Hata Wenje amethibitisha kuwa jambo hilo lilijadiliwa Kamati na kurekodiwa.Lisu akaomba rekodi yote itolewe hadharani bila kuhaririwa ili ukweli ubainike.Bw.Ngurumo unataka kusema hayo yote hujasikia na lile alilojibu Lisu kuwa alichelewa kutangaza baada ya kuona Wajumbe wa Kamati Kuu wamekalia kimya taarifa yake juu ya jambo hilo na alifanya hivyo baada ya kufanya kukusanya ushahidi zaidi.Pia amesema mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ambaye ni marehemu alithibitisha kuwepo kwa rushwa kwenye chaguzi za Chadema. Hujajitendea haki na hujatutendea haki mwandishi wa habari nguli.
Mimi jamani Lissu ni mtu wa ajabu ananwabwaja hovyo kupita kiasi akiwasuta wenzake hasa M owe sio sawa anataka aongoze nani wakati amekiua chama je ataunganishaje tena chama hiki pendwa kwa watz? Ni sawa na mtu aliyeondoa magurudumu ya alafu apanda hilo gari eti anataka aendeshe gari bila magurudumu yaani amejenga uadui wa ajabu kwenye chama akiungana na rafiki yake msigwa na Dr silaa kwa ukweli chama kimeuawa na Lissu' niseme kweli nilikuwa nampenda kuliko watu wote wa Tanzania amenikosesha amani sana Mimi sijawahi kuiskia kampeni za kipumbavu namna hii huwezi choma nyumba yenu moto alafu msomi
Unapo msikiliza MTU usimsikilize ukiwa na upande wowote ukitoa majibu lazima yaegemee sehemu ile uliyo na mahaba NATO. HONGERA SANA NGURUMO NILIKUWA SIKUELEWI LEO NIMEANZA KUKUELEWA NA NITAKUELEWA MILELE
Huyu mchambuzi simuelewi leo. Kwani Abdul alimwambia nini Lisu analosema Lisu alimuaminije? Abdul alitaka kumsaidia Lisu kutaka fedha na gari zuri, kitu ambacho Lisu alikataa na kumwambi kama alihitaji kumsaidia amwambie mama yake amlipe stahiki zake. Sasa hapa alimuaminije?
Mchumbuzi nakusikiliza kwa umakini sana. Lakini naona kama unaegemea upande fulani. Ukiwa unataka uchambuzi wa wagombea wawili wenye ushindani mkubwa wachambue wote.
Lisu alisema akipewa hela zake za halali ndo atakuwa rafik yake lakini sio za kuhongwa halaf kingine mtu mkubwa Kama wenje ana ujasiri gani wa kumpeleka abduli kwa lisau na akasema wengine wengi tu kwenye chama wamepewa hela kuwa na subira kwa miez kwa kuchunguza uone chama kipoje mbona lisau kaongea broo nilikuwa nakuamini Sanaa Ila inaonekana unaegemea upande mmoja
NILIKUA NAKUSKILIZA ILA LEO UMEPOTEZA CREDIBILITY YAKO YOOTEEE UMEONGEA UTUMBO NA HOJA MBOVU SANA UMERUDILIA HOJA AMBAZO KILA SIKU TUNDULISU KASHAZIONGELEA KITAMBO SANAAA HAUNA JIPYAAA NAKU BLOCK KUANZIA LEO BLADFAKENI 🤮🤮🤮🤮
Kumbe hujaelewa! Iweje Lissu amwamini Abduli kwamba kuna watu amewapa pesa? Anafanya urafiki na maadui wa chama? Kwa nini hakumwambia K/Mkuu aitishe Kamati Kuu ili waliokula pesa za Abduli watajwe? Jibu kwanza hayo
Wewe kwenye suala la Lissu na Mbowe tayari huna moral authority kwasababu wewe ni mfuasi wa Mbowe . Vyovyote utakavyoongea tumeshajua Nia yako, wewe ni kipenzi cha Mbowe. Lakini ujue tu watanzania wanajua wanachotaka msipowapa wanachotaka watanzania basi CCM itawapa watanzania wakitakacho
Abdul alienda kwa nia ya kumsaidia Lisu pesa....wazo la kusaidiwa lilitoka kwa Lisu ili apate hela yke halali sio kupewa hela isiyojulikana malengo yake
Mimi nilimsikiliza lisu.Siyo Lisu Aliyemtafuta Abdul .kimantiki hapakuwa na sababu ya lisu ya kumtafuta Abdul kwa sababu wakati huo Lisu alikwisha kukutana na Raisi Samia.Abdul ndiye aliye mtafuta Wenje ili kumfikia Lisu.
Huyu ni mtu wa mbowe na anayasema haya kimkakati ...mbowe alipokua anazungumza na kukubaliana na Rais akiwa pekeake baada ya kutoka gerezani hakujua kama Rais ni usalama wa taifa? Na je ilikua sawa kwa mbowe kuendelea kufanya hivyo licha ya wenzake kuonyesha shaka
Kuna mambo mengine acha yapite tu. Hakuna sababu ya kuendelea kuchokonoa mambo. Ungeacha Chadema waendelee na mambo yao ya Uchaguzi. Lakini kuendelea kuchimbachimba mambo hasa kwa kupitia Lissu tu ni kukosa weledi tu.
Uko bias sana. Tundu Lissu kaweka wazi mazingira yanayo onyesha Abdlu kutumiwa na mama yake kuhonga watu. Katika kuhonga huko Tundu kamuonyesha Wanje kama middleman wa uhongaji huo ndani ya chadema. Na Wanje kakili hilo kwa kusema anajuwana na watu wengi. Na mmoja wa marafiki wa wanje ni Abdul. Sasa wakumaliza yote ni abdul.
Unanisikitisha sana siku hizi. Ghafla umekuwa chawa wa Mbowe. Moja ya sifa za mchambuzi bora ni kubalance story vipi ww ukiamka Lissu, ukifungua mdomo.. Lissu. Sema ukweli Mbowe kakulisha asali gani maana sio bure. Sasa unajivunjia heshima... weka wazi kwamba unataka umakamu mwenyekiti mkifanikiwa kumtoa Lissu
Lissu alikwisha sema ni zaidi ya mwaka mahusiano kati yao na Mbowe suti mazuri na sababu ni hizo hizo kukinzana ktk vikao ndani ya chama ndio sababu hawahalikei nyumbani Kwa Mbowe kama siku za nyuma .Hivyo Mbowe anetumika vibaya na serikal ya CCM ndio maana lissu hajapendezwa na Siri zimefichuka njanjanja ya Mbowe imefika mwisho tunaitaji kiongozi Mkweli na Mkweli ni Lissu .Mzee kama umetumwa na Mbowe kafie mbele
Mimi siamini kwamba Lissu anaweza kumsingizia mtu suala kubwa kama hilo. Hayo maswali yako wala hayana maana yoyote. Kutolisema mapema suala hilo linaweza kuwa na sababu nyingi sana. Nadhani hoja kwamba Abdul ni usalama wa taifa sio sahihi kabisa. Nakuona kama mpambe wa Mbowe na nia ni kum deliscredit Lissu. Wacha wajumbe wa mkutano mkuu waamue. Tutawasikia wengi walio chawa. Sisi tunamuona Lissu kama suluhisho la uhai wa chama na watanzania. Mbowe must go!!
Licha ya hayo yote umesema Lissu alikujulisha juu ya sakata lenyewe hili. Mbona haukumshauri haya yote? Patia picha mtu amekuamini kukupatia taarifa na ukashindwa kumpa ushauri huu unaomshangaa?
Nilivyomwelewa Ngurumo, anasema kwa nini Lissu alikubali kukaa ana kwa ana nyumbani kwake na Abdul na kuamini maneno yake huku akijua Abdul anaendeshwa na usalama wa taifa? Iwe Abdul aliomba kukutana nae au Yeye Lissu aombe kukutana nae. Issue ni kwa nini ameyaamini maneno ya Abdul ambaye wanashindana kila siku
Hayo maswali amuite Lissu kwenye channel yake hii amuulize live ajibiwe!! Vinginevyo abaki kampeni meneja wa Mbowe tu asitumalizie mabando yetu Kwa chambuzi Bias and rubbish!!
