Mimi namwomba Mungu ule muujiza aliouanzisha kwako aukamilishe kwa kuwa kiongozi wa nchi hii, makusudi ya Mungu yatimie ila si kama tutakavyo sisi bali atakavyo yeye. ❤❤❤❤❤❤
Sina cha kusema lakin niseme tuuu Mungu akupe maisha marefu sana una kitu kikubwa. Ila ukweli wew ni mpango wa Mungu vinginevyo ungefariki kwa risasi za wahaini . Jua unalitumikia kisidi la Mungu maan nje ya apo tungelikuwa na Kaburi tuuu
Ukianza mambo ya kukumbukana kwa kufanyiwa mazuri mtajikuta mnakuwa kama maccm. DR SLAA HAKUFANYA MAZURI ILI AJE AKUMBUKWE. AMEFANYA MAZURI KAMA RAIA MWEMA.
Asante sana TUNDU LISU kwa kaz nzur ya harakati zako matokeo tunayaona na tunataman uwe Rais wa Nchi hii hakika wew ni hazna ya nchi hii kiukwel ni watu wachache hapa Dunian wenye uwezo wa kupenda Haki kama wew Mwisho wa yote tunakutakia kaz njema na Mungu akubarik
Muheshimiwa Lisu...mkuu hivi unajuwa kwamba Kuna watu wanakuchukia kama baadhi yao hawa wanaokoment...lakini ukweli utabaki kuwa kweli msema kweli na muwazi huwa hapendwi...Mzee wanaokuchukia wote hatuwaraumu ni wachawi fact nikimaanisha wanga wanaochana viambaza kuwaingilia watu majumbani mwao....
Hili jambo la uchawa umegonga point yenyewe kwel! Big up sana tunaiman na wewe lakin ACHA kuzungumza madhaif ya Mstaaf Kwan umeshapata ulichokuwa unakitaka amefanya Kaz kubwa kukifikisha chama hapo msimvunje moyo bado anamsaada mkubwa kwenye chama na nchi yake
kwanza kuhakikisha hadi october, Kula za tume ya taifa ziehasbiwe live vituo vyote na mwisho kuunganisha kama nchi za wenzetu zilizoendelea Pili... Tumsuport kwa kampeni nchi nzima Kwa Pesa (MONEY) sisi ndio pesa yake na nguvu yake 🎉🎉🎉 Unauwezo bro,,, makosa madogo madogo yanavumilika, ni kawaida ya sisi wanadamu,, hatujakamilika
Nafikiri yuko vzr anawatoa na kuwafundisha waache uchawa na madhara yake na kuwa jasiri ktk kile unaamini, naona yuko sahihi japo yanaumiza kwa wasiopenda kuyasikia maukweli
Mzee Lisuuuuuuu au unaitwa shida ....kama ulivyoitwa na taison .....alivyosema watani wake wa singida walewaletea shida.....siku zote muheshimiwa ukitaka uonekane mbaya Sema kweli au dai chako ...uone ....hii ndio Dunia.....Mungu aendelee kukupigania sn Mr Lisuuuuuuu....
Muheshimiwa ongeza ulinzi sana mkali mana maharamia hawatakagi Kuona mtu mzuri anaishi.wasije kukuoa sumu tukukuse.chakula na maiki zikaguliwe sana na gari unalotumia na Kila kitu
Elewa maelezo ashasema yeye ni binadam anamadhaifu so ukisema anafufua makaburi yaan unatafuta kasoro ambazo hata hotuba ya kiongozi gani hapa duniani lazima uone kasoro, na saa nyingine anajaribu kuongea jambo ili ajenge hoja au atolee maelezo juu ya hoja yake aloijenga
@@richardnganya2311yapo wewe kwa sababu, una mahaba naye unaona kila asemacho ni sahihi hata kama anafukua makaburi?! , mukiendelea hivi kuzodoa wengine hakika mtameguka halafu mkaanza kutafuta mbaya!
Lisu kwer maneno yako yananyooka hujawahi pinda au ukaongea kwaajili yakumfrahisha mtu nkukubar sana mungu akurinde sama kwenye utumishi wako wa umwenyekiti wachama chetu pendwa
Nakuona Mh. Lissu ukiwa kiongozi wa kuigwa duniani katika utumishi wako Mwenyezi Mungu aliokuumbia. Kupona risasi 38 ni mazungumzo ya Mungu kwa Watanzania kuwa Lissu ni mpango wa Mungu.
