haijarishi tunachojari kwa sasa maelewano maana kama watanzania wangekuwa na kisilani wasinge waita...AM EAST AFRICAN PERSON IN TZ one love kenyans one love ERIC
Huyu Omondi hata hakustahili kuja Tz kwa kazi! Ni moja ya watu wapumbavu na mjinga! Namna gani unasema you want to support your own at the same time unakuja kuhitaji neighbors' support? Bure kabisa na hana vichekesho vipya!
Uyu Mkongwe kwa Heshima yake. Ila Awez kuchuana na Leonardo. Ata Ndaro tu Yan cheka tu wote wakali. Afu comedy hailudiwi kama Show za miziki. Comedy andika story mpya Kila ukipanda stej. Sasa Eric analudia zile zile
We are Tanzanian and we are full of love 🤩🤩
Erick ni janga Kawa na tabia chafu ubaguzi tulimbeba sisi tz mpaka akatoboa tukiwa kwao anajimwambafy akwende akachekeshe kwao
@@group9computer116he is not funny anymore
Hapo kwa wanawake wa tanzania 🇹🇿 hongera yao mm n kenya 🇰🇪 ila mke wangu n tanzania 🇹🇿 ♥️
Karibu sanaaa Tanzania 🇹🇿❤️
Pia mm mke wangu n mtanzania na tuko na 1 kid kwa miaka mbili nimekua naye
Eric Mungu akubariki Sana. Kweli magufuli tunamkumbuka sana❤❤
East Africa we are one people no matter what one love
Tanzania we need to honor Magufuli for a specific day to be remembered once a year.
You mean you don't have a holiday named after him😢
Mchizi anarudia rudia,kila show hivo hivo,wanao amini eric sio creative,gonga like😂😂
Hii n kma mara ya tano
Kwa east Africa cjaona comedian kama Eric
Kwa miaka Gani?@EmmanuelMoses-pb1zh
Sasa ona,unataka kuaibisha Erick! Ona likes umeomba😂😂😂 you are the joke now😂😂😂
Huyu hajui kabisa Kwa sasa
Magufuri hata sahaulika katika uso wa Dunia
sikupenda hajamtaja hivi aliwakosea mpaka wakenya au akimtaja show itasimamishwa
dunia gani
Umepokelewa vizuri sana na tutakupokea vzur sana ila chuki atunaga Tz
Safi Eric
You are brilliant. You spoke the truth.... stay blessed..... we really Miss Magufuli...until today and forever
Ni vizuri alivykuja sisi waTanzania tunasifa ya ukarimu hapo alipo lazima nafsi yake atakuwa anajisikua vibaya kipindi kile alivyokuwa anatia maneno
Tanzania tuwe na siku ya magufuli day , tunaomba iwe tarehe yake ya kuzaliwa
Tutalipeleka bungeni tunalifanyia kazi😅
Naunga mkono hoja though sidhani kama itawezekana
MSIJALI NITALIFIKIRIA HILO.
Kweli
Inawezekana kwa minajili ya yote(miradi) aliyofanya na mapinduzi ya uongozi.
Brother you’re really president of comedian 🎉
Mbona wa kawaida sana level za cheka 2 na watu baki hafiki
Heshima yake kwa ukongwe tu
Erick ww mnafiki kaa huko huko tz ucrudi kenya 🇰🇪
😂😂😂😂😂😂😂😂😂utajua mwenyewe
Kwa nn bint yangu
😂😂😂😂😂😂😂 mnafiki wenu tuko nae tugeza
Comedian, Wacha afanye kazi. Wa tz hatuna baya..🇹🇿
@@angelsalome2207 comedy yenyewe ni unafiki"🤣acha atengeneze pesa
Why are some people blaming Eric here?
You have to support kwenu, halafu ndiyo utoke nje kwingine.
Sema omondi jifunze kutoka TZ hawana chuki vitu haziko personal ivo ona walivokupokea na hawakuulizi kitu 😅 wameinjoy aaf kiroo safi tu
Hawa ndio wanaleta maswara kwa muziki ya kenya bt kenya iko juu sana
Unamsifia Diamond we mnafiki
Erik umetisha
Safi sana kwa kuja Eric umenipa raha hapo kwa Baba Mseven
Come on Tanzania pple mbona kinyongo lakini...daah karibuni Kenya ngoma icii
Mbwa wewe unaweza kinoma good job
As a Kenyan... I'll say Eric lost his charisma, and his comedic output with it. Prime Eric would have brought the roof down.
Churchhill u are blessed. So humble
Omondi mbaguzi sana jifunze acha tabia mbaya
Uko bien bro
Shida Ako omondi umejiharibia mwenyewe Kwa kauli yako ya kibaguzi ..watz tulikuwa tunakupenda sanaaa
Hizi issues mnazisemea watz au wewe?