@@elikyusimsigwa6608Toka mwanzo alipochukua fomu Lisu, huyu chaali ngurumo aliumia saaaana, inaeleweka. Ila ajue tu kuwa Mbowe kachuja machoni na mioyoni mwa watu, akapumzike kwanza. Tunajua ana hela chafu za kuhonga wajumbe atapita tuuuu kwani ni CCM B,,,,,,,lkn chama kitakuwa kama cha Lipumba
Ni kwa vile amejitoa ufahamu . Alijisemea Nyerere: "Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali wakati akijua alikuheshimu kwa kuwa unaakili, atakudharau!"@@elikyusimsigwa6608
Ni mtu bias siku zote ila kwahili la Lissu ndio watu wamemuona wazi...unajua ku spin kitu kizuri kikaonekana kibaya na kibaya kikaonekana kizuri. Anaowapenda wakichemka anaongelea kuchemka kwa jicho la positive na anaowachukia anatuta mazuri yao na kuyaongelea kwa jicho la negative..ndio kipawa chako
Huwa una uchambuzi makini, ila katika hili umeboronga. Nilikupa benefit of doubt kwenye ile ya kwanza lakini hapa ume prove kwamba una upande tayari. Wewe mwenyewe ndo unaamini kuna watu hawawezi danganya, hawawezi kupotoshwa etc. Endeleeni kuua chama chenu
Nenda kweny point Ngurumo Half wewe ji msomi lakn huwez kuchambua upande mmoja tuu kwa udhaif wake Inamaana upande mwngine uko safi hundred percent !!!!???? Yawezekana unapoint lakn chambua pande zote weka mezani mazur na mabaya half sisi tutaona nani anafaaa kwa sifa zake
Usipotoshe Abdul hakunda ili kusaidia lisu apate pesa zake. Alienda ili kusaidia hali ya lisu kupata gari nzuri. Hapo ndio lisu akakataa kua hataki pesa za Abdul. Km abdul anataka kusaidia bas asaidie upatikanaji w haki ya lisu ( mafao). Na sio msaada w pesa zake mfukini. Lisu amekataa pesa z Abdul from his pocket.
@@merumount5988Acheni uchawa! Tundulissu yuko wazi sana anaongea kila kitu wazi acheni kupotosha! Ukiona mtu hajamwelewa Tundulissu basi kwenye afya ya akili kuna changamoto!
@usembiphonedar5632 suala si uwazi, kwa nini anaamini kwanza kukutana na kusaidiwa na mtu ambaye anafahamu fika hawezi kuwa anawatakia mema yeye Lisu na chama chake, pili, anaanzia wapi kuamini maneno yake..tatu, alishindwa nini kutumia nafasibyake km makamu mwenyekiti kuraise hizo tuhuma aliambiwa za wenzake kuhongwa, yeye ni mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya chama..unaona dhamira njema hapo?
Hivi ngurumo TUNDU Lissu yuko peupe sana kujibu maswali yoyote unayotaka kujua!! Kwanini hutaki kuona umuhimu wa kumuuliza kwanini hakufanya kama ambavyo ungetaka afanye!! Swali langu kwanini hutaki kumface Tundu Lissu face to face umuulize!! Chambuzi zako hizi Zina mashaka sana!! Sasa unawatetea watesi 😢
Aliyemleta Abdul Nyumbani kwa Lissu yupo na Mbowe Sasa kwenye kambeni zake, Wenje mwenyewe alisema anayajuwa yote, Mbona kaka, Mbona hatuchambuwi Wenje kuwa daraja la kupeleka Usalama kwa Mwana-chama mwenzao?? Wakati tunahoji kuhusu Lissu, tuangalie upande wa pili kwani kiunganishi ni Mwana-chama mwaandamizi tena ni Chawa wa Mbowe.
Mimi kwa hili kaka yangu sijakuelewa, huwa naupenda uchambuzi wako ila kwa hawa mafahari wawili umeonyesha upande wako, Mimi ni Mukongomani anaye ishi USA, ila namupenda Tundu Lisu kwa 59% na Mbowe 41%,
Usipindishe bwana, Abdul amekwenda kwa Lisu ili amuhonge awe kimya kuisema serialized ndiyo akakutana nag kigingi cha kama unataka kunipa pera nipeni pera language za matibabu sio hizo pera chafu. Wote tumemsikia Tundulisu labda were upon pandemic wa dalali Wenje.
Kuhusu Abdul kila kitu kiko wazi, wenje alimleta abdul kwa lissu, kwasababu wenje naye ana maslahi na Fedha hizo. Msimnyanyase Lissu kisa tu ametaka kiti cha uenyekiti. LISSU HAHONGEKI. Maswali magumu msilinde wahongwaji.
Ndugu mchambuzi siku zote napenda kukusikiliza na kukuelewa lakini kwa hili la leo unaonekana unaegemea upande wa Mbowe! Wewe ni chawa wa Mbowe. Hayo yote unayoyaongelea tayari Tundulissu alishayafafanua. Mbona huongelei mapungufu ya Mbowe?! Kila siku uko bize na ya Tundulissu tu! Ndugu,Acha uchawa tenda haki kwa watu wote.
Ni mara ya kwanza umelikalia jambo na hutaki kuliachia. Kuna nini? Hujawi fanya hivi. Hii sauti nzuri imekuwa hadaa na malayamalaya. Unataka watu wasimchavue Lisu. Unamwekea Lisu vikwazokumpiga mawe Lisu huwezi kushinda. Umekuwa jaji na mwanasheria toka lini? Leo unamdharalisha Lisu eti wa majukwaani tu? Bwege Kapigania mali zetu za umma ha kwenda jukwaani. Alikwenda kutetea haki mahakamani. Aliwatetea Wamasai si majukwaani. Amekwenda mahakamani na umasaini. Kapigania bandari zetu kisheria. Usimdharalishe hapa. Hutoboi.
Kaka uchambuzi wako haujakamilika, maswali mengi unayotaka tujiulize TL ameisha yajibu yote. Naona kikubwa hapa unachotaka ni watu wasimuamini TL. Leo umeonyesha wazi kuwa wewe ni timu Mbowe which is okay but acha kurusha matope kwa TL.
Ila we jamaa umeanza propaganda. TL hakumuhitaji Abdul na hakuwa na mawasiliano nae. Na lengo la kikao haikua malipo ya TL Hilo liliibuka baada ya abduli kudai kua atampa pesa ndipo akasema hataki pesa chafu anataka pesa halali kutoka kwa mama yake. Afu katika maswali unayojiuliza hapo, sioni swali gumu kama unavyosema Jitafakari broo, chambua bila kuonesha mlengo.
Ngurumo hujawa mkweli kumlinganisha Lissu na mareh. Mrema! Ukweli ukisemwa wazi, hasa kwa jambo nyeti ktk jamii yetu kama rushwa miongoni mwa viongozi, ni jambo la kupongezwa na si kubezwa kama unavyosema wewe! Ukweli ukisemwa hauwezi kuwa ndiko "KUCHAFUA VIONGOZI WENZAKE". Nahisi unajaribu kumnasua mwenyekiti Mbowe ktk tuhuma za rushwa zilizotajwa na Lissu; sidhani kama utafanikiwa kwa mazingira yaliyopo😂
Kama kweli Mbowe hahusiki na kashfa za rushwa zinazozungumzwa, kwa nini anachukizwa zaidi na Lissu aliyezisema hadharani lakini haoneshi kuchukizwa na Wenje ambaye dhahiri amekiri kujihusisha na pesa hizo chafu? Kwa nini anakaa nao wote wawili ktk vikao bila walau kuchukua hatua za kinidhamu/kimaadili dhidi ya mmoja wao au wote wawili??? Kama tunasema ccm haifai na iondoke kwa kulea ufisadi na kutowajibika, hivi mdadala wake atakuwa Mbowe na wenzake wanaotaka ufisadi unaosikika ndani ya chama chao na kati yao uwe SIRI YA VIKAO VYAO??? Nonsense! Rasilimali zinazofujwa ni za nchi, iwe zinamnufaisha Mbowe na wenzake ktk CDM au walioko CCM au kwingineko! Haitoshi kwa Mbowe kutuambia yeye ni mfanyabiashara si mbangaizaji, kwani twajua sote wahujumu na wapokea hongo wakubwa si wabangaizaji!!! Nahisi Mbowe na wenzake kadhaa ktk Chadema wamechafuka kwa uamuzi wao wa kutumia upinzani kama njia yao ya mkato ya kujipatia pesa kutoka kwa walioko madarakani! HAYUPO ALIYEWACHAFUA BALI WAO WENYEWE NI WACHAFU! Vinginevyo waiweke hadharani video ya kikao chao juu ya suala hili (inayosemekana wanayo) ili ukweli wote uwe bayana kwa umma-wachafu na wasiohusika wajulikane! Ni hatari kukaa na watu wakijidai wapinzani kumbe madalali watafuta pesa za mkato!
