Nawaombea sana watanzania mungu awape neem iliy ya hali y juu kwa sababu MUNGU anawapenda sana kila sekta ya dunia kuna tokea unabii ...ss bas watanzania mumekuwa kama mji waisraeli .. MUNGU wambingu anawapenda sana naomba nguvu zake zitembee Tanzania
Ee Mungu niokoe mimi pamoja na family yangu yaani baba watoto wangu wazazi wangu pamoja na ndugu zangu wote simama Mungu ututetee na kutuhirumia baba wa huruma niponye magonjwa yote yanayonitesa na unishike kwa mkono wako unishindie roho zote za mauti baba yangu
Mungu wa mbinguni naomba unilinde Mimi na familia yangu,mama yangu,dada zangu,Kaka zangu,Mungu Linda nchi yangu,moja wangu,Mtaa wangu,Mungu tuepishe na maafaa ya Kila Aina,Mimi na familia yangu tupo salama kwa damu ya yesu
Ee MUNGU MKUU naomba uturehemu watanzania utuponye,tulinde twakusihi utuepushe na majanga .Tuombe sana Mungu nchi yetu ilindwe kwa jina la YESU KRISTO.Ameen
MUNGU wangu naomba uturehemu sana.Neema yako Isitupungukie kamwe.Naomba ulinde ndoa yangu na watu wote.utandawazi usije kutuathiri.Tunavunja na maroho ya mauti Kila eneo
Aamina Mungu jalia uzima wa roho kwenye familia yangu na wote tubaomwamini kristo Yesu ,Roho wa Vwana atuepushe na majanga hayo Hasa naombea familia yangu binafsi ,ituhurumie kwa sababu tu ya huruma yake bila kustahili Ee Bwana nakuomba kwa ajili ya huruma na upe do wako. Kumbuka tu sadaka zetu ndogondogo kwa wahitaji ambao ni wanao,wapendwa wa nchi hii na nje ya nchi hii kumbuka Ee Bwana wewe wajua yote. NaKuomba kumbuka famila yangu.EeBwana Yesu nakuomba
Nakataa kila aina ya mabaya ndani ya familia yangu Kwa jina la Yesu,natabili uzima,mafanikio afya njema na kuinuliwa kiuchumi kwenye maisha yangu na familia yangu amen
“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. ” *2 Mambo ya Nyakati **7:14*
Yuhurumie Ee Mungu sisi wote tunaokutumainia ,tuepueshe Ee Mungu kwa ukuu wako kumbuka maisha yangu niliojitoa jwa ajili yako tu. Baba sistahili nakuomba mnoo
Mungu isimamie nchi yetu. Mlinde raisi wetu kipenzi mama yetu Raisi Samia Suluhu Hassani. Tunamtegemea,kutuvusha kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia na kiulinzi. Roho wachafu washindwe na kutokomea mbali. Tanzania ni kisiwa cha amani. Tunamuomba Mungu adumishe amani na usalama Tanzania. Mungu ibariki Tanzania.
Mungu naomba unilinde mim na familia yangu pamoja anayesoma message hii
Amina na we pia
Amen
Amen pia nawe
❤
Amen
Mungu ananguvu saana.....kibanda Cha shetani kishaungua tuseme Amen 🙏
Aminaa
amèen na huu ni mwaka wetu wa kumilik na kutawala nà màbaya yote tumeyàacha 2024
Amen
@@Bles-x1v Amen
@@Bles-x1v Amen
Mungu linda watu wako.Amina.
Nawaombea sana watanzania mungu awape neem iliy ya hali y juu kwa sababu MUNGU anawapenda sana kila sekta ya dunia kuna tokea unabii ...ss bas watanzania mumekuwa kama mji waisraeli .. MUNGU wambingu anawapenda sana naomba nguvu zake zitembee Tanzania
When the prophet talks,the wise listens
TUOMBE SANAA WATANZANIA . MUNGU AMETUTUMIA SALAM KUPITIA WATUMISHI WAKE KAMA VILE HUYU.
