BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 646

  • @RehemaHassan-h4y
    @RehemaHassan-h4y Месяц назад +13

    The chemistry is so good😂😂😂judges 😂😂Hatuezi beba madude tu😂😂Salama😂Master😂Madam Rita😂😂😂

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 Месяц назад +28

    I love madam Rita knows how to humble herself.hongereni

    • @wellbrand3415
      @wellbrand3415 Месяц назад +2

      Exactly...
      That's so called "UUNGWANA". 🙏🙏💕

  • @andrewmwinuka5294
    @andrewmwinuka5294 Месяц назад +10

    Kumbee ile kitu mbishnoo ulkuaa seriously aisee congratulations Rita kwa kuwa mpole na kuomba msamahaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @teachersima509
    @teachersima509 Месяц назад +12

    Madam Rita Asante kwakunifunza jinsi ya kujishusha ili mambo yawesawa your the best and Salama uko kazini kweli kweli utaki kupinda pinda umenyooka.

  • @joyceogoma7258
    @joyceogoma7258 Месяц назад +10

    Jojo from Kenya
    . honestly I love these three Judges..big up from Kenya .. I love youuu

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 Месяц назад +16

    The world is now digital. I like this idea of livestreaming bss auditions

  • @AdventinaAnthony
    @AdventinaAnthony Месяц назад +2

    The professionalism, composure, determination, and empathy is what makes madam Ritha a mogul in this music industry! Keep soaring mama 🙏❤️.

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 Месяц назад +13

    Nyie ma judge na host wenunu wote bhana ni noumaaaaaa. Respect sana Mungu awape maisha marefu sanaa

  • @JOYCEMDUDAMDUDA
    @JOYCEMDUDAMDUDA Месяц назад +55

    Madam Rita kwer mungu amekubariki na hiii kaz mungu akupe maisha malefu daima 🥰🥰🥰

  • @shalomshoo4557
    @shalomshoo4557 Месяц назад +65

    Madam Rita una hekima sana na hofu ya Mungu. I appreciate you

    • @lydiajuma01
      @lydiajuma01 Месяц назад +4

      kwel kabsa kujishusha mbele ya camera si rahis

  • @bethaniachungu3554
    @bethaniachungu3554 Месяц назад +30

    Woow
    Madam Ritha nimependa hekima yakoo...muda mwingine ni kuamua tuu kujishusha

  • @AbubakarIshaaq
    @AbubakarIshaaq Месяц назад +8

    Nice and lovely seriously Shukran madam rt kuomba musaha

  • @DialogueplatformPlatform
    @DialogueplatformPlatform 2 дня назад

    Jmn nampenda xna madam ritha kuliko majaj wote hapo....nakuombea kwa mungu afke mbali sana ❤❤❤

  • @DIANAPHENNY-Kenya
    @DIANAPHENNY-Kenya Месяц назад +17

    Nimependa Jackie.. anaeza igiza vizuri sana. Watu wa Filamu wamtafute wamkuze kipaji chake cha kuigiza. Tafadhalini mkuzeni huyo dada

  • @gemandorobo1536
    @gemandorobo1536 29 дней назад +6

    Madam Ritha I Love you sanaaa,yaan ulivyojishusha Kwa salama!!nimekupenda sanaaaaa,na Kuna kitu nimeiga kwako ,kujishusha tyu Haina gharama

  • @BITISHORUDIYA-f8t
    @BITISHORUDIYA-f8t 27 дней назад +13

    Yaani mimi nikuwa na stress zangu huwa napenda kufatilia bongo star 😂😂❤mungu awalinde muzindi kunitowa stress

  • @ninjaabwoy4137
    @ninjaabwoy4137 Месяц назад +43

    The guy who sang ekwueme is so so good. That song is so hard

  • @teddymbiu6360
    @teddymbiu6360 25 дней назад +1

    Whitney was Amazing Perfect and TALENTED ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 2 дня назад +1

