Fungua kesi dhidi ya Vodacom. Ikianza kusikilizwa tu, basi wateja wa VODACOM tuzitupilie mbali lines zao na kuhamia makampuni mengine. Hapa tuombe mahakama zetu zisizime kesi hii muhimu.
Hii ni moja ya njia sahihi sana ya watu wenye akili kudai haki zao,,sio vita wala mitutu ya bunduki,,,Natamani kumuona Sativa,,doctor ulimboka,,Roma,Mo deuji na wengineo wengi wakifuata njia na hatua kama hii,,ili ukweli hasa upatikane,,wale watu au wahalifu wasiojulikana ifike siku wajulikane tu
Hao ndio walio sababisha kifo cha mama yko mzazi ila malipo ypo makampuni mengi ya cm tz🇹🇿 wanatoa tarifa za wateja wao ngoja lisu awanyoshe tigo kwanza🇹🇿♥️✌️💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥👍👍👍🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣💪💪⛪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asiyejulikana ipo siku atapatikana na ndiyo itakuwa mwisho wa utekaji maana siku zake tayari zinefika na atakufa kifo kibaya Sana aendelee tu kutumia na wapenda madaraka
Asante Erick
Na Mungu atasimama upande wetu na HAKI itatamalaki
Kila la Kheri Mawakili wote
Mungu ni mwema ❤ naamini kuna siku majibu yatatoka kweupe
Pole sana Erick, Mungu wa haki akupe haki yako, Ameni.
Pole Sana ndg yeti mtizedi mungu akutangulie
Hii nchi ngumu sana. Ila naamini nchi hii itakombolewa na wanasheria.😢😢
Hama nchi mjinga weee.
Pole rafiki yangu
Mungu ni mwema, haki yako itapatikana.
Pole sana, no way lazima haki itendeke. Kama mahakama za hapa haziwezi tenda haki twende mbele tu!
Erik pole nakupenda bure kaka
Fungua kesi dhidi ya Vodacom. Ikianza kusikilizwa tu, basi wateja wa VODACOM tuzitupilie mbali lines zao na kuhamia makampuni mengine. Hapa tuombe mahakama zetu zisizime kesi hii muhimu.
Usalama hautapatikana tu kwa kuhamia kampuni zingine.
Tupa wewe hizo laini za Voda.
Hii ni moja ya njia sahihi sana ya watu wenye akili kudai haki zao,,sio vita wala mitutu ya bunduki,,,Natamani kumuona Sativa,,doctor ulimboka,,Roma,Mo deuji na wengineo wengi wakifuata njia na hatua kama hii,,ili ukweli hasa upatikane,,wale watu au wahalifu wasiojulikana ifike siku wajulikane tu
Nice move
Pole sana Kabendera Mungu akupe nguvu Tanzania imekuwa kiboko hii
Yaleyale ya TIGO na LISSU. Haya makampuni ni ya hovyooo sana.
Oh !!! Ndio maana Osama bin laden alikua hatumii sim sababu makampuni ya sim hayaaminiki
Kama ushahidi uko vizuri basi wapeleke. Ila maelezo hayo kama ndo unayategemea tu kama ushahidi, naona Vodacom wana nafasi kubwa kuponyoka.
Wanasheria wakisimama vizuri wanaweza kuikomboa hii nchi kutoka kwa wauni
Kama iko ivyo Ccm imeumiza sana watu
Tena watu wengi sana
Hatuna mahakama Tanganyika, fungua kesi wingererza haki itapatikana ,tz mahakama ya kuichunga ccm
Serikali....chafu xan hii mambo mengi yanaendelea chini ya kapeti now watanzania tumefunguka ccm ni muda xax wa kuachia nchi
Sasa hapo kesi unaenda kumshtaki voda na nani😮
Machozi yamenitoka kukuona Tena nakikumbuka kifo Cha mama Yako kufa ukiwa jela mungu yupo kweli
Mungu Baba Mwenyezi tusaidie upendo unakwenda wapi,? Tujitafakari.
CCM must goooooo
CCM hovyooo kabisa
Hasa huyu Samia must go hme Zanzibar
Siyo Rais kuingoa Ccm
CHADEMA Magaidi Must Goooo.....