Mbona watz wenzako wanacheka na kufurahi
haijarishi tunachojari kwa sasa maelewano maana kama watanzania wangekuwa na kisilani wasinge waita...AM EAST AFRICAN PERSON IN TZ one love kenyans one love ERIC
Eric ujifunze kwetu sisi hatuna vurugu na roho mbaya, sio Kama kwenu
Hamjajiandaa vizuri
Kwani hamjamuona kasongo v16 turbo😂
Jamaa anafundisha pia
President of comedy🔥🔥
Omondi mnafki jamanii khaaa ona anavyowaponda wakenya jamani leo😂😂.. khaaa pesa hizii😅😅
Mbaguzi sana huyu jamaaa
Kakubagua nini
Alikubagua wap wew mbona mnakua wanafki
Kumbe nyie mafala hamjui huyu eric aliongea nn wiki si nyingi nyuma.Eric ni fala sana
Wakenya wako hivyo wote
Wao mfumo wao n kibepari sisi n wajamaaa kwahyo ubaguzi kwao n kitu cha kawaida
😂😂😂erick mnafiki sana
Wewe nilikumaind Ila wacha nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉 tupopamoja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu mshenzi amejua kuniliza na kicheko
Uko vizur unatoa stress
Mama wa Africa Samia hoyee
Heshima kwa makonda after magufulu tanzania ilifaa iongozwe na makonda si mama
Sio kweli
@dostovan5142 kwa maoni yangu naona makonda ni mchapa kazi kushinda mama
Erico is the best
Erick sahii content iliisha
Karudia kila kitu😂
Sisi tunamuonesha kama Tanzania hatuna noma
Huyu Omond simkubali kabisa,anachukia Watanzania
Sisi watanzania ni wakarimu sana karibuni wakenya tz
Hapo kwa wachungaji kuwapa watu kazi halafu wanapandia kwa juu😂 kweliii kabisa
Anarudia sana topic kila show zilezile Sasahivi Ndaro yuko juu kuliko huyu.
😂😂
mpaka anaboaaa kilaa isku ivo ivoo nkajua nimeona m tuuu
Erick we mnafiki Ndiomana umeanguka watz hatuna roho mbaya
Leo unajifanya kumsifia diamond wakat ulishabikia kufanyiwa vueugu toka hapa
Elewa comedy
We omond haujui!!!!!
blobal tv next time msipost pumba kama hii
Upo vinzur yan unachekesha pamoja na kufundisha bgap
I can see the only one in savana tranding in Tick tok without having a page Mr warthog Kasongo
Eric omondi umeisha kubali mbwana
Elic bwana 😂😂😂😂😂❤
Hamfikii Leonard hata kwa fimbo. Kila siku mambo hayo Daimond Alikiba brabra hamna kila kitu humo. We churchil tuondolee takataka next time
Museveni aliingia madalakani 1986 mwalimu aliachia ngazi 1984 acha bangi...
Juzi tuu alikuwa anamponda na kuleta ubinafsi baada ya kuja Tz unajifanya unampenda big snitch.😮😮😮
Unafiki tu
Mond unajua sema
Ila omond kajiharibia mashabiki
Eric omond leo anafanya show bongo anaenjoy wasanii wetu wakienda kwao anahamasisha vurugu
Ajabu na kweli
Na Simba la masimba dangote
Sasa hivi umeishiwa Erick unarudiarudia tropic
Uendewe Sasa kama una maneno
Eric omondi nimecheka sana apo kwa pastor 😂😂😂😂
we kenge ujui
Magufuli was the african king
Omondi ameishiwa kweliii No Creativity kabisa... same script kila show 😢😢
Erick asije Dsm mbinafisi sana mbwa huyu
Hii vita ya Kenya Vs Uganda itaisha lini
Hawa wakenya wanavyo ipondea nchi yao utafkiri hawatarudi tena
Bwege tu ww Erick
Huyu Omondi hata hakustahili kuja Tz kwa kazi! Ni moja ya watu wapumbavu na mjinga!
Namna gani unasema you want to support your own at the same time unakuja kuhitaji neighbors' support? Bure kabisa na hana vichekesho vipya!
Huyu nae c creatvity juu kila siku ni hzohiz comedy😅
Uyu Mkongwe kwa Heshima yake. Ila Awez kuchuana na Leonardo. Ata Ndaro tu Yan cheka tu wote wakali. Afu comedy hailudiwi kama Show za miziki. Comedy andika story mpya Kila ukipanda stej. Sasa Eric analudia zile zile
Atuna shida sisi wa kenya mna wivu
Mi mkenya lkn hapo lweli
Ameelew kuwa inabidi kujifunza hapo
Arusha mpo wapi nije😅😅😅
NAONA WATU WANAMCHUKIA MTU MMOJA KTK KOSA AMBALO KWAKWELI LINAUMA BUT SOMETIME TUNAHITAJ KUJIFUNZA KUISHI HUWEZI KATA MKONO KISA MTOTO KAUNYEA
Anafanya vizuri ila anarudia rudia sana vitu vilevile
Hatukupendi hauna jipya kuongea kiswahili hujui nenda mwana kwenda
Eric omondi ndo msanii pekee wa Kenya ambae anajulikana had na watoto tz
Kwan hawakuja na man kush jaman
Huyu hamna kitu hapo akisimama ndalo au leornado anamfunika
Eric emondi alienda comedy ama alienda speech 🤔
Erick hamfikii hata eliud wetu
Ss 2ko pc lacvyo ungepngwa mawe
Hakuna atakaesaulika
Kwaiyo walienda kuinanga nchi yao hakika hii ni maajabu 😅😅😅
Erick omondi aliisha...
Eric amerudia punch lines zake from the begining to the End Hana jipya😂
Zoteee karudua😂
Amefikir tushazisahau,,,zote karudia@@T_Darius
Repetition tu omond...huna maneno mpya
Ameongea ukweli😂
Alikuja,haoni aibu?
King of comedy
Naona umbwa zingine sikisema hapa eti Erick ooh Erick eeh! W nani
Tanzania hawanaga micheko atii
Katowe unafiki hako kwanza wamekaleta tanzania
Hata show ya Dodoma alichekesha Hivi hivi
Hivi Hilo beat aliloingilia Erick linaitwaje
Wimbo wa extra musica unaitwa etat major