Lisu anataka haki, kama unakumbuka lisu alisema hela yangu hata wasiponipa wajukuu wangu au watoto wangu watakuja kudai,anaamini sheliya Yuko vizuli tumuelew lisuu
Wew nae mzee wangu nilikuwa ninaiheshim mijadala yako Na kuiona nimana ila kumbe nilikuwa sijajua na wew kumbe unaweza kutengeneza vihoja vya kuunga unga ili kuutetea upande unaouamini Iko hivi kama Abdul angelienda pale peke yake ndo ningeamini hiyo hoja yako yakua alikua ametumwa na usalama kama unavyosema Ila Lissu alisema aliefanya mpango wa Lissu kukutana na Abdul ni Wenje kwa hiyo wenje nae alikuwa anatumiwa na usalama wa taifa Hoja yako ya kwamba kwa nini Lissu alisema nje na hakuchukua hatua kama kiongoz wa madiri Lissu ameshajibu kua mwenye kutoa hayo mamlaka ni kamati kuu na je kama alilipeleka hilo swala kamati kuu likashindikana Na unatakiwa ujue kuwa Abdul na Wenje walipokua wanamshawishi Lissu kuchukua pesa walisema kua sio wenje tu aliepewa pesa niwengi tu pale kamati kuu Iv unajueje kama yaweza kua kamati kuu wengi wao ndo walipewa hizo pesa unazani wangelimpa Lisdu mamlaka ya kulishugulikia hilo swala Mimi nakuona wew kama mpambe wa Mbowe tu huna jipya yani kwa leo umepuyanga mzee wangu angalia kuja kuisha huu uchaguzi utakua umepoteza washabiki makini wa kukufatilia kama mimi Mwisho acha uchawa mzee utapotea
Huyu jamaa nilikuwa naamini anachofanya ila tangu aanze kumtag Lissu ....nimeelewa kabisa kumbe naye kibaraka tu ama anatumika na serikali au kambi ya Mbowe kabisa.
Huwezi kusema alimwamini, kwani alifanya hivyo kutokana uadilifu wake, kwann usijiulize kwan kambi ya mbowe walipokea pesa hizo chafu? Nakushangaa sana.
MASWALI YAKO Hayana msingi wowote,wewe na wenje ni chawa wa MBOWE UNATUMIKA SANA HUWEZI KUJA LEO.ULISHASEMA PERSONAL ISSUE AMBAYO.CHAMACDM KILIWAHI KUIDAI SERIKALI PESA ZA LISSU?JITIHADA BINAFSI
Mchambuzi yuko biased! Can’t talk about Mbowe. Kwa nini?! Ni chawa wa Mbowe and we all know that! Ngurumo: usipotoshe! Abdul hakwenda kwa Lissu kwa ajili ya kushughulikia madai ya Lissu. Madai ya Lissu ni matokeo ya kushindikana kwa Lissu kuhongwa! Get the facts right Lissu amekanusha kudaiwa na Wenje! Wenje angesemaje kuhusu kuhongwa wakati yeye ndo alifanya udalali?! Hakuna uchambuzi hapa Ngurumo!
Wala Mbowe hampendi, angeongea kitambo siyo Leo. Naona sijui ameanza kwenda ki maslahi zaidi? Anadai Abdul eti Usalama wa Taifa 😂 Lissu mwenyewe alihojibkitambo, anapata wapi Abdul legitimace ya kwenda Uganda nchi ya nje kwenda kujadili Mikataba ya nje? Lissu aliyehoji ni mgombea Urais wa 2020, ni mwanasheria nguli wa kimataifa, Leo anahojiwa na kinyangarakata tu? Suala hili ni myama mkali kanasa mtegoni, kwahiyo ni la kuusogelea mtego kwa tahadhari! 😂
Mbona naww hukusema baada ya lisu kuliongea umesubiri lisu atangaze kugombania uenyekiti, nyie waraba asali tuacheni, lissu ni mwenyekiti kama hamukumchagua bas mtwambie angewezaje kua raisi wa nchi asiweze kua mwenyekiti wa chama, take my word chini ya mbowe chama kinakufa
Mimi nilikukubali sana chahali lakini kwa hili😂 na wewe umekuwa chawa akili yako😂kubwa hapa imetwawaliwa na akili😂ndogo umeonesha wazi wewe ni chawa wa mboe
Gurumo, ukweli ni kwamba Freeman Mbowe amekaa muda mrefu mno kwenye uenyekiti wa chadema taifa na tumemchoka, tunataka mwenyekiti mpya. Tunamuelewa mno Tundu Lisu kuliko unavyofikiria, tunafikiri Tundu Lisu atatuvusha
Huo ndiyo ukweli ndugu. Tunataka mwenyekiti mpya ambae ni Tundulissu. Tundulissu anatosha kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.
Kichama Tundu Lisu hawezi kutuvusha na Chama kitadumaa Kisiasa anaweza sana maana ni mwanaharakati na msemaji mzuri kama walivyo mawakili Kujenga chama haitaki uanaharakati Ni jinsi unavyoweza ku accommodate watu wote wenye fikra tofauti Hapo Mbowe anafaa sana atasaidia ktk ujenzi wa chama
@@sospeterodhiambo6869kichama hawezi ila kisiasa anaweza😂 hivi nyie jamaa!! Anyway labda kwakuwa ishasemekana kwamba CHADEMA NI SACCOS YA FULANI HAPO KWELI LISSU HAWEZI WAVUSHA KASACOSISACOSI
Usipindishe bwana Abduli amekwenda bwana Lisu ili amuhonge pesa ili anyamaze kuisema vibaya serikali ndiyo akakutana na kigingi cha Lisu ambaye aķamwambia kama anataka kumpa pesa akamwambie mama yake amlipe pesa zake za matibabu wote tumesikia usitupindishe labda wewe upo upande wa dalali Wenje. Naamini Sana vipindi vyako Leo Kuwa straight. straight
Inabidi tumwangalie Ngurumo kwa jicho la pili hapa. Hayupo kwenye mfumo. Usalama wa wapi? Watoto wa Nyerere kwamwe hawakutembea barabara I, acha utumbo. Nonsense. Wewe unambomoa Lisu, na unainomos Chadema. Dare you. Riding pambania ndani ya nchi
Ngulumo ...binafsi nakuelewa....Sio wote watakuelewa kwa uchambuzi huu. Lkn Usikatishwe tamaa ...maana jukwaa hili sio kwa manufaa yako...bali ni kwa manufaa ya watu wote....ipo siku clip hii itaeleweka vizr kwa watu ata kama leo inaonekana kama umechukuwa upande fulani ivi....! Mungu akubariki brother!
Wananchi, wanachadema na wajumbe wote mtakaopiga kura kuchagua mwenyekiti wa chadema Taifa Tunahitaji mwenyekiti mpya na mabadiliko katika chama. Hivyo wajumbe msikubali kupokea rushwa kutoka kwa wagombea hasa ile timu ya Mbowe! Huu uchaguzi unaingiliwa na machawa kutoka nje ya chadema, kutoka ccm na kwingineko! Ndiyo hawa wanaompiga vita Tundulissu! Huu uchaguzi ni kama ule wa TLS Mwabukusi alipigwa vita sana kwa sababu yeye alikuwa ndiyo mtu sahihi kwa nafasi ili kwa wakati huu! Hivyo hata sasa Tundulissu ndiye mtu sahihi kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa! Ndiyo sababu anapigwa vita kila upande. Tunamtaka Tundulissu kuwa mwenyekiti mpya chadema. Msisikilize machawa wana ajenda zao za siri! Ila hawatashinda kwa uwezo wa Mungu,AMEEENI.