Tutafute haki zetu bila kujali utamuudhi nani?Maana kampuni hizi za simu ni za haohao viongozi wa CCM.
Pole sana nakuomba uamie chadema ili utumikie nchi yako
Hao ndio walio sababisha kifo cha mama yko mzazi ila malipo ypo makampuni mengi ya cm tz🇹🇿 wanatoa tarifa za wateja wao ngoja lisu awanyoshe tigo kwanza🇹🇿♥️✌️💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥👍👍👍🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣💪💪⛪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
waliofanya tukio wamekaa pembeni sasa mziki unaachiwa uliesaidia kufanikisha jambo, kweli duniani ubaya uwela
Ccm wauwaji tu.mpole sana but nakutakia kila la kheri iwe mwisho haya makampuni kufanya huo ujinga.washemzi
Nnchi hii hovyo sana! Taifa tamu hili ila linaharbiwa na kikundi cha wachache ndani ya CCM
Kwahiyo mitandao yote ni kama P. Diddy!?😢😅
Halipingiki😢😢😢😢
Kwani minala yao inalindwa na nani? Mbona kazi rahisi sana?
Mmmmmmmmh aiseeee
JUZI TULIAMBIWA TIGO LEO VODA
Asiyejulikana ipo siku atapatikana na ndiyo itakuwa mwisho wa utekaji maana siku zake tayari zinefika na atakufa kifo kibaya Sana aendelee tu kutumia na wapenda madaraka
Serikali ya awamu ya 5 na 6 wamecheza blanda kila kona wamo
Ok
Tuungeni mkono vyama vya upinzani ili tujikomboe na haha matatizo ya kutekwa haki iko upinzani tu
Hii ndio agenda yako ni vizuri tuiiunge CCM kwa bidii zone ili tupate maendeleo haraka
@@AlexMnanemiaka sitini imetosha
TANZANIA SI SALAMA.
Hivi kwanini wanatekwa watu kila siku
Ccm ni Adui wa haki
Awamu hii watamwaga kila kitu haya mskampuni ya simu kiboko watu wengi watatekwa tatizo ni mtu kusema ukweli
Kule Tigo huku voda haya makampuni hayawezi kukwepa shindikizo la serikali
washitaki mitandao ya simu hawajielewi!
Mungu awalinde mawakili wote mliokuwa mnafatikia hii kesi tuko pamoja
Hivi jinai huwa inao ukomo, mbona nashuhudia watu wanastakiwa kwa makosa waliyoyatenda miaka mingi ya nyuma?
Wakomalie
Mtumieni akili nyingi Sana watanzania muda huu
Tundu ataleta ukombozi kupitia case yake huko london
Komaa ndo pensheni yako hyo cos huwez fanya kazi
Nchi hii itakombolewa na kuwekwa huru
Hii inaitwa N.B
Mafisiem wauwaji sana mmbwa hizi
Neno la MUNGU linasema usiogope kwa sababu Bwana wa majeshi yupo pamoja na wewe
Mbona kama huwezi kujieleza vzr
Hujaonewa kitu wewe ukweli unajua.
Nguruwe ww
@@gwajimagwajima mama yako
@@emmabrownmissana6996 toto la choko ww
Kama umefungua kesi Afrika Kusini sasa rufaa ya mahakama ya rufaa ya nini ?
Kabendela kakukosea nini? Muhaya mwenzangu? Huyu si wa nyumbani?
@@oliviaseth4652akili Yake kisado
@@oliviaseth4652Wahaya Wana roho mbaya sana😢😢
Wamekufanyia nini mpaka uwahukumu hivyo? @@kokombwana8625
Wewe mwenyewe una roho MBAYA kaka TAFUTA haki yako
Kwahiyo mmehamia kwenye kuihujumu mitandao ya simu,maana mwingine kasema tigo wewe unasema voda,ninyi siasa mmeshindwa njoni makambako tuwape mashamba mlime mjikwamue kiuchumi
Jitambue,acha ujinga.
Kama hayajakukuta hauwezi elewa ndivyo tulivyo binadamu subiri na ww yakukute au yamkute mama yko utaelewa anachoongea hapo