BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 414

  • @divinahwainaina9398
    @divinahwainaina9398 День назад +47

    Honestly Sanaipei Tande did justice in her judgement especially how she guided,spoke and picked the wrongs inthe tones🎉kudos to our own 🇰🇪

  • @Alphabrandofficial
    @Alphabrandofficial 5 часов назад +12

    Sanaipei should be a permanent judge in BSS❤

  • @joemtaki5167
    @joemtaki5167 День назад +32

    Big up to Sanaipei Kenya judge anaonyesha namna gani judge anatakiwa kuwa (professionally) hao wengine wajifunze kwake

  • @worldcup-zh5ci
    @worldcup-zh5ci День назад +63

    Sanaipei should be a permanent judge in BSS she knows music🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Volcanmedia1
    @Volcanmedia1 День назад +25

    For real this is the best platform thanks tz for bringing this in Kenya we love tz

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r День назад +53

    Huyu jaji wa kenya ni moto wa kuotea mbali anajua kujaji vizuri kuimba ndo usiseme ❤❤

    • @MsFadhila
      @MsFadhila День назад +4

      Good nice nilivyyoona wewe na mm nimeona hilo

    • @FatmaKhamissi
      @FatmaKhamissi День назад +2

      Kweli kbsa nimempenda bure

    • @HeavenBoundMedia
      @HeavenBoundMedia День назад +2

      Yani sio kuweza tuu yani kabarikiwa

    • @HakiKaisy
      @HakiKaisy День назад +2

      Huyo ni msanii anaitwa sanaipei Tande kaimba ile nyimbo inaitwa Amina

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r День назад

      @@HeavenBoundMedia kabisa yani

  • @FaizomelodyTheBarbervm1yc
    @FaizomelodyTheBarbervm1yc День назад +9

    Namkubali sana Jaji wakenya anajua kuimba ni mnoma kishenzi yani❤ i like your voice madam ❤i wish ningekua kwa competition

  • @vipentertainmentgroup
    @vipentertainmentgroup День назад +11

    kenya imefanya vizuri sana wasani awakukua wanapatanafasi yakuonyesha ukali wao thnx sana bongo kuwapatia vijana nafasi shukran kwenu sana

  • @CastoricMuro
    @CastoricMuro День назад +5

    Daaah I like sanaipe's looking, judging,and vocal cords just for her love you sanaipe❤🎉🎉🎉

  • @warstones0666
    @warstones0666 День назад +11

    Uyu Dada Judge Naombaa Muwe Nae Kama Judge Kila Sehemu Ni Anajuaaa Baraaaa🎉🎉🎉

  • @jacobmurai6447
    @jacobmurai6447 3 часа назад +1

    How Sanaipei Sang Hallelujah is 🔥🔥🔥 very composed Sanaaa ni mkali wao❤❤

  • @SeigFoston
    @SeigFoston День назад +6

    Nairobi they are most talented thanks bss for coming

  • @kelvinchacha5557
    @kelvinchacha5557 День назад +10

    Kulola Julia from kenya lazima afike top 5. She is pure talent. Magical voice and so composed.

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 День назад +14

    You kenyans are fire 🔥 as fuck you're real funny and that judge is humble multi-talented and professional. I like you guys. Hakika Kenya 🇰🇪 kuna vipaji much love from Tanzania 🇹🇿

  • @LukaJoas
    @LukaJoas День назад +13

    Huyo dada bonge wa manyara mwenye masters alikuwa kavaa miwani mweupe ni mkali sana, mmeacha kipaji hicho aisee! Mmekosea sana

  • @NorahRymond
    @NorahRymond 23 часа назад +3

    Ni mara yangu ya kwanza kumuona na kumskia sanaipei nilipo skia anaimba ooh wow I admire her 😊

    • @rahmaqasim5143
      @rahmaqasim5143 5 часов назад

      Tuko wengi na nikampenda mara hio hio hana majivuno wala ubaguzi

  • @mteuledavie5972
    @mteuledavie5972 День назад +4

    I like Sanaipei advices and judgment💯💐💐

  • @marygloryyongolo3201
    @marygloryyongolo3201 День назад +8

    Jamani prisca hongera sana 🎉 unajua sana!❤

  • @pandafreddy05
    @pandafreddy05 День назад +8

    We are watching BSS from Cape Town SA🇿🇦

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 День назад +6

    Salama kanona this time. Really love and admire this lady.