Hapa ngurumo umepuyanga ukweli wote Lissu ameweka wazi kwa namna unavyojenga hoja ni marudio yalishapata majibu,nashangaa na wewe mwandishi tunayekuamini unakuwa chawa kwaFikira Lissu aliyasema haya hata hajaamua kugombea,ulitaka aside haraka haraka bila kulifanyia uchunguzi
Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. Mithali 10:19-21
Hapana hata wewe leo umefeli ukijenga hoja jenga isima pande zote mbili mbona umejikita sehemu moja uwanifu wako umeanza kopotea na ww ludi ufikilie ulicho nzunguza na ujiulize nilivyo siku zote tutaacha kukufatilia kama ndo mwenendo
Tena bila kuangalia kazi aliyoifanya chadema, ukweli kama huna pesa bongo huwezi kuendesha chama bongo, tundu alikua wakawaida chadema ikampandisha baada yakupata matatizo sasa anainyea
Mwandishi una changanya Mambo, wewe weka wazi mlengo wako, uhache giriba, mahojiano yote tume yasikia wote uhache porojo. Kila Jambo Lina wakati wake, kesi ya nyani upeleke kwa ngedele? Hacha ujaja kwenye hoja zako.
Kwenyehuo mfanowako wakwamba mtoto wa adui yake kajakwake akamwambia hua anachepuka na mke wake, ilipasa usemepia wakati akimwambia hayo alikuwepo ndugu yake anayemwamini sana na alidhibitisha nikweli huyu mkewe(shemeji) anachepuka.
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima, gareti la Mbowe. Amebaki kuwa chawa wa Mbowe! Hamtasikia any negative analysis juu ya Mbowe pamoja na kwamba zipo sana!
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima kama mwajiriwa. Je, kila mwajiriwa ni chawa wa mwajiri wake? Nafikiri umekosa hoja isiyo na mantiki. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu kuhusu mwenendo wa Lisu!
yan akawatonye viongoz ambao ndyo waliompeleka abdul kwake na kumbembeleza kuonana naye hv ww mzeee siku hzi umeanza kulewa kabla ya kuanza kuleta mjadala wako
Mwenye Macho haambiwi tazama. Mwenye kung'amua na ang'amue. Thank you brother for this.
Very smart Man Mr Ngurumo... Mwenye macho aambiwi tazama.
Hata Wenje amethibitisha kuwa jambo hilo lilijadiliwa Kamati na kurekodiwa.Lisu akaomba rekodi yote itolewe hadharani bila kuhaririwa ili ukweli ubainike.Bw.Ngurumo unataka kusema hayo yote hujasikia na lile alilojibu Lisu kuwa alichelewa kutangaza baada ya kuona Wajumbe wa Kamati Kuu wamekalia kimya taarifa yake juu ya jambo hilo na alifanya hivyo baada ya kufanya kukusanya ushahidi zaidi.Pia amesema mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ambaye ni marehemu alithibitisha kuwepo kwa rushwa kwenye chaguzi za Chadema.
Hujajitendea haki na hujatutendea haki mwandishi wa habari nguli.
Usihamishe hoja. Lissu akakuwaje na urafiki na Abduli na kupokea tuhuma za wenzake toka kwa adui, Abduli?
Kuna clip ya kamati kuu wanashindwa kuitoa ipo siku huyu jamaa ataumbuka@@edgarmbegu1974
Thank you, he is just spinning.
Tundu Lisu hajakaa kimya labda umesahau,alitangaza kwenye vyombo vya habari muda lkn hakuna hatua zozote zilizochukuliwa! Kwa hili unachemka umetumwa
Mimi jamani Lissu ni mtu wa ajabu ananwabwaja hovyo kupita kiasi akiwasuta wenzake hasa M owe sio sawa anataka aongoze nani wakati amekiua chama je ataunganishaje tena chama hiki pendwa kwa watz? Ni sawa na mtu aliyeondoa magurudumu ya alafu apanda hilo gari eti anataka aendeshe gari bila magurudumu yaani amejenga uadui wa ajabu kwenye chama akiungana na rafiki yake msigwa na Dr silaa kwa ukweli chama kimeuawa na Lissu' niseme kweli nilikuwa nampenda kuliko watu wote wa Tanzania amenikosesha amani sana Mimi sijawahi kuiskia kampeni za kipumbavu namna hii huwezi choma nyumba yenu moto alafu msomi
Mtu Smart sana Ngurumo Always.
Lakini Leo ni kama umelishwa maneno.
Hakika...
Mzee nilikuwa nakuheshimu.sna na hoja zako pia ila Kwa hili umenunuliwa
Huna lolote..Kafie huko na lisu wako
@@merumount5988kima na ngedere ni mamoja, wote wanaishi porini, sio rahisi kuwatenganisha.
Kishafika bei huyu 😂😂🍿🍿
Hamjasema bado....mpaka msemeeeee!!!!
Unapo msikiliza MTU usimsikilize ukiwa na upande wowote ukitoa majibu lazima yaegemee sehemu ile uliyo na mahaba NATO. HONGERA SANA NGURUMO NILIKUWA SIKUELEWI LEO NIMEANZA KUKUELEWA NA NITAKUELEWA MILELE
Huyu mchambuzi simuelewi leo. Kwani Abdul alimwambia nini Lisu analosema Lisu alimuaminije? Abdul alitaka kumsaidia Lisu kutaka fedha na gari zuri, kitu ambacho Lisu alikataa na kumwambi kama alihitaji kumsaidia amwambie mama yake amlipe stahiki zake. Sasa hapa alimuaminije?
Rudia kusikiliza..
Kama humwelewi huyu Mzee basi Uchawi upo
@@Jumamaduka240Mzee huwa anaeleweka vema sana ila round hii amini yamemkuta!! Yuko Bias tena bila aibu!!
Hongera kaka, umejenga hoja vizuri sana....
Hoja gani , na wenje je?.
Mchumbuzi nakusikiliza kwa umakini sana. Lakini naona kama unaegemea upande fulani. Ukiwa unataka uchambuzi wa wagombea wawili wenye ushindani mkubwa wachambue wote.
100% correct
WANDEWA TUMESHANG'AMUA PROPAGANDA ZAKO, NA UPANDE UNAKOLALIA.
Wewe ni mnafiki lisu ameweka wazi kila kitu
Cjui hajafatilia hilo
Anakurupuka tuu, Hana data za kutosha....
Lisu alisema akipewa hela zake za halali ndo atakuwa rafik yake lakini sio za kuhongwa halaf kingine mtu mkubwa Kama wenje ana ujasiri gani wa kumpeleka abduli kwa lisau na akasema wengine wengi tu kwenye chama wamepewa hela kuwa na subira kwa miez kwa kuchunguza uone chama kipoje mbona lisau kaongea broo nilikuwa nakuamini Sanaa Ila inaonekana unaegemea upande mmoja
NILIKUA NAKUSKILIZA ILA LEO UMEPOTEZA CREDIBILITY YAKO YOOTEEE UMEONGEA UTUMBO NA HOJA MBOVU SANA UMERUDILIA HOJA AMBAZO KILA SIKU TUNDULISU KASHAZIONGELEA KITAMBO SANAAA HAUNA JIPYAAA NAKU BLOCK KUANZIA LEO BLADFAKENI 🤮🤮🤮🤮
Kumbe hujaelewa! Iweje Lissu amwamini Abduli kwamba kuna watu amewapa pesa? Anafanya urafiki na maadui wa chama? Kwa nini hakumwambia K/Mkuu aitishe Kamati Kuu ili waliokula pesa za Abduli watajwe? Jibu kwanza hayo
huyu Ngrurumo Anaongea ujomga mtupu siku hizi.Rubish tupu.
@@dassustephen731na hautamuelewa maishani.
AKILI YAKO NI YA KIAZI;HUJUI KITU;SIKILIZA HOJA USIENDE KISHABIKI;UTAFELI
Mzee upon vizuri sana nakuelewa
Wewe kwenye suala la Lissu na Mbowe tayari huna moral authority kwasababu wewe ni mfuasi wa Mbowe . Vyovyote utakavyoongea tumeshajua Nia yako, wewe ni kipenzi cha Mbowe. Lakini ujue tu watanzania wanajua wanachotaka msipowapa wanachotaka watanzania basi CCM itawapa watanzania wakitakacho
Napenda unavyompigania Mbowe kila clip ila baada ya sanduku la kura itabidi utumie nguvu kubwa kujisafisha.
..hicho mnachotafuta hakitakuwa
Lissu atashinda kwa kishindo humu mtandaoni lakini kwenye sanduku la kura hawezi shinda.
