huyu mwamba ingekua mwanamuzik tungesema free style kiufupi hana zile story za ktunga ili achekeshe mara nyng hua ana deal na flow hapo simba kawaona tu kapiga kitu katoka kamuona baba keagan kapiga ikaitika kamalzia na story ya SUA hatumii nguvu kabsa
Eti wakenya wamekuja na fraha wanajua hawawez toboa bila watanzania yan wanatutegemea mno na jeuli yao ya kingereza kingereza bila michongo heeee, tuwasamehe tu walitereza
Eliud mchekeshaji mzur lakn content ya leo co poa huwez kuidharau rangi yako ambayo ndio utambulisho wa taifa lako mbele ya kiongoz wa nchi dhidi ya nchi nyingne
Respect RC makonda umeonyesha mfano mzuri hasa upande wa kuilinda amani ya nchi yetu furaha zote hizo ni tunu ya amani tuliyonayo🎉
Huyu ndio comedian bora wa mwaka 2024 arudii rudii ,anafuata konkala master
Huyu Jamaa ni noma sana
Eliud anakula hela za bure, hatumii nguvu kuchekesha😂
Nashangaa watu Wana deal na wakina ndaro Leonardo Tx dullah ila huyu mwamba ni storry teller comedian anajua sana
Eliud ni proper stand up comedy😂😂😂
😂😂😂😂DAAA ELIUDI UMENIVUNJA MBAVU.NAKUFUATILIA NIKIWA KENYA
❤❤❤ Napenda comedy yako broo unajua sana na hutumii nguvu
Huyu mbwa anachekeshaa kabla hajachekeshaa
😂😂😂ILA ELIUD UNAJUA SANA KAKA MUNGU AKUJALIE ZAIDI UONDOE STRESS ZA WATU WAFURAHI
Yan mm ninacho mkubal eliudi atumiii nguvuu kuchezaj role mode Wang comedian ni eliudi
Unajua unajua tena
Huyu jamaa hatari sana namba moja TZ🎉🎉
Korea sio mpanda
You are the best
Daah eliudi unauwa sana😂😂😂
huyu mwamba ingekua mwanamuzik tungesema free style kiufupi hana zile story za ktunga ili achekeshe mara nyng hua ana deal na flow hapo simba kawaona tu kapiga kitu katoka kamuona baba keagan kapiga ikaitika kamalzia na story ya SUA hatumii nguvu kabsa
😂😂😂kabisa aswaaa
Ana akili sana kwa kweli maana sio jambo rahisi
Mungu akuinue zaidi kakangu
Hujawahi kutuangusha
❤❤❤ kaka unaweza Yani ukipandatu hapo mim nacheka kabla hata ujaanza kuchekesha😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂aaaah eliud ni tumach😂😂😂aaaaa mdogo mdogo hata hatumii nguvu
Kuna huyo binti hapo yupo nyuma ya RC kavaa uvungi ni mashallah 🔥
Acha umalaya fanya kasi kijana 😂😂😂😂
😅😅😅😅😅@@mohdzotv2676
😅😅😅 vijana hawataki kupitwa@@mohdzotv2676
Wee sniper
Ni karembo mashallah!
Hii safiii
Eliud anachekesh kutokan na mazngra
Hongera broo uko vzr
Eliud nakukubali sana 🤛
Ukimuona tu we mwenyewe una anza kucheka kabla haja anza kuchekesha
Sukari hapa fundi kabisa kuwahi kutokea
Hiki chuma nakiaminia kikishika mic
UNAJUA SANA BROOO 😂😂😂
Respect Eliud😅
Siwez ishi bila ww eriud ila apo kweny mpanda kwetu pazur bhna
Upo mpanda sehemu gn
Anachekesha alafu kawapa Elimu Uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania ni Kilimo
Naam na kwa wakati wake Bwana amekuweka mahali pa juu... Uwe imara na shujaa😂😂😂
Siasa iyo kipimdi cha Uchaguzi kimekalibia Inaona kabisa kiongozi Hanaongea hanajifanya Yuko siliasi
One of the best comedian 😂
Kwaniamba ya wanambbeya na WA Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 team eliudy tujuane hapa
Upo Vzuri haurudiii kak
😂😂😂nimekuwa wakwanza
Makonda mkuu wa mkoa
Eti wakenya wamekuja na fraha wanajua hawawez toboa bila watanzania yan wanatutegemea mno na jeuli yao ya kingereza kingereza bila michongo heeee, tuwasamehe tu walitereza
Sana wakati na elimu yao tunapata mshahara Sawa na wengine tumewazidi
Sasa utakosaje wenyeji kwenye shighuli jamani
Oyaaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeeeeeee usiache kuangalia video yangu mpya MAUA KWA BABY RUclips Boi bill tz
Huyu hata dakika 100 mpe hatukani na utacheka
Korea sio mpanda😂
Watatu baba levooo
❤❤❤❤
Makonda mtamu sana
Wazazi wamekua 😂😂😂😂
Eliud mchekeshaji mzur lakn content ya leo co poa huwez kuidharau rangi yako ambayo ndio utambulisho wa taifa lako mbele ya kiongoz wa nchi dhidi ya nchi nyingne
Umeimaliza Dar wewe😂
Imbombo jilipo
😃😃😃
Shem 😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉😂😂😂
🎉😂😂
😂😂😂
Haaaaahaaaa
Nothing funny here, ni vibe tu la jumla.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂aaaah eliud ni tumach😂😂😂aaaaa mdogo mdogo hata hatumii nguvu
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