakubalika
Wacha ushabiki mandazi
Tukuamini wewe kwa hisia zako, au tumwamini Mbowe kwa uzoefu wake?
Shetan la chadema ndio hlo
Shetan ni wewe kumamaye wewe@@husseinkonz5192
We mzee toka kiaman eshma yako ihendelee kudumishwa chadema
Very nice
Umefanya mengi xana..mazuri ila ingependeza zaid upumzike
Japokuwa wenje anazunguka nchi katoa rushwa! LISSU naHECHE ushindi👍
Huyu ni sawa na Lipumba tu😂
Very smart chairman👊👊👊
Pumba tupu mzee pumzika wewe
Agent wa Mfumo huyo..Chama tawala akili kubwa sana,Waasisi wa vyama UPINZANI wengi walikuwa majasusi wao Lipumba, Lyatonga, Mbowe,Slaaa..Etc
Mbowe kachoka😂😂😂 lugha imebadilika
Nampenda sana mbowe ila angepumuzika kulinda heshima yake
Kaka yangu Freeman Mbowe pole sana kwa misukosuko unayopitia sasa hv. Ni kiongozi uliyejaa hekima na busara na mwingi wa uvumilivu. Mungu akuvushe na haya yote unayopitia.
MSHAURI AACHIE NAFASI HIYO ILI ALIOWATENGENEZA NAO WAONGOZE NA AWE MHAURI WAO HIYO NAFASI YA UWENYEKITI NI YA KILA MTU MUDA WA WENGINE UMEWADIA SASA AONDOKE TU APISHE NGUVU MPYA.
Mbowe please baba kupumzike kwa heshima na watu watakuenzi
Mbowe huna hekima.kipimo Cha hekima ni wingi wa maarifa.lisu kakuzidi maarifa .hekima hutumika kusuruhisha na kuondoka migogoro ya chama.ninashindwa kuniona hekima uliyonayo ukilinganisha na mpasuko uliopo katika chama
THIS ACT TAKES OUT UR RESPECTS UNAJITHALILISHA KWANI TAYARI DUNIA IMESHAKUSHUTUKIA KUWA WEWE NIMWIZI
Mbowe hata ukiweka Chuki kwa Lissu hutoboi. We mchukie tu unavyoweza fanya fitina zote lkn hutoboi na haumpunguzii kitu Lissu
Wewe unaigiza kuwa na hekima lakini huna hekima
Yaani kweli hii ni he kimaisha ya kiumbwa mwitu
Ana hekima ya kimbwa mwitu kajivika kikondoo kumbe ndani ni balaa
Pumzika mkuu umefanya makubwa sana ktk democracy ya nchi hii
Zilongwa mbali, Zitendwa mbali,Huyo lafanyia hila wenzie wengi,Akijifanya Mungu mtu ndani ya chama...Now anakula mshahara wa dhambi zake...
Jaman nyie watu mnamaneno aseeee kuongea sana tyuu kuwateta wengine tyuu kupambana ahaha
Mbowe safi sana
Natabiria kuwa Mh Mbowe ataliondoa jina lake kabla ya Jumapili
Mbowe kama kweli unahekima na ni mpole kwanini unganganie uenyekiti ?
Kweli bhana
Kumbe wanasiasa mmeshaelewa katiba sio mali wala swala la wanasiasa peke yenu bali ni swala la umma mzima. Sasa malizeni ya kwenu umma uje utafakari jinsi ya kupata katiba bora ya kuongoza nchi yetu. Katiba ni mkataba mkuu wa umma na watawala ndio watautumia kuongoza umma sio mkataba wa wanasiasa . Kumbukeni wanasiasa ni sehemu ndogo ya umma. Mkilielewa hilo ndipo katiba ya umma itapatikana bila msuli mkubwa.
Mbowe anafaa sana tuu kuwa mwenyekiti tena na asitokee mtu akampuuza
Mbowe apumzike tu
Time to quit......! 21 years in power, yaani binadamu anazaliwa mpk anao na anapata watoto we bado unaamini ktk mwenyewe tu, huo ni U-Mseveni bhana 😂😂
Matokeo from four
LEMA KASHAMALIZA TAYARI
UMEPEWA MIRUSHWA NA MAMA SAMIA UKIARIBU CHAMA HILI CCM IFANYE INAVYOTAKA KUWAKANDAMIZA WANYONGE
Mbowe kitu Gani unakipenda kwa mheshimiwa lisu
Mbowe umevamiw na lissu kazi unayo
Kavamiwa na panga aikiwa uchi wa mnyama😅😅
Tumuombe Mungu amani itawale katika uchaguzi. Amen
Mzee mnafiki sana wewe sikukujua kabla aisee
Sana
NA WEWE MBOWE NINI? WAACHIE WENZAKO
Mboe my brother tumuachie lisu kiti nayeye tuone harakati
LEMA amemaliza Kila kitu,
Ameweka wazi mambo yoote...so now saiv tunaelewa hizo busara zako Zina Maana gani
Mm siyo mwanasiasa ila hum Kuna madini uwa nachukua.
