Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 74

  • @oltetiangaroya8489
    @oltetiangaroya8489 Час назад +5

    Tundu Antipas mugwai Lissu tundu Antipas mugwai Lissu tundu Antipas ❤❤❤❤❤❤😊

  • @HalilifabianNdetemi
    @HalilifabianNdetemi 2 часа назад +8

    Big brain be blessed brother

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 часа назад +8

    Wajumbe huku chini tunaitaji heche na lissu Siyo mbowe ,miaka 21 aliyoongoza chama inatosha apiche na wengine waongoze chama.

  • @barakaabdallah3579
    @barakaabdallah3579 Час назад +5

    Mnyama lissu

  • @MeddySekija
    @MeddySekija 24 минуты назад

    Ni yeye ❤❤❤

  • @SugwaKelukilwa
    @SugwaKelukilwa Час назад +5

    Kama kiongozi wote watakuwa kama lisu nchi hii itakuwa paradiso

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya Час назад

      hakika

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 Час назад

      Lisu Kwa utashi na msimamo pamoja na maono like magufuri,tofauti ya magu na lissu ni Moja tu ,lissu ni mpenda demkrasia na magufuri hakuwa muumini

  • @selemanimaliga9208
    @selemanimaliga9208 6 минут назад

    ❤❤❤❤❤sana pamoja

  • @KalengaKassim
    @KalengaKassim 2 часа назад +4

    Lisu ndio mpinzani wa kweri tanzania wengine wote ni machwa wakubwa

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 27 минут назад

    ✌️✌️✌️✌️🎉🎉

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 3 часа назад +4

    SAHIHI KABISA ASEMAYO LISSU.

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 2 часа назад +2

    Upo sawa mh. Lissu

  • @pditanzania7764
    @pditanzania7764 Час назад +2

    Viva Africa

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya 14 минут назад +1

    Debe tupu halikosi kuvuma,kibaya chajitangaza kizuri chajiuza.Mbowe hapigi kelele kanyamaza kimya Anasubiri MATOKEO.

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD Час назад +2

    Tundu anti path lisu mughwai kigogo wa upinzani tanzaniaaa😂😂 lisu foreva

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 38 минут назад

    Lisuuuuu 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l 2 часа назад +3

    Great answer vice charman tundulisu adress why tundulisu want fighiting for top posion of freeman mbowe as the tanzania strong hold opposion chadema tundulisu adrss reson going to election with his nationol charman freeman mbowe tundulisu want to corect what wekness wich freeman mbowe has been into that posion over 21,years

  • @silverytesha6788
    @silverytesha6788 Час назад +3

    Hakuna kuhama

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 46 минут назад

      Neno hili latufurahisha sana waamini, nalo ni hili
      "Hakuna neno lolote alisemalo mtu likatimilika kama Mungu hajaliamuru"
      Team mbowe mnajiamini saana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 часа назад +2

    👊✌️✌️

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 46 минут назад

    NI YEYEEEEEEEE ✌️✌️✌️

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 2 часа назад +2

    Yaani mwandishi safari yote hiyo mpaka kumfuata nyumbani, halafu maswali ni yale yale ambayo keshahojiwa mara kibao😢😢

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Час назад

      Ndio ivo ww hayo mapya yaulize kwenye comments huwa wanasoma komment kujua maswali ya wananchi wanaweza kuuliza ten kwenye interview nyingine

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Час назад

      ​@@jeunajuatv817kasome maswali na majibu ya Bunge asilimia zaidi 90% maswali ya Wambunge yaliwahi kuulizwa. Hata kesi mahakamani na hukumu ni hizo hizo.Hukumu hurejea kesi zilizopita

  • @godelivekaluta1507
    @godelivekaluta1507 42 минуты назад

    kiukweli ata Congo tuna fatilia kapeni yenu

  • @BensonMpete
    @BensonMpete 12 минут назад

    Hata sura yake lisu imepewa nuru

  • @GEOFREYRALIKAinaumizasana
    @GEOFREYRALIKAinaumizasana Час назад +1

    Unasikiliza hoja unaangalia mjusi usipotezee acha tumusikilize mwenyekiti sisi wewe endelea kuangalia mjusiii

  • @IbrahimJumanne-d5l
    @IbrahimJumanne-d5l Час назад

    😊😊

  • @CassySalum
    @CassySalum Час назад +1

    huyu ni muhimili wa chadema. mbow Hana jipya katika siasa za tanzania. lissu tuko pamoja.