Ee Mungu niokoe mimi pamoja na family yangu yaani baba watoto wangu wazazi wangu pamoja na ndugu zangu wote simama Mungu ututetee na kutuhirumia baba wa huruma niponye magonjwa yote yanayonitesa na unishike kwa mkono wako unishindie roho zote za mauti baba yangu
Lord I pray for protection for my country,my family n my loved ones in Jesus name. No premature death in my family
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu "MUNGU IBARIKI TANZANIAN 🇹🇿 MUNGU IBARIKI AFRICA 🌍
Mwenyezi Mungu anitunze mimi na familia yangu Amen
Baba naomba upigane nao wanaopigana nami 🙏🙏 . Baba Mungu naomba unipe funguo za maisha yangu
mapenzi ya mungu yatimizwe na neno lake likatimie nimechoka maisha ya tozo kila sehem
😅😅😅😅😅🙌
😂😂😂
😅😅😅😅@@christinewomanoffaith5479
😂😂
May God protect me ad my family ad my country Kenya,in Jesus name
Mungu wa mbinguni naomba unilinde Mimi na familia yangu,mama yangu,dada zangu,Kaka zangu,Mungu Linda nchi yangu,moja wangu,Mtaa wangu,Mungu tuepishe na maafaa ya Kila Aina,Mimi na familia yangu tupo salama kwa damu ya yesu
Ombea na wengine
Amosi 3:7 Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote,bila kuwafunilia watumishi wake Manabii siri yake🙏
Ninauona mkono wa Bwana kwenye family yangu. Mungu nilinde na family yangu amen
Tuombeeni na Zambia 🇿🇲 hatutaki bendera nusu mlingoti mungu tulinde
Kweli kbs watu tumejichimbia Huku Mungu atuokoe sana nataman baba uludi Tena Huku Zambia
Alisema Kenya bendera itakuwa nusu mlingoti 2020,Sai imetendeka
Sitakufa bali nitaashi...hakuna kifo kwa jina la Yesu.
Amina
Eee Mungu wetu wa huruma tuhurumie na utusamehe .nakabizi familia yangu pamoja na taifa letu mikononi mwako ee bwana.🧎♂️
Yesu tuepushe na majanga yote yaliyotajwa yasiyotokee kwetu we pray thee in Jesus name
Duuuuuuu yani mpaka numeogpa duuu ubarkiwesana ulie tazama unabii duuuu🙏🙏
Aamina sitakufa bali nitaishi na niyasimulie matendo ya Bwana
Amen ❤❤
Amen
Ee MUNGU MKUU naomba uturehemu watanzania utuponye,tulinde twakusihi utuepushe na majanga .Tuombe sana Mungu nchi yetu ilindwe kwa jina la YESU KRISTO.Ameen
Aisee nimekusikiliza vyema sana nabii Rolinga na mara zote huwa nakuamini sana,huongeagi jambo likapita hivihivi....aisee watu tumrejee MUNGU
Amina 😊
Mungu naomba unilinde na familiy yangu,mtumishi mungu mungu akubariki sana
mtumishi ambaye ninakukubali Sana. Mungu azidi kufanya kazi kupitia wewe. ubarikiwe Sana. Pia Mungu atunusuru na mabaya yote na kutimiza mapenzi yake
Mungu hepushia mbali majanga yasitokee,tunavunja kwa jina la Yesu
Mungu ibariki TANZANIA Mungu ibariki AFRICA
We have received the prophet.may the Grace of our Lord be upon kenye, and our beloved families
Mungu atuepushe mbali na maafa yote Amina 🙏🙏🙏🙏
Kilichoonekana hakiepukiki
MUNGU wangu naomba uturehemu sana.Neema yako Isitupungukie kamwe.Naomba ulinde ndoa yangu na watu wote.utandawazi usije kutuathiri.Tunavunja na maroho ya mauti Kila eneo
Lord have mercy on us and our families and loved ones 🙏🏽
Mungu atunusulu kwa Hilo kwa jina la Yesu
Hilo lipi mbona yametajwa mengi😊🤭
Hiki nilikiona ht mm
Eeeh mungu nawomba tusaidie huw mwaka uwe wanema
MUNGU alinde watuwake
Atupe neme yakuwo mbeya
Hishi zetu kwajinalaYESU Amen
Mungu Linda familia yangu ndugu jamaa na marafiki Linda taifa la Tanzania
Mungu tusaidie...Asante kwa kumtuletea Nabii.Mungu mlinsmde.tuepushe na mabaya
Tutaishi kusimulia wema wa bwana damu ya Yesu ifunike familia yetu kwa hamna vifo vya mapema mungu tunusuru na haya😢😢
Najikabizi Nguvu ya Omega mimi na familia yangu Yesu tuokoe 🙏
Hujawahi kutabiri ikaacha kutokea. Prophet of the most High God
Aamina Mungu jalia uzima wa roho kwenye familia yangu na wote tubaomwamini kristo Yesu ,Roho wa Vwana atuepushe na majanga hayo
Hasa naombea familia yangu binafsi ,ituhurumie kwa sababu tu ya huruma yake bila kustahili Ee Bwana nakuomba kwa ajili ya huruma na upe do wako.