Ambayo ni ya mhim sana kwenye maisha yetu ya Kila siku
Hil ndio jin la cdm likemewe
Mbowe baba kuna Maisha baada ya uenyekiti. The earlier the better acha kung'ang'ania madaraka kama Big G iliyoganda kwenye blanketi.
Just retire I am a kenyan but Lissu Heche and Lema is the way to Gooooo
Pumzika kidogo bn
mwandishi wa havari fundi sana hatumii nguvu lakin anapara vitu vingo
Acha kujenga hoja za maandamano kama unataka Ingia Barbarani mwenye
Mzee mbowe pumzika baba..mvuto umeisha..
Yaani mheshimiwa Mbowe nafikiri kunajambo ambalo limekutoka ambalo Ni kutambua majira na nyakati umefanya mengi katika nchi hii mazuri lakini Sasa wakati umefika yatazame majira nanyakati,itakusaidia Sana hivi hata ukishinda bado kwa Hali ulivyo Sasa huta thaminiwa hata kidogo nachama kinakwenda kuzimika mikononi mwako
Tupo na lissu
Mbowe kiongozi makini wa siasa za upinzani kwa muda wote.
Asante mzee nimekuelewa sana ila sasa ndio hatujui nadhani tuwatakie uchaguzi mwema uwe uchaguzi wa haki na amani❤
Hata wewe bwege ulikumbia nje ya nchi mbona hujitaji
Upo vzr
Pumzika kwa sasa ulinde legacy yako
Grass root fortification? Dah kwa kweli ngumu kuona
Viongozi wote Mbowe na Lisu mpo vzr sana , Na nyie ndo watu mnaofanya inchi iwe na vyama vingi na kiufupi chadema ndo sura halis ya upinzani, Kwa sasa tunataka amani na maelewano kwenye kubadilishana madaraka, Tumpe Lisu akae atuongozeee chama then hajaweza tunakurudisha Mzee wetu wa busara..
Lisu anaseama ameamua kugombea Uenyekiti eti kwasababu kaekewa mgombea kwenye nafasi ya makamu mwenyekiti , Hakuwa na Plan yakugombea Uenyekiti , hii inaonesha huyu ni kiongozi anaekurupuka kufanya mamuzi yake kwaiyo chadema kuweni makini sana na viongozi wa type kama hii
Ulisema umechoka mara 3 leo unataka nini.kwanini huliwapa tunzo wakat mambo.bado
Bondia mwenzio utamjua ulingoni. Sasa ktk uchaguzi ndio umemfahamu vizuri .Kama ulijua ni mtu poa sio akiwa ulingoni.
uko sahihi mwenyekiti Mbowe siasa za maliziano ndo msingi wa demokrasia hao wanaokubeza hawajitambui na siku zote binadamu kamwe huwezi kumufurahisha pia mtu wa karibu yako ndo Adui yako kwa hiyo usishangae Leo akina lema lissu kina msigwa nk ndo wamekuwa wasaliti wako daah pole Sana bro
WEE VIPI KAMA HAUKO KWENYE MLENGO WA UPANDE HUU FUNGA KIDOMO YAKO WATU TUNA HASIRA SANA TULISHA CHOKA NA MIFUMO YA KIZAMANI YA CCM WEE ENDELEA KUNUFAIKA NAYO KWA WAKTI HUU ULIOPO WEW HUKU WATANZANIA WALIO WENGI WANAZID KUYAPITIA MAGUMU NA' ILA KUMBUKA KIZAZI CHAKO KINACHOKUJA WEW UMEISHA KUFA WAPO WATAKAOTESEKA NA MIFUMO HII YA KIZAMANI
Usimkatisheee mwache amalize kukujibuu…
kaeni myajenge
Mbowe acha kutuumiza sisi huku unatangaza tuingie balabalan alaf kumbe wew umebeti tunaumizwa kumbe wewe umeweka mkeka et
Mkuu unaonaje ukiondoa jina kijit ukaachia wengine
Miaka mingi muheshimiwa mbowe pumzika tu usionekane kama unatumwa vile na mamluki.cmama na akina lisu kukitengeneza chama pumzikaah.
Ndio maana wenzako wanakuondoa,coz hujui hata idadi ya wanachama,alafu unasingizia mfumo,macho kumchizi
Dude, if 20 years wasn’t enough, then something wrong with you; you have to pass the torch to Lissu.
Hi
Mbowe achia madaraka
wwe nimuongo xana una ata aibu embu utupishee bwana lizika na ulicho kipata
Hata mm pia sipigi kula kwa ajili iyo unachagua mtu hapiti
✌️👍👊.
MWACHIE MWENZIO YANAYOONEKANA NI AIBU WANAOKUFATA WANAFIKI.