    I missed Idriss Sultan as a host in BSS😅😂😂it becomes more fuuunnnn😂😂

  • @RichMotherr
    @RichMotherr Месяц назад +15

    Ekwueme 🔥🔥🔥

  • @teddymosha9103
    @teddymosha9103 25 дней назад +9

    Ekwueme ❤

  • @teddymbiu6360
    @teddymbiu6360 25 дней назад +1

    East African President, Please 🙏 kindly what are you doing to uplift our Talented Young Men and Women in our East African Community 😢😢😢.... Nuff Respect 🎉🎉🎉🎉🎉 Tuunganeni Pamoja Na MUNGU AtatuBariki❤❤❤❤

  • @VIVIANABUGA-dg8ro
    @VIVIANABUGA-dg8ro 16 дней назад +1

    As a Kenyan I think the judge in black needs some professionalism when it comes to addressing the amateur singers. I felt bad when she literally bashed away Whitney leaving her helpless. That not the best thing she can do. There is a better way to appreciate someone's talent because we all didn't wake up to find ourselves where we are.

  • @مدينةشعبانسيف
    @مدينةشعبانسيف 18 дней назад +1

    Madam RIT ALLAH ukupe Umri malefu 🙏 pia akuinue nauyo. salaam ifike wakati apumzike hii kazi wakuje wengine kwani NIYEYE PEKEANGU. Ufyuuuu 🫵😏😏😏😠😠😠 🇰🇪

  • @shabaniobed5218
    @shabaniobed5218 14 дней назад +2

    LOVE ALL JUDGES ONE DAY IN OTHER SEASON I WILL BE AMONG THE PARTICIPANTS#❤BSS#

  • @HanifaRamadhan-v2t
    @HanifaRamadhan-v2t Месяц назад +4

    Nakupenda Madu Lita sana2 🥰 unauluma sana nakupenda sana sana❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @McVeronyjoe
    @McVeronyjoe Месяц назад +6

    Madame Rita is so Sweet ❤ Akaomba na msamaha jmn Ila Salama Ko aka mind 😅

    • @mustyofficialtz2215
      @mustyofficialtz2215 17 дней назад +1

      madam anaelewa na akihisi kukwazana kikaz mbelen amehandle situation

  • @natujwamsuya8504
    @natujwamsuya8504 19 дней назад +1

    Roho wa Mungu leo yuko juu ya Salama. Masta J. Madam Rita. Big Up I. LIKE.

  • @KhairatYusuph
    @KhairatYusuph 19 дней назад +2

    Rita nakupenda we mwanamke ❤❤❤❤

  • @Idri7
    @Idri7 24 дня назад +1

    The one sang Isabella was lit and Sauti Sol might be proud. Please short clip of him. His part

  • @dasmileofficial9702
    @dasmileofficial9702 Месяц назад +14

    Nimejionaa BANGALA BANGALA BAAAHHH OLOLUFEMIIII😅😅😅😅😂

  • @dannymoses1882
    @dannymoses1882 Месяц назад +12

    Show ya mwanza nimeipenda sanaaaaa

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Месяц назад +10

    Grace unajua mama hadi umeniliza Mungu akutangulie ktk safari yako ya kuimba mwimbie Mungu tu

    • @juliusphabian6336
      @juliusphabian6336 Месяц назад

      Sasa hapo amepita au

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r Месяц назад

      @juliusphabian6336 kwani hata asipopita haruhusiwi kuimba kivyake au wivu jamani unataka kuniambia ili uwe mwimbaji lazima upite bss hata akiimba kanisani kwao inatosha sauti anayo

    • @juliusphabian6336
      @juliusphabian6336 29 дней назад +1

      @@AgnesJohn-f1r oooo sorry utakua hujanielewa....nilikua nauliza kwa hizo comment za majaj ndo anakua amepita au bado....sjamaanisha kwamba hawezi kutoboa

