Waasi wa M23 waudhibiti mji wa Goma na kuwakamata mamluki wa Jeshi la Congo na wanajeshi wa FARDC .
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Baada ya ku chukuwa mji wa Goma ambao ni mji mkuu wa Kivu kaskazini, waasi wa M23 wameanza msako wa wanajeshi wa serikali na wote walio kuwa wakishirikiana nao hasa wanajeshi kutoka Burundi na mamluki kutoka Ufarsa na Rumani .
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika RUclips: / @voaswahili Развлечения
Aaaaaah, nimeona tu KISWAHILI nikaamua kuwafuata maana nitaelewa kirahisi, ahsanteni sana, mmeshtuka mapema sana, kiswahili kitakuja kutumiwa sana Afrika. Hongereni
Asante Baba kiswahili kimenyoka Thank you I like the you speak peace in Swahili❤❤❤Amani Congo
I love one guy mwenye ameongea kiswahili sanifu...bila kuweka banatusumbua ,banataka na connecticio,thanks.. May peace be in congo
😂😂😂baaache baende
Jina ni Willy Ngoma
It's like this happened to DRC.this mamuluki on gorvement side they are on side of this croks ediots m 23
😂😂
Afande Willy Ngoma, well done 👏
I Love m23 Very Nice 👍👍👍👍 Fighting for your rights hii upuzi ya France kucontrol Africa ikome
You think M23 don't have White background??
Duh! Wana roho nzuri
Eee Mungu ijalie amani Congo na Africa kwa ujumla
Kabisa mungu bariki Tanzania baliki afrika 💪💪💪🇹🇿
Everyone in DRC is fighting for minerals except M23 they're fighting for their lives
I think leaders of M23 have invested in real estate in Kenya in exchange of minerals... it's true... M23 is funded by western countries thru Rwanda
Are you crazy?? You are Congolese or rwandan?
@RiphinMolika-u3b I'm Congolese from Masisi, I know what I'm telling you! And you don't know how painful to be called munyarwanda and being descriminated because you speak kinyarwanda
😂😂 SO WHAT DO YOU WANT?@@UBUMENYINYABWOTV-1
@@RiphinMolika-u3b And am not ashamed to say that I love Kagame and Museveni coz they are only leaders who understand our painful! So we'll fight for our rights until the end of this world
Kazi nzuri kaka,Mungu akupe maisha marefu reporter wetu kutokea Kongo,huna baya
Y’all built like bodybuilders! Mad respect to M23 Rwanda. ❤❤ wr support
Think before you talk
Pole sana ndugu zangu wa goma
Wanajua kitakachowakuta wakiwaua 😂😂😂😂afrika bado sana
Ndo hapo sasa. Wa subutu wale wauwaji. Manyama
We uko imbwa sana njuu ya kuwacha wane we unanjua kua wanangoa nkitu apana we uko bupumbafu au a na akili mukicha yako nyama wew
M23 ni makomando halisi hawawezi kuuwa hovyo wanachotaka ni haki sawa kwa wacongo wote congo ya mashariki imeumizwa sana
Umo kwenye vimabag vyao ndo kuna madini ivo yanaondoka
M23 SIO WAASI MI NAWAKUBALI SANA M23 WANAPIGANIA HAKI YA NCHI YAO
Les droit de la RDC c'est d'être annexer par le Rwanda ?
Toi si tu es congolais vraiment kiadi quoi
Haki gani wewe nyama
@@gilbertesifa230
Haki yakukuwa na freedom Kwa inchi yao
Unajua mkubwa wa M23
Kama kweli wana uzuri wa kongo
Na willy ngoma ni msemaji na sio mkuu
Asante ndugu yangu 23❤❤❤
Bravo M23 ! M23 wako na haki !
Un commentaire à la con
Mungu abariki M23 tena awo ndio wazalendo wa ukweli.pigania inchi yako na wandugu zako.thisekedi mwizi enemie wa congo100%
Uko nyama kabisa. Watusi wanajionesha wazi
@gilbertesifa230 ww ni mbaho aoo?sisi wote ni nyama ndugu.wacheni chuki mupate amani
Huyu Commanda wa M23 ako sawa kabisa ana moyo wa samaha😢 M23 lindeni nchi yenu!
❤❤❤
Huyu Mwana habari namkubali sana Mungu Amlinde kwa kweli napenda unatoa habari za kueleweka❤
Alihamdurilah m23 ❤❤❤❤❤
Congz M23 liberation group professionnel, patriotisme, organiser than FARDC
Mwenyezi mungu awapiganie wandugu zangu emwola wetu tunakuomba uwapiganie wewe ndie mwenye nguvu zakutosha
❤❤ Bravo, Wiringo,nikwer
Austera malivika you are still a live? Live long sir,nimekaa sana bila kukuskia pole sana kwa kazi ngumu
From #EconomicallyGrowthMusicians Poleni sana Guys EGM Tunawapeni sana pole ningi na za dhati
M23 I think it’s for good reasons even Congoleses ppl thy are fighting with M23 that’s really for good purpose ❤
God forgive you because you don't know what you're saying
Yeah me too
Fighting for good in someone's land😭 stop that foolish
@@LastbornecadetThey are in their homeland too
@@Lastbornecadet Yes leopold's land that he stole.