Watu wa tofauti na wenye iq kubwa kama hawa hutokea baada ya nusu karne hadi karne moja kwa sasa taifa linamuhtaji huyu jamaa,tukiacha mambo ya uchama na kuangalia zaidi kalama za uongoz huyu jamaa ni mzuri
Ili wananchi wazalendo wakipata History sawa sawa watakuwa wametupta km chama chetu chadema kwanini inataka serikali tatu(3).hii nchi tuingia ikulu bila kumwaga Damu, wizi wakurra tumeisha onyeshesha Morrabwaini kwenye chaguzi letu, na Hii system inatakiwa kujengewa hoja ambayo itafanya kuenea kwenye vyama vyote km ukoma umepata dawa ,
Lisu hana siasa za kuvumiliana. Uongozi hauko hivyo. Jifunze kwa mtangulizi wako, your too imotional, Hawa wanaokuunga mkono Leo watakukimbia kesho.umeanza kula Bata. Do!
Ningependa vyama vya siasa vifahamu mahitaji ya wananchi -Wananchi wanahitaji Afya,,Furaha unavyosikia watu wanasexna masha magumu,wananchi wasaidiwe namna gani watafikia matumaini yao ya furaha?
Mtu mjnga mjnga ndio anapenda sifa utakuta mtu umempa rift njia nzma nkukusifia tu mbaka anakuharibia mipango ulokua unapanga kichwan Kwa makelele ya sifa za kjnga akdhan umempa rift ili usifiwe wakat umeamua kumsaidia kesho ukmkaushia ataona unadharau asijue mtu mwenye akil timam hatak sifa anapenda midahalo yenye mashiko
Hahaha AA jidai ni wakati wako. Ukifanya vizuri tutakupongeza. Uwe Taa juu ya mlima mrefu kumlika ndani ya mipaka na nje ya mipaka. Itawale hasira Yako, Hekima uishi nayo.
Namuomba mungu siku moja Tundu lissu awe rais nyote sema Amen
Amen 🎉🎉🎉🎉
Amen
Amen
amen to that
Amen
Mimi namwomba Mungu ule muujiza aliouanzisha kwako aukamilishe kwa kuwa kiongozi wa nchi hii, makusudi ya Mungu yatimie ila si kama tutakavyo sisi bali atakavyo yeye. ❤❤❤❤❤❤
Amina.
Amina
Amina
Amina
safi sana mwekiti, uwakatae machawa wasije wakakupa utukufu wa Mungu
Akili kubwa sana mhe. Lisu✌️
Sina cha kusema lakin niseme tuuu Mungu akupe maisha marefu sana una kitu kikubwa. Ila ukweli wew ni mpango wa Mungu vinginevyo ungefariki kwa risasi za wahaini .
Jua unalitumikia kisidi la Mungu maan nje ya apo tungelikuwa na Kaburi tuuu
Lisu hapendi kutukuzwa kbs🙏🙏🙏🙏
Very important person mh lissu maua yako❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera ongoza chama vyema tuna Iman nawewe
Hongera mr Kiongozi be Blessed tahadhari ni muhimu sana
Mungu hamtupi mja wake❤
Huyu jamaa fact sana 😂😂
Tukipata viongozi kama huyu Nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 itapona na maumivu yaliyopo sasahiv 👏👏👏👏
Mwanzo mzuri
Very smart man
What a speech,akili kubwa sana
I'proud of you ❤❤❤
Asante MUNGU akubariki sana na akupe maisha marefu na ufanikiwe ktk malengo yako
kuna kiongozi aliitwa Mungu mbele ya hadhara na wala hakumkemea chawa wake
Big up sana chairman wa chama kubwa
Usimsahau Dr Silaa, Mzee alikuwa busy sana kukufanyia mikakati, tunataka kukuona ukienda msalimia
Ukianza mambo ya kukumbukana kwa kufanyiwa mazuri mtajikuta mnakuwa kama maccm. DR SLAA HAKUFANYA MAZURI ILI AJE AKUMBUKWE. AMEFANYA MAZURI KAMA RAIA MWEMA.