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 29 дней назад

      @@juliusphabian6336 ok

  • @dullywa9973
    @dullywa9973 Месяц назад +7

    the guy wa issabela🔥🔥

  • @dianamangapi8954
    @dianamangapi8954 Месяц назад +4

    Grace! 💖

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 Месяц назад +3

    Mwanza kuna vipaji saana ila wenye vipaji ua hawajitokezi na wanaojitokeza wengi ni comedy pengine ua kuna hali flani ya kurikia hivi anyway twendelee kuenjoy Sultan karudi🎉🎉🎉

  • @ElizabethMichael-d4t
    @ElizabethMichael-d4t Месяц назад +4

    Your amazing Rita

  • @HalimaOmar-q7e
    @HalimaOmar-q7e Месяц назад +3

    Waiting,much ❤❤❤ from Kenya

    • @XpaterOfficial
      @XpaterOfficial Месяц назад +1

      Ata mm pia ❤ from Kenya 🇰🇪🎉

  • @Davvybrain
    @Davvybrain Месяц назад +4

    I love the apology, True love

  • @adelinatate9704
    @adelinatate9704 Месяц назад +6

    Elchapo Rapper mkali sana, style kali, mwendo, uvaaji

    • @jackmoshi
      @jackmoshi 28 дней назад

      ive been saying yaani !

  • @Movie678-g2s
    @Movie678-g2s Месяц назад +5

    Where is the guy who sang ekweeeme song. We need more from him.

  • @IreneWilliam-r3r
    @IreneWilliam-r3r Месяц назад +6

    Grace😭🙌🙌❤️

  • @DanielKitoba
    @DanielKitoba 6 дней назад

    😂😂😂 aiseee haya mashindano kuna watu wanafurahisha jamani😅😅😅😅

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 Месяц назад +36

    Master J asanti sana kwa kumrekebisha huyo kijana, hizi show hadi watoto wetu wanazitazama. Kama wa kwangu wanapenda hii show sana

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 15 дней назад

    Salama nikapuuzi kweli kweli Madame kazi unayo harafu hakanaga respect 😮

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 13 дней назад

      Watu wana siri zao wewe Tuliaaa

  • @innocentshabani3943
    @innocentshabani3943 Месяц назад +4

    Grace poud of u mungu akutangulie kwa wakilishs vipaji vya checheni!!!

  • @yonasquad-h7l
    @yonasquad-h7l Месяц назад +8

    Grace anasautiii ya upakoooo sanaaa

  • @MiliamenockEnock
    @MiliamenockEnock Месяц назад +11

    Jamani huwa nafurahi sana Nikiisikiliza haya mashindano😂😂

    • @IreneWilliam-r3r
      @IreneWilliam-r3r Месяц назад

      Yani😂😂😂😂😂😂

    • @MarryquizetShirima
      @MarryquizetShirima 19 дней назад

      Jmn huyo kijana mbn ana aibu sana bora mmemtoa make angekuja kuwaangukia buree

  • @neilsskishimbo5546
    @neilsskishimbo5546 Месяц назад +4

    Ila idris😂😂😂

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz День назад

    Jamani hivi mumemuona mvaaji wa pamba au macho yangu sio poa????😢😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @MarIamSalum-r3g
    @MarIamSalum-r3g Месяц назад +2

    Ekuwemee💫💫

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 Месяц назад +6

    Mwanza HIPHOP SANAAAAA!!!✊🏾✊🏾

  • @gloryshao1068
    @gloryshao1068 Месяц назад +9

    Jack akaigize , she's talented 🔥

  • @adelinatate9704
    @adelinatate9704 Месяц назад +1

    Grace Grace Grace omg, umeuaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AmenaAmoon-t3v
    @AmenaAmoon-t3v 22 дня назад +1

    Malaika ninakupenda malaika malaika ninakupenda malaika 🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣hee jamani namshukulu mungu cna kipaji ik