Good , following from kenya.
Good but Kenya has war with somalia
Suis content pour cette situation
Mungu awape amani na utulivu mungu awakumbuke
nimefurahi sana kuona kiswahili chetu cha tanzania kimekuwa
@@MohdMkubwa-v8kkumbe hata wa Tanzania wana sapoti kagame. Hamuja mjuwa huyu muuwaji
@@gilbertesifa230 wewe mimi nazungumzia lugha wewe unasema kagame
Alyekuambia kiswahli nicha tanzania tu nan??
@titolugoe-q3z uhalisia wake unatokea wapi kwani hemu tujuze
Inauzunisha sana kbs
Pole pole dunia utajuwa ukweli,congo iko inadanganyia rwanda lakini hapa mutawona ukweli,kisekedi muizi tu, kula shilling zawanaincii😢😢😢😢😢
Kikubwa ni Amani kiralaeri Kwa kuzidikulejesha Amani ni wananchi
Safi sana this is Africa tupo strong
pole sana Malivika kumbe ungali Goma? nafurahi. M23 songeni mbele BRAVO🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uko mjinga kabisa,kweli unajuwa usemao hama
Abruti
Uko umbua kabisa,uko kuma kwa kweli una jua famille ngapi zime uwawa umbwa mwitu weye
Keba yo nyama
They are the local native people of the land,if they come back to take it, it's there right 👍 the government needs settlement with them, so all of them can enjoy the mineral s, together as one.
Coming back from where? Goma is not an empty City
Stop bing a fool.. that means they have to kill thier brothers and sisters and reps women just because they want power? Think first before you talk. And it is clear that they are being supported by Rwanda be the logistics because where are they getting guns?
Your head is not functioning, this people came from Rwanda 1994 from genocide war and they were welcomed to Congo... go and read your book well.
God bless M23
Really?
Kwanini nchi zisiungane ziwaue waasi wote ibaki amani?
Willy ngoma we love you wanyarwanda❤❤❤ song mbere musemaji🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Sinimutumishiwenyu
Nyie wanyarwanda ni washenzi mnaua wakongo ili muibe
Sasa nyie uko kwenu rwanda ardhi ni ndogo au vp ,maana hatuelewi mnataka nini ,Mungu aliumba kila watu na kwao ,mbona nyie hampendi kwenu
Wanyarwanda fikeni SUD-KIVU tuwachome na moto washenzi nyie
M23 Songa mbele
👏👏👏❤❤M23
Daah watu wanaongea kwa huruma sana Mungu aingilie kati kwa hili
I love their kiswahili ❤❤
Yani kweli waasi wanawazidi nguvu taifa la Kongo kweli Kongo hamna jeshi
Hakuna jeshi kabisa
Mbakunda mumabara yosep❤❤❤❤
❤lipota wetu huna baya
Huyu msemaji wa M23,anaonekana ni mtu hatar na siliasi Sana ukiingia kwenye 18 zake.
M23 niwakombozi sio waasi bwana. Wazungu wametuzoweya saana. 🙏🏿 m23
Kiswahili ni kicongo. Thank you very much
Mimi binafisi napenda amani, tusibaguane, tuoane,tupendane, tuheshimiane, kila mmoja aabudu anachotaka paspo kuvunja sheria,
niseme tu: nachukia sana udini,
nachukia sana ukabila
spendi vita, kwanini mnauwa watu.
acheni wafe siku wakizeeka
Karibu Kenya on peaceful land
Wacha uongo
Full of abductions?
Abductions 😂
Abductions country
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pamoja sana
Safi saana m23 NYie ndo wanaume viongozi wanakura nguvu zetu vijana wa Africa ni vire 2 nipo mbalii kumamake mkuriya mm
They are freedom fighters not rebels 😞💪💪 Africa needs better leadership
Asante M23 They did
Willy Ngoma mapinga ya solo solo😊
Bravo M23❤ les liberateurs
Wazee wa lingala poleni sana
Salute to you M23 lakini kipaumbele ni amani na usalama wa wananchi, na sisi watanzania tuendeleze amani tuinunue kwa bei yoyote .upendo, umoja na heshoma ni funguo za mafanikio
M23. Ni. Watu. Wa. Freedom. Wanapenda. Kila. Mutu. Na. Adui. Yake
May the almighty God restore peace in congo
Semaji kama semaji willy ngoma😂😂
Pole sana
me naiomba serikali yangu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania irudishe jeshi letu nyumbani maana Hilo ni jambo lakuelewana wao kwa wao
Songa mbere Wana jeshi
kwaiyo habar tunawashuru asante sana watangazaj
Amani ndo kila kitu 😢😢
I used to hate M23 but from today i repect them they are truly fighting for better life of congolese
Tu connais rien renseigner toi bien
@patrickakaolivieruts their home Kivu
Wameachia Watanzania wetu 43 hawajawadhuru imetupa hope.
