Mbunge wa sasa wa Ukonga Dar es salaam sijui km anasikiliza hotuba hii ya mh. J. Heche kuhusu wajibu wa mbunge na uhalali wa posho anazozipata ! People's POWER
Akili kubwa inaongea muda huu tumsikilize kwa makini Mh. John Heche. Unaaminika na wa-tz km mtu wao ; kamanda wao lkn km Kiongozi wao makini. Tambua wewe Mh. J. Heche ; Mh. Godbless Lema na Mh. Tundu A Lissu ni VIONGOZI makini ktk majira haya nasi wa-tz wa kawaida tunawajua kwa msimamo wenu na umakini wenu ktk kusimamia rasilimali za TAIFA hili na kuona maisha yetu yanabadilika. Msituangushe CHADEMA ikafia mikononi mwa walafi wa pesa chafu. People's POWER
Siasa inafurahisha a little bit Kwa sababu hakuna kiongozi amekuwepo madakani Kwa ajili ya wananchi wote wanakwenda kupambania matumbo yao tu Leo tunaona chama kikuu matapeli trust me kesho tukiwapa chama Cha maandamano nao watakuwa wale wale tu hamna kazi hapo work done=0
Nyie chadema kweli ni manyumbu mtake mistake mw ni mbowe tu .wenye maono ya mbali Watson's LISU NI MAMLUKI NA ANA URAIA WA NCHI MBILI .HAFAI KUWA KIONGOZIWA HATA UBALOZI
Hongera sn Mh. John Heche kwa hotuba makini na fupi kwa wajumbe wa mkutano wa uchaguzi. People's POWER. Mh. John Heche Kiongozi wa mioyo yetu tumekusikiliza na kukuelewa wewe ni kiongozi makini na tegemeo kwa Wa-tz. MUNGU AKUBALIKI NA KUKUSHINDIA KTK SAFARI YAKO ULIYOIANZISHA SISI W/CHAMA NA WA-TZ WAPENZI WA MAGEUZI TUPO PAMOJA NAWE
Namkubaki sana John kwa ujasiri wake katika kutetea haki na ukweli bila kujali serikali au watawala ❤🎉🎉
Mh. TAL havui CHADEMA Nguzo anavua Wala RUSHWA Nguo...
People's POWER
Heche nimefurahi sana kujitokeza kwako hii imekaa vzr sana
Majibu makini kutoka ktk maswali makini.....
Mh. John Heche kichwa Chako Kiko vizuri sana.
MUNGU akulinde usaidiwe TAIFA hili.
❤️💐💐💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🙏
Raisi Kijana mwenye akili ajaye Record inaenda kuvunjwa🔥🔥
Combination ya lissu na henche duuh watu watalala na viatu kudadek 😅😅
Ndio maana wanataka Mbowe aendelendee uenyekiti😂
hii combination ni balaa..na watafanikiwa inshaaalah
Hii ndiyo maana ya democracy viva chadema 🎉🎉
Muda utaongea
Nahamia Chadema kuanzia xx!!
Mbunge wa sasa wa Ukonga Dar es salaam sijui km anasikiliza hotuba hii ya mh. J. Heche kuhusu wajibu wa mbunge na uhalali wa posho anazozipata !
People's POWER
Mbunge wetu yupo kulinda CCM na CCM itamlinda sio Kwa ajili ya wananchi
Mungu akubariki Sana Mheshimiwa John Heche.
Lisu ndio mpango mzima ❤❤
John heche unabusara sana
Safi sana lisu oyee
Niliwambia Heche nikiongoz bora sana na
WALE WACHUNGAJI NA MAASKOFU WALIKUWA WAKIBWEKA NA HAWA JAMAA WAKO UPANDE GANI 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤩🤩
Kwa kweli Chadema chama kubwa mmnafurahisha sana mmeonyesha mfano kuwa Chadema chama kubwa kuliko chama yote tanzania
People's POWER 🔥💪🏾❤️💯💯💯%✓
Mashine kubwa inaongea hii ya Tundu A Lissu ni KIMBUNGA 👏👏👏👏🙏🇹🇿
Safi sana tunamtaka lissu alete mabadiliko katika hichi chama
Yani lissu mwenye kiti Heche makamu mkipita ndafurahi sana jamani
Chadema tuna vichwa sana.. Mungu asaidie siku moja tuwatoe mboga mboga tutafika mbali
People's POWER 💐💪🏾💪🏾🇹🇿❤️
Hakika Mh. Mbowe ametumia HEKIMA kuifikisha CHADEMA hapa ilipo KONGORE kwake ila muda majira yanabadilika ktk siasa za TAIFA letu maoni yetu Mh. Tundu A Lissu ndie anafaa ktk kuiongoza CHADEMA ktk nyakati hizi ngumu.
People's POWER.
Huyu ndo raisi wangu 2026
Uchaguzi huu utaenda kuiimarisha zaidi Chadema.