Slaa ! Mzee tamaa sana yule, tujiulize ilikuwaje alienda CCM na leo Tena, hatumwelewi 🤔
Asante sana TUNDU LISU kwa kaz nzur ya harakati zako matokeo tunayaona na tunataman uwe Rais wa Nchi hii hakika wew ni hazna ya nchi hii kiukwel ni watu wachache hapa Dunian wenye uwezo wa kupenda Haki kama wew Mwisho wa yote tunakutakia kaz njema na Mungu akubarik
Tumwombee sana M/kiti wetu hakika
ulinzi unapaswa kuongenzwa kwake pamboja na maombi kumuombea kwamungu ampe ulinzi wake naamuepushe kwakila baya mungu amshushie maraika wake wamlinde nshaallah🤲🤲🤲🤲
Very good mh.lisu
Kila kheri baba yetu uncle❤❤❤❤❤
Huyu mtu ana misimamo sana na busara zake wanyooshe sana Tundu wee kiongozi.❤
Tuna mpenda lisu hapotu Mungu akulinde
Kwakweli Dada
Ni kweli kabisaaaa,utukufu ni wa MUNGU peke yake.
Lissu kichwa hicho hakika wanachama lissu amekataa utukufu wa Mungu jamani utukufu apewe Mungu kwa kuwachaguliwa mwenyewe kiti mwengine
Safi Sana, kwepa kulewa sifa!
Hongera sana. Mungu abariki timu yako ituletee atapatap 12:38p
Mungu mbariki LISU mungu ibariki CHADEMA mungu ibariki TANZANIA
Daaah hakika nimejua mengi😮😮😮😮😮😮😮
Safi sana lissu
Daaaaaa,huyu jamaa mwamba kweli
Usimpe jina la mwenyekiti wetu! Mpeni lake
Wabongo tuko kama misukule sasa hapo sifa ni ya nini?
Muheshimiwa Lisu...mkuu hivi unajuwa kwamba Kuna watu wanakuchukia kama baadhi yao hawa wanaokoment...lakini ukweli utabaki kuwa kweli msema kweli na muwazi huwa hapendwi...Mzee wanaokuchukia wote hatuwaraumu ni wachawi fact nikimaanisha wanga wanaochana viambaza kuwaingilia watu majumbani mwao....
Mr Lisu akikupenda Mungu inatosha kabisa na sio mwanadamu aliyeletwa duniani kama wewe....
Nakukubali!
Congratulations MR.Lissu (Tanzanian Trump)......Make Chadema great again.
😂😂😂😂😂😂😂😂dah kweli sisi wanyaturu hatuna vinyongo😂
Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa nchi ya Tanzania kwasababu nimpenda haki na mzarendo wa kweli
Sema kwa sauti anafaa sana
Safi sana, tundu lisu oyeeeeeeee,
Lisu mwamba na ndio ivo tegemeo la wa🇹🇿✌️❤️💪💪💪💪💪💪💪💪💪🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🙏🙏🙏
Safi sana
Ni kweli mkuu maana ww ni mtumwa wa wananchi
Chama Kimeshinda
Daaa... Huyu mtu mbona sio wa kawaida watanzania tumuenzi...hakuna mwingine inchi hii wa kufanana naye ..amekataa utukufu...
Tumuombee Kwa mungu
Hili jambo la uchawa umegonga point yenyewe kwel! Big up sana tunaiman na wewe lakin ACHA kuzungumza madhaif ya Mstaaf Kwan umeshapata ulichokuwa unakitaka amefanya Kaz kubwa kukifikisha chama hapo msimvunje moyo bado anamsaada mkubwa kwenye chama na nchi yake
Angesema pia Mulizeni Jobu Ndugai,nakilichomkuta
Kweli chadema imepata Jembe
Akili nyingi mkuu,pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
The best ambaye atawasahihisha CCM wameshatoka kwenye mstari muda na hata hawajui kama walishapotea! All the time ni kusifia tuuuu!