Abdul alienda kwa nia ya kumsaidia Lisu pesa....wazo la kusaidiwa lilitoka kwa Lisu ili apate hela yke halali sio kupewa hela isiyojulikana malengo yake
Hili pia ni kosa.Lissu na wenje wana makosa
Uko sahihi, lisu kwa kutafuta attention ya kisiasa anajifanya kumpakazia mwenzie@@MathewNathan-yb2bz
Mimi nilimsikiliza lisu.Siyo Lisu Aliyemtafuta Abdul .kimantiki hapakuwa na sababu ya lisu ya kumtafuta Abdul kwa sababu wakati huo Lisu alikwisha kukutana na Raisi Samia.Abdul ndiye aliye mtafuta Wenje ili kumfikia Lisu.
Ni mbinu za mwovu hizo ww
Huyu ni mtu wa mbowe na anayasema haya kimkakati ...mbowe alipokua anazungumza na kukubaliana na Rais akiwa pekeake baada ya kutoka gerezani hakujua kama Rais ni usalama wa taifa? Na je ilikua sawa kwa mbowe kuendelea kufanya hivyo licha ya wenzake kuonyesha shaka
Bora wew unajtambua,Kwan alyemtafta mwenzie n nan
Kachukua kitu huyu 😂
Sikiliza hoja na sio yuko upande upi! Tatizo la watz hawangalii hoja nakujifunza wanapeda kelele
Mimi nilikukubali sana, kembe huna maana kabisa wewe ni mtu wa fitna
Ni mtu wa fitna kivipi
Kwa vile kasema mapungufu ya Lissu?
Huyu si mfitini tu bali ni kilaza
Ni chawa wa Mbowe kajidhihirisha ni mwehu
chawa tu uyo
Kuna mambo mengine acha yapite tu. Hakuna sababu ya kuendelea kuchokonoa mambo. Ungeacha Chadema waendelee na mambo yao ya Uchaguzi. Lakini kuendelea kuchimbachimba mambo hasa kwa kupitia Lissu tu ni kukosa weledi tu.
LISSU alikataa kwamba hadaiwi chochote na Wenje. Unaonekana unabifu binafsi na Lissu
Salsa haueleweki kama zamani unaogea uchawa tuuu kwa more ludisha heshima yako
Chawa unaweza ukawa ww
Uko bias sana. Tundu Lissu kaweka wazi mazingira yanayo onyesha Abdlu kutumiwa na mama yake kuhonga watu. Katika kuhonga huko Tundu kamuonyesha Wanje kama middleman wa uhongaji huo ndani ya chadema. Na Wanje kakili hilo kwa kusema anajuwana na watu wengi. Na mmoja wa marafiki wa wanje ni Abdul. Sasa wakumaliza yote ni abdul.
Unanisikitisha sana siku hizi. Ghafla umekuwa chawa wa Mbowe. Moja ya sifa za mchambuzi bora ni kubalance story vipi ww ukiamka Lissu, ukifungua mdomo.. Lissu. Sema ukweli Mbowe kakulisha asali gani maana sio bure. Sasa unajivunjia heshima... weka wazi kwamba unataka umakamu mwenyekiti mkifanikiwa kumtoa Lissu
Kwanza hakuna chawa chadema..pili mbamtumia lisu patina yeye kujua
Lissu alikwisha sema ni zaidi ya mwaka mahusiano kati yao na Mbowe suti mazuri na sababu ni hizo hizo kukinzana ktk vikao ndani ya chama ndio sababu hawahalikei nyumbani Kwa Mbowe kama siku za nyuma .Hivyo Mbowe anetumika vibaya na serikal ya CCM ndio maana lissu hajapendezwa na Siri zimefichuka njanjanja ya Mbowe imefika mwisho tunaitaji kiongozi Mkweli na Mkweli ni Lissu .Mzee kama umetumwa na Mbowe kafie mbele
Mimi siamini kwamba Lissu anaweza kumsingizia mtu suala kubwa kama hilo. Hayo maswali yako wala hayana maana yoyote. Kutolisema mapema suala hilo linaweza kuwa na sababu nyingi sana. Nadhani hoja kwamba Abdul ni usalama wa taifa sio sahihi kabisa. Nakuona kama mpambe wa Mbowe na nia ni kum deliscredit Lissu. Wacha wajumbe wa mkutano mkuu waamue. Tutawasikia wengi walio chawa. Sisi tunamuona Lissu kama suluhisho la uhai wa chama na watanzania. Mbowe must go!!
Toa sabab kwa nini Abdul siyo usalama wa taifa..unaruka ruka tu km juha..toa sabab ya unachopinga
Kwani lisu alimfuata abdul mafisiemu ndiyo yanawafuata chadema kuwahonga ila lisu hahongeki
Kwann amwamini Abduli ? Wakat ni adui wao
😂😂😂😂😂😂😂
Licha ya hayo yote umesema Lissu alikujulisha juu ya sakata lenyewe hili.
Mbona haukumshauri haya yote?
Patia picha mtu amekuamini kukupatia taarifa na ukashindwa kumpa ushauri huu unaomshangaa?
Naona una ugomvi sana na Lisu maana unaegemea sana upande wa Mbowe
Kwani anachosema Mr NGURUMO ni uongo??? point tupu
Lissu nae ana makosa ni kwa nini amtumie Abdul kupata malipo yake?
Acha ukweli uwekwe wazi, kwa nini hamtaki lisu aguswe.
Nani alifuta mwenzake @@MathewNathan-yb2bz
@@FrancisThomas-jc8wq wataelewa tu hata kama hawataki
Leo umechemka...pole sana team mbowe!
Ngurumo mbona unachambua tofauti ,Lisu mimi nilisikiliza vizuri sana ..wewe sasa leo unachambua tofauti 😅😅😅muuuuhhhh😂😂
Nilivyomwelewa Ngurumo, anasema kwa nini Lissu alikubali kukaa ana kwa ana nyumbani kwake na Abdul na kuamini maneno yake huku akijua Abdul anaendeshwa na usalama wa taifa? Iwe Abdul aliomba kukutana nae au Yeye Lissu aombe kukutana nae. Issue ni kwa nini ameyaamini maneno ya Abdul ambaye wanashindana kila siku
Hayo maswali amuite Lissu kwenye channel yake hii amuulize live ajibiwe!! Vinginevyo abaki kampeni meneja wa Mbowe tu asitumalizie mabando yetu Kwa chambuzi Bias and rubbish!!
Kadili unavyotafuta namna ya kumchafua lisu unapoteza mvuto na uchaguz ukiisha utapuuzwa ww ni mtu wa kupuuzwa
Utapuuzwa wewe mbwa koko..
Sasa hivi umekuwa mpiga kelele sio mchambuzi tena
Ni kwa vile hasemi unayo tapenade, angesema unayoyapenda Angelia mchambuzi?!
@@elikyusimsigwa6608Toka mwanzo alipochukua fomu Lisu, huyu chaali ngurumo aliumia saaaana, inaeleweka. Ila ajue tu kuwa Mbowe kachuja machoni na mioyoni mwa watu, akapumzike kwanza. Tunajua ana hela chafu za kuhonga wajumbe atapita tuuuu kwani ni CCM B,,,,,,,lkn chama kitakuwa kama cha Lipumba
Ni kwa vile amejitoa ufahamu . Alijisemea Nyerere: "Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali wakati akijua alikuheshimu kwa kuwa unaakili, atakudharau!"@@elikyusimsigwa6608
Lisu wako huyo unayedhani haambiwi ukweli. Tunza haya maneno kaa mwaka mmoja au miaka miwili uje usikilize
Ni mtu bias siku zote ila kwahili la Lissu ndio watu wamemuona wazi...unajua ku spin kitu kizuri kikaonekana kibaya na kibaya kikaonekana kizuri. Anaowapenda wakichemka anaongelea kuchemka kwa jicho la positive na anaowachukia anatuta mazuri yao na kuyaongelea kwa jicho la negative..ndio kipawa chako
Huwa una uchambuzi makini, ila katika hili umeboronga. Nilikupa benefit of doubt kwenye ile ya kwanza lakini hapa ume prove kwamba una upande tayari. Wewe mwenyewe ndo unaamini kuna watu hawawezi danganya, hawawezi kupotoshwa etc. Endeleeni kuua chama chenu
Nenda kweny point Ngurumo
Half wewe ji msomi lakn huwez kuchambua upande mmoja tuu kwa udhaif wake
Inamaana upande mwngine uko safi hundred percent !!!!????
