Big up boss makonda , unastaili kupongezwa ukiwa hai wewe ni wa mfano , vijana wanaitaji kushikwa mkono kwa kila namna , na wote walio jitoa kwa hali na mali kwenye event hii , mchango wao kwenye jamii unaonekana na wana moyo wakuwasapoti watu wengi kwenye jamii, Vijana ni wengi wanawaitaji kuwashika mkono kwa nafasi mliyopo ila mungu awabariki sana tena sana
Mimi nimeelewa, nimepitia mengi..ni hivyo tuu, ila jamani Mungu yupo, nasema Mungu yupo, nimeona kazi zake, hata kwangu🙏 Makonda kijana wetu, Mungu azidi kukulinda.
Usikute makonda ndiyo Nabii sema hatujui tu bro nimevutiwa Sana na nyimbo yake dah! Acha mwenyezi mungu akuinue brother angu pengine ndiyo wakati wako uliokuwa umepangiwa na Allah
Me nipo huku kibaha pwani. Ninaamini ninaweza na ninajua kwaimba vizuri. But connection ndo tatizo. Naomba mungu anisaidie cku nikutane na baraka zake 🙏🙏
Big up boss makonda , unastaili kupongezwa ukiwa hai wewe ni wa mfano , vijana wanaitaji kushikwa mkono kwa kila namna , na wote walio jitoa kwa hali na mali kwenye event hii , mchango wao kwenye jamii unaonekana na wana moyo wakuwasapoti watu wengi kwenye jamii,
Vijana ni wengi wanawaitaji kuwashika mkono kwa nafasi mliyopo ila mungu awabariki sana tena sana
Mimi nimeelewa, nimepitia mengi..ni hivyo tuu, ila jamani Mungu yupo, nasema Mungu yupo, nimeona kazi zake, hata kwangu🙏
Makonda kijana wetu, Mungu azidi kukulinda.
Yaani nmelia sana kwa sababu ya hyu jamaa waa wacha mungu aendelee kumuinua
Usikute makonda ndiyo Nabii sema hatujui tu bro nimevutiwa Sana na nyimbo yake dah! Acha mwenyezi mungu akuinue brother angu pengine ndiyo wakati wako uliokuwa umepangiwa na Allah
😂😂😂😂😂 huko mbali kaka
HE'S THE BEST AND REASON WHY HE IS ON THE PLATFORM
Me nipo huku kibaha pwani. Ninaamini ninaweza na ninajua kwaimba vizuri. But connection ndo tatizo. Naomba mungu anisaidie cku nikutane na baraka zake 🙏🙏
Mh makonda hakika unafanya Kazi ya Mungu na Mungu anachukuwa utukufu
🙏🙏🙏🤲🤲🤲 makonda mungu unafaa sana kati ichiii
Makonda MUNGU Akubariki sana
Walianza kwa kumcheka kamaliza kama shujaaaaa😢
Thats so touching
What a talent "Sometimes PIRA si tunapanda bure, hey hey nikae wapi... KAA KULE!"
Sio hey n yo yo yo😅
Hongera Sana makonda kuibua vipaji.
Master J uko wapi? kipaji kingine hikiii❤ naamini huyu ukimnoa huyu ni msanii mkubwa mnooo, Mungu azidi kumuinua na apate management...
🙏
How he's sings makes me feel Better 😢😅😅😅
I love the song papeli#
huyu jamaa alifasnya nitoe machoz Mungu amrengedhee chochote shetani aliiba
Huyuuu jamaaaa yupo vizur
Mbona sijawahi kuona mambo kama haya au mpaka mungu akuongoze jamani natamani namimi talent yangu ingeinuka japo one step 😢😢😢
Rafiki yangu pole ila nakuja hapo kibanda cha mpira lazima uninunulie castle milck hata 5 tu😂😂😂
huyo dj jaamani
Mumgu akutunze Kakaa
Aisee huyu jamaa ni Kama anachekesha lakini anastory kubwa yenyemaumivu Sana ndani yake
🔥
❤❤❤
Hela hizoo jaman
😢😢😢😢😢😢😢
Nyie sio janaba huyu ba bongo star search
Haki 😢😢😢😢
Mtu akimletea makonda za kuleta aisee tunaondoka na hiyo miguu na mikono
Nikajua majaba sijui
Kama vile nimemwona MAKONDA
#### papi
"AMUHAIDI"? Ndiyo nini nyie waandishi?
Papil
Upumbavuu mtupuuu
Wenye chuki hamkosenagi
Wewe unerongwa ama ni mchawi
We ni mukaburu mshenzi kweri hupendi maendeleo ya wenzio
Wewe Ndo Mumbavu
Sote hatuwezi kuwa Sawa, kuna na mahasidi duniani.
❤
Mungu atakusaidia umekutana namalaika mkuu ndo mm nakwahidi bila mkono wawatu utafika mbali sana