Wanawaachia wanajeshi waende kwao salama wanabadili mtazamo wa wengi kua huenda madai yao ni ya msingi si kama wassi wanavyojulikana.
Hawa ni watu wanao ipambania haki yao siyo Waasi kama dunia inavo wachafua ukitaka kujua ukweli wao tafta hotuba moja aliwahi Zungumuzia Nyerere zamani kuhusu watusi wa Congo utaelewa hawa ni watu wabaya kweli au wanachafuliwa tu nawatu wabaya ili wachukiwe na kila mtu
Mambo bado 😮😮 hakuna usalama wahiyo taifa teule 😢😢
Kizazi cha nyoka hicho ndugu yangu. Wanauwa watu sana. Siyo watu hao wana pepo wa mauwaji
Mungu awafanyie wepesi ili Amani itawale muishi kwa upendo wakweri mapigano yanini😂
Mimi ni mkongomani wa sud kivu Fizi ila nachanganikiwa sana na awa watu wa goma , kuna namna isia zangu zinaniambia goma kuna damu ya kinyarwanda sana , na kama goma ndo sababu ya vita basi goma ingeenda upande wa rwanda ili congo tubaki na amani
Hukusikia M23 wanakuja Bukavu? Na Sud Kivu iende Rwanda,non?😅
Umeongea ukweli ila daw ya kukomesha ukabila ni kuoana ili damu ichanganyike hiyo ndio mwisho wa chuki
@@Joe-tr2vk ivi ushawai kusikia sehemu inayoitwa bubembe FIZI? Uliza vzr kama kunakuaga ata pua moja ya mnyarwanda kule
Monsieur hauko bien,Kati yagoma na Bukavu wanani wana changa damu kama nyinyi wahavu,wanani wanafiki kama nyinyi
@@LevyMundeke ilo swali muhulizane nyie na watu wa bukavu ,sisi kwetu fizi akuonekanagi mnyarwanda tena
Mimi natoka Kenya mko na ujinga mliipo waua vijana mungu atawalaani
Ekosila kk zoba yo m23 okosuka mabe😢😢😢😅😅😅😅
Ni ayibu sana kushika wa mamluki
Huyu msemaji wa m23 bado Ako uhai.... Waache kuhangaisha raia bana... It's wrong for an African killing an African 😢
Mambo imebadilika kaka saa hii ni lazima selikari ya Kinshasa itoke
Ushauri kama goma ndio inang'ang'aniwa inatakiwa goma iwe kambi ya jeshi la Kongo
Congo popote hela Copa kibao
Kabisa 👍@M23 piga #Muzungu sana 👍 mu
M23 you are very matured you have displayed an act of mercy to the arrested soldiers
Mungu atanikumbuka
Congo is coming to the world 🌎🌍
May God be with them
HAO WANAJESHI WAZUNGU WANAKAZI GANI HAPO KAMA MAZUZU TU ET WANALINDA AMANI ILA AFRICA WAZUNGU WALIKWISHA TUONA VIAZI KABISA HATUJIELEWI
Vive m23
Yesu awalinde
J'aime le pouvoir de Wilingoma parce qu'il nous montre le pouvoir de l'Africain
Mimi binafisi napenda amani, tusibaguane, tuoane,tupendane, tuheshimiane, kila mmoja aabudu anachotaka paspo kuvunja sheria,
niseme tu: nachukia sana udini,
nachukia sana ukabila
spendi vita, kwanini mnauwa watu.
acheni wafe siku wakizeeka
Willy ngoma kende nde aéroport ya goma tondimayo
Hao wanajeshi wa kimataifa pia waondolewe na M23, wamekuwa hapo miaka thalathini na bado hawajawai thibiti inchi ya Congo na kuleta amani inayo dhamiriwa na wa Congomani....
My Lion🦁🦁
Poleni kwa maangaiko ila mungu atawasaidia
M23❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ God is good 🙏🙌🙌🙌🙌
Dah kumbe ao romania hawakua wanajeshi kumbe ni mamluki tu yaani watu wanaokodiwa kupigana
Viongozi wanajua chanzo cha vita Congo tuambieni ukweli bana . Kama pesa ndio inafanya unauwa na kutesa haiki ya watu Mungu anakiona aki
Mjitahidi hali inazidi kuwa mbaya vijijini kwa goma Na sio mjini
Acheni uongo ndugu zangu. Wangalikuwa kwenye wa FRDC hamungewaacha hivi. Msitudanganye
Hivi hao jamaa m23 wananguvu kubwa hivyo Yani baada ya jeshi la congo kubwa mstari wa mbere kutetea wanachi wao ndio wako nyuma Sasa huyo muasi anaonyesha kuwa ni mzalendo wakuitetea nchi yake Mungu awasidie wa congo
Serekali ya kongo si waaminifu sio wakweli wanajaribu kuwa Fukuza ndugu zao kisa tama ya pesa
I love William ngoma
Love ❤
🎉😢😮😅😊
Mchezo unaochezwa ni mdogo sana aisee