Yawezekana unapoint lakn chambua pande zote weka mezani mazur na mabaya half sisi tutaona nani anafaaa kwa sifa zake
Usipotoshe
Abdul hakunda ili kusaidia lisu apate pesa zake. Alienda ili kusaidia hali ya lisu kupata gari nzuri. Hapo ndio lisu akakataa kua hataki pesa za Abdul.
Km abdul anataka kusaidia bas asaidie upatikanaji w haki ya lisu ( mafao). Na sio msaada w pesa zake mfukini. Lisu amekataa pesa z Abdul from his pocket.
Kwa nini lisu hakusema wakati huo huo..lini Abdul akawa rafiki, lini usalama wa taifa wageuke kumsaidia lisu..?
@@merumount5988Acheni uchawa! Tundulissu yuko wazi sana anaongea kila kitu wazi acheni kupotosha! Ukiona mtu hajamwelewa Tundulissu basi kwenye afya ya akili kuna changamoto!
@usembiphonedar5632 suala si uwazi, kwa nini anaamini kwanza kukutana na kusaidiwa na mtu ambaye anafahamu fika hawezi kuwa anawatakia mema yeye Lisu na chama chake, pili, anaanzia wapi kuamini maneno yake..tatu, alishindwa nini kutumia nafasibyake km makamu mwenyekiti kuraise hizo tuhuma aliambiwa za wenzake kuhongwa, yeye ni mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya chama..unaona dhamira njema hapo?
Jitihadi ipi LISSU kafanya kumpata ABDUL??? Wewe mzee umeshindwa kuwa analytical....Ulipaswa kuhoji kwanini Wenje hajatoka kukanushaaa???
Rudia kusikiliza uelewe..
Mzee leo umechemka sana
Au nawe usharamba asali ?
Kwa hasira anayoionyesha kwenye hii hoja hatuwezi kusema yuko nje ya mfumo
Hivi ngurumo TUNDU Lissu yuko peupe sana kujibu maswali yoyote unayotaka kujua!! Kwanini hutaki kuona umuhimu wa kumuuliza kwanini hakufanya kama ambavyo ungetaka afanye!! Swali langu kwanini hutaki kumface Tundu Lissu face to face umuulize!! Chambuzi zako hizi Zina mashaka sana!! Sasa unawatetea watesi 😢
Aliyemleta Abdul Nyumbani kwa Lissu yupo na Mbowe Sasa kwenye kambeni zake, Wenje mwenyewe alisema anayajuwa yote, Mbona kaka, Mbona hatuchambuwi Wenje kuwa daraja la kupeleka Usalama kwa Mwana-chama mwenzao?? Wakati tunahoji kuhusu Lissu, tuangalie upande wa pili kwani kiunganishi ni Mwana-chama mwaandamizi tena ni Chawa wa Mbowe.
..anakubalije lisu kuletewa adui nyumbn kwake..kwan wenje alimshikia akili na utashi wa kukataa?
Naww ni chawa unaongea vyeusi unajitoa ufahamu unajifanya ukusikia aliyoyasema lisu na aliyoyasema wenje
Umeonyesha hisia zako. LAKINi haimaanishi ndo ukweli.
Je unajua Nini kiliongelewa kwenye kamati kuu baada ya kauli yake ya Mpwapwa?
Mimi kwa hili kaka yangu sijakuelewa, huwa naupenda uchambuzi wako ila kwa hawa mafahari wawili umeonyesha upande wako, Mimi ni Mukongomani anaye ishi USA, ila namupenda Tundu Lisu kwa 59% na Mbowe 41%,
Kaka kwenye hili jipange haupo sawa kabisa,hapa upo upande hujeng,angalia heshima kubwa baada ya uchaguzi huu mdogo,
..acha maneno yenu ya kipumbavu, kila kitu kimewekwa wazi, lisu anaaminije mtu ambae mama yake anawashambulia?
Usipindishe bwana, Abdul amekwenda kwa Lisu ili amuhonge awe kimya kuisema serialized ndiyo akakutana nag kigingi cha kama unataka kunipa pera nipeni pera language za matibabu sio hizo pera chafu. Wote tumemsikia Tundulisu labda were upon pandemic wa dalali Wenje.
Kaka kabila lako kama nilakaskazini ya Tanzania kuna jambo unalitengeneza kuhusiana na kabila hilo
Huyo ni Nshomire!
Wala si kabila!! Nguvu ya muamala mzee!!
Kuhusu Abdul kila kitu kiko wazi, wenje alimleta abdul kwa lissu, kwasababu wenje naye ana maslahi na Fedha hizo. Msimnyanyase Lissu kisa tu ametaka kiti cha uenyekiti.
LISSU HAHONGEKI.
Maswali magumu msilinde wahongwaji.
Ndugu mchambuzi siku zote napenda kukusikiliza na kukuelewa lakini kwa hili la leo unaonekana unaegemea upande wa Mbowe! Wewe ni chawa wa Mbowe.
Hayo yote unayoyaongelea tayari Tundulissu alishayafafanua.
Mbona huongelei mapungufu ya Mbowe?! Kila siku uko bize na ya Tundulissu tu!
Ndugu,Acha uchawa tenda haki kwa watu wote.
Tumeisha kuelewa, wewe ni mtu wa mbowe, tafuta chawa mkichwa cha lisu hauwezi kupata izo ;
KOMREDI NGURUMO....LISSU HAONGEKI! NA HAJAWAHI KUHONGEKA HATA HUKO NYUMA.
Ni mara ya kwanza umelikalia jambo na hutaki kuliachia. Kuna nini? Hujawi fanya hivi. Hii sauti nzuri imekuwa hadaa na malayamalaya. Unataka watu wasimchavue Lisu. Unamwekea Lisu vikwazokumpiga mawe Lisu huwezi kushinda. Umekuwa jaji na mwanasheria toka lini?
Leo unamdharalisha Lisu eti wa majukwaani tu? Bwege
Kapigania mali zetu za umma ha kwenda jukwaani. Alikwenda kutetea haki mahakamani.
Aliwatetea Wamasai si majukwaani. Amekwenda mahakamani na umasaini.
Kapigania bandari zetu kisheria.
Usimdharalishe hapa. Hutoboi.
Kiongoozi huu mfupa huuwezi umeshindwa kujenga hoja Kabisa umekuwa dhaifu tunajua mgongano wa kimaslahi ya. Wazi
LISSU HAJAWAHI KUWA MUONGO NA WALA HATEGEMEI KUDANGANYA
Amenyooka ndo maana mafisiemu wanamuogopa.
Huyo ni chawa wa Mbowe hujagundua tu😂
Leo kaka umefosi sana kumkandamiza Lissu
Uchawa ni kazi nakwambia 😂
Aisee kumbe na wewe ni mnafiki ,tu kweli inchi imefika mahali ambapo kila mtu aelewe anavyoelewa na sio kumuelewa yeyote awaye
Kaka uchambuzi wako haujakamilika, maswali mengi unayotaka tujiulize TL ameisha yajibu yote. Naona kikubwa hapa unachotaka ni watu wasimuamini TL. Leo umeonyesha wazi kuwa wewe ni timu Mbowe which is okay but acha kurusha matope kwa TL.
Ila we jamaa umeanza propaganda.
TL hakumuhitaji Abdul na hakuwa na mawasiliano nae.
Na lengo la kikao haikua malipo ya TL Hilo liliibuka baada ya abduli kudai kua atampa pesa ndipo akasema hataki pesa chafu anataka pesa halali kutoka kwa mama yake.
Afu katika maswali unayojiuliza hapo, sioni swali gumu kama unavyosema
Jitafakari broo, chambua bila kuonesha mlengo.
Ansbert I currently don't understand your compos mentis!! 🤔🤔
Ngurumo hujawa mkweli kumlinganisha Lissu na mareh. Mrema! Ukweli ukisemwa wazi, hasa kwa jambo nyeti ktk jamii yetu kama rushwa miongoni mwa viongozi, ni jambo la kupongezwa na si kubezwa kama unavyosema wewe! Ukweli ukisemwa hauwezi kuwa ndiko "KUCHAFUA VIONGOZI WENZAKE". Nahisi unajaribu kumnasua mwenyekiti Mbowe ktk tuhuma za rushwa zilizotajwa na Lissu; sidhani kama utafanikiwa kwa mazingira yaliyopo😂
Sikiliza uelewe..unainuka kuchamba bado unakunya..
