Kama Kweli Watanzania Mnazo Roho Nzuri Asanteni Kwa Kumsupport Huyo Upcoming Msanii🫂 Watching From Kenya 🇰🇪❣️ I Love Honesty Coz It Brings Inner Peace ✌🏾 Thanks So Much Churchill Show Forever Ever ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzee Shayo you are gem nimecheka yangu yote. Good to see Man of God Pastor Tony.❤This really was a night of laughter well done Mhe. Makonda. Chuga oyee!❤
Churchill big up Saaaanaa. As the son of the Most High. May you never lack. Indeed it only take a person to change the other's life. ****** Mzee shayoo🤣🤣🤣👌👐👐👐igwee Much love from Kenya 🇰🇪
Prof Hamo utopolo mtupu, Hamna kitu alichofanya... Erick Omondi utopolo mtupu, Hamna kitu alichokifanya, Vichekesho ni hivyo hivyo kila siku anavirudia, tumeshavichoka.. Hatungi tena vichekesho nowadays..
Shoo kali Sana , H.E Paul Makonda Mwakani kwa uwezo wa allaah utakua MP wa Kigamboni na utapewa Uwaziri wa Michezo
A wee, atakuwa Mp arusha mjini au tumpe meru au karatu?
Aende wapi huyu jamaa anapaki hapa hapa chuga
@@cbegram6161 Makonda sio mkazi wa Arusha ni mkazi wa Kigamboni Dar
That guy who performed wa kwanza anafaa afike studio,ama mueke namba yake tutume kitu
Kama Kweli Watanzania Mnazo Roho Nzuri Asanteni Kwa Kumsupport Huyo Upcoming Msanii🫂 Watching From Kenya 🇰🇪❣️ I Love Honesty Coz It Brings Inner Peace ✌🏾 Thanks So Much Churchill Show Forever Ever ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Churchill I love you!! Welcome in Tanzania! Sasa mukuje kabisa muwe comedians wengi na Tanzania!
Mzee shayo big up sana🙌🙌 alijipangaa snaa
Mzee shayo😅😅😅😅😅hatari
Man Kush is a vibe,🇰🇪🇰🇪
He was outstanding 😂😂😂😂😂😂😂
prof amo you killed it.. na man kush
Pastor Tony come and see pastor T in kenya and i promise you pastor Tony your youths will be changed.come on Pastor Tony.
Artst Papy so touching was blessed pure wisdom, paply aaassh papy
Man kush was the best love from kenya
Mzee Shayo you are gem nimecheka yangu yote. Good to see Man of God Pastor Tony.❤This really was a night of laughter well done Mhe. Makonda. Chuga oyee!❤
Churchill big up Saaaanaa. As the son of the Most High. May you never lack. Indeed it only take a person to change the other's life.
******
Mzee shayoo🤣🤣🤣👌👐👐👐igwee
Much love from Kenya 🇰🇪
Respect to Tz for the peace and love, some of our artists should also provide a peaceful environment as well when Tanzanian artists come to Kenya
Hongera sana RC Makonda kwa maono makubwa haya Mungu akupe hekima zaidi
The band and the DJ need a lot of training. They spoilt the show
Hivi mna uhakika Mzee Shayo ana akili zote maana sio kwa vichekesho Hivi
Nimecheka hadi kulia 😂😂😂
Am seeing pastor Tony happy am impressed 😅
Churchill show in Tanzania was different. Beautiful
Show kali. Big Up Makonda🥂💞🇰🇪🤝
1.Chemutai🔥
2. Ali Murphy 🔥
3.Pastor ManKushu🔥🔥💯
This show I wish Mc Jessey was there
I know churchil will bring up very many talents that are not known in Tanzania
Erick omondi anajirudia kila siku
Man Kush what a Gem...
Love you PT
Woow 😮😮😮that's breathtaking 😍 ❤
Huyo Dj... ako chini sana I hope is not a kenyan coz weeh....😢😢😢😢
Ata band wako chini. Wote ni kutoka Arusha but think its coz they are not used kuchangamsha comedy shw
Where is mamito
Mzee Shayo alitisha sana aiseeee😊
Man Kush🔥🔥🔥
YOU KILLED IT MWALIMU.
