In the Name of the President: Kitabu cha Mateso ya Magufuli | GUMZO MAALUM na Erick Kabendera

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 650

  • @WilliamMangena-w9i
    @WilliamMangena-w9i День назад +26

    Hongera sana Eric. Kwa watu wenye uelewa watakuelewa ila usikatishwe tamaa na watu wasio na uelewa na kazi yao ni ushabiki tuu usio na mantiki. Kwa uelewa wangu muandishi anandika mambo aliyoyaona, aliyoambiwa, aliyosoma n.k. Kama kuna mtu ambaye ana mtizamo tofauti na uliyoyaandika na yeye atuandikie mtizamo wake na sisi tutasoma na tutaendelea kunufaika na maandiko yenu kwa maslahi pana ya taifa. Shukrani

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 День назад +1

      @@WilliamMangena-w9i siyo mashabiki JPM anapaswa kuandikwa Kama alama ya Taifa matendo yake ya uzalendo na fikra zake zifundishwe hadi mashuleni .Mpumbavu mmoja kibaraka anajitokeza kuandika upumbavu usiofaa kuigwa kuufukia uzalendo wa Rais Magufuli hatutakubali hii Vita Bado ni mbichi tutatwangana na mwandishi mjinga anayekubali kutumia vibaya akili zake huku anaujua ukweli

    • @tumainimungumosha5007
      @tumainimungumosha5007 День назад

      1

    • @AllyDaudiNgoyeji
      @AllyDaudiNgoyeji День назад +1

      Where is that book obtainable&at what price?

    • @Yusuphmbuguni-d6q
      @Yusuphmbuguni-d6q 23 часа назад +1

      Pia sisi wenye taaluma ya Uandishi ni lazima ufanye utafiti wa kutosha juu ya story unayoisikia na upate sources za uhakika kwa hio mwamba hajakurupuka kabisa anaandika habari za kiuchunguzi

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 21 час назад

      @@jonfredkewe3451 yap, nimekupenda, hao ni wale waliokuwa wanapishana name, nafurahi kuona watu wanamtetes Jpm dhidi ya hao wanaomwandika vibaya

  • @isaacemily1889
    @isaacemily1889 21 час назад +4

    Erick Kabendera hongera sana ,Mungu awe upande wako hakika,,kwa ushahidi huu hata Mungu ameusikiliza kwa makini

  • @christophermwenda1863
    @christophermwenda1863 День назад +3

    Hongera sana mwandishi umefanya kazi kubwa Sana na umehatarisha uhai wako mwenyewe kuliponya taifa,haya yanatakiwa kusemwa ili Mambo haya yaishe kabisa na waliohusika wafikishwe kwenye vyombo vya Sheria.

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 День назад +16

    MAGUFURI 4, TZ. DAIMA TUTAKUKUMBUKA BABA MAGUFURI ( JPM)

  • @benedictkimbache3602
    @benedictkimbache3602 2 дня назад +12

    Pokea shukrani nyingi, Rafiki yangu Erick Kabendera, kwa kuandika kitabu hiki muhimu. Kazi yako inarudisha kumbukumbu zenye uchungu na machozi, lakini pia ni kumbukumbu za thamani zinazolenga kusimika misingi thabiti ya uongozi unaojali na kuheshimu uhai wa wananchi, ustawi wao, na zaidi ya yote, utawala bora unaozingatia na kuheshimu sheria za nchi.

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania День назад +25

    Pole sana brother, bahati mbaya sana uliamua kupingana na kazi ya ujenzi wa Taifa. Sijui kama ulistahili au haukustahili lakini naamini ulipingana na ujenzi wa Taifa

    • @aloycekomba1
      @aloycekomba1 День назад +4

      Wakati wewe unafuraha kuna mwingine anahizuni na huyohuyo anaekupa tabasamu kunamtu anamwaga machozi kwa ajili yake, sio kila mwema kwako ni mwema kwa mwingine pia na sio aliyembaya kwako ni mbaya kwa mwenzio pia.

    • @edwinkajuna7207
      @edwinkajuna7207 22 часа назад +1

      Huna akili

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml 8 часов назад

      UNA USHAHIDI GANI HUNA RESEARCH HUNA HAKI YA KUONGEA HIVYO KUWA NA UTU UHAI WA MTU NI MUHIMU KULIKO CHOCHOTE KILA MADARAKA LAZIMA YATOKE KWA WATU UOVU LAZIMA UPINGWW PROPAGANDA HAUSAIDII

    • @nicasissa
      @nicasissa 7 часов назад

      Maisha hayajawahi kuwa sawa, vivyo hivyo na wewe wakati unafurahi wapo loe wanalia​@@aloycekomba1

    • @kefamwakipesile275
      @kefamwakipesile275 3 часа назад

      Tulia hvy hvyo nyie kenge,hii nchi inahitaji kiongozi chizi Zaid ya JPM,
      Kwa maan chizi pekee ndio mtu anayeweza kujitawala

  • @rwizamtugwarwiza9022
    @rwizamtugwarwiza9022 7 часов назад +3

    Safi toa na tafasiri ya kiswahili kwa ajili ya watanzania walio wengi

  • @user-xo4ds2bh6s
    @user-xo4ds2bh6s 20 часов назад +4

    Tuliipigania haki yako. Waliokua karibu na kariburi la Mama, nendeni mkaweke maua na kuonyosha heshima yenu. Hii ni historia ya kipekee haijatokea kwa bahati mbaya. Hii ni elimu. Hili ni fundisho.
    Huu ni ujumbe. Mungu ametuonyesha Yeye ni Mungu, na anayo Mamlaka. Tuwe wanyenyekevu.

  • @benjaminmichael811
    @benjaminmichael811 2 дня назад +30

    Kongole sana Mohamed Khelef Ghassani..Endelea kufanya kazi nzuri hii sauti inanikumbusha DW habari za ulimwengu saa saba mchana, hasa kile kipindi ulikua unafanya kila jumamosi sa saba mchana ukifanya mahojiano na watu kadhaa🎉🎉🎉

    • @IssakaKamala
      @IssakaKamala 2 дня назад +3

      😊

    • @IssakaKamala
      @IssakaKamala 2 дня назад +1

      😊

    • @tashone7884
      @tashone7884 День назад +1

      Kweli, umenikumbusha sauti hii idhaa ya ujerumani

    • @oskamsafiri2814
      @oskamsafiri2814 День назад

      @@benjaminmichael811 wajinga wachache hawakumuelewa kwani kufukuzwa ni kosa

  • @benedictkimbache3602
    @benedictkimbache3602 2 дня назад +16

    I extend my deepest gratitude to you, my friend Erick Kabendera, for authoring this remarkable book. Your work evokes painful and tearful memories, yet these reflections are profoundly valuable. They serve as a cornerstone for fostering leadership that cherishes and respects the lives of citizens, prioritizes their well-being, and, most importantly, upholds the principles of good governance and the rule of law.