Chadema inaonyesha ukomavu wake na kuwa chama cha kuigwa mfano kwa kusimamia demokrasia ya kweli!
Mungu wa mbinguni nakushukuru kwa jibu la maombi yetu wazalendo kuanza kujibiwa hatua muhimu za awali!
Johni heche ❤❤❤ akili kubwa
Big up mr Heche
Akili kubwa inaongea muda huu tumsikilize kwa makini Mh. John Heche.
Unaaminika na wa-tz km mtu wao ; kamanda wao lkn km Kiongozi wao makini. Tambua wewe Mh. J. Heche ; Mh. Godbless Lema na Mh. Tundu A Lissu ni VIONGOZI makini ktk majira haya nasi wa-tz wa kawaida tunawajua kwa msimamo wenu na umakini wenu ktk kusimamia rasilimali za TAIFA hili na kuona maisha yetu yanabadilika.
Msituangushe CHADEMA ikafia mikononi mwa walafi wa pesa chafu.
People's POWER
Dadeki heche my broo nakuelewa sana akili kubwa
VIVA LISSU
hii sasa ndio tunayo itaka TAL &JH for change...naiona Chadema mpya yenye nguvu na msimamo thabiti
Nipo ACT kwa mkopo lakini kama Lissu na Heche watashinda uchaguzi nitakuwa Chadema rasmi
Akili nying sanaa uyu jamaaa
Hakika mbowe hana akili hata kidogo au atakuwa katumwa
Babaako ndio hana akili
@@Asajilemwanjalahata wewe huna akili
Nafurah kukuona jembe ulipotea sn kk mm binafsi nakuelewa sn
Napenda sana siasa za heche
Heche ni Mashine ya hatari
Heche nime kuelewasana
Mna jazba mtawapiga viboko wanachama wenu ikiwa mtakuwa mwenyekiti na makamu!
But this Heche is new Bulldozer
kweli aseee
Chadema kumenoga
Siasa inafurahisha a little bit Kwa sababu hakuna kiongozi amekuwepo madakani Kwa ajili ya wananchi wote wanakwenda kupambania matumbo yao tu Leo tunaona chama kikuu matapeli trust me kesho tukiwapa chama Cha maandamano nao watakuwa wale wale tu hamna kazi hapo work done=0
chadema haifai kuliongoza Taifa
Hayo no mawazo yako
Huna akili heche unamulinganisha na nani CCM
We kweli xhoga maana ukiwa xhoga lazima akri zihame
Lisu anaweza
Lissu na Heche
Hii ni team ya wanaume ni watu jasiri ukombozi kutoka gilba za SISIEM ni muda sasa huko mbele zifike mwisho
Hiii ndio hutuba
Hiii NI mbungiii, chama kikosala hongera heche
Nyie chadema kweli ni manyumbu mtake mistake mw ni mbowe tu .wenye maono ya mbali Watson's LISU NI MAMLUKI NA ANA URAIA WA NCHI MBILI .HAFAI KUWA KIONGOZIWA HATA UBALOZI
Tupo pamoja na mimi
John heche unafaa lkn shida tundu lisu analopoka mno
Ndo maana kuwa mwana ccm amesema Heche
Chadema huyu Heche atawafikisha mbali hata Mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti wenu
Lissu and heche tutafunga goli
Hongera sn Mh. John Heche kwa hotuba makini na fupi kwa wajumbe wa mkutano wa uchaguzi.
People's POWER.
Mh. John Heche Kiongozi wa mioyo yetu tumekusikiliza na kukuelewa wewe ni kiongozi makini na tegemeo kwa Wa-tz.
MUNGU AKUBALIKI NA KUKUSHINDIA KTK SAFARI YAKO ULIYOIANZISHA SISI W/CHAMA NA WA-TZ WAPENZI WA MAGEUZI TUPO PAMOJA NAWE
Kinywe kichwa chako heche Kuna kakitu kamungu ubarikiwe
Safiiiiiiiii
TUNAENDA NA LISSU
Lisdu Ndo jembe la Upinzani
Maswali yote konki sana. Sasa hii ndio political press
Heche na lissu mtapiga mdomo sana kaanzisheni chama chenu mnabwabwaja tu
Chadema bila lisu,heche lema,sugu, hamna kitu
Chama Chao ndio chadema
Chadema mwisho wenu umefika hamna safari
Haikuhusu
@@SephaniaMsigwatunaenda na wachungaji na MAASKOFU 😢😢😢😢😢😢😢
✌️✌️✌️
Wara sijazisikia kampeni za mkt mbowe ameshamuachia risu
Tunaenda na mbowe
Kk uwezo unao sana ambao hawakuelewi watakuwa wana jambo Lao
Hahahahahaaahaha mwaaaaaaaaah
Saf
Divide and rule itakutafuneni. Chadema
Who is dividing them?
Wewe wasema
Usikariri maneno ya kiingereza
Astahafiru Allah Dua inasomwa ovyo
Huyu ndo raisi wangu 2026
TUNAENDA NA LISSU