  • @Maggie824
    @Maggie824 21 час назад +1

    Ruby Ruby tz anatufunika Kenya Yote tumpe Ruby Na TZ mauyake❤❤❤❤love from Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @mycmeranyswai7957
    @mycmeranyswai7957 День назад +8

    guys mshindi trip hii anatoka kenya kuna balaa la kwenda❤❤❤

    • @leahfanuel254
      @leahfanuel254 22 часа назад

      Aha Uganda wana balaa. Lkn. Tz nao wanahasira

  • @longanaweupdatesoh3355
    @longanaweupdatesoh3355 День назад +2

    Obsessed abundantly with Sanaipei Tande🎉

  • @MsFadhila
    @MsFadhila День назад +6

    Ila huyu jaji wa Kenya 🇰🇪 yapo vizuri sana. Maana amefiti

  • @maritadeno
    @maritadeno День назад +12

    Nipeni likes first from Kenya

  • @Kevworx
    @Kevworx День назад +6

    Jaji huyo dada wa Kenya tungependa kumuona hata Dar es Salaam maana anajua sana mziki na atawasaidia hata washiriki pindi wakiwa kambini🙌🏾

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 День назад +16

    ila uyu aliemuimbia salama😂😂😂😂et mnataka nn

  • @Daniella162
    @Daniella162 День назад +6

    Kenya Majirani kwenye kila sekta mumetupita had Sekta ya Uimbaji
    Uyo Judge wa Kenya Sanaipei nmemkubali sana
    Hey Startimes we need BSS but iwe Kenyan Version

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 День назад +8

    Take judge sanapei for rest of the sessions she got extra values

  • @princesscarleadssmyle478
    @princesscarleadssmyle478 День назад +4

    judges naona walipata tabu sanaa kuchoose in Kenya kuna Alot of Talents

  • @gladnessmushi-ge6fd
    @gladnessmushi-ge6fd День назад +17

    ❤majirani mko vizuri sana

  • @salimbazmul5806
    @salimbazmul5806 День назад +4

    Asanteni Kutuwakilishaa Team Kulola Unaupiga Mwingi...🙏🙏🙏🙌🙌

  • @leahfanuel254
    @leahfanuel254 22 часа назад +1

    Sanapei ❤❤❤

  • @tymermelody
    @tymermelody День назад +7

    Acha nikaone haya jamani ✨🔥

  • @kasjunior9176
    @kasjunior9176 День назад +4

    Kenya ni moto 🔥🔥 mshindi ni kenya. Nipo Congo DRC

  • @lynne2346
    @lynne2346 День назад +5

    Moto testing moto testing wuaaaaa African dragon wuaaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @nzurisanatv2285
    @nzurisanatv2285 День назад +3

    It’s unbelievable guys is the best among all today, from babati

    • @winjy2k
      @winjy2k День назад

      Kweli isac katisha, na Prisca. They were the best this whole episode

  • @richardmkechera8461
    @richardmkechera8461 День назад

    Madam Ritha this achievement is above expectation ,yo so smart keep moving madam

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 День назад +7

    I real like a 4th judge ni noma hao ndio judge wa ku.add sio wapishi wa biriani

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 День назад +11

    Imagine Sanapei anajua kujudge kuliko hao majudge wengine😅😅😅😅

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r День назад

      Na kuimba anajua vibaya mno Hadi raha

    • @farajanathan176
      @farajanathan176 20 часов назад

      Haki wamezingua wao, aibu naona mimi😂😂😂

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 День назад +13

    EAST AFRICAN STAR SEARCH SHOULD BE THE NEW NAME

    • @sabinaonline6575
      @sabinaonline6575 День назад

      Bongo ndio pambe inatutambulisha

    • @westcijosh
      @westcijosh День назад

      Bss will always be bss no matter it goes africa wide

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 День назад

      @@sabinaonline6575 sawa ila kama wanataka kwenda international huwez kubak na jina la Bongo.