  • @halimasalim7891
    @halimasalim7891 22 дня назад +1

    Hahahah ila salama jamny ndio nn kujifunika kama umeshikwa na baridi😂😂😂

  • @ShafiiAmisi-h3w
    @ShafiiAmisi-h3w 24 дня назад +4

    Kama umempenda jaki kama mm gonga like hapa

  • @Esthersidee
    @Esthersidee Месяц назад +1

    😂😂😂😂twende mbele turudi nyuma ila lafudhi ya Mwanza bwanaa😂😂🙌

  • @mercychepteekilovethismovi912
    @mercychepteekilovethismovi912 Месяц назад +1

    Madam Rita❤❤❤

  • @sharpaliofficial7455
    @sharpaliofficial7455 Месяц назад +20

    Salama si powa bana haya maisha tu sasa picha ni ya kuvimbiya

  • @HappyNkya-n8j
    @HappyNkya-n8j 22 дня назад +1

    Hii show bila salama, master na rita, hamna kitu napenda mnavyojaji

  • @liamtatyah
    @liamtatyah 27 дней назад

    Esther how do we get those pads

  • @iddyahmad-v6w
    @iddyahmad-v6w Месяц назад +2

    Nisaidieni kumpata jack nimuajiri kwenye industry ya matangazo please 🙏

  • @MartinMchovu
    @MartinMchovu Месяц назад +10

    Napenda madam rita sana anajua kuji control

  • @salmaheid725
    @salmaheid725 17 дней назад +1

    Kwani hizi ticket huwaga ni buree😂😂😂😂nyie

  • @RajabuChambo-b3n
    @RajabuChambo-b3n 22 дня назад +1

    Bongo ukiwa na stress umependa wewe😅😅😅

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 Месяц назад +5

    Ila uyo mzanzibar mwenzng 😂😂jeur ndo zetu😂😂

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat Месяц назад +1

    Msiwe na Asila jamani mpende kuwalekebisha kiutaratibu Rita bora, Salama sasa sijui yuko mbalamwezini😂😂😂

  • @Africanchild-x6n
    @Africanchild-x6n Месяц назад +5

    Idris😂😂eti sema sikupendi billnass

  • @ChidyKenny-dc1ue
    @ChidyKenny-dc1ue Месяц назад +1

    B S S tuna injoy kwakwel nawapenda ❤❤❤

  • @JOYCEMDUDAMDUDA
    @JOYCEMDUDAMDUDA Месяц назад +5

    Salama nakupenda natamani hata nije niwe mfanyakazi wako niwe nakuona unavo kasilika mm nitakuwa na enjoy 😍😍

  • @JOY-s8h4v
    @JOY-s8h4v 22 часа назад

    Natamani nami siku moja nije kwenye show nikaimbe mahana najiamini Sana Nina kipaji chakuimba madam please nione siku moja pia natamani kuimba kwenye show yenu

  • @luluray2115
    @luluray2115 Месяц назад +3

    Grace ❤❤

  • @osmoboymusic254
    @osmoboymusic254 Месяц назад +5

    Mbona ni wanawake ndo wanaimba gospel na. Ndo hao.hao.. wananitesa .❤

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 14 дней назад

    Sku moja Hawa majaji pia Wapewe maik waimbe kama watatoboa wanazingua Sana daadek zao😮😮

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Месяц назад +4

    Maraikaaa nakupenda maraikaaa 😂😂😂

  • @LuidynIddy
    @LuidynIddy Месяц назад +4

    😂😂nawapenda san😂😂

  • @Amani_felix
    @Amani_felix Месяц назад +1

    Team Idris sultan let's gather here😅

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 27 дней назад +1

    Ila Salam Jabir na Idrissa wannkina unafki flani 😂😂😂😂😂
    Satooo sio Mgagani
    Satooo😂😂