    • @jumamnumbwa9483
      @jumamnumbwa9483 День назад

      @@benedictkimbache3602 kabendera is a pawn bastard

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 дня назад +16

    WENGI WALIMPENDA SAAAANA SEMA MAADUI WA JPM WALIKUWA WAOVU TU MAANA HUYO BABA ALIKUWA MZALENDO HASWA. (Huwezi chafua dhaabu kamwe )

    • @pastorytitus5189
      @pastorytitus5189 22 часа назад

      Tafasili ya uzalendo huwa ni nini.

    • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
      @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 17 часов назад

      Jamaa ajitambui ni kweli atuambie uzalendo ndio nini

    • @LeyanKiberenge
      @LeyanKiberenge 14 часов назад

      ​@@pastorytitus5189google usijifanye hujui mnafiki mkubwa wewe 😂

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 13 часов назад

      Nyie wote mnao ni reply apa hamjitambui na mna fahamika ni wale mlikuwa mnanufaika na ufisadi, wizi, zulma, mlikuwa mkitumika nawakoloni mumchafua kwa namna moja ama nyingine, maana alikuwa sio kibaraka wao… Magufuli aliwanyima fulsa waovu adi sasa mna hasira nae mnataka kumchafua. Yule alikuwa dhaabu ni nivigumu kuichafua. NB: Mimi sio mtz bali ni Panafrican

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 2 часа назад

      ✔️

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd День назад +25

    magufuli hachafuliki bn watu wanamsema kila siku wewe kama ulikua unalipwa ili kuitukana selikali ya JPM kwa tamaa zako chamotto ulikipata

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 5 часов назад +1

    Mungu amekuacha hai ili ukweli usemwe ukweli utashinda mwishoni. Na kuna mengi yanaendelea chinichini wakidhani hawatajulikana lakin kuna karibia kupambazuka. MUNGU MKUBWA NA KILA UBAYA UNA MWISHO.

  • @samirali5040
    @samirali5040 День назад +9

    Mh magufuli anashika namba 2 ktk marais wa Áfrika ambao walimpendwa kwa kiwango kikubwa na wananchi wake!namba Muamar ghadaf wa libya!mie munauchungu Kwa sbbu mulikaa jela!adhabu ya Mungu ikishuka haichagui mcha Mungu au kafir!hata wtt majumbani wakifanya jambo baya huwa wanakataa,baba mzazi kutafuta ukweli inamlazimu atembeze bakora kwa wtt wote ili kupata ukweli ni mfano wa wale waliokamatwa km magaidi!

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya 2 дня назад +29

    Mungu amrehemu Magufuli. Mambo makubwa aliyoyafanya tunayafaidi sasa. Tren ya .mwendokasi..Viva Magufuli

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 2 дня назад +5

      Ndivyo inavyokuwa huyu hawezi kusema yake ni kama anajiona mtakatifu ila magufuli amefanya kazi kubwa sana nchini, watu wasome historia ya ndani zaidi ya Russia ya raisi kabla ya putin na baada ya putin na ilipo sasa Russia mtaelewa vizuri tusiwe tunasifia tu maendeleo ya wengine bila kuja kilichofanyika mpaka wamefikia walipo sasa, magufuli aliweka wazi ni bora wachache waumie wengi wapone, hawa kila kukicha ni maneno tu hao wanaonekana wanafanya haki ndio kila kukicha wanawapoteza watu kinya kimya kuliko hata sisi.

    • @wilsonmarco-n9w
      @wilsonmarco-n9w 2 дня назад +6

      Hata wangeandika kwa damu,imani yetu kwa Magufuli haitapungua,wanatupa uchungu wa kupambana tu

    • @erastojhn
      @erastojhn День назад +8

      Treni haizidi thaman ya uhai wa mtu

    • @sadih5333
      @sadih5333 День назад +2

      Sio Treni tu na uwanja wa ndege Chatto.

    • @twahirabasi9765
      @twahirabasi9765 23 часа назад +1

      Who cares kuhusu imani yako, sisi tunataka tujue ukweli ili kunusuru Taifa dhidi ya udhalimu.

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack 2 дня назад +35

    Mungu amueke mahali pema peponi alikuwa zaidi ya rais mkinyimwa kuiba maneno yanawachomoka

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 дня назад +6

      Wewe Msenge tu. Mungu hana pepo za kipumbavu kiasi hicho.

    • @HaroldTarimo-g6f
      @HaroldTarimo-g6f 2 дня назад +7

      Huenda yeye alibana wasiibe ili aibe yeye

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 дня назад +4

      Kama hujui kitu bora ukae kimya

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 2 дня назад +4

      Magufuli alikuwa mwizi, muuaji, mtekaji na mbakaji. Wewe msifie tu.

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 2 дня назад

      ​@@songombingo108🌈🌈💯

  • @anytime5685
    @anytime5685 2 дня назад +52

    Yote katika yote Magufuli alikuwa rais

  • @oskamsafiri2814
    @oskamsafiri2814 2 дня назад +31

    Magufuli hakupenda wezi na rafiki zao kama nyie mnaomkashifu. Sie tunamuombea

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 дня назад +2

      Kwani Kabendera na kalamu yake aliiba nini

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 дня назад

      Unamuombea kabendera amusamehee ama hujui utalatibu wa msamaha wa Mungu

    • @sadih5333
      @sadih5333 День назад

      Yes, mwizi hapendi mwizi mwengine

    • @Thevineyard9889
      @Thevineyard9889 День назад +1

      Kwa hiyo mwizi alikuwa hapendi wezi wenzake? Nyie watu kweli ni vipofu wa fikra na ufahamu

    • @justinewalwa7387
      @justinewalwa7387 День назад +1

      @@ramadhanchenga4606 Kabendera na huyo mtangazaji ni vibaraka wa wazungu,sasa MAGUFULI hakupenda ujinga huo

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 2 дня назад +23

    Vita za uchumi si nyepesi kama sisi wenye ubongo wa nyumbu.Raisi magufuli alikuwa sahihi sana kwamambo mengi na maslahi mapana ya nchi. Mfano waarekani. Nikwanini vita yake ya kiuchumi kwa washindani wake haitaisha milele? Utskapo yapata majawabu sahihi kwenye hili basi utakuwa wa kwanza kumpongeza sana magufuli.niwachache tu wenye ubongo wa nyumbu ndo hawatoweza kumjutia mtaalamu wa hesabu nyingi( spiritual intelligence)wenye kuyafanya haya.Taifa limepoteza nuru,dhahabu,almasi na Tanzanite ya nchi.