Kumbuka tu sadaka zetu ndogondogo kwa wahitaji ambao ni wanao,wapendwa wa nchi hii na nje ya nchi hii kumbuka Ee Bwana wewe wajua yote.
NaKuomba kumbuka famila yangu.EeBwana Yesu nakuomba
Nakataa kila aina ya mabaya ndani ya familia yangu Kwa jina la Yesu,natabili uzima,mafanikio afya njema na kuinuliwa kiuchumi kwenye maisha yangu na familia yangu amen
“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
”
*2 Mambo ya Nyakati **7:14*
Mungu ni mwema siku zote amen
Mungu twaomba neema yako❤
Mungu awatetee wasio na hatia na viongozi atusaidie tupate watu sahihi
Mungu atupe Neema na Rehema.
Mungu aisaidie Tanzania 🇹🇿
Nakataa roho za mauti na vifo kwangu na familia yangu, napokea neema nyingi kutoka kwa Bwana, Amen
Mungu nilinde mm na famila yangu na wale wote niwapendao Mwaka huu ukawe furaha neema amani na mazur yote
Bwana.Yesu Yesu tutetee tusaidie
When you speak GOD speaks my Prophet! I have never doubt your prophesy. Accurately
Let's pray harder
Yuhurumie Ee Mungu sisi wote tunaokutumainia ,tuepueshe Ee Mungu kwa ukuu wako kumbuka maisha yangu niliojitoa jwa ajili yako tu.
Baba sistahili nakuomba mnoo
Aaaamen!Mungu nipiganie Mimi na familia yangu !!
Haleluyaaaaa 🙏 Mungu atusaidie naamini yameishatimia
2025 ni mwaka Wa utele na upaji Wa ki Mungu . Wamwaminio Yesu Wa see amina.
Sara wewe niwapekee anaye elewa tofauti umejaatumaini katikati ya hofu,tutiane moyo katika kristo
AMEN
Amen
Mungu maomba unilinde mimi na family yngu na family ytu,my God our country jehovah i know ur faithful God we need you ,
Amina Amina pokea neema ya Mungu mwaka huu n baraka zake
Mungu atusaidie katika hili...Ameen
Mungu tutetee😭🙏
Uzuri kwangu nangojea yesu kucha maneno nyingine Niya mungu🙏
Ee mungu naomba nilinde mm na familia yangu kwa jina la yesu
Hallelujah praise be to God Our Father through Jesus Christ 🙏
Nitakuwepo kushuhudia mapenz ya Mungu yakitimia tuseme Amina
Pray for cameroon ❤
wazeh musiogop Mungu ndiye mwenye nguvu na urinz katika mwishoni wa hay yote kwa hiyo tumuombe Mungu zaidi
Thank you Jesus for the prophecy, Give us enough Grace to pray N success is assured. God remember Tanzania,God remember Kenya🙏🏿👏.
Yes God remember as
Mungu atuepushe na hayo yote mabaya back to Sender in Jesus name Amen
Mungu anilinde mimi na watoto wangu na familia yangu kwa jina la yesu atuepushe na roho za mauti naikata roho za mauti kwa mimi na watoto wangu
Amen tuko pamoja
Mungu tusaidiye Tuwe waminifu
Nakupenda San Mtumishi wa Mungu huwa unaongea ukweli na unabii wako unatimia tuombe sana Mungu Yuko jilani Kuludi 😢
Sio rahisi RAIS rahisi😮. ❤ from Kenya. Pray for your country TZ
Dah! Mungu wetu tusaidie
Naifunika family yetu kwa damu ya Yesu. Mabaya hayataipata family yetu in Jesus name amen.