kwanza kuhakikisha hadi october,
Kula za tume ya taifa ziehasbiwe live vituo vyote na mwisho kuunganisha kama nchi za wenzetu zilizoendelea
Pili... Tumsuport kwa kampeni nchi nzima
Kwa Pesa (MONEY) sisi ndio pesa yake na nguvu yake
🎉🎉🎉 Unauwezo bro,,, makosa madogo madogo yanavumilika, ni kawaida ya sisi wanadamu,, hatujakamilika
Allah akuongoze na akuepushe na makosa
Namuona twaha mwaipaya anafurahi maisha tu
Nimemwona pia
Nafikiri yuko vzr anawatoa na kuwafundisha waache uchawa na madhara yake na kuwa jasiri ktk kile unaamini, naona yuko sahihi japo yanaumiza kwa wasiopenda kuyasikia maukweli
Asante
🎉🎉🎉
Mzee Lisuuuuuuu au unaitwa shida ....kama ulivyoitwa na taison .....alivyosema watani wake wa singida walewaletea shida.....siku zote muheshimiwa ukitaka uonekane mbaya Sema kweli au dai chako ...uone ....hii ndio Dunia.....Mungu aendelee kukupigania sn Mr Lisuuuuuuu....
Muheshimiwa unaongea ukweli .mungu akupe afya njema sana
Nina hakika kwaLisu chama kitakufa sio rahisi watu wanavyofikiri, Mbowe was a perfect leader. Lisu ni mwanaharakati.
Muheshimiwa ongeza ulinzi sana mkali mana maharamia hawatakagi Kuona mtu mzuri anaishi.wasije kukuoa sumu tukukuse.chakula na maiki zikaguliwe sana na gari unalotumia na Kila kitu
Watu wameenda kuchagua na wanasema kua ni mpango WA Mungu. Mungu hapangi
Kikubwa Pia kuwa na hofu ya MUNGU na kujitahidi kutenda haki, usawa, kuwaunganisha waliokata tamaa na kujenga umoja wa chama
Hapo sawa. Kuna Kiongozi gani wa CCM anaweza kukataa uchawa waziwazi namna hii?
Uchawa ni UZUZU, UJINGA, UTAAHIRA.
Wassira 😂😂😂
Uraisi ni Lazima ameshashinda kabla ya uchaguzi
Elewa maelezo ashasema yeye ni binadam anamadhaifu so ukisema anafufua makaburi yaan unatafuta kasoro ambazo hata hotuba ya kiongozi gani hapa duniani lazima uone kasoro, na saa nyingine anajaribu kuongea jambo ili ajenge hoja au atolee maelezo juu ya hoja yake aloijenga
Kumbe Lissu nae anapenda Bata safi sana siokusimamia Sheria tu maneno ya kijiweni nayo mazuri nami sio Chawa wa Lissu
Waambie hao Mbogamboga😂😂
Namna kubwa ya kuharibu viongozi ni kuwavimbisha vichwa✔️ Lisu ni aina ya JPM sema walipishana kwenye siasa tu mmoja hakuwa mvumilivu
Tundulisu huwezi ukamfananisha na huyo fara
@ZakayoYohana Hizo ni chuki za kishamba
Uko sahihi bro tofauti yao imani katika democracy
Kweii mungu ni kilakitu
MH, MIMI NAKUSHAULI HAYO MLUMBANO YENU YA ZAMANI.L MGEYAACHA UKATOA DIRA YA TAIFA.
Umemsikiliza au maana hapo sioni kama anamalumbano na mtu
Umetoa wapi malumbano ?
@@richardnganya2311yapo wewe kwa sababu, una mahaba naye unaona kila asemacho ni sahihi hata kama anafukua makaburi?! , mukiendelea hivi kuzodoa wengine hakika mtameguka halafu mkaanza kutafuta mbaya!
Hapana,tundu lissu ya nyuma yameisha twende mbele mr chair.. tuwasamehe wote
Lisu kwer maneno yako yananyooka hujawahi pinda au ukaongea kwaajili yakumfrahisha mtu nkukubar sana mungu akurinde sama kwenye utumishi wako wa umwenyekiti wachama chetu pendwa
P1 Sana tundu haya makavu live yasafika sehemu yake endelea kazi mzuri ndio mana tumekuteua
Tundu ni JPM wa pili , walitofautia siasa tu hawa....safi sana kanyooka
Huyu mtu ni WA aina yake hapendi sifa kama amekosea anataka aambiwe hapo umekosea
⭐⭐⭐YAANI KAMA UTAPITA BILA KUWEKA COMMENT NJEMA KWA MH. LISU UTAKUWA HUJAMTENDEA HAKI.