Chama ni watu
pumzika2 na ww muachie risu apambane na yeye
KILA MIAKA WEWE MWENYEKITI PUMBAVU ZAKO MBOWE WAACHIE WENZAKO HUONI HATA AIBU
Mwamba ukimchek anafikilisha
Yan hatamaelezo yake yanaonyesha tu hafai tena zama zake zimeisha havutii kusikilizwa hafunguki anaongea kwa kufichaficha sana. Kisaikkolojia hua tunaangalia macho na mdomo na sura kwa ujumla je vinaendana? haonyeshi kumaanisha kile anachozungumza mwilitu umepooza hauendani na sauti. Anachosha kusikilizwa
Mbowe hicho chama usikifanye Mali yako
Mbowe pumzika aisee wakati wako umeisha
Mbowe punzika acha kiburi cha kusema bila wewe chama ndiyo basi. Wewe niwa milele?
we unatamaa ya madaraka tunataka upumzike bwana
Motisha ya mama kwenye mpira wa tanzania imekaa powa sana kama unakmkubali kwenye kipengere cha motisha weka like
Pumuzika
Siasa sio magomvi. Mabondia wakishatoka ulingoni hurudi kama kawaida na urafiki. Wachezaji Simba na Yanga mtaani wako marafiki. Uwanjani tu ndio ama zako ama zangu. Hauka urafiki. Demokrasia nayo inatakiwa iwe na sura hiyo. Mkapambane kweli kweli mpaka mshindi apatikane. Ila tunzianeni heshima. Hata ngumi kuna sehemu hupigi.
Kuna Mambo Vyama wanashindwa kuhelewa, wananchi waliowengi wakishapata
mahitaji yao wanawhacha nyie Wakereketwa wa vyama, na Agenda zenu, usitegemee unishawishi kuandamana wakati watoto na Familia yako iko Ulaya mimi na Watoto wangu tuuawe,ili wewe siku moja uje utawale,
Mbowe mitano Tena,unayopitia sisi waelewa tunajua upo vizuri sana kiakili na nidhamu anayejiona Bora zaidi tukutane kwa debe.
Wew sikiza kama umetumwa na ccm rudia njiani kabla hatujakufkia mitano ya kwenda wapi na akizidi kutokusikia sauti zetu atatoka kwa kilio sasa
Mhh labda
Wewe inabidi uondoke/
Mh.mbowe achia nawezanko achia madaraka wewe achana uchu wa madaraka
Mbowe MITANO 5
Huyu ni mpole wa sura kama kawaida mtu mpole akiongea utasema huyu mnamuonea kumbeeeeee
Mbowe ww ni kibaka
Mbowe, chadema needs fresh leaders uncorruptable not like you. Your politics is over with no respect because you are using chadema for self interest for very long, you still have time to withdraw your form, don't feel shame on you to do this.
Very smart politician. Hongera freeman
Mbowe ni kiongozi Bora , bado unahitajika kuongoza chadema bado hujamaliza kazi yako baba .. umepambana sana baba ... Bado wanachadema wanakuhitaji umalize kazi yako ..
Ndo maana ccm inawatawala maisha majinga kama nyinyi
Wew ni mojawapo wa mlio hasiwa akili na ccm aidha kwa pesa za walipa kodi mnazoiba kwa miradi hewa nk.tena funga kidomo yako hiyo na huyo mbowe wako kama hataki kuondoka muda huu ataondoka hata kwa mawe tu atake asitake
Hata mtafute mbinu zenu hizo za ki ccm za kuingilia uchaguzi huu mbowe wenu huyo hatumtaki tena kwanza msaliti anatolewa jela kwa juhudi ya wanchama harafu amekengeuka nendeni naye huko ccm hatakiwi huku kwa muda huu tlisha wachoka ccm ila basi na ipo siku yaja kila lenye mwanzo lina mwisho pia haijalishi ni kwa muda gani ila mwisho wa ccm upo tu
This is the Leader
Lissu amekua kama fisi anataka vyote .
TOKA HAPA KWENDA NA CCM YAKO HIYO ILIYOKWISHA HASI AKILI ZA WATANZANIA WENGI WAMEKUWA KAMA MAKONDOO KWELI PAUL KAGAME HAKUKOSEA KUSEMA TENA TUONDOKEE HAPA NA MBOWE WENU HUYO
@MuraMwita-s3e brother huyo LiSSU nchi haiwezi
Pumzika bana
Akili kubwa sana mh Mbowe busala hekima mitano tena
Kaka hata kuandika hujui unataka mitano tena kwa mbowe? Siyo busala ni busara bwege wewe
Leo ndio mimeelewa uwezo wa Mbowe ...
@geraldleger5793 kabsa hekima busala sio mwingne yule mwehu unaitwa na Rais utak mtawala wa nchi akisema waje wakuuwe s wanakuuwa na familia yako tunakuzika mzima mzima Rais ndo mwenye kaul ya mwisho Hana heshima Kwa wakubwa ata kwa Mh Mbowe kwann umseme mkubwa wako hazalan ata kama kakosea mbona ss wakat tupo wadogo tunachapwa na mama bila kosa na maisha yanaendelea
Huyu ni kiongozi siyo mlevi anaweza kulinda alama na tunu za taifa
Samia ninguli.wa siasa za Tanzania kwa sasa
Unashabikia ushenzi huku watanzania walio wengi wakiendelea kuyapitia magumu ya kimaisha koma weee tena koma kabisaaa
Unafki tu ana unguli gani yule mama?