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 2 дня назад

      @@greysondavid6445 vita ya uchumi, umedanganywa na nani

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 День назад +3

      Yap, walioelimika wanakuelewa

    • @emanuelkigwapi7730
      @emanuelkigwapi7730 День назад

      Siasa na ubinafsi vikiwa ni propaganda ya vuta ya kiuchumi kila mtu nyumbu

    • @LeyanKiberenge
      @LeyanKiberenge 14 часов назад

      ​@@Venas-uh3wzwewe ni jinga sana yanii huoni watu wanavyokupinga kitabu hicho ukichukue wewe

  • @EmmanuelKivuyo-mx3cw
    @EmmanuelKivuyo-mx3cw 2 дня назад +9

    Magufuli ni putin wa tanzania mfalme wetu

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 дня назад +30

    Nchi kama Tanzania inahitaji kiongozi kama Magufuli au mala mbili yake kwa ukali na kuchukia rushwa.

    • @sadih5333
      @sadih5333 День назад

      Wewe una asili ya nyani , ndio ukapenda uongozi wa kinyama.

    • @albertinamichael6123
      @albertinamichael6123 День назад

      @sadih5333 kama wewe nyani ana zaa nyani.

    • @gangan4618
      @gangan4618 День назад +2

      Kenge wa kijani wewe, MWENDAZAKE ALIKUWA MWIZI MKUBWA NA WAFUASI WAKE... VIBAKA NA MAJAMBAZI HATARI.

    • @edwardKissiky
      @edwardKissiky День назад

      Pumbavu ww

    • @GentleGiant-pj2rk
      @GentleGiant-pj2rk 23 часа назад

      Sema inahitaji muuaji katili. Siyo kiongozi sababu yule hakuwa kiongozi

  • @samirali5040
    @samirali5040 День назад +7

    Sisi wanyonge watanzania toka tupate uhuru hatujawahi kupatapo Rais anaewapenda wananchi wake na kuwajali km mh.magufuli!

  • @AminaJofrey-u8m
    @AminaJofrey-u8m 13 часов назад +3

    Wewe ni shujaa. Mungu akupe ulinzi.

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 23 часа назад +1

    Hongera Sana mdogo mdogo wangu Erick

  • @edenusmrosso9225
    @edenusmrosso9225 2 дня назад +36

    Zaidi ya asilimia 80 ya watanzania wanamkubali Magu kwa u hapa kazi wake. Wanaokulipa huko ulipo ndio wayakaosoma upuuzi wako. RIP papa Magu

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 2 дня назад +4

      Kakwambia nani ,kama ni hivyo asingepora uchaguzi

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 2 дня назад +3

      Ni wewe tu na familia yako mnamkubali Magufuli, siyo sisi. Huyo muuaji mwenzio. Jipe moyo tu.

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu 2 дня назад +4

      We nawe tahira kweli yaani uchapa kazi ya nyoko bado atabaki kuwa muuaji na ikiwa hiko kitabu kishasomwa na baadhi ya watanzania kenge wewe

    • @Worldunite
      @Worldunite День назад +4

      @@Yussuf-b3b ungekuwa ndo wewe ungefuta machaguzi yote ili utawale daima milele

    • @Worldunite
      @Worldunite День назад +3

      @@Venas-uh3wz usiseme "sio sisi", jisemee wewe usiseme kwa niaba ya wengine

  • @Worldunite
    @Worldunite День назад +28

    Hizo kampeni zenu za kumchafua JPM kwa style hiyo MKASOME SANA, Hamtoweza KAMWE kumchafua JPM.
    Ni asilimia ndogo sana ya watu km nyie ndo mnamchukia, SISI TULIO WENGI TUNAMTHAMINI NA KUMPENDA JPM

  • @wilsonmarco-n9w
    @wilsonmarco-n9w 2 дня назад +23

    jembe lililolima kwa nia njema,bahati mbaya liliharibu viumbe na makazi yao,Nia njema ya mkulima haitapuuzwa na waungwana,Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 День назад +1

      Nimekuelewa

    • @edsonkilatu5211
      @edsonkilatu5211 День назад +2

      Utu wa mtu ndo tunu pekee ya mwanadamu

    • @user-xo4ds2bh6s
      @user-xo4ds2bh6s 21 час назад +1

      Taifa ni watu, sio majengo yasiyokuwa na roho.
      Ubinadamu kwanza. Bila Ubinadamu hakuna Taifa.

    • @kefamwakipesile275
      @kefamwakipesile275 3 часа назад

      Siku Moja Mzee JPM alisema,
      Kuna watu wanasema kumtumbua mtu hadharani si hali za binadam,
      Je mwizi wa Mali za umma je yeye ni haki yake kuwaibia wananchi?.

    • @nuhhumwakanyamale4771
      @nuhhumwakanyamale4771 3 часа назад

      ​@@kefamwakipesile275Baba huo ni mstari wa moyo, Mtu mpenda haki lazima ajihoji km wewe. Haki ni nini?

  • @solomtz7049
    @solomtz7049 2 дня назад +41

    Raisi wetu Baba magufuli….RIP BaBa watu wanajuta leo

    • @king3-q1s
      @king3-q1s День назад

      Baba yako peke yako. go to hell Magufool

    • @martonsambwe7072
      @martonsambwe7072 День назад

      Hii nchi ina wanafiki wengi sana akiwemo huyu ila what goes around comes around yako wapi Mungu fundi

    • @hamzamwaya463
      @hamzamwaya463 15 часов назад

      Na wapo wengi wanafurahia kuondoka kwake

  • @KhamisKhamis-jv1li
    @KhamisKhamis-jv1li 2 дня назад +20

    MAGUFULI alikuwa ni rais wa mfano wa ukomboz wa afrika na ubinadamu. Nyie hamjaona. Kwa nini tulimpenda zaid sisi maskini wanyonge na watu wa chini na nyie mmemchukia mkakimbia nchi za watu ?

    • @salyali7807
      @salyali7807 2 дня назад +2

      Mumedanganywa raisi wa wanyonge yeye akijinufaisha na kuvimba tumbo

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 дня назад

      ​@@salyali7807unao ushahidi??

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 дня назад

      @Sheba4651 wewe sio masikini? Nyie ndo mnaoukubali afrika kuitwa wa ulimwengu wa tatu.
      Mkimpata mtetezi ndo mnaanza Kuwait wengine wanyonge na masikini.
      Zinduka aisee, mabeberu siku zote hawana marafiki wa kudumu

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 дня назад

      @Sheba4651 unajiona wewe ni tajiri? Na matajiri wajiiteje?
      Una akili ya kushikiliwa na mabeberu ndo maana unaishi kwa kukariri, "ati nyie masikini,wanyonge" kuliko wewe???