  • @josephkasainey2903
    @josephkasainey2903 14 дней назад

    Daaah mm niko na huyo mliye mkata stimu za kuimba afu mkambigia simu 😂😂😂

  • @vckyjohnson1080
    @vckyjohnson1080 Месяц назад +5

    Apa mmeweza mno kuweka full , chukueni mauwa yenu🎉🎉🎉

  • @ashamorecharles
    @ashamorecharles Месяц назад +11

    ukikaa Ulaya unakuwa na tabia za tofauti sna hasa kutomind kitu yani kuwa na nongwa Madam Ritha maejishusha hali ya kuwa ni boss nimependa sana

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 13 дней назад

      Kwani Salama ndo hajaishi Ulaya?? Kumind na kutomind ni hulka ya mtu tuu…kuna wazungu pia huwa wanamind vtu vidogo tuu

  • @diamondplatnumz3.8mviews65
    @diamondplatnumz3.8mviews65 Месяц назад +9

    Huyo salama yuko sawa maana yupo kazin

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Месяц назад +1

    Nakupendeni majajis wangu
    kutoka tanzania muna hakili kubwa
    sana na munaimani kubwa sana na
    muna hekma mubwa sana nyinyi wote
    mumekoseana na jambo mumemaliza
    na munaendelea ku like yana we are together all gerges thanks #TalluboyDiamond

  • @fefeonlyme5394
    @fefeonlyme5394 21 день назад +1

    Jack anajua😊😊kuigiza

  • @FabriceKihanga-de7rp
    @FabriceKihanga-de7rp Месяц назад +1

    Washing from south Africa ❤❤❤loket

  • @mshanageorge9457
    @mshanageorge9457 11 дней назад

    Madam yupo saa hii ni et vous na sio et tu kama master j anavyo sema😂😂😂😂

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 16 дней назад

    😂😂😂😂😂hamna kipindii kinachekeshana ka hiki jmni nchekag ka chizii hata ka sina mpngo wa kucheka najikuta nacheka😂😂😂😂😂😂

  • @JanethMsogoti-wq2cv
    @JanethMsogoti-wq2cv Месяц назад +3

    Ila salama 😀🙌

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 Месяц назад +4

    Jack Jack Jack!!Nimekuita mara tatu,ukweli unajua sana kuigiza jamaniii

  • @shabaniobed5218
    @shabaniobed5218 14 дней назад +1

    BSS MWANZA NI FIRE

  • @HakiKaisy
    @HakiKaisy 23 дня назад

    Wanalipua kweli Rita uko vizuri sana roho nzuri

  • @ramgainmkubila1213
    @ramgainmkubila1213 Месяц назад

    Jmn hadi imeingia kwa trends jmn nmefurahi mnoo maana nilisubir kwa hamu❤❤ nawapata from UAE 🇦🇪

  • @davidcharles8586
    @davidcharles8586 Месяц назад +1

    Grace katisha sanaaaaaaaaa❤❤

  • @TumainiLaizer-t6y
    @TumainiLaizer-t6y 15 дней назад

    Madam rithar mungu akuweke miaka mingi

  • @LydiaSamweli
    @LydiaSamweli Месяц назад +3

    Jamani BSS muko noma Sana

  • @BarakaFuraha-p6u
    @BarakaFuraha-p6u 13 дней назад

    I like❤

  • @swalehgasol6509
    @swalehgasol6509 19 дней назад

    Happi anajuwa kuimba wllhi sio vizuri happi aregeshwe

  • @RamadhaniMajaliwa-yo2dr
    @RamadhaniMajaliwa-yo2dr Месяц назад +2

    Kumbe mnawauzia na pombe njee ndio maana wanatuimbia upuuzi 😅😅😅😅😅

  • @fredlugome7952
    @fredlugome7952 Месяц назад +3

    Jamn yule dada mweny matatz y macho yule salama jmn asinge jibu vilee😅😅