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 День назад

      @@westcijosh Tigo yenyewe wamebadili jina sembuse Bss

  • @FungoAmon-mb3sb
    @FungoAmon-mb3sb День назад +2

    Huyo wa njiwa peleka salamu❤❤❤ Kayumba 2015

  • @luciamsani
    @luciamsani День назад +3

    Nampenda sana SANAIPEI jamani I wish finally aje TZ

  • @jacq6716
    @jacq6716 6 дней назад +56

    KENYA NDUGU ZETU KABSAAAA😅😅😅ANGALIA AKILI ZAO KAMA ZETU TU

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q День назад

      😂😂😂 nyiiie

    • @japhetmasini8632
      @japhetmasini8632 День назад

      😂😂😂😂

    • @Benny318m
      @Benny318m День назад +1

      😂😂😂😂what about Uganda 🇺🇬

    • @modenasayi
      @modenasayi День назад +2

      Utukome wewe, wamefanana na wewe mwenzao mwenye akili nusu.

    • @SwaggerDonize
      @SwaggerDonize День назад

      Woteee ma zombieee😂😂

  • @gabrielferefere
    @gabrielferefere День назад

    This is one of the best East African star search

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ День назад +1

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 День назад +3

    BSS this time mumeua kabisaaa! Siwezi ngojea Dar, this combination of countries from the east will really kill it

  • @fadhilibutama7045
    @fadhilibutama7045 День назад +3

    Bongo star search ni kwaajili ya wabongo tu.

  • @princekenyan
    @princekenyan Час назад

    Sanaipei much love,

  • @ekyociesengana1657
    @ekyociesengana1657 4 дня назад +6

    nasubiriya nimuone ndugu yangu atakavyo ni vunja mbavu kwa nyimbo za kiswali .🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FilemonAkonay
    @FilemonAkonay День назад +4

    Home sweet babati😢🎉

  • @SperansiaLuoga
    @SperansiaLuoga 23 часа назад

    Since meanza watch BSS😂❤ I can't stop I can spend 15/24 hours watching

  • @stevemaxi7686
    @stevemaxi7686 День назад +4

    Kenya 🇰🇪 wanajua kuimba

  • @Nairi-h2q
    @Nairi-h2q 15 дней назад +11

    Kwani uku munataka nini 😀😀😀

  • @Vera-snaider
    @Vera-snaider День назад +5

    Kwani huku mnataka nini 😂😂😂😂10:15

  • @Tiger-mnyamkali
    @Tiger-mnyamkali 8 часов назад +1

    Sanaipe is more of a mentor.... Big up

  • @SeKikoti
    @SeKikoti День назад +1

    BSS mwaka huu ni 🔥🔥

  • @marygloryyongolo3201
    @marygloryyongolo3201 День назад +8

    Niendelee au nisiendelee ..Usiendeleee😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY День назад +6

    Bss from tanzania East African
    beyound the borders

    • @shld7508
      @shld7508 День назад

      Blaza una makusudi sana... hiyo "beyound" yako waKenya watakupika 😅

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 День назад +1

    BSS mwaka huu kuna moto 🔥🔥🔥

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 День назад +1

    Atasijakusikiya namini mcongo utapita❤❤❤❤🎉🎉

  • @johnkamira2236
    @johnkamira2236 День назад +3

    Kenya 🔥🔥🔥🔥

  • @makanyan
    @makanyan 5 часов назад

    This show is going to become so big in kenya just wait and see, you just need to market it well. You need to find a way of getting the show through to the other counties, even if the auditions are just in nairobi but participants are from all the counties

  • @EmmanuelSogole
    @EmmanuelSogole 5 часов назад +1

    Sanaipei top top jaji

  • @omasobo7824
    @omasobo7824 День назад +4

    Ati mnafurahia kwenda Dar ...wacheni hizo mayolo

  • @kamauian53
    @kamauian53 День назад +6

    Wa Tz ndugu zetu tena tunawapenda

  • @perfectark6292
    @perfectark6292 День назад

    Music and comedy does it much 😂😂😂😂😂 kenyans banange

  • @salmamasemo8079
    @salmamasemo8079 День назад +1

    Kenya kumb Tuk wakali wallah 🎉🎉🎉 nimepend hiii 🎉🎉🎉🎉

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 День назад +2

    Noma sana alie imba Helo mama nimepata kism Cha kuazima jama anasauti ambayo sijaona popote pale Kwa Dunia hii

  • @amonphilip5902
    @amonphilip5902 День назад +1

    Mmmh Prisca wa babati 🙌🙌🙌🙌💥👌👌

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 День назад +1

    Azizi ki 😂😂😂 salama Mungu anakuona 😂😂

  • @DiaMichael-l2m
    @DiaMichael-l2m 2 часа назад

    Salama shoga angu jeuri anaifanyia tz tu ugenini amna😅😅 et naomba uende nyumbani saizi😂😂