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 2 дня назад

      Hatutaki wanyonge nchi hii, tunataka wapambanaji. Wanyonge mkatafute nchi yenu, hatutaki maskini nchi hii.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День назад +6

    Kwani mnajipange kuachieve nini? Kuiuza Tanzania? Mmechelewa sana. Watu wanajua kinachoendelea yote haya sababu ya kutaka kuendelea my exploit rasilimali zetu......mshindweeee

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg День назад +5

    Waone vichwa vyao kama manyumbu,achana na magufuli huyu mtu ni mpambanaji mwenye maono na anaishi hadi sasa kwa mazuri aliyoifanyia nchi,nyinyi bakini kua vibaraka wa magharibi mtatolewa malinda

  • @FAUZALRIYAMIY
    @FAUZALRIYAMIY День назад +2

    KWA WALE WOTE WANAOMTUHUMU KABENDELA KUWA KAMSINGIZIA MAGU HAPO KASHASEMA RUKSA MCHUKUE HATUA ZA KISHERIA .AKAWAJIBU HOJA ZENU POVU LA NINI?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 дня назад +2

    Nadhani kuwataja itakuwa vizuri sana kwa sababu maisha ya mtu mmoja mmoja inathamani sana. Maisha siyo ya wakubwa tu bali hata sisi masikini maisha yana thamani sana. Kwanza kila mtu anamchanga kifamilia. Na wanapowapoteza kisirisiri wanaoathirika ni hao hao familia za kimasikini wanaoathirika zaidi kwa sababu huyo anayepotezwa alikuwa na kitu kidogo alichokuwa kitapiganiwa na wengi sana kifamilia kwa sababu ni familia ya kimasikini.

  • @allykigatta7564
    @allykigatta7564 2 дня назад +11

    ..HUYO MJINGA HANA LOLOTE LA KUTUAMBIA JUU YA RAIS MAKINI MARHUM DACTA JOHN MAGUFULI..daima tutamkumbuka rais wa UKWELI KABISA BARANI AFRIKA DACTA MAGUFULI....HAKUNA NAMNA YA KUMTIA DOA RAIS HUYO MAKINI KUTOKEA BARANI AFRICA akifananisha na hawa MARAIS VILAZA TULIONAO...

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 День назад +3

    Hujafanya kusaidia watanzania umefanya kwaajili ya wanao kucontrol

  • @bernardmbilinyi9226
    @bernardmbilinyi9226 2 дня назад +26

    Wengine tunaamini ametutoa gizani na kutuweka kwenye mwanga! Vizuri tukamuenzi wote kwa maendeleo aliyoleta!!! Tuache unafiki.

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 дня назад +6

      Wewe ndo mnafiki. Hapo ulipo hata hujui hela ya kulisha familia mchana huu hujui utapata wapi. Umebaki kusifu ujinga

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 2 дня назад +3

      ​@@songombingo108utaahira tu huo.
      Fanya kazi kazi kulalama tu nyambafu.

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 2 дня назад +1

      Binaadam ni binaadam. Hawezi kuwa na mazuri tu. Huo ndio ukweli wa maisha.

    • @abdalahmwendafeysal9093
      @abdalahmwendafeysal9093 2 дня назад +2

      Sio mtanzania kwa asili

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 2 дня назад

      ​@@abdalahmwendafeysal9093😮😮😮akasemee ya n'chi yake....

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 День назад +14

    Magufuli forever rais wangu wa maana kabisa

  • @husseinc
    @husseinc День назад +18

    Magufuli kafanya kazi nzuri kwenye taifa letu, watu walikuwa wanamchukia inajukana ni wa namna gani, magu alizuia mianya mingi ili taifa lifaidike tumeona aliyotuachia ata mkimchafua bado ataendelea kuwa mioyoni mwetu, pumzika kwa amani raisi (john pombe magufuli)

    • @bfox3549
      @bfox3549 18 часов назад +3

      Well, hata kama alifanya kazi nzuri bado ni muhimu saana tujue mabaya aliyoyafanya.

    • @husseinc
      @husseinc 13 часов назад +1

      @bfox3549 huyo hana chamana aliamua kuwa mpingaji wa kazi mzuri ya jpm, nape si alikuwa anapinga ujenzi wa bwawa la mw. Nyerere mradi alioujenga magufuli nape aliungana na umoja wa ulaya kupinga bwawa, unaona watu wa aina hiyo kutaka kukuludisha nyuma miradi yenye faida kwa maendeleo ya nchi, ununuzi wa ndege kuna wanasiasa waliokuwa wanapinga haohao wanazipanda ndege hizo hizo walizokuwa wanataka zisinunuliwe, kuwa kundi limekaa kupinga na mchafua kiongozi aliyekuepo (siasa) baadhi ya wa watu na lawama zisizo stahili mtu mwenginge ajala anamraumu raisi, kajenga kibanda chake eneo lisilostahili kikibomolewa anamraumu rais na hawa wanasiasa hasa vyama vya upinzani kutoa madai yasiyo ya kweli wala uthibitisho, leo hii mtaambiwa huyu ndio muuwaji kesho atatajwa mwengine na mtandao wa simu, hizi awamu zote hakuna mabaya aliyoona aliandika?, akuna jambo jipya yanayotokea yametokea awamu zote,

    • @husseinc
      @husseinc 12 часов назад

      @bfox3549 huyo hana chamana aliamua kuwa mpingaji wa kazi mzuri ya jpm, nape si alikuwa anapinga ujenzi wa bwawa la mw. Nyerere mradi alioujenga magufuli nape aliungana na umoja wa ulaya kupinga bwawa, unaona watu wa aina hiyo kutaka kukuludisha nyuma miradi yenye faida kwa maendeleo ya nchi, ununuzi wa ndege kuna wanasiasa waliokuwa wanapinga haohao wanazipanda ndege hizo hizo walizokuwa wanataka zisinunuliwe, kuwa kundi limekaa kupinga na mchafua kiongozi aliyekuepo (siasa) baadhi ya wa watu na lawama zisizo stahili mtu mwenginge ajala anamraumu raisi, kajenga kibanda chake eneo lisilostahili kikibomolewa anamraumu rais na hawa wanasiasa hasa vyama vya upinzani kutoa madai yasiyo ya kweli wala uthibitisho, leo hii mtaambiwa huyu ndio muuwaji kesho atatajwa mwengine na mtandao wa simu, hizi awamu zote hakuna mabaya aliyoona aliandika?, akuna jambo jipya yanayotokea yametokea awamu zote,

