sic watz 2angalie masirahi ye2 naicio macirah ya umoja wa mataifa,kwa maana umoja wa mataifa hauna uchugu na vjana we2,muwatoe amanyie hamna watoto wenu huko,ama nduguzenu Mimi inaniuma sana ujumbe wangu uwafikie watawala wa nchi
Watanzania bora tukaisaidie kongo kwa matakwa yetu ila kuisaidia kongo kwa mwavuli wa umoja mataifa tunaua watu wetu bure umoja wa mataifa ni wahuni kama wahuni wengine
Inatakiwa jumuiya ya afrca ikae vikao tujue nchi gani inosababisha vita ikijulikana basi kiongozi wa maasi wakamatwe kwa ushirikiano wa jumuiya ya madola
Kikubwa UN fikirieni namna ya kumaliza hiivita Nasyo kufikiri mafao yawalio fariki, Rengo siyo mafao rengo ilikuwa kutafta Aman ya jiranizetu Congo. RIP mashujaawetu.
Poleni nguzetu wa Tanzania ulimwengu ujifundishe vita hiyo sababu nini wauaji jee hatua gani un imechukua kwanini isichukuliwe hatua kali ulimwengu ushindwe na vikundi aibu
Oh pole sana kwa familia ya wanajeshi na nchii yetu kwa ujumla. Ombi language naomba wanajeshi wetu waru Umoja wa mataifa wanaagenda yao ya siri. KAbila na marehemu baba take hakubalikii tuwache wa Congo uuiwaamwuwe mstakabali was nchi yao
Mungu wasamee makamanda wetu
Sote wa mungu na kwake tutarejea
sic watz 2angalie masirahi ye2 naicio macirah ya umoja wa mataifa,kwa maana umoja wa mataifa hauna uchugu na vjana we2,muwatoe amanyie hamna watoto wenu huko,ama nduguzenu Mimi inaniuma sana ujumbe wangu uwafikie watawala wa nchi
Mungu uwapokee hao wapambanbanaji wetu wakae kwa aman kwan tuliwapenda xana ila ww umewapenda xaid
Watanzania bora tukaisaidie kongo kwa matakwa yetu ila kuisaidia kongo kwa mwavuli wa umoja mataifa tunaua watu wetu bure umoja wa mataifa ni wahuni kama wahuni wengine
Amani hailetwi na wageni Amani italetwa na wenyewe wa Congo siku watasmua kuleta Amani basi Amani itapatikana
Inatakiwa jumuiya ya afrca ikae vikao tujue nchi gani inosababisha vita ikijulikana basi kiongozi wa maasi wakamatwe kwa ushirikiano wa jumuiya ya madola
Men down,. Hiyo ni matokeo ya kazi za kijeshi RIP soldiers,. Hatutasimama hata iweje kikubwa amani irejee DRC.
Hiyo ni wrong M23 tumesimama imara
pumuzikeni kwa amani mashujaa wetu
Kikubwa UN fikirieni namna ya kumaliza hiivita Nasyo kufikiri mafao yawalio fariki,
Rengo siyo mafao rengo ilikuwa kutafta Aman ya jiranizetu Congo.
RIP mashujaawetu.
poleni sana
Wanatoka zazibary wote kumi yarabii salama
Poleni nguzetu wa
Tanzania ulimwengu ujifundishe vita hiyo sababu nini wauaji jee hatua gani un imechukua kwanini isichukuliwe hatua kali ulimwengu ushindwe na vikundi aibu
Mbele nina endelea ninazidi kutembea maombi uuu yasikieee eeebwana uuu nipandishee
Eebwana uuu niiinueee kwaimaniiii nisimamee nipande milima yote eebwana uu nipendishe
mungu awape pumziko la milele na tutawakumbuka cku zote
Umuwape fidia
Innalilah wainnailah rajiuun !!
Kiukweli tukio hili nikubwa sana kwetu ila limetufanya watanzania msaada wetu utambulike kidunia
tupo pamoja
tupo pamoja walale salama mashujaa wetu
Aceni wacongo mani. wajuwane. Bila ivo awo maskar. wenu wata kwisha. mwisho. namwe mutaingiliwa. poleni. wafiwa
Rip
kiukweli ifanyike haraka kwasababu askari wetu wanapoteza uhai hivo inauma sana jamani--!
Essa Chalamila asante sana twatumai watakamilisha mapema na tutawajulisha. Asante sana.
mungu alaze roho za marehemu mahali pema mbinguni
Essa Chalamila
Oh pole sana kwa familia ya wanajeshi na nchii yetu kwa ujumla. Ombi language naomba wanajeshi wetu waru Umoja wa mataifa wanaagenda yao ya siri. KAbila na marehemu baba take hakubalikii tuwache wa Congo uuiwaamwuwe mstakabali was nchi yao
Hao niwakongo wenyew
Pumzikeni kwa amani milele
sikiliza unalindaje mtu ambaye hupigani nae?
jamni tukiwa kwenye ulinzi pia tuwe makini wakati wote bila kujisahau na kuto mwanya kwa adui.
fresh
powa powa
jaman
pumzikeni kwa amani mashujaa wetu
aiseee inaumiza sana heeeeeee jamani
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
wewe wacha maneno mengi wale wa asi hawa silaha kikubwa kushinda ya majeshi la tz ni vile hawa majeshi ni waoga
safi
Hasara hasara napenda kusema kwambaa kwann kambi ya tz,,,, serikali Yanguu hapa tumetafunwaaa wala isiletwe siasaaa
kwa nini wanajeshi wetu, wanakufa kila Siku? kama wanaenda kulinda amani wao wanajilindaje? hawana silaha kubwa, inakuwaje wanavamiwa kama kondoo?
Je wangelishambuliwa wengine ungeliulizaje?
Au ukitaka washambulie kambi zote kama wengeweza
polen
wapumzike kwa aman
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun
🤣🤣
😱😱😱
Mungu awapumzishe kwa aman
mungu ailazeeahali pema miili wanajeshi wetu