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 Час назад

      Wabongo mnajielewaga basi? Mlimshabikia Mbowe awali,leo mmebadilika,hata akiingia huyu miaka itaenda mtakuja kusema ten Lisu hana maana,wabongo mkipimwa vizuri vichwa lazima viwe na shida

  • @deniswilson7500
    @deniswilson7500 Час назад +3

    Eeh mungu hizi akili ulizompa huy jamaa ungenipa na mimi

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 Час назад

    Lissu is a bongo Tinga

  • @songombingo108
    @songombingo108 59 минут назад

    DW mmeonekana kukatakata baadhi ya maneno anayoongea Lissu. 😂😂

  • @MaryJohn-k8f
    @MaryJohn-k8f 14 минут назад

    mmh hilo tumbo au nn

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 Час назад

    Tuhuma za rushwa akaeleze mbele ya kamati kuu.

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya Час назад

    Huyu mtu Taifa inabidi limtunze na limuwezeshe ili tuweze kuvuna madini yake mazito kichwani. Huyu ni mzalendo siyo adui

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Час назад

    ALIYEKUPIGANIA WAKATI ULE BADO ANAKUPIGANIA HATA LEO.USISAHAU KUOMBA

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d Час назад +1

    Mwamba ni risu

  • @OlopiroMollel-p3e
    @OlopiroMollel-p3e Час назад +3

    Pambana mwamba ❤

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 Час назад +1

    Hii kichwa ni 4x4

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 Час назад

    Lisu ukipewa kiti chadema utakiuwa chama maana una mboyoyo mingi na wenzako na umbeya mwingi wa kuchafua chama

  • @arbogastemiykimario2721
    @arbogastemiykimario2721 Час назад

    Labda ubadilike wengine ni wapinzani uchwara wewe 😂😂bravo

  • @JenifaMwasenga
    @JenifaMwasenga Час назад

    Tunakuamini kamanda

  • @aabedi541
    @aabedi541 2 часа назад

    Chadema vipande viwili

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 Час назад

    😅😅😅😅

  • @EnockNoah-o6p
    @EnockNoah-o6p Час назад +1

    Nani ameona mjusi pale nyuma? 😂

  • @MathewTemba
    @MathewTemba Час назад

    Lisu wana kaskazini tuko na wewe usanii wa Mrema tuliuona tusirudie makosa hakuna maridhiano
    Uchakuzi serekali za mitaa umetufundisha mawakala tumewalipa wenyewe ruzuku anayo mbowe

  • @ExodusMarcStanley
    @ExodusMarcStanley Час назад +1

    Chadema ni kubwa zaidi ya CCM yani hakuna anayefuatilia uchaguzi wa fisiem kila kitu ni Chadema tu

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 Час назад

    Atutak wahun ss tunawapigakwemye sanduku zitto kabwe anawasubil uko

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 часа назад +3

    Papet la wazungu linahojiwa na Papet mwenzie la dw 😭

    • @HalilifabianNdetemi
      @HalilifabianNdetemi 2 часа назад

      Usiwe mzembe ivo kufikiri unataka aseme nini muwekee Maneno mdomon sasa

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 2 часа назад +1

      Mmeumia na mtazidi kuumia. Toa donge lako shingoni upate amani. Mwenye hasira ajinyonge. Peace Lisu Oeee.

    • @johnmshuta5133
      @johnmshuta5133 2 часа назад

      Uwezo Wako Wa kufikilia upo chini sana

    • @louiskayange-kz7ec
      @louiskayange-kz7ec 2 часа назад

      Mashavu yako

    • @godfreymushi6966
      @godfreymushi6966 2 часа назад +1

      Rudi shule eti papet😅😅😅😅😅😅