    • @husseinc
      @husseinc 11 часов назад

      @bfox3549 huyo hana chamana aliamua kuwa mpingaji wa kazi mzuri ya jpm, nape si alikuwa anapinga ujenzi wa bwawa la mw. Nyerere mradi alioujenga magufuli nape aliungana na umoja wa ulaya kupinga bwawa, unaona watu wa aina hiyo kutaka kukuludisha nyuma miradi yenye faida kwa maendeleo ya nchi, ununuzi wa ndege kuna wanasiasa waliokuwa wanapinga haohao wanazipanda ndege hizo hizo walizokuwa wanataka zisinunuliwe, kuwa kundi limekaa kupinga na mchafua kiongozi aliyekuepo (siasa) baadhi ya wa watu na lawama zisizo stahili mtu mwenginge ajala anamraumu raisi, kajenga kibanda chake eneo lisilostahili kikibomolewa anamraumu rais na hawa wanasiasa hasa vyama vya upinzani kutoa madai yasiyo ya kweli wala uthibitisho, leo hii mtaambiwa huyu ndio muuwaji kesho atatajwa mwengine na mtandao wa simu, hizi awamu zote hakuna mabaya aliyoona aliandika?, akuna jambo jipya yanayotokea yametokea awamu zote,

    • @husseinc
      @husseinc 11 часов назад

      @bfox3549 huyo hana chamana aliamua kuwa mpingaji wa kazi mzuri ya jpm, nape si alikuwa anapinga ujenzi wa bwawa la mw. Nyerere mradi alioujenga magufuli nape aliungana na umoja wa ulaya kupinga bwawa, unaona watu wa aina hiyo kutaka kukuludisha nyuma miradi yenye faida kwa maendeleo ya nchi, ununuzi wa ndege kuna wanasiasa waliokuwa wanapinga haohao wanazipanda ndege hizo hizo walizokuwa wanataka zisinunuliwe, kuwa kundi limekaa kupinga na mchafua kiongozi aliyekuepo (siasa) baadhi ya wa watu na lawama zisizo stahili mtu mwenginge ajala anamraumu raisi, kajenga kibanda chake eneo lisilostahili kikibomolewa anamraumu rais na hawa wanasiasa hasa vyama vya upinzani kutoa madai yasiyo ya kweli wala uthibitisho, leo hii mtaambiwa huyu ndio muuwaji kesho atatajwa mwengine na mtandao wa simu, hizi awamu zote hakuna mabaya aliyoona aliandika?, akuna jambo jipya yanayotokea yametokea awamu zote,

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy 2 дня назад +19

    Magufuli alikuwa rais sahihi kabisa kwa wakati uliopo rest in peace magufuli

    • @Burange666
      @Burange666 День назад +1

      Makufuli alikuwa muuwaji mshenzi mbwa.

    • @LeyanKiberenge
      @LeyanKiberenge 14 часов назад

      ​@@Burange666😂😂😂tatizo ulikula vya watu ndo maana unatoa povu apo

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 День назад +5

    Tanzania Una ngara Kwa sababu ya makufuli

  • @Felix72282
    @Felix72282 2 дня назад +19

    Huyu atateseka sana. JPM hayupo tena, na alikuwa rais bora duniani

    • @baltazalcornel3743
      @baltazalcornel3743 2 дня назад

      Ndo hapo sasa, mtu anapambana na marehem, sasa sijui anataka ku_archirve kitu gn

    • @gangan4618
      @gangan4618 День назад +2

      Haya makenge wa kijani jifarijini tu kuhusu marehemu wenu" Muuaji wa watu asiowapenda na jambazi la uchaguzi".

  • @emmanuelmzola8876
    @emmanuelmzola8876 3 часа назад

    Hongera Sana Mr Erick Kabendera

  • @justinewalwa7387
    @justinewalwa7387 2 дня назад +8

    Mtangazaji na Kabendera MNAUMWA UBONGO

    • @zuwenafakih3345
      @zuwenafakih3345 2 дня назад

      Wewe unaumwa mkundu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 2 дня назад

      ​@@zuwenafakih3345Mbona unafyatuka kama kahaba.

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 2 дня назад

      Ww unampenda hakuna muuwaji km yy maiti za kutosha zimeonekana baharini wewe!!! Unakunya tuuu.

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 дня назад +1

      Kuna Wapumbavu wengi kama wewe wanaamini kwamba yule jamaa kaenda Peponi😂😂😂

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 2 дня назад +1

      @songombingo108 kuongea na walemavu wa akili ni tabu sana nahis ww ni taahira kauze nyanya gengeni na bibi yko huu si uwanja wko.

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 2 дня назад +28

    Sisi magufuli tunampenda hata msemeje

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 дня назад +4

      Nenda kakae kwenye kaburi lake

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 2 дня назад +3

      Acha mumpende sana ila yakikufika ww au kaka yko ndo kapotea ktk mazingira ya utata ungependa sana.

    • @juliusmshani6985
      @juliusmshani6985 2 дня назад

      Kwani siku hizi hawapotei? Nani anawapoteza?​@@Irfaan-k1j

    • @Worldunite
      @Worldunite День назад +1

      @@Irfaan-k1j kwani watu kupotea ni kipindi chake tu??
      Au watu kupotea kwa utata ilianza tokea awali hadi leo?
      Usipende sana kulaumu bila ya kufanya utafiti, wengine hupotezana wenyewe kwa sbb zao binafsi

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j День назад

      @Worldunite tunajua ilo hupotezana wao kwa wao swali mamlaka hayo wnayapata wp mmoja kumpoteza mwengine. Hao wanafata mkondo ulokuwepo mda mrefu.

  • @wilsonmarco-n9w
    @wilsonmarco-n9w 2 дня назад +3

    Worry out, we are coming other like Magufuli, the hero of Africa

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 2 дня назад +5

    Hicho kitabu uza huko huko ulipo, na ukitoka huko nenda nchini kwenu ukalete kamdomo, Tz yetu tuachie.

    • @HkShaka
      @HkShaka 2 дня назад +1

      We ujitambui kabisa ujui dunia inaendaje magu ni mbwa tu

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 дня назад +3

    Anzeni na mazuri kwanza wazee wa kazi acheni lomoni

    • @king3-q1s
      @king3-q1s День назад

      Andika wewe hayo mazuri kama unayo.

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 День назад +2

    Very interesting

  • @piusmanyika9818
    @piusmanyika9818 2 дня назад +16

    Icho kitabu wauzie mabwana zako uko ulaya ss kama watanzan akuna Rais aliekuwa mzarendo kama magufuli ukiacha NYERERe aliwanyoisha vyema majizi na waandishi wa habari vibaraka na mashoga kama Erik kabendela mpubavu mkubwa ww huta weza Kuchafua sifa za magufuli mungu amlaze mahali pema peponi Amina

    • @ZakayoYohana
      @ZakayoYohana 2 дня назад +2

      Usiseme sisi watanzania sema wewe nafamilia Yako namama Yako nanambayako koma kutuhusisha watanzania namawazo yako

    • @Venas-uh3wz
      @Venas-uh3wz 2 дня назад +1

      Yeye mwenyewe alikuwa mwizi. Na Makonda na rafiki zake wauaji.

