Amiri jesh mkuu, mkuu WA majeshi, na vyombo WA ulinzi na usalama, Kuna namna inatakiwa kufanya ili kuwachukua watanzania waliopo congo, waachane na maswala ya michakato, hii ni swala la dharula
Nyie ambao mnasema watalipana na bima mmefika Congo kweli, mnaijua kampuni gani ya bima iwekeze majimbo ya mashariki ya Congo, ukifika Sud Kivu gari za pale hazina kila kitu achana na bima hata vioo tu hazina,
Wananchi wa goma ??msivae magari ya watanzania kwa sababu watanzania wanapenda amani jeshi la tanzania ni jeeshi la amani kwa msisumbue au kuvamia watanzania
Wanatafuta maisha,Sasa mtu ni dereva wa malori ya nizigo na anapangiwa na bosi wake kwenda kokote kupeleka mzigo,kwa hiyo unataka akipewa mzigo wa kwenda Kongo akatae
Kama kuna Rais jirani anaunga mkono unyama huku na yumo umeona WA Mataifa na AU na EAC, basi hiyo nchi iondolewe kwenye list na Rais huyo ashtakiwe mahakama ya kimataifa
Sisi hatumtaki samia magufuli wetu wamemuuwa angekuwepo haya yote angesaidia alikuwa na akili sana magufuli basi tuu MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atusaidie
Acha waibe tunajali uhai wenu mwanangu. Poleni sana tena mno.
poleni sanaa mlirusha video kwa ajili ya msaada kumbe na raia na wao wakapanga lao
Kama wata waachia roho zenu basi mungu ashukuriwe
Mmmmh TANZANIA tunaneema Mungu tujalie hii aman
Mwizi wa chakula simwizi hapo upande mwengine mumewasaidia.....mungu atawalipeni msijali.mbaya ni mchukuliwe ama waharibu magari
Munao sema wana congo 🇨🇩 wamevamia nihalali wajipatie chakula wewe kukaa siku 3 bila kula we kuweza😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Poleni hakika
Watanzania kwa unafiki namba moja
HIV ni uwongo au
Tujifunze amani watanzania,kuvuruga amani ni kitu kibaya sana
Mwambie samia
Sio Samia, wale wanajiaminisha Kwa kutaka maandamano...@@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow hata ww unaweza ukamwambia acha domo wazi hayo yalikuwa mawazo yangu
Mwambie samia
@@RaiRai-j3k Aambiwe Antipas anayetaka maandamano...
Sawa, msiende tena kwenye hii nchi ya Congo.
Mmm hio saut mbona kama patric baba junio
Jmn hii ni nini lkn
Poleni sana na matatizo
Da labda vita inafanya washindwe kutafuta😢😢😢
Jamani mnazani wenzenu wanafulaha?we kila siku vita awakwepeki kupigwa wanainchi mnategemea wakale wapi?
Watu wa maelekezo ni nini?
Amiri jesh mkuu, mkuu WA majeshi, na vyombo WA ulinzi na usalama, Kuna namna inatakiwa kufanya ili kuwachukua watanzania waliopo congo, waachane na maswala ya michakato, hii ni swala la dharula
Vita havina macho chukueni vyote ili msife kwa risasi na njaa ikawasulubu tulia chukua vyote mpate uhai😂
Ivita niya politike jameni
Iyi vita niya rwanda nauganda
Namarekani
Afu apa tanzania mnawakumbatia tyu
Zote njaa jamani
Nyie ambao mnasema watalipana na bima mmefika Congo kweli, mnaijua kampuni gani ya bima iwekeze majimbo ya mashariki ya Congo, ukifika Sud Kivu gari za pale hazina kila kitu achana na bima hata vioo tu hazina,
Waacheni waimbe kikubwa roho zenu wakuachiyeni ila congo ingefanya mchakato kutowa ajira ya wananchi Yao hii inatokana na kutokufanya kazi
Wewe uondoke congo
Tajir hapo kapata hasara
Njaa siyo kitu cha mchezo
Wewe nimwizi
Akili kubwa sana wache wa bebe chakula
Wananchi wa goma ??msivae magari ya watanzania kwa sababu watanzania wanapenda amani jeshi la tanzania ni jeeshi la amani kwa msisumbue au kuvamia watanzania
nchi ni tajiri lakini wanagombania chakula wakati madini yanaibiwa
Tunyanyue mikono juu tuwaombee ndugu zetu wakongo lakini pia wamataifa jirani walieenda kulinda amani ya Kongo na wakongo.