  • @baltazarlucas5000
    @baltazarlucas5000 День назад +16

    Mshindi lazima atatokea Kenya season hiii nimewaelewa wakenya mko na vipaji vya moto

  • @fanaismmsianaf9352
    @fanaismmsianaf9352 День назад +4

    What happened with the man in the suite. Such a raw ralent with an amazing voice, power in his lungs, raspy sound in his voice. Sad
    1:01:24

  • @NicIbrahim
    @NicIbrahim День назад +2

    Huyu jaji wa kenya anaweza vizuri

  • @adosclassicshop9107
    @adosclassicshop9107 День назад +3

    Welcome in Burundi wapo ambao wanajuwa sana

  • @Manyesha6290
    @Manyesha6290 День назад

    Babati ilikuwa moto sana ❤❤❤ nilishiriki but 😅😅😅😅 sikupita

  • @cindymorgan8765
    @cindymorgan8765 День назад

    i always love Sanaipei tande she's my role model my favorite ever

  • @lavellmahar1241
    @lavellmahar1241 День назад +5

    Kenyan edition was good ugandan kinda tripped

  • @AminaHaidari-rz2vh
    @AminaHaidari-rz2vh День назад +2

    s2kizzy anakera mimi sijapenda

  • @spartachize122
    @spartachize122 День назад +1

    Kenya tukitoa simple boy na embarambamba tunabaki vizuri😂😂😂😂

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 6 часов назад

    Isaack mzee hisia na brenda fassie ndio my favorite kwangu.

  • @thebios2553
    @thebios2553 21 час назад

    On my side kote mlikopita babati kuna vipaji vikubwa sana 🔥 🔥

  • @mwinyiali
    @mwinyiali 6 часов назад

    sanapei is a good judge i like her

  • @AishaTarimo-h9d
    @AishaTarimo-h9d День назад +2

    Kenya vichwa ngumu hawa hawakawii kujamba vitani😂😂😂😂😂😂😂

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica День назад +1

    We ni mwizi haujui kuimba, we ni mwongo😂😂

  • @priverabrahams9323
    @priverabrahams9323 18 часов назад

    SANAPEI🔥🔥🔥🔥

  • @misstelyca7484
    @misstelyca7484 День назад +1

    😂 azizik njoo kesho😂😂

  • @MichaedeoKisaka
    @MichaedeoKisaka 13 часов назад +1

    Tuna omba sisi kama watanzania uyu jaji wa Kenya aendelee kuwa jaji please aje mpaka kwenye muendelezo wauku tz

  • @marywamboii-tp9th
    @marywamboii-tp9th День назад

    Sanaipei should be part of this season😊

  • @sacohg5458
    @sacohg5458 День назад +11

    Karibuni ulaya sasa🇰🇪🇰🇪😌

    • @shld7508
      @shld7508 День назад +1

      😂😂😂

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw День назад

      ulaya unakujua ww 😆😊

    • @sacohg5458
      @sacohg5458 День назад

      ​​@@NM-yl2uwWw unapajua niambie? ...alafu huu mwaka nimesema sibishani na wanawake

    • @McAdamsChiry
      @McAdamsChiry День назад

      Eti Ulaya😂😂😂

  • @TUMEKUTANA
    @TUMEKUTANA День назад

    I like kenyan's artist for real

  • @XpaterOfficial
    @XpaterOfficial 15 дней назад +1

    Watatu from Kenya 🇰🇪 like zangu jamani❤

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 12 дней назад +5

    Naangukaaa wamenikataa😅😅😅

  • @rodgerskazungu108
    @rodgerskazungu108 День назад +1

    Iam voting for prisca from babati all the way from 254

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 4 часа назад

    Azizi key for me😂😂

  • @spartachize122
    @spartachize122 День назад +1

    Salama akisraafu anakuwa mchawi kijijini kwao😂😂😂😂she's always like "mmmh mi no"😢

    • @veeJesus
      @veeJesus 22 часа назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @prosrm1172
    @prosrm1172 21 час назад +2

    Rita usiimbe while contestants wanaimba. Tunatakiwa kusikia wanavyoimba

  • @michaelkisselar5691
    @michaelkisselar5691 День назад +2

    Sinaipei, I can't stop loving you

  • @jacquesmulalirya1704
    @jacquesmulalirya1704 День назад +2

    Yaani BSS wakongo mumetusahau 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