    • @brigethsauzand3926
      @brigethsauzand3926 2 дня назад +3

      Kuandika hakuna atakayekukataza kaka lakini Magufuri atabaki milele mioyoni mwa wa Tanzania

    • @hemedmbondejr
      @hemedmbondejr 2 дня назад

      @@brigethsauzand3926alikua muuaji mkubwa na kuwapa kesi watu waliokua wanampinga. Alipora mali za watu na kuteka watu. Alafu kuna ile 1.5 trioni aliiba, unajua zilikwenda wapi?? Ok, kuna mambo aliyasimamia vizuri. Ila ukweli haukwepeki yeye ndiye alitawala tanzania kwa mkono wa chuma na shoka aliamin kwenye kunyama zisha wapinzani kwa kuua.

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 2 дня назад

      ​@@ZakayoYohanawewe Una vipele kwenye makalio 😅😅

  • @ussiali1100
    @ussiali1100 2 дня назад +10

    Asante kaka Moo InshaAllah Allah akupe maisha marefu yenye furaha. Uzidi kutuelimisha.🎉❤

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 День назад +1

      Huko si kuelimishwa ni kupumbazwa...unamuelimisha mtu kwa uongo...awadanganye wezi wenzake😐😐

    • @ussiali1100
      @ussiali1100 День назад

      @mamboshepea8888 acha uchawi na roho mbaya ww.

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 2 часа назад

      ​@@mamboshepea8888Kweli ikidhihiri uongo hujitenga.

  • @Jihelya
    @Jihelya 2 дня назад +11

    Hata kukiona kitabu sitaki

    • @sadih5333
      @sadih5333 День назад

      Because you're stupid

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 5 часов назад

      Wewe usikisome sisi tutasoma kusoma sikosa kusoma nikujifunza

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 2 дня назад +5

    Hatutaki waandishi wa wazungu au wanaofadhiliwa ma wazungu,
    Manakumbuka hawa hawa ndo walikuwa wanapinga mradi wa umeme kule Rufiji?

    • @JoeAM911
      @JoeAM911 День назад

      Umeme wa Rufiji umetusaidia nini sasa?

  • @deomwesa_JitumeTZOnline
    @deomwesa_JitumeTZOnline 2 дня назад +6

    "Zitiini mamlaka nilizowawekea Duniani" WARUMI 13:1.
    Sasa wewe ulete jeuri ukashifu maendeleo upuuze mapokeo ya wengi kisa wewe hujaneemeka na fikra za kiongozi utaachaje kuteseka?

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 День назад

      Hapa nami nitie neno: si vyema kutumia maneno ya Biblia hata pale ambapo kuna uovu!! Tuchukulie Syria pale kulikuwepo na Rais, alichofanya je ni kizuri? Si alikuwa ni Mamlaka? Ebu tuchuje tusibebe neno kama dodoki, tunanchukuza Mungu

    • @aaronswai3092
      @aaronswai3092 3 часа назад

      Ni vizuri watu wakamfahamu maandiko. Hatuishii kwenye andiko moja kutoa hitimisho. Neno linataka tuwatii wenye mamlaka katika mambo mema pekee (Tito 3:1). Ubarikiwe!

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 2 дня назад +4

    Kiongozi makini havumilii wasaliti mimi ningekuwa rais ningekuua kabisa,hao wanaonwatuma pia hawawavulilii wasaliti wao yupo wapi julia assange wa wiki leaks wacheni kuharibu nchi zetu ni ukenge

  • @KhamisKhamis-jv1li
    @KhamisKhamis-jv1li 2 дня назад +12

    Amekutesa wewe hajatutesa wananchi, sababu hujaona alichokuwa anafanya na kila alichofanya cha maendeleo mlipinga. Uo ni usaliti mkakimbia marekani nchi za watu mmekuwa ni wakimbizi sasa. Njoo tujenge nchii ukuu. Kuweni wazalendoo.

    • @salyali7807
      @salyali7807 2 дня назад +2

      Hizi ndio akili za kuku .. wanyonyowe manyoya ikisha warushie mtama watakufata tu ... akili chege

    • @saidabeidally1401
      @saidabeidally1401 День назад +1

      Hao watu waliopotea sio baba zako sio watoto wako wala sio mume au mke wako; labda wangekuwa ungeona vitu tofauti

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День назад +4

    Ulitegema wavunaji wa shamba la bibi huko ulaya na kwingineko watampenda MLINZI MAHIRI WA SHAMBA LAKE LISIIBIWE? Lazima WATAMCHUKIA na kumzulia kila baya

  • @mombasa7
    @mombasa7 2 дня назад +5

    Asante sana kwa gumzo hili!

  • @PelleSamky
    @PelleSamky 2 дня назад +6

    Asante Muandishi! Kweli itatuweka huru, Mungu akubariki sana. Mungu pekee ndio anapaswa kuabudiwa nasio binadam .

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania День назад +3

    Ukitaka kujua unafiki, jina linalotajwa ni "bwana mkubwa" tu wakati anaongelea kitu ambacho kiko wazi na yeye anasema ni msema ukweli

    • @MauriceNyello
      @MauriceNyello 52 минуты назад

      Acha ujinga wew hafai kuitwa kwa jina,anastahili kuitwa bwana mkubwa yan takataka

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu День назад +2

    Moyo wangu unavuja damu💔💔 Hili swala la Ben
    Kigogo alisemaga ila tu 😢😢😢maisha yanaenda haraka mno yote kwa yote Mungu ni mwema katuharahisishia kazi

  • @loiseyelukumay7760
    @loiseyelukumay7760 День назад +3

    Viva comrade Kabendera! You are entitled to what you have documented. Let your detractors prove you otherwise.

  • @yusuphmbwana7184
    @yusuphmbwana7184 День назад +3

    Sema kwa muandishi mkubwa kama wewe kadili usemavyo hushindwi kutunga story! Ila ujumbe wako unasikitisha na kushtua sana! Na kinachosikitish n kuw ujumbe huu umetungwa.

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 День назад +3

    Kwani wananchi si inaanza na mwana nchi mmoja mmoja mateso ni maya sana acheni kutesa baadhi ya binadamu MUNGU WETU ANAONA ATAWASHUGHULIKIA MMOJA BAADA YA MWINGINE

  • @Abel-b3m
    @Abel-b3m День назад +4

    Aliyekuwa anakuwezesha ndie aliyekutuma...
    Tumejua juz hata Mo. Simba hakutekwa😅...ilikuwa n michezo ya Watu weny nia mbaya na Tanzania

  • @komangohill5957
    @komangohill5957 2 дня назад +9

    Wameanza kujuta kwa kusema uongo.
    Leo Lisu amegundua siyo JPM wala Makonda Bali ni Genge la Mbowe. Sasa huyu atakuja kujuta kuandika vitabu based on lies.