WAKONGO SIO WATU M
Mimi ni Mtanzania ila mlikuwa mnasubiri nini muda wote msihame mapema.?
Wewe nchi sio yako utakwenda wapi unaijuwa vita au unasikia
Hiv wewe ulishawahi kutoka nje ya mipaka ya nchi yako au unaongea tu ujinga
Ujinga ni wenu nchi kuna vita usiku na mchana ,nyiye mnaenda kutafuta nn
We ni mbwa tu usiee jielewa
Ujuhi ulitendalo kaa kimya
Na mjinga ni ww na ukoo wako shenz wee
@@ChristianMichael-c3cmsigombane jamani yote ni plan ya UN ili wanaichi wapate chakula na mipango yao iendelee
Wanatafuta maisha,Sasa mtu ni dereva wa malori ya nizigo na anapangiwa na bosi wake kwenda kokote kupeleka mzigo,kwa hiyo unataka akipewa mzigo wa kwenda Kongo akatae
Hao hawaibi wanajisevu angalau wapate uhai
Wakongomani wameingiliwa na VV U ambavyo ni inchi jirani zao zisizowatakia amani
Ogopa njaa
Kongo siwez ishi
Yaani wachukue chakula wanavyotaka ila Wasitugusie watanzania wetu jamani
Hawaibi wanachukua
Kumbe wanna hide nao niwez kamawezi engine changing ndohua wanakosa
Mizigo sio inshu uzima ndokirakitu
Unaripua gar wafe t
Hii RUclips
Wasiguse roho zenu tu mengine yanaongeleka tunachoomba muwe wazima mtoke huko salama basi
Chukueni vyote
Kama kuna Rais jirani anaunga mkono unyama huku na yumo umeona WA Mataifa na AU na EAC, basi hiyo nchi iondolewe kwenye list na Rais huyo ashtakiwe mahakama ya kimataifa
Wahache wachukue
Me mkongo najua wa tanzania mnaogopa vita awatukiamua tunawauw
Sasa Kwanini Msiwauwe Kama Nyinyi wa Congo hamuogopi vita ?😃😃😃 Mbona Askari wa Congo Wametupa Silaha Wamekimbia ???🤣🤣🤣
Acha mdomo
Kinachowaponza wakongo ni wadokozi sana mpaka wanafungua mizigo nakuchukua
Ukisema Wacha wabebe wakati ujakabidhi mzigo kwa mwenye mali.
Shida ni njaa iyo ndo sababu kwaiyo hamna jinsi...
Dah hii sasa hatari na pia ni hasara kwa mfanya biashara
Wewe chunga mali yangu,nitakuuwa
Pole Kwa Hilo
Ati chunga mali yangu hatuthamini moyo wa mtu njoo chunga mwenyewe
Madereva nyie teteeni roho zenu achaneni na magari hayo pamoja mizigo hiyo.
wanajua wasafiri
Njaaa Tatizo
Waachaeni wachukue tu mtasainiwa waybill mrudi
Kikubwa nyie muwe wazima
Nyamaza ww ulijuwaje siyo kakangam ndoana pinganisha kogo
unaongea ukuumetabasam unaongea ukuunacheka
Mukome kuvamia mchi za watu
Mjinga sana wewe mtz mwenzangu kagame anahusika sana
Usiongee jeuri ukiwa vitani. Na utoto huo kwamba mizigo mingine haiguswi.
Poleni sana
Ujinga wa wacongo man
Wajinga hao badala na kupaninia nchi yao inazidi kumegawa maeneo eti yanakimbilia kupora vitu
mimi naitaji uzima wenu tu kama ni vyakula vyatafutwa, mungu awasaidie murudi tz salama 🤲🤲
Daaah
Sisi hatumtaki samia magufuli wetu wamemuuwa angekuwepo haya yote angesaidia alikuwa na akili sana magufuli basi tuu MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atusaidie
Kumamama Yako huna akiili
Mfate kwao Chato watu wanaumia unaleta siasa hapa