Wewa nawe mtu katangazwa dunia nzima inajua ni gaidiii imekuajeee toka gerezani aibukie ikulu😮😮😮😮😮
Kama kweli Mbowe hahusiki na kashfa za rushwa zinazozungumzwa, kwa nini anachukizwa zaidi na Lissu aliyezisema hadharani lakini haoneshi kuchukizwa na Wenje ambaye dhahiri amekiri kujihusisha na pesa hizo chafu? Kwa nini anakaa nao wote wawili ktk vikao bila walau kuchukua hatua za kinidhamu/kimaadili dhidi ya mmoja wao au wote wawili??? Kama tunasema ccm haifai na iondoke kwa kulea ufisadi na kutowajibika, hivi mdadala wake atakuwa Mbowe na wenzake wanaotaka ufisadi unaosikika ndani ya chama chao na kati yao uwe SIRI YA VIKAO VYAO??? Nonsense! Rasilimali zinazofujwa ni za nchi, iwe zinamnufaisha Mbowe na wenzake ktk CDM au walioko CCM au kwingineko! Haitoshi kwa Mbowe kutuambia yeye ni mfanyabiashara si mbangaizaji, kwani twajua sote wahujumu na wapokea hongo wakubwa si wabangaizaji!!! Nahisi Mbowe na wenzake kadhaa ktk Chadema wamechafuka kwa uamuzi wao wa kutumia upinzani kama njia yao ya mkato ya kujipatia pesa kutoka kwa walioko madarakani! HAYUPO ALIYEWACHAFUA BALI WAO WENYEWE NI WACHAFU! Vinginevyo waiweke hadharani video ya kikao chao juu ya suala hili (inayosemekana wanayo) ili ukweli wote uwe bayana kwa umma-wachafu na wasiohusika wajulikane! Ni hatari kukaa na watu wakijidai wapinzani kumbe madalali watafuta pesa za mkato!
Merumount5988 mbwa koko weye huna chakula chako! Chawa mkubwa!! Nimemaliza kunya njoo ule😂
Lisu anataka haki, kama unakumbuka lisu alisema hela yangu hata wasiponipa wajukuu wangu au watoto wangu watakuja kudai,anaamini sheliya Yuko vizuli tumuelew lisuu
Wew nae mzee wangu nilikuwa ninaiheshim mijadala yako
Na kuiona nimana ila kumbe nilikuwa sijajua na wew kumbe unaweza kutengeneza vihoja vya kuunga unga ili kuutetea upande unaouamini
Iko hivi kama Abdul angelienda pale peke yake ndo ningeamini hiyo hoja yako yakua alikua ametumwa na usalama kama unavyosema
Ila Lissu alisema aliefanya mpango wa Lissu kukutana na Abdul ni Wenje kwa hiyo wenje nae alikuwa anatumiwa na usalama wa taifa
Hoja yako ya kwamba kwa nini Lissu alisema nje na hakuchukua hatua kama kiongoz wa madiri Lissu ameshajibu kua mwenye kutoa hayo mamlaka ni kamati kuu na je kama alilipeleka hilo swala kamati kuu likashindikana
Na unatakiwa ujue kuwa Abdul na Wenje walipokua wanamshawishi Lissu kuchukua pesa walisema kua sio wenje tu aliepewa pesa niwengi tu pale kamati kuu
Iv unajueje kama yaweza kua kamati kuu wengi wao ndo walipewa hizo pesa unazani wangelimpa Lisdu mamlaka ya kulishugulikia hilo swala
Mimi nakuona wew kama mpambe wa Mbowe tu huna jipya yani kwa leo umepuyanga mzee wangu angalia kuja kuisha huu uchaguzi utakua umepoteza washabiki makini wa kukufatilia kama mimi
Mwisho acha uchawa mzee utapotea
Huyu jamaa nilikuwa naamini anachofanya ila tangu aanze kumtag Lissu ....nimeelewa kabisa kumbe naye kibaraka tu ama anatumika na serikali au kambi ya Mbowe kabisa.
Kimsingi umejenga hoja vzr, ingawaje wewe pia umesha chagua upande wako, kwahiyo hoja zako nyingi ni dhidi ya mpinzani wa unaemtaka ongoze CDM
Huwezi kusema alimwamini, kwani alifanya hivyo kutokana uadilifu wake, kwann usijiulize kwan kambi ya mbowe walipokea pesa hizo chafu? Nakushangaa sana.
Excellent analysis. Kweli wewe unamjua Lissu. CHADEMA will pay a heavy price wakimpa uenyekiti
Hongera sana kwa uchambuzi nzuri brother. Siku zote naamini sana uwezo wako mkubwa kiuchambazi wa mambo.
Pesa za Mbowe inaonekana wanakula wengi maana wanajitokeza machawa ambao hatukutegemea
Ww ni muhuni tu uliejificha kwenye mwamvuri wa uchambuzi maana kwenye hili umeshindwa kusimamia taaluma yako na kugeuka chawa wa Mfalme kutoka Hai.
Pinga kwa hoja usilete mipasho hapa..
@merumount5988 unawashwa
@DennisKahinda hizo bangi za kuvutia matakoni usirithishe wanao..
MASWALI YAKO Hayana msingi wowote,wewe na wenje ni chawa wa MBOWE UNATUMIKA SANA HUWEZI KUJA LEO.ULISHASEMA PERSONAL ISSUE AMBAYO.CHAMACDM KILIWAHI KUIDAI SERIKALI PESA ZA LISSU?JITIHADA BINAFSI
Mchambuzi yuko biased! Can’t talk about Mbowe. Kwa nini?! Ni chawa wa Mbowe and we all know that!
Ngurumo: usipotoshe! Abdul hakwenda kwa Lissu kwa ajili ya kushughulikia madai ya Lissu. Madai ya Lissu ni matokeo ya kushindikana kwa Lissu kuhongwa! Get the facts right
Lissu amekanusha kudaiwa na Wenje!
Wenje angesemaje kuhusu kuhongwa wakati yeye ndo alifanya udalali?! Hakuna uchambuzi hapa Ngurumo!
Hutamwelewa Lisu unampenda Mbowe
Wala Mbowe hampendi, angeongea kitambo siyo Leo. Naona sijui ameanza kwenda ki maslahi zaidi? Anadai Abdul eti Usalama wa Taifa 😂 Lissu mwenyewe alihojibkitambo, anapata wapi Abdul legitimace ya kwenda Uganda nchi ya nje kwenda kujadili Mikataba ya nje? Lissu aliyehoji ni mgombea Urais wa 2020, ni mwanasheria nguli wa kimataifa, Leo anahojiwa na kinyangarakata tu?
Suala hili ni myama mkali kanasa mtegoni, kwahiyo ni la kuusogelea mtego kwa tahadhari! 😂
Mbona naww hukusema baada ya lisu kuliongea umesubiri lisu atangaze kugombania uenyekiti, nyie waraba asali tuacheni, lissu ni mwenyekiti kama hamukumchagua bas mtwambie angewezaje kua raisi wa nchi asiweze kua mwenyekiti wa chama, take my word chini ya mbowe chama kinakufa
Mimi nilikukubali sana chahali lakini kwa hili😂 na wewe umekuwa chawa akili yako😂kubwa hapa imetwawaliwa na akili😂ndogo umeonesha wazi wewe ni chawa wa mboe
Ulikuwa mchambuzi mzuri Sana lakini Sasa hivi mmmmh
Jamaa kapoteza haiba yake!!
Ngurumo wasiliana na Mbowe na Lisu waitishe kikao cha zalula kabla UCHAGUZI kufika
Sidhani kama uwezo huo anao!! Ukishakuwa bias, unaanza kupwaya taratinu
Yaani tunge kuwa na uwezo wakujua kinacho ongerewa na mtu kabla ya kufungua kifurushi chetu, tunge okoa mb zetu nyingi, la.
Amenimalizia mb zangu bure tu huyu chawa
😅😅😅😅😅
Mpumbavu wewe@@eliajimmy95Katie huko ulikotoka..
@@eliajimmy95ujinga ulio nao utaelewa nini..