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 20 часов назад

    Eric ametuchorea picha safi ya jinsi utawala wa kidhalimu wa Pombe Makufuli ulivokua na mfumo alojijengea wa kunyakua watu na kuwapoteza (mafia gang)... sio mchezo jamaa alikua na roho ngumu kama jiwe yule na athari zake zinaendelea mpaka leo.
    Kaka Eric heshima na shukran zako nyingi kwa kuwaelimisha walokua na mtazamo kua ati Makufuli alikua malaika. Watu kama Eric (I.e wasema kweli na uwazi) wanahitajika sana Tanzania.

  • @leonardmwacha5151
    @leonardmwacha5151 6 часов назад +1

    Mm sikubalian na hayo uliosema kama unaushahid tafuta wAna sheria pamoja na ndugu kudai fidia katika mahakama za kimataifa ili hayo yaliofanyika kwa wakatihuo yawe hadharan na kuwasaidia walio waathirika sema nimejua ww ni mtafuta tonge njaa ilimfanya esau akauza hak ya mzaliwa wake wakwanza njoo tz tuijenge nchi na mama yetu samia ambaye huyu unaye mchafua ndie alie mchagua

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot День назад +8

    Mnahoji majiz ,,matapel ,,yaliotumiwa kumchafua JPM,,,,haya sio majitu ya kuwapa airtime

  • @7675kio
    @7675kio 2 дня назад +3

    Watanzania sio wajinga tunajua waliomchukia Magufuli ni kina nani. Kwani Kabla na baada ya Magufuli hapakuwa na hayo wanayosema?

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x День назад

      Magufuli alifanya kile ambacho watanzania wanakitaka kwakweli he is a good leader
      Lkn yy pia ni mwanadam makosa aliyoyafanya hata Nyerere alivyotoka madarakan alizungumza akasema makosa aliyoyafanya magufuli makosa aliyoyafanya nafikiri kifo kulikua zawadi nzur kwake

    • @sadih5333
      @sadih5333 День назад

      Alikua chizi maarifa

  • @twahirabasi9765
    @twahirabasi9765 2 дня назад +3

    Pole sana Kabendera. Brainwashing iliwapofua zaidi wajinga wakashangilia na kutetea usanii.

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 дня назад +12

    Huyu alikosa story na ata alikufanyia hivy hukupaswa kumuelezea ubaya wake sasa kama ww uliuona ilipaswa kipindi kile kile yupo hai...Serikali ya Tz ipge marufuku hiko kitabu na kisiuzwe mahal popote Tanzania...Akawauzie walioko huko nje.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 дня назад +1

      Kitabu kije tu ili zijulikane mbivu na mbichi. Woga wa nini ?

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 2 дня назад

      @@richardnganya2311 woga kwa sababu zipi hakina tija kwa nchi zaid ya kupandikiz chuki na kumchafua mtu..kwann asipamban naye wakat ule yupo hai tukafauham ukwel. Waandish wengin wapo kuivuruga nchi.

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 2 дня назад

      Mjinga kutoka CCM

    • @jumashedafa
      @jumashedafa 2 дня назад

      @faustinluambano2958 asant boss but facts zinapendez zaid kuliko matusi

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 2 дня назад

      @@jumashedafa You understand nothing other than what you are being told to do by your MASTERS

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 2 дня назад +3

    Magu atakutesa Sana kiazi matosani 🌈

  • @muhesakazumba9426
    @muhesakazumba9426 День назад +4

    Pole Sana but tunajua ilikua chawa wa wazungu nwacheni Magu apumzike kwa amani

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 День назад +3

    Rais mzalendo wa kweli abadiridhwa jina na waandishi wa BBC ,DW. Kuwa dicteta hili jambo halikubaliki kabisa kwa waandishi wahuni kama hawa kuwafumbia macho. Ndugu wa Tanzania tusipo kuwa macho na kuomba Mungu atupatie macho na masikip ya rohoni.Taifa letu litaangamizwa na hawa waandishi wahuni kama hawa kulichafua taifa letu na viongozi wetu .Tuwe makini sana.

  • @csato9415
    @csato9415 10 часов назад +3

    Hongera Erick Kabendera mwandishi wa habari za uchunguzi kwa kuandika kitabu cha aina hii kuonyesha udhalimu wa watalawa (Tanzania ).
    Lakini wasiwasi wangu ni je kitaruhusiwa kusomwa nchini (Tanzania ), maana aliyepo naye ndio amerithi utawala wa aina ile ile.

    • @user-xo4ds2bh6s
      @user-xo4ds2bh6s Час назад

      @csato9415 Kitabu kimeandikwa kwa lugha ya Kingereza kwa ajili ya Jumuiya ya Kimataifa ambao hawapendelei upande wowote. Nelson Mandela aliwapenda sana Waandishi wa habari wanaochunguza habari. Ukweli ni sawa na tone la mafuta baharini. Huwa halizami. Jina la pili la Tanzania ni Haki. Taifa limeasisiwa na misingi hiyo. Yeyote anayesaliti misingi hiyo, ajue siku ni mfu, ukweli utaingia tu maktaba.

  • @AgnesKalikawe-dz3ym
    @AgnesKalikawe-dz3ym День назад +1

    Hata sasa wangesema wapige kura Magu ataibuka mshindi hilo halina kificho tunamuachia Mwenyezi Mungu muweza yote ndiye atakayembariki na si vinginevyo

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 2 часа назад

      Kwasababu hakuna uchaguzi kuna UCHAFUZI,..... !

  • @bfox3549
    @bfox3549 18 часов назад +1

    Jmhn tusiwe wanafiki, hata kama JPM angejenga rami TZ nzima bado alikuwa mapungufu mengi na mengi mabaya.

    • @markojames7855
      @markojames7855 Час назад

      Kwani Kwa jinsi nchi ilipokuwa imefika angeweza kuongo kwa lelemama hayo maendeleo angeyafanya lakini hata wewe Kuna watu wanaokupenda pia Kun wasiokupenda huo ndo ubinadamu JPM hafutiki katika akili zetu

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot День назад +5

    Achen kuhoj watu wangese km hawa

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb День назад +1

    Magufuri alikua mtu mbaya sana mungu ampige kibiriti Ameen

    • @LeyanKiberenge
      @LeyanKiberenge 14 часов назад

      Na wewe😂😂jiangalie Bora yeye anaombewa na wananchi wake 😂😂wewe je ?kapuku😊

  • @yusuphmbwana7184
    @yusuphmbwana7184 День назад +6

    Unatumika sana bwana kibendera! Unawezaje mtu kutumia karamu Yako kuichafua nchi Yako na utawara wake! Mbona huandiki kitabu cha "in the name of foreign interpraises" kuonyesha Jins tunavy ibiwa.