MH. LISU MUNGU AKUWEKE SANA NA AKUFIKISHE VIWANGO VYA JUU⭐⭐⭐
Nakuona Mh. Lissu ukiwa kiongozi wa kuigwa duniani katika utumishi wako Mwenyezi Mungu aliokuumbia. Kupona risasi 38 ni mazungumzo ya Mungu kwa Watanzania kuwa Lissu ni mpango wa Mungu.
Watu wa tofauti na wenye iq kubwa kama hawa hutokea baada ya nusu karne hadi karne moja kwa sasa taifa linamuhtaji huyu jamaa,tukiacha mambo ya uchama na kuangalia zaidi kalama za uongoz huyu jamaa ni mzuri
Ili wananchi wazalendo wakipata History sawa sawa watakuwa wametupta km chama chetu chadema kwanini inataka serikali tatu(3).hii nchi tuingia ikulu bila kumwaga Damu, wizi wakurra tumeisha onyeshesha Morrabwaini kwenye chaguzi letu, na Hii system inatakiwa kujengewa hoja ambayo itafanya kuenea kwenye vyama vyote km ukoma umepata dawa ,
😅😅😅😅😅😅😅CHAWA
"LISU NI MPANGO WA MUNGU",la sivyo usingepona hizo risasi.
Ahhhhh 😂😂
Hatuchoki kukusikuliza kiongozi wetu, endelea kuwapa elimu viongozi wapenda sifa kuliko kuwa watumishi bora.
Dah! Hapa kawavua nguo kabisa.
Lisu hana siasa za kuvumiliana. Uongozi hauko hivyo. Jifunze kwa mtangulizi wako, your too imotional, Hawa wanaokuunga mkono Leo watakukimbia kesho.umeanza kula Bata. Do!
Ningependa vyama vya siasa vifahamu mahitaji ya wananchi -Wananchi wanahitaji Afya,,Furaha unavyosikia watu wanasexna masha magumu,wananchi wasaidiwe namna gani watafikia matumaini yao ya furaha?
Huyu jamaa hachoshi akili ukimsikiliza hata kama huna hela
Nimekukubali maneno yako hsa uchawa.
Kichwa kubwa😂😂😂
Nini kinapinga Lisu kuwa Rais wa awamu ya 6
I THINK TANZANIA TUKIAMUA, KUFANYA MANADILIKO TUNAWEZA
Mh lisu unashawishi sana Kwa misimamo yako na aina ya uongozi wako watu walikata tamaa kupiga kura Tena kwajiri yako tutapga kura.
Et “Au sio”😂😂😂😂 Ila Lissu 😂
Mbona umesema hutaki kuongea mambo ya Chama unataka muhappy 😂
Lissu ni mtu makini sana. Chadema inapaswa kurudi pamoja kwa umoja.
Sahihi
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU..ANACHOKISEMA KINAELEWEKA SANA
❤❤❤
hallow😂😂😂❤
Mungu wetu saidia lisu aende ikulu tu nataka Mabadiliko
We are keeping faith and trusting in the Lord ❤❤❤
Mtu mjnga mjnga ndio anapenda sifa utakuta mtu umempa rift njia nzma nkukusifia tu mbaka anakuharibia mipango ulokua unapanga kichwan Kwa makelele ya sifa za kjnga akdhan umempa rift ili usifiwe wakat umeamua kumsaidia kesho ukmkaushia ataona unadharau asijue mtu mwenye akil timam hatak sifa anapenda midahalo yenye mashiko
Hahaha AA jidai ni wakati wako. Ukifanya vizuri tutakupongeza. Uwe Taa juu ya mlima mrefu kumlika ndani ya mipaka na nje ya mipaka. Itawale hasira Yako, Hekima uishi nayo.
Sifa zitamponza, lisu jifunze kuwa mstaarabu Kama Mbowe. Una siasa za hasira na utoto mwingi.
❤
Lissu unapoteza muda kwa kurejelea maneno sana. Sema mara moja endelea. Chunga muda na wafuasi wako watakuelewa tu.