Huna lolote.. nenda kahongwe na hao ccm wajinga wenzio
Wewe ndo ulisema , kama ulimuambia Lisu asigombeye , jee hautaweza kufurahi lissu kugombea, muongo wewe
Gurumo, ukweli ni kwamba Freeman Mbowe amekaa muda mrefu mno kwenye uenyekiti wa chadema taifa na tumemchoka, tunataka mwenyekiti mpya. Tunamuelewa mno Tundu Lisu kuliko unavyofikiria, tunafikiri Tundu Lisu atatuvusha
Huo ndiyo ukweli ndugu. Tunataka mwenyekiti mpya ambae ni Tundulissu. Tundulissu anatosha kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa tunaenda na Tundulissu.
Kichama Tundu Lisu hawezi kutuvusha na Chama kitadumaa Kisiasa anaweza sana maana ni mwanaharakati na msemaji mzuri kama walivyo mawakili
Kujenga chama haitaki uanaharakati Ni jinsi unavyoweza ku accommodate watu wote wenye fikra tofauti Hapo Mbowe anafaa sana atasaidia ktk ujenzi wa chama
Kwa hiyo kumbe hata Urais asingeweza!@@sospeterodhiambo6869
@@sospeterodhiambo6869kichama hawezi ila kisiasa anaweza😂 hivi nyie jamaa!! Anyway labda kwakuwa ishasemekana kwamba CHADEMA NI SACCOS YA FULANI HAPO KWELI LISSU HAWEZI WAVUSHA KASACOSISACOSI
Atawavusha kwenda wapi? Hatutaki mambo ya Msumbiji hapa.
Lissu, hivi Nini kinachokusibu? Tumekupenda sana, kwa hili Mimi ni miongoni hatupo pamoja.
Usipindishe bwana Abduli amekwenda bwana Lisu ili amuhonge pesa ili anyamaze kuisema vibaya serikali ndiyo akakutana na kigingi cha Lisu ambaye aķamwambia kama anataka kumpa pesa akamwambie mama yake amlipe pesa zake za matibabu wote tumesikia usitupindishe labda wewe upo upande wa dalali Wenje. Naamini Sana vipindi vyako Leo Kuwa straight. straight
Lisu ni kigeugeu mara alikuwa anataka kuhongwa, mara anataka kusaidiwa ili kupata pesa zake. Sasa tushike lipi?
Inabidi tumwangalie Ngurumo kwa jicho la pili hapa. Hayupo kwenye mfumo. Usalama wa wapi? Watoto wa Nyerere kwamwe hawakutembea barabara I, acha utumbo. Nonsense.
Wewe unambomoa Lisu, na unainomos Chadema.
Dare you. Riding pambania ndani ya nchi
Mzee mbona mnageuzageuza maneno mtu mzima wee nyie ndio wachonganishi wa tundu lisu na mbowe acha uongo wako
Ngulumo ...binafsi nakuelewa....Sio wote watakuelewa kwa uchambuzi huu.
Lkn Usikatishwe tamaa ...maana jukwaa hili sio kwa manufaa yako...bali ni kwa manufaa ya watu wote....ipo siku clip hii itaeleweka vizr kwa watu ata kama leo inaonekana kama umechukuwa upande fulani ivi....!
Mungu akubariki brother!
sio kachukua upande fulani laaa!! ni kwamba Kavuta kabisa kwake
😂😂😂
Lissu amebeba imani za vijana wengi mno, hutaweza kubadilisha hicho kwa maneno
Wananchi, wanachadema na wajumbe wote mtakaopiga kura kuchagua mwenyekiti wa chadema Taifa Tunahitaji mwenyekiti mpya na mabadiliko katika chama.
Hivyo wajumbe msikubali kupokea rushwa kutoka kwa wagombea hasa ile timu ya Mbowe!
Huu uchaguzi unaingiliwa na machawa kutoka nje ya chadema, kutoka ccm na kwingineko! Ndiyo hawa wanaompiga vita Tundulissu! Huu uchaguzi ni kama ule wa TLS Mwabukusi alipigwa vita sana kwa sababu yeye alikuwa ndiyo mtu sahihi kwa nafasi ili kwa wakati huu!
Hivyo hata sasa Tundulissu ndiye mtu sahihi kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa! Ndiyo sababu anapigwa vita kila upande.
Tunamtaka Tundulissu kuwa mwenyekiti mpya chadema. Msisikilize machawa wana ajenda zao za siri! Ila hawatashinda kwa uwezo wa Mungu,AMEEENI.
Hapa ngurumo umepuyanga ukweli wote Lissu ameweka wazi kwa namna unavyojenga hoja ni marudio yalishapata majibu,nashangaa na wewe mwandishi tunayekuamini unakuwa chawa kwaFikira Lissu aliyasema haya hata hajaamua kugombea,ulitaka aside haraka haraka bila kulifanyia uchunguzi
Unazingua team mbowe
Hao waliompeleka kwa lisu wao hawakumuamin acha uzembe na ndevu zilizo kosa rutuba
Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani,
lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara.
Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora,
bali moyo wa mwovu una thamani ndogo.
Midomo ya mwenye haki hulisha wengi,
lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu.
Mithali 10:19-21
Siku hizi sikuelewi kabisa ndiyo maana uko nje ya Nchi,
Hapana hata wewe leo umefeli ukijenga hoja jenga isima pande zote mbili mbona umejikita sehemu moja uwanifu wako umeanza kopotea na ww ludi ufikilie ulicho nzunguza na ujiulize nilivyo siku zote tutaacha kukufatilia kama ndo mwenendo
Kwa hiyo mtu akimuunga Mbowe mkono hafai.......ila anayemuunga mkono Lisu anafaa.......acheni ujinga....box la kura litaamuwa
Chawa Lisu jiandae kisaikolojia kushindwa tena na tena tukutane kwenye sanduku la kura litaamua jiandae kisaikolojia lkn 🏃🏃🏃
Tena bila kuangalia kazi aliyoifanya chadema, ukweli kama huna pesa bongo huwezi kuendesha chama bongo, tundu alikua wakawaida chadema ikampandisha baada yakupata matatizo sasa anainyea
Ashinde Mbowe au Lissu, haibadilishi hali halisi. Msigombane. Yeyote atakayekuja, Mama ana mitano tena. Baaas!
Ukiwa mwandishi professional basi kuunga watu mikono na kuwapinga wengine kwenye makala zako inakua ni usanii na uchawa sio journalism tena
Na kumbuka ulikua ukimkingia kifua sana, Sasa umeanza kuona mziki Wa lisu
Mwandishi una changanya Mambo, wewe weka wazi mlengo wako, uhache giriba, mahojiano yote tume yasikia wote uhache porojo. Kila Jambo Lina wakati wake, kesi ya nyani upeleke kwa ngedele? Hacha ujaja kwenye hoja zako.
Kwenyehuo mfanowako wakwamba mtoto wa adui yake kajakwake akamwambia hua anachepuka na mke wake, ilipasa usemepia wakati akimwambia hayo alikuwepo ndugu yake anayemwamini sana na alidhibitisha nikweli huyu mkewe(shemeji) anachepuka.
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima, gareti la Mbowe. Amebaki kuwa chawa wa Mbowe! Hamtasikia any negative analysis juu ya Mbowe pamoja na kwamba zipo sana!
Hayo yako,sisi tunasikiliza hoja za msingi
Chawa ni wewe mwehu
Ngurumo yuko sahihi
Tena yuko sahihi sana. Wengi hawataki kusikia lolote hasi juu ya Lissu. Na hii ni bahati mbaya sana.
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima kama mwajiriwa. Je, kila mwajiriwa ni chawa wa mwajiri wake? Nafikiri umekosa hoja isiyo na mantiki. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu kuhusu mwenendo wa Lisu!
Hii analysis inanikumbusha msemo "mchamba sana hutoa mavi" .....
Kwa kitu literally almost black and white
Mkuu tunajua ungekua mjumbe kura yako ingeenda kwa Mbowe
Leo ndio nimeachana na ww kumbe ww ni mnafiki mkubwa
Siku zote huyu ni bias. Hana jipya
yan akawatonye viongoz ambao ndyo waliompeleka abdul kwake na kumbembeleza kuonana naye hv ww mzeee siku hzi umeanza kulewa kabla ya kuanza kuleta mjadala wako
Mzee this time unatuhadaa
Ahaa SASA nimeshaelewa HUYU nguli wa habari YUPO UPANDE WA mbowe😂😂😂😂😂😂😂😂😂