    • @martonsambwe7072
      @martonsambwe7072 День назад

      Uandishi wako unatia shaka sana karamu ni nini 😂😂😂 acha auseme ukweli

    • @peterkanja4765
      @peterkanja4765 15 часов назад +1

      Na wewe andika hicho kitabu tutashukuru na kukisoma

    • @LeyanKiberenge
      @LeyanKiberenge 14 часов назад

      Na ndo maana jina lake ni kabendera sio bure unafuata upepo ,Yani unamsema rais aliyejitoa kwa watu ??? duuuh 😢upuuzwe sana weww

  • @NazarethNgwira
    @NazarethNgwira День назад +4

    Magufuli alikuwa kikazi si kibiashara ni kiongozi strong Man alale salama

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 День назад +1

    Huyu mwandishi ni kibaraka wa kundi Fulani na tamaduni za magharibi. Anafanya bidii kubwa kuligawa taifa. Wenye kuijua Tanzania wanajua nini utawala wa hapa kazi uliifanyia Tanzania angalau muda haukuruhusu Kwa muda huo mchache tunamshukuru Mungu.

  • @avitimushi1541
    @avitimushi1541 День назад

    Thanks

  • @hebelmlagala5847
    @hebelmlagala5847 День назад +2

    Duh watu wameumia sana. Lakini ni muhimu watawala wakajua huwa hakuna siri inayodumu. Kuna siku lazima ukweli utajulikana. Ni tabia tu ya ukweli kwamba huwa unachelewa kufika lakini hufika

  • @kennethmwalukama2009
    @kennethmwalukama2009 22 часа назад

    Ushahidi wa kimaandishi ni mgumu sana kuja kuukana kuliko kutamka Tu Kwa kinywa. Naamini siku inakuja utashindwa kuji safisha nafasi yako itakapo kusuta juu ya hiki inachokisema. JPM ananafsi nyingi zikimtetea Kwa dhati kuliko uwongo huu. Hakuwa Malaika alikua na mapungufu kama sote tulivyo. JPM alikua Jembe na alama zake baadhi yenu mnakiri sasa hivi na wengine ndizo wanazitembelea kisiasa . Alijali maslahi Kwa wote na sio njaa binafsi ambacho ndio kigezo cha wengi wa Aina yako mlimchukia mkijali matumbo yenu Tu. Tulimpenda na tutaendelea kumuenzi Kwa maslahi mapana ya nchi yetu ya Tanzania.

  • @Jihelya
    @Jihelya 2 дня назад +7

    Mwandishi wa mchongo wa ulaya pumbavu kabisa magufuli ndio rais bora Tanzania

  • @masungamashauri4070
    @masungamashauri4070 День назад +2

    Hata mkitengeneza ubaya hamtapata faida sana kueneza uongo with No evidence

  • @EmmanuelKivuyo-mx3cw
    @EmmanuelKivuyo-mx3cw 2 дня назад +2

    Nyie ndio mnaofanya wazungu waone hatuwezi kujitawala hamna akili na wazungu wenu mashoga mbwa wewe muache magufuli mtu wa watu

  • @matiredms917
    @matiredms917 23 часа назад

    Dada yangu Msuya Mwalimu Nyerere aliwahi kusema:" Maendeleo ni ya Watu na siyo ya Vitu." Magufuli amejenga miundominu mikubwa lakini aliua watu wengi ambao hawakuwa na hatia. Maisha ya watu yalibakia duni licha ya flyovers za Ubungo na Tazara. Ni muhimu kukiri ukweli kuliko kushabikia mambo ambayo hayana maslahi kwa watu.

  • @cyprianshayo4044
    @cyprianshayo4044 День назад +1

    Mungu anajua kuliko sisi, ndo maana aliingilia kati

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 День назад +3

    Elimu, Elimu Elimu, Asante kabendela, kijani Msomi, Asante sana ubarikiwe

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 4 часа назад

    Kinauzwa wapi hiki kitabu?

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 День назад +7

    Africa tunaitaji marais kama JPM

  • @Waberoya
    @Waberoya 2 дня назад +4

    Kakamatwa akili na magufuli sasa, akilala akiamka anawaza JPM, bado kabendera kafungwa na JPM ....asipoangalia mpaka anakufa

    • @king3-q1s
      @king3-q1s День назад

      Magufool alikuwa shetani

  • @simonkilia
    @simonkilia День назад +1

    Magufuli utamwandika vibaya lakini magufuli atabaki kuwa mtu bora sana hapa tanzania najua aliwabana magufuli alikuwa na akili nyingi sana kama hukumwelewa magu we basi tena

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 дня назад +6

    Allah tunakushukuru sana kwa kumchukua mja wako

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 2 дня назад +1

      Kwen ww utaenda wap? Fikiri kabla ya kuandika! Au ww ni jiwe?

    • @king3-q1s
      @king3-q1s День назад +2

      @@ndogoroedson199 kwani amekwambia yeye hatokufa, amemshukuru Allah kwa kutuondolea Shetani maana hata alipokufa Firauni watu walifurahi hawakumaanisha kuwa wao hawatokufa.

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 День назад +1

      ​@@king3-q1sshetani ni wewe na kabendera

  • @Worldunite
    @Worldunite 2 дня назад +3

    Usidhani ya kuwa uko nje ya tanzania ndo unaweza kuropoka ovyo kama unavyojisikia, serikali Ina mikono mirefu na ikiamuliwa ukamatwe basi huwezi kakana, utakamatwa tuu na wanaokusapport pia

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 дня назад

      Sasa unamtisha au unahofia yaliyomo kitabuni ? Wacha aseme ili zipembuliwe kwa utulivu.

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 дня назад +1

      @@richardnganya2311 hicho kitabu unakiamini vipi wakati aliyeandika ni mtu km wewe?
      Ingelikuwa kitabu cha mbinguni tungekiamini

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 16 часов назад +1

    Kama huo udhalimu aliwafanyiwa Watanzania kwanini kitabu kiwe kwa lugha ya kikoloni? Na kama ujuavyo Wabongo sio wasomaji wa vitabu tena utuandikie kwa lugha ya kikoloni watasoma tu watoto wa mabalozi na maprofesa....Kunta...Kinte.

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 2 дня назад +4

    Magufuli mungu ndo anajua atakutetea

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 2 дня назад +3

    Kaka Mohd bado anafanya vzr sana sana ni mtu humble sana anapenda usawa anapenda amani ni mzalendo kindakindaki.