Napenda vile watanzania wajua kucheza vyombo.vizuuri kweli
Wow l see my pastor Tony there 👍🤝 welcome kenya pst
🎉🎉🎉it was lit 🔥
MCA tricky sana... is the witness of GOD work.... papeshulo... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amooh😂😂😂umeamumua kupora watanzania na wimbo😢😢😢
Watazania mna roho nzuri aki kwa matoleo mnatoa
Daniel - Churchill you need to please bring back Sleepy David!!!
Man kush alijipanga vizuri
Man kush killed it
The Churchill song is fireeee😂😂😂😂😂
Nani ameona Churchill amefanana na uhuru Kenyatta
I was thinking the same thing 😅
Proff harmo hakujiandaaa.....had higher expectations
Sure, hata mimi nimefikiri hivyo. Namkubali sana ila leo hajafikia viwango vyake.
@@francispaul5806Hvi karibuni prof hamo uwezo wake umeshuka
Dahaa nimeimisi je? Show Kali sana
Pst kush ni mnoma😅😅😅
sadi crown camera kali sana
Band wamelala Wanaambiwa waimbe "I woke up in the morning" Wananyamaza....Oooh... Kumbe ni Kizungu😂😂
Hawa wapiga bendi polisi wajifunze hawajamaa wapo level nyingine
Hammo G and Eriko killed it…
Wow pastor Tony
The band for me
Professor Hamo atajam after amechanche iyo doo to kshs
Man kush all the way
lough healls.
I love this!
Hao wajamaa wa instrumentals walilalisha
Good show, but Band Iko down. Nikama hawakufanya rehearsals na comedians
True
Nimecheka mnooooo
Nadhani Huyu ndo katisha zaid kwenye hili jambooo
Hapa ungekuja na MC jessy
Nimefirahi sana
Nimefirahi pia
Huyu erick omondi ni mnafiki, yani😢😢 walichomfanyia mond kenya😂😂😂 na akawa anaongea ujinga wake
Tumia kingereza kutu adresse
Watarudi tu❤
Wakenya wako biasharani 😅😅
Wanajuwa cha kufanya 😂😂😂😂😂
Man Kush is the name...comedy with factos
Noma
Jemutai😂😂😂😂
Where is jemtae
Wasee wa keyboard nao😂😂😂
Yooh Churchill my guy
Wapinga instruments ni wachanga sana ndo wame haribu
Musical instruments guys wako down hata kunishinda
Kenyans are for English.
Hii kiswahili hatukijui
Watu watizii hawarelate n chachill kizungu mingii 😂😂😂amesahau hapo sikenya tumia kizungu buda
Weh hio band aki
Chemutai killed it
Kasongo😂😂😂😂
Hahaha good work my people
Churchill ameamua kupiga show na kizungu😂😂😂
National language huku ni Kiswahili bana
ruclips.net/video/s1SJ4gHBTc4/видео.htmlsi=eMITe792v4gNCp1I
Tricky inabidi uwe na akili sana
Erricko..kujirudia
Walai tena. I watched a joke he made in Uganda a day ago in this show too
Papili anajua😅
Ally nihatari sana kipaji kikubwa sana🎉🎉🎉
MAN KUSH IS MY FAVORITE 😂❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉
Wadudu 😂😂😂😂
Nani kajamba😂😂😂😂😂
Band kuna shida jamani
Man kush ni atari na nusu
Mimi kweli sijaona uchekeshaji wa hao watu wa kutoka Kenya
Lugha shinda
Was very interesting
Makondaaaaaa
ruclips.net/video/s1SJ4gHBTc4/видео.htmlsi=eMITe792v4gNCp1I
Band aifaai
tanzania tunaanza kuchukua secta yote ya commedy east Africa
Trc xanaaaaa
Band walikua wamelewa
Please beba byno next time
Hii kizungu unaakika wanakuelewa ama ni wewe wanacheka?
Mkuu wa mkoa kenya ni kama nani??? Assistant chief??? Ama MCA?
Regional commissioner
Huyu Makonda ni moja ya viongozi wachache hapa Tz wanaojielewa sana
Zuli comedy wameuaa balaaa
Churchil ya TZ hainice😅
Prof Hamo utopolo mtupu, Hamna kitu alichofanya...
Erick Omondi utopolo mtupu, Hamna kitu alichokifanya, Vichekesho ni hivyo hivyo kila siku anavirudia, tumeshavichoka.. Hatungi tena vichekesho nowadays..
Kabisa ujinga mtupu hajajipanga....makelele tupu no content