Amina na iwe Kama ulivosema kwa jina la yesu kristo
Uko na fikra -ve
Waooo,Bigg thanks for Revillation Prophet of GOD Rollinga.
Mungu uirehemu Kenya,maasi yamezidi.
Mungu atusaidie atupe neema ya kuvuka mwaka 2025 kwa ushindi na baraka kubwa
Ila mtumishi wa Mungu uko vizuri sanaa Mungu akubariki sanaa
Jamani ndug zangu naomba niulize kanisa la mtumishi wa Mungu lipo maeneo gani hapo Dar esalam naomba mnisaidie🙏
Unabii wa Mungu ni kweli n'a Amina Ila sasa kufuatana n'a akili zetu ndogo , Mwenyezi Mungu anweza tufunulia jambo hili kwa sababu yéyé ni mwaminifu
Mungu anitunze mimi na Familua yangu
Mungu wa huruma atuhumie .. roho ya mauti haitakuwep kweny familia yangu kwa jina ka Yesu
Bwana yesu utusaidie utuepushe namajungu ya dunia
Baba tusaidie katika wakati huu kristo utuongoze ss waja wako saidia kila MTU
Mungu naomba nilinde weee ni apha na omega
asantesana mutumishi
rakinihubiri kuhusumapambo nagusukanwere🙏
Mimi huwa nampenda huyo mdada ambaye Ana tafsiri kwa kiingereza❤
Nikupe nambaake?
Anakuwepo kanisani au yupo studio?
Kwakweli yupo vizuri saana@@durangobasics6195
Amena kile mwenye zi mungu ana cho ona nisahihi kwetu basi kitokeye kama yeye apenda vyo
Unavyo andika JINA la MUNGU andika kwa helufi kubwa ukiandika helufi ndogo maana hiyo ni miungu ndugu yangu
Sema MWENYEZI MUNGU sio mwenyezi mungu
Ubarikiwe kwa kuleta ujumbe mts, na mkoni WA Mungu ututetee .
Nafuta mabalaa yote Kwa Damu ya Yesu amen
Mungu tunaomb aman kweny Taifa letu 🙏🙏 kila nguvu yashetani ianguke
Nafuta mauti za mapema kwenye familia yangu,uzao wangu ,uzao wa tumbo langu katika jina la Yesu amen
Mungu wetu, tunajuwa tu wakosaji, TUHURUMIE, ponya nchi yetu, ponya watu wako
Okoa mioyo yetu baba.
NChi imenajisiwa kwa kufuga
Mashoga halafu mnaomba Neema ya Mungu aaah wpi
Mungu akubariki mtumishi wa mungu akusidishie baraka tele
Barikiwa mtumishi wa Jehova
Mungu aniepushe mimi na familia yangu atulinde kwa jina la yesu
Tushikamane tuombe Mungu atusaidie,tushuke mbele zake.
Mungu isimamie nchi yetu. Mlinde raisi wetu kipenzi mama yetu Raisi Samia Suluhu Hassani. Tunamtegemea,kutuvusha kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia na kiulinzi. Roho wachafu washindwe na kutokomea mbali. Tanzania ni kisiwa cha amani. Tunamuomba Mungu adumishe amani na usalama Tanzania. Mungu ibariki Tanzania.
Kutuvusha kiuchumi
😂😂😂 umeuliza swali au umeshangaa?@@mohsixtus7048
Amani bila haki Hakuna amani
Jehovah Ivushe Tanzania😢
Amani haiwezi kuwepo bila haki tuacheni unafki watanzania
Mungu Wangu naomba uilinde familia yangu,unipe mafanikio mwaka huu
Mungu nilinde na family yangu
Amen kama ilivyoandikwa Kila goti litapigwa Kwake yesu
Yesu wangu rudi upesi utuokoe na huu ulimwengu wa giza tuna kungojea EE BWANA